HD VIDEO: RC ALLY HAPI AFOKA, TAZAMA ALIVYOAGIZA POLISI WAMCHUKUE MENEJA WA BENKI NA MWANASHERIA

  Рет қаралды 1,226,310

Millard Ayo

Millard Ayo

5 жыл бұрын

Пікірлер: 827
@godblessmwangilla168
@godblessmwangilla168 5 жыл бұрын
Aliegundua Yunusi ni Boyfriend mjanja anae kwenda na wakati Gonga like twende sawa.
@amanihare21
@amanihare21 2 жыл бұрын
Hapo sawa kabisa nakubali kazi yako hongera!!Mungu akupe nguvu na ujasiri katika kazi yako🙏🙏
@mbeyauwsa5848
@mbeyauwsa5848 5 жыл бұрын
Mwanasheria wa Bank huhuuuuuu. gonga like twende sawa
@saadakigalu7211
@saadakigalu7211 5 жыл бұрын
Safi mkuu wa mkoa I love it ....wanyonge wanaonewa mno
@tunuagriproducts9649
@tunuagriproducts9649 4 жыл бұрын
Kama unasubiri part 2 ya hapa gonga like hapa
@denicymichael6284
@denicymichael6284 4 жыл бұрын
Tunu Agriproducts natamani uo mwendelezo
@niccolomachiavelli6057
@niccolomachiavelli6057 5 жыл бұрын
Aliyecheka Kama Mimi baada ya kugundua kuwa na Yunus yupo kwenye mkutano gonga like 😂
@jamessyria6649
@jamessyria6649 5 жыл бұрын
Serikali ya sasa mambo mazuri kweli nampongeza sana RC wa iringa kwa kupigania haki ya wanyonge mungu akutie nguvu
@poureenkunambi6413
@poureenkunambi6413 5 жыл бұрын
Edsson Nzingo nmecheka saaaana
@niccolomachiavelli6057
@niccolomachiavelli6057 5 жыл бұрын
Kunambi,mimi nilicheka sana siku hiyo kwa sababu Before nilijua aliyechukua mkopo Alisha sepa zamani
@poureenkunambi6413
@poureenkunambi6413 5 жыл бұрын
Edsson Nzingo namie nmecheka hpa baada ya kumuona yunuc akiibuka ndan ya ukumbi aaaaakhaaaaa
@happyfiverickaldo4662
@happyfiverickaldo4662 5 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@abdallahhadaika2131
@abdallahhadaika2131 5 жыл бұрын
Kazi nzuri nakukubali mzee baba kazi kazini kazi na vitendo bana kama umekubali gonga like twende sawa
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏 Episode 2 naomba,Mungu akueke Muheshimiwa Uzidi Kuokoa Wanyonge.
@didahassanhassan687
@didahassanhassan687 5 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa. Kwa hili. Nakupa kura yangu. Love you.tena mwaaahhhh. From Kenya mombasa
@garamabe6891
@garamabe6891 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣 uko na kiu sana
@hababisamade7283
@hababisamade7283 4 жыл бұрын
Safi sana Mkuu wa mkoa
@bethkamau6037
@bethkamau6037 4 жыл бұрын
Aki huyu mku wa mkoa so akuje afunze wakwetu kusimama na ukweli
@aminasaleh6134
@aminasaleh6134 4 жыл бұрын
mkuu wa mkoa upo sw nakukubal mung akupe umri mrefu
@watuwawili5168
@watuwawili5168 5 жыл бұрын
He was very smart. Mungu akubariki brother
@patrickfulano5282
@patrickfulano5282 2 жыл бұрын
Good , mkuu wa mkoa kazi Nzuri Sana big up
@idrisahussein3869
@idrisahussein3869 5 жыл бұрын
Hongera saña tunahitaji watu kama hawa kwa maslahi ya nchi,hili ni moja lakini yapo mengi sana dhulma nje nje kwa wanyonge wa nchi hii.Ubarikiwe Hapi,nakukubali.
