Пікірлер
@agusmileofficial2845
@agusmileofficial2845 Күн бұрын
😂😂😂 anafurahisha kimchangooo
@kayumbasosthenes3596
@kayumbasosthenes3596 Күн бұрын
MWIGULU toka umekuwa navijisent umekuwa namambo yakiwak,unadhan wenzako hawatak kuish maisha bora eeh
@kayumbasosthenes3596
@kayumbasosthenes3596 Күн бұрын
MWIGULU toka umekuwa navijisent umekuwa namambo yakiwak,unadhan wenzako hawatak kuish maisha bora eeh
@user-vr6lu8tq1n
@user-vr6lu8tq1n 2 күн бұрын
Kwanini wanamn'gan'ngania
@bornifacecharles2
@bornifacecharles2 4 күн бұрын
Akitoka Sami atake fata urais ni Tulia
@johnparkr
@johnparkr 5 күн бұрын
Mawaziri wote kulipa Kodi kwenye mishahara zao, seating allowance na manufaa zingine wanazozipata..........
@christophermpogole4944
@christophermpogole4944 5 күн бұрын
Kama hamtaki matusi basi msingeweka habari hizi maana ni uchochezi!
@rojasshemweta1981
@rojasshemweta1981 6 күн бұрын
Maisha magumu nduguzangu
@bishoppetermugendi5546
@bishoppetermugendi5546 6 күн бұрын
kzfaq.info5kSJFhYpZOw?si=otSCuzo-iDga0DmT
@bishoppetermugendi5546
@bishoppetermugendi5546 6 күн бұрын
Congratulations 👏 My SISTER MARTHA MWAIPAJA
@user-uz9mw1ie6z
@user-uz9mw1ie6z 7 күн бұрын
Acha GIZA liongozeke kusudi kupambazuke mapema.... Ma-ccm wamechoka na hawana jipya ktk ubunifu wa kuendesha serikali wamebakia uwizi tu. Siku moja tutawaonyesha hasira zetu ndio mjue wenye NCHI ni wananchi. Kinachendelea Kenya Bado hakijawa funzo kwenu eeh! Kenya Kuna GENZ hp Tanzania Kuna watoto wa 2000 si muda tutaelewana tu. Hamko kusikia kilio chetu Wana wa NCHI.... Vikokotoo kwenu wabunge na mawaziri na mama wa znz hamjaweka Bali kwa wananchi masikini hd mtukaishe damu eeh! Dawa yenu yachemka si muda mtajua hamjui. Maisha magumu ninyi mmekalia wezi kwa kuuza NCHI yetu pamoja na rasilimali zake. Chadema tupo bega kwa bega ukombozi ni Leo na si kesho. Ipo siku kwani haki kwetu wananchi haipo na ipo kwenu tu. Double standard imekuwa kubwa wenye nacho wanaiba na jela haiwahusu eeh! Jela zipo kwa maskini ! Wafujaji wa Mali za UMMA na wauza NCHI wanakula wali wa rangi. Wageni NCHI imekuwa Yao.... Hasa wahindi wanasumbua sn ktk NCHI hii na hatuna Cha kuwafanya . TAIFA linazama huku tunaona. Ombi langu watanzania tuchukue hatua na wkt ni huu.
