Kocha na Kikosi Kizima Simba sc Walivyoingia Mazoezini leo

  Рет қаралды 92,627

BM TV TANZANIA

BM TV TANZANIA

5 жыл бұрын

SUBSCRIBE HAPA / @bmtvtanzania
tembelea WEBSITE YETU
bmtvtanzania.com/
INSTAGRAM
/ bmtvtanzania
FACEBOOK
/ bmtvtanzania
TWITTER
/ bmtvtanzania1

Пікірлер: 16
@salminejuma7438
@salminejuma7438 5 жыл бұрын
Kocha bora kabisa kuwahi kuifundisha simba tumuunge mkono "simba nguvu moja"
@eriaschares9466
@eriaschares9466 4 жыл бұрын
wanafunz wakicheza
@mahadshekh398
@mahadshekh398 5 жыл бұрын
Mmesahau ya Masoud mmekuja na mapya.Hakuna timu isiyofungwa.Mmekuwa magwiji kuliko Patrick Aussems? Mbona waliposhinda na KMC hamkusema? Wacheni ushabiki maandazi .Ungeni mkono timu au tafuteni timu yenu isiyofungwa. Man City amefungwa mara mbili mfululizo husikii mashabiki wao wakilaumu tu. Batambuze amesajiliwa na Gor Mahia na wala hana ubora wa zaidi ya Zana Coulibaly.
@samnaborliwemba7819
@samnaborliwemba7819 5 жыл бұрын
Rangi nyeusi inatumika na timu gani hapa TZ naona kama inakuja kwetu kidogo kidogooo
@neemaraphael660
@neemaraphael660 Жыл бұрын
Makocha fanyeni kazi yenu wachezaji Kila la hero nawaombea majeruhi wetu wapone bila kumsahau mwamba chama
@citystyle6338
@citystyle6338 5 жыл бұрын
Nibaraaaa
@dshynermcongo1564
@dshynermcongo1564 4 жыл бұрын
Km umeonaa mfuko wa Rambo unapepeaa sec ya 40 like apa
@issayasin1015
@issayasin1015 4 жыл бұрын
Vipu
@jonasmathayo5419
@jonasmathayo5419 4 жыл бұрын
Kocha wa simba anafaa kabisa
@nelsonnjenga1077
@nelsonnjenga1077 5 жыл бұрын
mwanz
@brightjulius5851
@brightjulius5851 5 жыл бұрын
Hivi chama kasajiliwa na kocha au kamati
@mbesinghabi1994
@mbesinghabi1994 5 жыл бұрын
Huyu kocha, inabidi aangaliwe upya hilo ni beki lake zana coulibaly hakuna kitu, alikosa mafull back hapa nchini?
@tanzaniafootballers4252
@tanzaniafootballers4252 5 жыл бұрын
MBESI NG'HABI acha ushabikk maanadazi ile mechi wote wamecheza ovyo umeuona zana tu
@mahadshekh398
@mahadshekh398 5 жыл бұрын
Shabiki maandazi wameanza. Kufungwa ni sehemu ya mchezo.
@imanndimbwa9807
@imanndimbwa9807 5 жыл бұрын
Sio libeki hilo, bora wamsajili shafic batambuze
@mbesinghabi1994
@mbesinghabi1994 5 жыл бұрын
Me, sina ushabiki wa mitaani, ila ukiambiwa kitu elewa mechi na kmc haukuona zana coulibaly alipwaya wakatukosakosa2, siku ile na mashujaa mabao mawili yeye akiwa katikati
UCHAMBUZI SAKATA LA FEISAL SALUM, JE, ANAKWENDA SIMBA AU HAENDI?
14:01
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 43 МЛН
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
LIST YA WACHEZAJI WALIOSAJILIWA SIMBA 2024/2025/MO HATAKI MASIHARA
8:18
PUBLIC TV. ONLINE
Рет қаралды 66 М.
Power Dynamos 2-2 Simba SC | Highlights | CAFCL 16/09/2023
10:34
list ya wachezaji waliosajiliwa Simba 2024/2025
8:07
Hm Dijital sports
Рет қаралды 69 М.
Ловушка Канело #boxing
0:20
Эффект MMA
Рет қаралды 514 М.
Daddy's Predictions For The European Championship
0:25
Horia Bogatu
Рет қаралды 3,5 МЛН