@msomisongoma9715
@msomisongoma9715 5 жыл бұрын
mungu akutangulie kazi njema sana kwa wananchi
@francinesimirra4202
@francinesimirra4202 5 жыл бұрын
WOW wow Amazing Mungu akuongezeye ekima kama ya sulemani wewe ni msaada kwa taifa lako 👏👏👏👏👏👏👏👍
@sajubwax9335
@sajubwax9335 5 жыл бұрын
Francine Simirra ska
@anosisyemwaipopo466
@anosisyemwaipopo466 4 жыл бұрын
Watanzania wanafiki sana, wanachoshangilia nn sasa? Wanapoenda kukopa wapo radhi hata wahonge ila kuripa sasa chenga nyingi, mikopo wanahonga, wanapeleka kusiko malengo...tabu sana
@mbwanaomary7537
@mbwanaomary7537 5 жыл бұрын
Wale wote wanaosema hawa vijana wanafanya kazi kwa mihemko ni wezi, hii hari ya kazi walionayo hawa vijana imewasaidia wengi sana hasa watu wa chini maana vipindi vilivyo tungempata wapi mkuu wa mkoa tungemuona wapi mkuu wa wilaya, wacha wafanye kazi
@fatumahirbotuke1663
@fatumahirbotuke1663 4 жыл бұрын
Ma shaa Allah mkuu wa mkoa Allah akuzidishie kila la kheri..kweli wanyonge watapata haki kwa kazi yako nzuri may almighty Allah bless you from +254
@isayangonyani2678
@isayangonyani2678 2 жыл бұрын
Aise Alli Hapy. safi kazi nzuri sana
@taifocuscompany9246
@taifocuscompany9246 5 жыл бұрын
Huyu RC anaugusa moyo wa MUNGU moja kwa moja.
@jozostationery191
@jozostationery191 5 жыл бұрын
yes
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 5 жыл бұрын
Yunusi karika futi mia kuwa dhaman si nyumba😂😂😂
@teddygidamuhale9405
@teddygidamuhale9405 5 жыл бұрын
Radhia Salum habsri
@abdulmelele7322
@abdulmelele7322 4 жыл бұрын
Yunus konyo kwel😂😂😂😂😂
@aspaslove113
@aspaslove113 5 жыл бұрын
Kama unaomba part2 kama Mimi gonga like tujuane hhhhh
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Magufuli kachagua kweli. Yani hakuna mbabaishaji ktk uongozi wake. Big up Mr PC
@Ntambwe4040
@Ntambwe4040 4 жыл бұрын
☆☆☆ after Magufuli this guy need to take it over ☆☆☆ Tanzania itaendelea kusonga mbele. Love from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@ifruitx2096
@ifruitx2096 5 жыл бұрын
Sawa sawa mkuu wa mkoa hivi ndio kazi inafanywa bwana hata mungu anaona unachokifanya😁😁
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 4 жыл бұрын
Hakika
@paulbruno9817
@paulbruno9817 5 жыл бұрын
I admire you Mr.Rc Happy I love your job!
@herculesthepower1544
@herculesthepower1544 2 жыл бұрын
Don't believe what you see and what you hear. This politicians are very clever. This is organised group of actors including Hapi himself. Once case is at the court it is not allowed to be discussed publicly and he Hapi himself knows that,but since there is no case at the court he knows he wouldn't be charged cos they are just acting. The mama Asian guy(I believe asian kinda forced into this matter)to act lawyer, bank, manager. If you noticed you will see the lawyer played dumb bank manager too. This act to raise his popularity and people to believe he is on their side. This is politic my friend.
@adammwakosya4325
@adammwakosya4325 5 жыл бұрын
Well done RC happy we need such kind of leadership.
@khamisseif636
@khamisseif636 2 жыл бұрын
....