@piusmelkizedeck9823
@piusmelkizedeck9823 7 күн бұрын
Unapokuwa na gari linalokusumbu kila siku unatafuta lingine au unaliuza kabisa usilione sas,kinachotuumiza zaidi ni katiba tu,na kubadilisha ni ngumu maana 90%kma siyo100% inawalinda viongozi wetu lakini siyo mwananchi na ndyo maana wanafanya wanavyotaka😢😢
@piusmelkizedeck9823
@piusmelkizedeck9823 7 күн бұрын
Mnataka watu wasitumie mkaa na kuni lakini mnaendelea kupamdisha gesi bala ishuke na hali ya maisha ya wananchi kma vile hamzion sababu nyie mnapa kila kitu mnachotaka,huko si kumsaidia mwananchi hta kidogo
@user-tb3xq2cu3o
@user-tb3xq2cu3o 7 күн бұрын
Feisal wangu mzr sana mpenda sana huubby wangu nakupenda piaa pole sanaaa Kwa ajali love you too
@swareheabasi42
@swareheabasi42 7 күн бұрын
mbona uwanja haumaliziki
@mosesferdinand1804
@mosesferdinand1804 8 күн бұрын
Huyo ndiyo mzee wa propaganda
@GeazKatabi
@GeazKatabi 8 күн бұрын
Kunawakati ninamshukuru sana Mungu hasa pale anapotuondolea wanafiki kama hawa kati yetu, em fikilia huyu ndiye alikua anataka kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa huu ungekuwa ndio ujinga sana
@GeazKatabi
@GeazKatabi 8 күн бұрын
Chadema nikubwa kuliko Msigwa, nenda katetee tumbo lako,
@yahayaramadhani6418
@yahayaramadhani6418 9 күн бұрын
Mwigulu nikatiri sana, hana huruma
@boniventurehussein7276
@boniventurehussein7276 9 күн бұрын
Mwigulu 😢 yaan wewe ningekuwa Rais walahi hata ubaloz nyumba kumi hupati
@FainessUhai
@FainessUhai 9 күн бұрын
Martha kweli mim ninahamu ya kukuona kweli
@FainessUhai
@FainessUhai 9 күн бұрын
Martha nakupenda nambako ya WhatsApp mama Nina lakuongea na wewe dadangu Martha wangu na ubalikiwe ngomba Zaki zinanijenga kabisa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 9 күн бұрын
Kadri bei inapopanda mapato ya Serikali yanakuwa Makubwa lakini Hela inashuka thamani, Bora Serikali ikusanye Bilioni 100 Kwa mwaka lakini Hela Ina thamani, Hela ikiwa na thamani mishahara Nchi nzima mnaweza Lipa bilioni 10 tu , lakini Hela iwe na thamani Sasa hata mkusanye matrilioni alafu fedha ikiwa haina thamani inakuwa Ni shida, I wish I noti iwe mwisho sh 100 kama Zamani tulikuwa na mia nyekundu lakini ilikuwa inamaliza mahitaji yote ya nyumbani
@liannsambu7264
@liannsambu7264 9 күн бұрын
Upewe ulinzi Kwa kusema na wengi anaoongozana nao kwenye zile kashfa kubwa wapo ,Sasa unajiuliza kama ndege warukao pamoja wanafanana inakuwaje huyu kila sehemu anaruka nao na ni Kodi zetu jamani , WANANCHI WA TANZANIA HATUFURAHISHWI NA MWENENDO WA SERIKALI KILA SEHEMU MATUMIZI MAKUBWA ALAFU HATUONI MATOKEO , JAMAN SAFARI 24/7/360 MMMMM HAPANAAAA MUNGU FANYA KITU JUU YA HAWA VIONGOZI ,MUNGU TAIFA LA TANZANIA NI LAKO SIYO LA KIONGOZI YEYOTE WALA MTU FLAN BALI NI LA WATANZANIA LAKIN WATAWALA NA VIONGOZI WETU WAMETUGEUZA WATUMWA , WAMETUGEUZA NGURUWE PLS , LORD DONT BE QUITE ON THIS FANYA KITU , WAKRISTU NA WAISLAMI WOTE TUFANYE MAOMBI JUU YA HAWA VIONGOZI WETU wanatugeuza WATUMWA , MUNGU USINYAMAZE MKONO WAKO UWAONE HAWA VIONGOZI NA WATAWALA WANAOTUTUMIA KWA MASLAHI YAO WAONE MPAKA VIZAZI VYAO , MKONO WAKO UNYOOSHE KWANZIA JUU MPAKA chini ,HII NI NO UNYANYASAJI NA WIZI WA TAIFA JILI HAPANAAAAA MUNGU HUKUWAHI KUNYAMAZA ,NAOMBA UJIBU
@r14kgroup68
@r14kgroup68 9 күн бұрын
Profesa kishimba
@r14kgroup68
@r14kgroup68 9 күн бұрын
Kama wanataka tulipe kodi watuletee na mvua ya bure
@Edger-bn2mt
@Edger-bn2mt 9 күн бұрын
Hv kwann magufli hakuruhusu hyu mwguru awe wazr wa fedha
@sajurumassawe7431
@sajurumassawe7431 9 күн бұрын
kwa kweli kama Hawa ndio walisomea uchumi basi Tanzania tumeisha huyu hata mchunga ng'ombe anamshinda na kufikri huyu hafai kbs kuwa kiongozi ndio maana magu kamfukusa na ww unamrudisha angalia ss nn anafanya kama ujinga
@sajurumassawe7431
@sajurumassawe7431 9 күн бұрын
jamani rais wetu huyu warizi wako wa fedha hafai kbs
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 10 күн бұрын
Tutakutana 25ndiyo mtajua
@suleimanhemed9543
@suleimanhemed9543 10 күн бұрын
Hivi niwaulize tra, kwa nini mnakusanya kodi kutokana na mtaji wa mfanya biashara na sio faida ?