@jacksonnyange701
@jacksonnyange701 2 жыл бұрын
Ùùùùuuùù
@muddah7559
@muddah7559 2 жыл бұрын
Exactly! But, upumbafu, rushua, udjinga wa sisi wa Africa, huyu Kiongozi watamucukia na kumushusha. Thank u RC Happy angalao Mimi ni Mkongo(DRC). Nafirahi sana kwasababu Pombe Magufuli ameeee Yani Magufulification is still spreading.
@thegreatsource2953
@thegreatsource2953 2 жыл бұрын
Huyo RC ni hamnazo, anajifanya kujua wakati hajui kuwa hajui😏
@hashimbakari4670
@hashimbakari4670 2 жыл бұрын
@@khamisseif636 llllll
@albertmwinde487
@albertmwinde487 5 жыл бұрын
Hongera sana may Ally Happy New kazi nzuri God bless you
@skinnygypsy8629
@skinnygypsy8629 Жыл бұрын
Yeah huyu sasa safi sana kama rais magufuli
@hawaabubakar2619
@hawaabubakar2619 4 жыл бұрын
Swadakta safi naomba sehemu ya pili ln Sha Allah ilinione vpwali waclisha viyeti safi i salute u Bro from saudi
@fredytarimo9107
@fredytarimo9107 5 жыл бұрын
Hao jamaa bank wapumbavu kweli,hongera sana mkuu wa mkoa kumsaidia mwanamke mmoja ni sawa na kusaidia wanaume mia 100.
@oscartatrino1714
@oscartatrino1714 4 жыл бұрын
Magufuli rais wangu piga kazi baba piga kazi, unajua wakati mwingine binadamu unashindwa useme nini kwa kuwa pa kusemea unakuwa huna,ivi watanzania wenzangu tukiacha utawala baba yetu wa Taifa aliyeliongoza taifa hili kwa dhiki na shida pamoja na kuwa alikuwa na madini ya kila aina, lakini aliangalia mbele,ambae hii leo mimi namfananisha na baba mwenye familia kubwa aliyelima shamba akapata chakula akakiweka akiba ya baadae wakati wa njaa ili watoto wasije kufa na njaa,ambayo ndo leo madini aliyotutunzia baba yetu tunafaidi, ivi tukiacha utawala ule wa baba wa Taifa hapa katikati tawala zilizopita mpaka hii leo hapa kwa baba JPM, matukio kama haya tunayoyashuhudia watu kama hawa tena na wanasheria wakiwepo ni wangapi wamedhurumika haki zao kwa tawala zilizopita ukiacha kipindi cha mwalimu? Hatukuwahi kusikia habari njema kama hizi tunazoziona leo kwenye jeshi la magufuli, hata na kuna utawala wa wakati fulani ulitangaza mpaka kikosi cha mwavuli lakini hatukuyaona tunayoyaona hii leo, ebu watanzania wenzangu naomba niulize kaswali kangu kadogo tu, ivi kwa kazi hii aliyoifanya mdogo wangu Hapi kwa hawa watu yaani kwa meneja na ,mwanasheria wa benk NMB ni ya kujimwambafai mwambafai? Ivi unaweza ukasema Hapi amejimwambafai hapo? Hapi nae ametumia nafasi yake wala hajaiingilia mahakama,mahakama nayo ina nafasi yake, ebu cheki waangalie wapiga dili walivyobanwa maswali yaani dhahiri shahiri hata asiyejua kusoma ameng'amua kuwa issue nzima hapo kuanzia meneja mpaka mwanasjeria walipiga dili,na kumtishia huyo mama wa watu kumpeleka mahakamani,na wanajua watanzania tuliowengi tunashindwa kesi nyingi zikiwa mahakamani kwa kutojua sheria,au kwa kutishiwa kuwa kesi yako ni mpaka wakili ili ushindwe pesa za kumlipa, ndg Hapi kwa issue kama hiyo ivi mahakamani huyo mwanasheria alienda kufungua kesi gani? Ikiwa mkopaja kajikatalia kata kata kwamba yeye dhamana ya nyumba haitambui,yeye dhamana yake ni aseti zake,sasa huyo meneja na mwanasheria walipata wapi hati tena coppy? Tumwulize na huyo meneja alisomea wapi umeneja wake wa coppy kukopea mikopo? Na huyo mwanasheria achunguzwe vizuri uanasheria wake alisomea wapi? Huenda ndo wale wenye vyeti feki hao, kwanza mwanasheria gani wa benk tena benk kubwa kama NMB mwansheria wake unavaa tirshit tena ya round coler,halafu unathubutu kusimama mbele ya kadamnasi eti unajitutumua mimi ni mwanasheria wa NMB ivi hujaona aibu, ivi na nyie NMB mekosa kabisa watu wenye sifa za kufit hapo? Ona sasa mnavyoumbuka, watanzania ivi mnataka mniambie je kwa tawala zilizopita wababaishaji kama hawa wapiga dili hawakuwepo? Mbona hatukuwahi kuwasikia? Kama ndivyo ni wangapi kwa style hii wanyonge tumedhulumika haki zetu? Hapi kamata hao weka ndani hata wakisema na wewe unajimwambafai mwambafai poa tu.
@japhydejerry2908
@japhydejerry2908 3 жыл бұрын
Fredy Tarimo nakuona boss wanguu😆😆😆 kahama tuko pamoja
@neema-ee6qm
@neema-ee6qm 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@dandeenndandeen3047
@dandeenndandeen3047 5 жыл бұрын
Yaa Allah 🙌🙌🙌🙆
@janethjustin5256
@janethjustin5256 5 жыл бұрын
wanyooshe baba safiiiii👏👏👏👏👏👏👏well done Happi.
@mcyudasicqo9610
@mcyudasicqo9610 5 жыл бұрын
Nakukubari kijana Hapy, Kazi njemaaa mungu akuinue zaidi hiii ndio tz ninayo hitaji, magu hakufanya makosaaa, nakuombea upate uwaziriii wa nje hiii ndi tim work
@lugayilajohn6269
@lugayilajohn6269 5 жыл бұрын
Ninoooma Mbaba hapa kazi tuu kaka Upo sawa
@lugayilajohn6269
@lugayilajohn6269 5 жыл бұрын
Jaman magufuli mwangalie kwa macho mawili hapy anafaaa tena Sana uwe unamhamisha hamisha ili aendeleee kunyoosha hawa wapuuzi wanaodhulumu wananchi da iringa mnamtu mhimu sana hapy Upo poooa sana tena Sana ingekuwa inawezekana mikoa yote ungezunguka kuinyoosha inchi
@quentinsylvia3877
@quentinsylvia3877 2 жыл бұрын
Hongera sana Kwa kazi na msimamo uliouonyesha hapo .m.mungu akusimamie inshallah
@jkjonathanlabel4498
@jkjonathanlabel4498 5 жыл бұрын
Hivi ndivyo mungu atakavyo hukumu siku za mwisho tena itakuwa zaidi ya hapo
@elishamdack7449
@elishamdack7449 5 жыл бұрын
JK JONATHAN J Ic
@sadickwalker2795
@sadickwalker2795 4 жыл бұрын
Kabisaaaa.
@eliamugini6160
@eliamugini6160 4 жыл бұрын
Huwezi kulinganisha hukumu za mwenyezi MUNGU na za hapi
@johndismas2562
@johndismas2562 2 жыл бұрын
Very good,,I appreciate RC Mungu akubariki sana
@husseinsalimmaula4254
@husseinsalimmaula4254 5 жыл бұрын
Long long life ally happy maisha marefu.
@ashapearubart2624
@ashapearubart2624 5 жыл бұрын
Asante sana awamu ya5. Hingekua zamani wanyoge wanazulumiwa.
@aishaail4455
@aishaail4455 5 жыл бұрын
Watu wa bank ,wezi wanapotoa mikopo huwa hawalengi kumsaidia mkopaji bali ni kumkandamiza na kujinufaisha wao.