@neemamwasomola8663
@neemamwasomola8663 10 күн бұрын
Tunashida hasa mbalari ndio shida gunia moja linalipwa mala tatu mkulima analipa ilo gunia mfanyabiashara anaeenda kwauyo mkulima analipa uyu mfanya biashara alienunua uwo mpunga unaenda kukoboa nakuuza mchele iloilo gunia la mchele linaenda kulipwa ushuru hii shida inafika tunamkumbuka mh magu mama samia unalijua hili lakini uko kimya uwo wakurugenzi unawowatuma wanatutesa ila hakuna jambo lisilo na mwisho tunateseka sio kidogo sana mbalari
@OmaryAndunje-y8r
@OmaryAndunje-y8r 10 күн бұрын
Michezoenibisitazaniya
@abubakaranwar337
@abubakaranwar337 10 күн бұрын
Wewe Kuma mwiguru mchumba zakayo umetuzoea
@calvinloveambroce842
@calvinloveambroce842 10 күн бұрын
Mwigulu ni sawa na Israeli mtoa roho afai kabisa kuwa waziri
@calvinloveambroce842
@calvinloveambroce842 10 күн бұрын
Mbona sisi tuna mitaji ata million tano haifiki lakini tumepewa mashine hii ipoje
@FatmaAli-dh1pd
@FatmaAli-dh1pd 11 күн бұрын
Punda afe mzigo ufike
@godfreymwikola8232
@godfreymwikola8232 11 күн бұрын
Safi sana
@Garusahir
@Garusahir 11 күн бұрын
Huyuu sio mtanzania anakosaa hurumaa inaa onekanaa hanaa jamii inayo jihusisha na kilimo
@MaunganyaOmary-ce7pn
@MaunganyaOmary-ce7pn 11 күн бұрын
Uko sawa baba mwigulu
@saidimohamed4357
@saidimohamed4357 12 күн бұрын
Watu wanavunjiwa nyumba zao
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 12 күн бұрын
Majizi tupu
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 12 күн бұрын
MWIGULU akili yke sio ipimwe na pima maji
@user-ml5tq8hj2x
@user-ml5tq8hj2x 12 күн бұрын
Na kweli hatutamuelewa mama hii ikipita ya efd kwa wakulima hakika
@user-ml5tq8hj2x
@user-ml5tq8hj2x 12 күн бұрын
Kweli sijui mama alimrudishaje mwigulu jamani hii ni shida tunateseka sana vitu viko juu umaskini ni mkubwa hakuna unafuu wowote halafu leo wakuluma watozwe kupitia mashine ya efd ni aibu
@user-ml5tq8hj2x
@user-ml5tq8hj2x 12 күн бұрын
Mwigulu jamani anajua hata wakuluma tunavoteseka hatupati hata gunia 20 ni pata potea wakati mwingine hapana huyo waziri aondoke awekwe mwingine
@user-kx7ob5rx4p
@user-kx7ob5rx4p 12 күн бұрын
Hawa wanataka ya kenya
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 12 күн бұрын
Piga pini,,, rushwa mkasomeshe watoto wenu shule za millions 10 kwa wek matahira wanasomesha st kayumba
@isaliisu3408
@isaliisu3408 11 күн бұрын
Kwanza nyinyi wabunge sisi hatukuwachaguwa munakumbuka hilo
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 12 күн бұрын
Nyinyi Kopeni,, walipakodi ya madeni ni wafanyabiashara na sio wabunge wala c wakulima
@RazakiMstafa
@RazakiMstafa 12 күн бұрын
Wakuu. Wa mikoa yote Tanzania wangekuwa Kama makonda nchi injekuwa raisi