@margarethsaramaki1100
@margarethsaramaki1100 5 жыл бұрын
Hao tia ndani waongo wanamuonea huyo mama. Mimi yalishanikuta nilipata nyumba yangu.dill hilo lina watu nyuma yake.
@fatmazenafzena917
@fatmazenafzena917 5 жыл бұрын
Daaa wanyonge wengi masikini ....Alhamdulillah tumepata watetezi... Allah awalinde zaidi na zaidi
@kadogoomushadi5409
@kadogoomushadi5409 5 жыл бұрын
Muheshimiwa hao.niwaizi hao.mungu akupe afya njemaa mkuu wamkoa
@christinetimothy5805
@christinetimothy5805 5 жыл бұрын
Nimegundua Tanzania tunaibiwa sana haki zetu kwakutojua sheria.jamani kusomea kitu siompaka uje ukifanyie kazi vingine kwajili yakutusaidia wenyewe.
@sabinashabani9742
@sabinashabani9742 5 жыл бұрын
Benki sikuhizi wanaibia sana watu na huu yamekuwa mchezo wao mkuu tusaidie kwahilo
@FausitnePonera-fq9pj
@FausitnePonera-fq9pj 5 ай бұрын
Magufuri ana vijana wazuri sana ukimwangalia happy kama makonda
@user-ok9mi5uq6y
@user-ok9mi5uq6y 4 жыл бұрын
Hongera kwa kazi mzuri. Mkuu wa mkoa
@wahidawahida6675
@wahidawahida6675 5 жыл бұрын
Wanyemakosa hao maafisa ata sis tumevunjwa nyumba mpk leo wazazi wangu wanahangaika na hatuna msaada
@ibrahimmawazo7165
@ibrahimmawazo7165 5 жыл бұрын
Nampenda sana mkuu huyu wa mkoa.. yaani ana hoji FACT tupu.. Mungu akulinde na kila shari...
@clintonaward7580
@clintonaward7580 2 жыл бұрын
Imeniuma sana 😭😭😭yani tunatoa viongozi Bora kwa visa na visasi vya wapumbavu wachache ila kuna Siku hawa wanaojiona ni wenye giningi Watakuja kusaga meno!!!!! Kaka hapi kuwa na amani wewe ni reserve wa mfumo ujao, si wao wamekukataah usikate tamaa, wao Wanataka viongozi wa kuteteah uovu na si viongozi wa kuteteah haki za wananchii
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 жыл бұрын
Inauma sana.
@e.j.starelia5672
@e.j.starelia5672 4 жыл бұрын
Enzi za magu si za kuleta ujinga ujinga!!!!! Congratulation RC Hapy
@janerosempeta5662
@janerosempeta5662 2 жыл бұрын
Woooooh I salute u ! Good work
@sistimasawe5936
@sistimasawe5936 5 жыл бұрын
Kama na wew umegundua benk wanatoa mkopo kwa hati ya photocop gonga like twende zetu
@goldendaisy187
@goldendaisy187 5 жыл бұрын
Mbona Tanzania kutamu jameni,I love this mkuu wa mkoa
@f.a6043
@f.a6043 2 жыл бұрын
Tumeimiss sana hii mikutano big up Ali hapi!
@charlesmzugy1538
@charlesmzugy1538 4 жыл бұрын
kazi nzuri sana
@akilikarama3331
@akilikarama3331 5 жыл бұрын
Safi sana
@ellyemily4234
@ellyemily4234 5 жыл бұрын
Kaka hapii Mungu akubarikii
@kasimpongwa5178
@kasimpongwa5178 5 жыл бұрын
kaka HAPI ongera kwa kutenda haki mwenyezi mungu akubaliki sana katika kazi yako ,
@marthamasue4009
@marthamasue4009 21 күн бұрын
Ally Happy hoyeeeeeee. Mungu akulinde kabisaaaa
@richardmsumari4051
@richardmsumari4051 5 жыл бұрын
Kati ya viongozi ninaowakubali awamu hii wewe uko kwenye akili yangu , mkuu , piga kazi
@johnyusuph3221
@johnyusuph3221 5 жыл бұрын
Ally Appi wew ni zaid upo vizuri safi san
@reachthegoal7624
@reachthegoal7624 5 жыл бұрын
Hapi Hapi Hapi well done! Wakati mwingine mambo hadharani inasaidia kila mtu kubeba msalaba wake. Msaidizi wa ishu hapa lazima aimbe yarabi nafsi yangu, zama lwako, mimi simo! Hapa hakuna kuchukuliana misalaba. Safi ukweli unajulikana.
@hellenj270
@hellenj270 4 жыл бұрын
Tungekuwa na viongozi kama Hawa Tanzania ingenyooka 😍😍😍
@winfridawilliam9484
@winfridawilliam9484 5 жыл бұрын
Kudadeki unaweza ukaskia mtu amekufa kwa pressure
@ashamecky7772
@ashamecky7772 5 жыл бұрын
Kweli
@comfortfurniture2719
@comfortfurniture2719 5 жыл бұрын
Duh
@khalekichambo1131
@khalekichambo1131 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@dandeenndandeen3047
@dandeenndandeen3047 5 жыл бұрын
😀😀😀
@omarymbalala6224
@omarymbalala6224 5 жыл бұрын
😁😁😁
@enoshmhemakapaya
@enoshmhemakapaya 4 жыл бұрын
Wakuu wamikoa wakiwahiv wote dahhhhh!!!!
@mosesotieno9893
@mosesotieno9893 4 жыл бұрын
Watching from Kenya
@jeremymakokha4797
@jeremymakokha4797 4 жыл бұрын
Mugufuli generation leaders are serious...natamani tuwe nao Kenya
@fatemafatema4780
@fatemafatema4780 Ай бұрын
Ahsante muheshimiwa kura yangu kwako haina mjadala..hongera sana
@nehemiambughi6731
@nehemiambughi6731 4 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa we noma sana!
@tegemeareuben7618
@tegemeareuben7618 5 жыл бұрын
Mafuli's generation hapa sio mchezo MUNGU acha atumie viongozi hawa vizuri
@jumamgema3356
@jumamgema3356 5 жыл бұрын
Happy nakuelewa kaka
@EK-kp2np
@EK-kp2np 5 жыл бұрын
Anaomba time ya kutengeneza nyaraka za kughushi 😁. Eti benki imefungwa, na yeye ndo meneja, awamu hii watabadilika tuu, mama alindwe jamani watu wa jinsi hiyo hawakawii kupoteza ushahidi
@zaiiomary8970
@zaiiomary8970 5 жыл бұрын
Makondo angekuwa kam huyu ingekuwa bomba
@mossymtwana6422
@mossymtwana6422 5 жыл бұрын
Wengi walidhulimiwa majumba na bank wakishirikiana na wahindi au na watu majizi wasio na hofu ya Mungu wakinunua haki kuanzia polisi mpaka mahakamani kweli sijui kesho kwa Munyu watajibu nini
@edwardbusweru663
@edwardbusweru663 5 жыл бұрын
Ally hapi ni kiongozi mzalendo .Namheshimu saaaana popote alipo na molla amrehemu
@phayphay8471
@phayphay8471 5 жыл бұрын
Kwa hivyo mkubwa nakuaminia sana Mungu akupe miaka mingi tunahitaji watu kwema wewe wengi katika tz yetu
@salmaobed2708
@salmaobed2708 5 жыл бұрын
👏👏👏👏👏safiiiii 👍👍
@raymondkaswaga8334
@raymondkaswaga8334 5 жыл бұрын
Kuna legal procedures hazikufuatwa ktk Banking laws lakini bado Administrative and constutional laws must be respected.Ila wakili ulikuwa na haja gani kudanganya jina ndani ya letter of offer au/na collateral iliyotumika mpaka utofautiane na meneja.....????
@aminakassim8272
@aminakassim8272 5 жыл бұрын
Anachanganyikiwa jamani
@nyambelewinfrida9074
@nyambelewinfrida9074 5 жыл бұрын
Hapi omba asikuguse nampenda kwa sababu hashoboki na kunadi siasa kwa maneno anatete na kusaidia raia wake kwa haki na vitendo Mungu akupe maisha marefu nataman kukuona kwa wema.
@hamadiathumani5018
@hamadiathumani5018 4 жыл бұрын
Safi sanaaa baba kweli wananchi wanaumia sana.
@jamessitati7396
@jamessitati7396 5 жыл бұрын
Kwani huyo muhindi sio mtanzania, mbona hamutumi jina lake, sisi wafrika tunabangua watu sana, sio vizuri, lazima tuishi kama familia moja.
@nnalido2407
@nnalido2407 5 жыл бұрын
James Sitati wao wanavyotubagua huko kwao huon au
@tonykisogole6710
@tonykisogole6710 5 жыл бұрын
Kuwa sio raia hakuzuii mtu kununua bidhaa
@nasskamwaya8745
@nasskamwaya8745 5 жыл бұрын
uje huku kwao uone wabavyotubagua tena anamuita vzr aseme hata kitumbo
@bockernyarusahi3655
@bockernyarusahi3655 5 жыл бұрын
James Sitati huyo fala kamtaja Mhndi,Mhindi ana kosa gani,kama siyo undina
@louisnyoni4139
@louisnyoni4139 5 жыл бұрын
Big up RC Happv
@farajakigullah8571
@farajakigullah8571 4 жыл бұрын
Nakupenda sanaaa mkuu wa mkoa wetu oyeeeeeee
@Hancy_barrow
@Hancy_barrow Ай бұрын
Hiiii ndo Tanzania 🇹🇿 yetu hatari sana 😂😂
@nyamwekomatoke9951
@nyamwekomatoke9951 2 жыл бұрын
Wazurumaji Wa Aina hii niwengi sanaaa wanatapeli Sana wamama wajane Hongera Sana Happi Watu walikupenda sanaa
@khamisseif9870
@khamisseif9870 5 жыл бұрын
gud sana Rc happy👍
@dianadominic701
@dianadominic701 5 жыл бұрын
Ally Salum Hapi tumekua wote kambini nzega ulikua msafi na mtanashati ila haukua muongeaji, aseee nakukubali sana
@maxmaizer4631
@maxmaizer4631 5 жыл бұрын
Umeonaa jembe ilo saiv tuna vichwa viwili bashe na ally
@roubmaywilly9231
@roubmaywilly9231 4 жыл бұрын
Sukuma ndani
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 жыл бұрын
Ee Mungu utusaidie. Viongozi kama hawa wanagusa moja kwa moja mioyo ya watu. Wanaitenda kazi ya mungu kwa vitendo nina imani Mungu amefurahishwa na kazi za aina hii na lazima atapenda mijuiza yake kwenye nchi yetu. Mungu wetu utusaidie waja wako
@janetjackson9586
@janetjackson9586 4 жыл бұрын
Safi sana mkuu ...from china
@gm7045
@gm7045 5 жыл бұрын
Magufuri kachagua safi yaani baba na mtoto photo copy👍 Hio ni unyanyasaji kwa mama huo..usiwapatie time hao wizi wanataka kuenda kutapeli hizo karatasi.. Mkuu wa Mkoa Mungu akubariki👏👏👏👏
@stewartmagiri472
@stewartmagiri472 5 жыл бұрын
Ally hapy wewe ni mwanaume👏👏👏👏👏
@ibrahimkibona778
@ibrahimkibona778 5 жыл бұрын
huyu ndiye kiongozi anaye hitajika ..kama suleimani mwana wa Daudi
@saidyahmad3985
@saidyahmad3985 2 жыл бұрын
Hongera Sana mkuu wa Mkoa uko vzr Sana Kwa utetezi mungu akulipe
@rojakijana1162
@rojakijana1162 5 жыл бұрын
Safi sana Happy !
@joellongidare8280
@joellongidare8280 2 жыл бұрын
Mkuu wa mko Hana lolote ni msani tu
@susananyasani6526
@susananyasani6526 4 ай бұрын
Super Mkuu wa Mkoa maamusi ya Kibinadamu hongera sana katika haki unazotumia kwa Wananchi
@jeremiahmolell665
@jeremiahmolell665 5 жыл бұрын
mkuu upo vizuri watete wanao nyanyaswa mungu akulinde mkuu miaka mingi uzidi kutetea wanyonge.
@bertinkimati2674
@bertinkimati2674 5 жыл бұрын
Mhe. Hapi kwa hatua kama hizi nakuunga mkono 100 kwa 100. Kwa uomgozi wa kutatua mambo kama hayo na mengime basi ndio kuijengea heshima serikali na ccm kwa ujumla. Msikubali kutumia mbinu chafu kuwafanya watanzania waikubali serikali. Watanzania wataikubali serikali kwa kutekeleza vyema majukumu mliyopewa sio vingimevyo. Kwa mpangilio huo mkiendelea hivyo hamna haja ya kutumia mbimu chafu kushinda uchaguzi. Fikisha ujumbe huu kwa watendaji na viomgozi wote wa ccm
@dosidamas4140
@dosidamas4140 5 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa nakukubali sana
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 Menejaaa aibuu tupuu wamezoeaa wiz mxeeeeeeww
@alicedusabe3988
@alicedusabe3988 5 жыл бұрын
Vizuri sana naona tz imakua nzuri duuu
@bintysayd1763
@bintysayd1763 5 жыл бұрын
Dah! Jpm 2, hapa kazi tu😆😆😆
@nyamwekomatoke9951
@nyamwekomatoke9951 2 жыл бұрын
Lkn Pole Sana kwakutolewa Ukuu Wa mkoa Mara tutakukumbuka Sana Tulikupenda ila wenye roho ya husda wamefanya umetolewa
@abdigiro7701
@abdigiro7701 2 жыл бұрын
Unafanya kazi nzuri lakini wanadamu hawataki ukweli chunga maisha watakuwa adui yako ndugu yamgu
@antonykashube2065
@antonykashube2065 5 жыл бұрын
Mheshimiwa Hapi umenikosha sana aisee. Serikali ya Magufuli sio ya mchezo mchezo bwana.
@husseinmgumba6522
@husseinmgumba6522 5 жыл бұрын
Hongera sana
LIVE: RC HAPI AAGIZA MENEJA WA BENKI AKAMATWE NA KUHOJIWA
9:47
Millard Ayo
Рет қаралды 784 М.
RC HAPI 'amtumbua' Daktari Hadharani "una matatizo nilishakwambia"
22:48
Global TV Online
Рет қаралды 725 М.
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
KASHESHE IRINGA: KIENDACHO KWA MGANGA HAKIRUDI ILA IRINGA KINARUDI
6:45
AFISA ELIMU AZIMIA GHAFLA KISA KATUMBULIWA NA RC MWANRI
7:06
BREAKING: JPM Atembelea Shule Aliyosoma Nyerere
13:30
Global TV Online
Рет қаралды 238 М.
Rais Magufuli afurahi kukutana na Pacha wake Mafinga Mjini
3:47
Amanitz News
Рет қаралды 2,1 МЛН
CHALAMILA : NIMEOA ILI NIYATUMIKIE HAYO MAPENZI WANAYOSEMA NAPENDA
8:18
Gangana Info Channel
Рет қаралды 30 М.
RC HAPI KAMVAA HAKIMU ALIODAIWA KUCHUKUA RUSHWA YA MIL 2
8:48
Millard Ayo
Рет қаралды 395 М.