Napenda sana usajili uwe mzuri si majina tunahitaji mchezaji mwenye malengo ya kuchukua makombe na ushindi wa magori
@AwaziNuru5 күн бұрын
Nimependa usajili wamsimuhu
@NeemaAwaryКүн бұрын
Naipenda saan simba
@DaudiAndrianMasaii4 күн бұрын
Naipenda Simba nguvu moja
@ManjawiraManja2 күн бұрын
Tukudalit mwakauu nimilizik na husajili uhu😊
@GodfreyAntony-gg7hw7 күн бұрын
Zisiishie tetesi tu ila viongozi fanyeni kweli. Tumeumia San sis Kama mashabiki wa msimbazi simba, kuona Tim yetu haishiliki Crab Bingwa Africa. Sio kawaida yetu Ludishen heshima ya Mnyama.
@WeymarMtembo3 күн бұрын
Naipenda simba pia wameupiga mwingi
@HalidDaniel5 күн бұрын
Tunakuw vizuri2
@user-pe5hf4kn3j6 күн бұрын
Umeangaika weeee, lakini hapa kwa. Feisall. Umezingua mwanangu, AZAM HAUZI
@FaustinPaulo-bb5id4 күн бұрын
Sajiri kwa uhangalifu mwaka huu hatuyaki mchezo
@user-pe5hf4kn3j6 күн бұрын
Mimi sisemi kitu kwa sasa, maana hata hawa kina jjobe, ilikua hivihivi😮😮😮
@GodfreyKinganda5 күн бұрын
2mewaon 2naomben waj wafany vzr 2nahitaj matokeo
@JumaEmmanuel-h6b6 күн бұрын
Daaaaaa!!!! Viongoz sajilieni uhakika kabsa tumeumia mno kipind Cha nyuma😅
@GodfreySirili6 күн бұрын
Jamn wanasimba mtatuuwa Kwa presh jamn
@AgustinosiryaКүн бұрын
Kweli tumepata mayele au bado mtuwampy bsi
@shakushakusuleiman2 күн бұрын
Mimi naitwa shakuru suleiman kutoka kigoma sisi ni washabiki wa simba tunataka vitendo sio maneno tumeumia sana misimu mitatu
@MboneaSafielyAmani4 күн бұрын
Fanyeni kweli
@SinanKawamalaКүн бұрын
Naon simba ya afadhar
@MilyaMainge5 күн бұрын
Ngoja tuoñéé c o mbali th 3
@MatgrethCostantini18 сағат бұрын
Usiilize hayakuhusu
@MajoraKosmasi8 күн бұрын
Jaman fei Toto msimuache
@LeonidaslaulianiLeonidaslaulia2 күн бұрын
Mimi siamini at mmoja aliyesajiliwa simba
@PUBLICTVonline2 күн бұрын
Utaamini tu
@StephanoBonphass5 күн бұрын
Tutajua TU ngoja tuonee
@AwesoOmary5 күн бұрын
Mie sielewe mpaka sasa simba wamemsajili nani maana kila kitu ni tetesi mara mayele hebu tuambieni simaba wamemsajili nani
@user-ux5rc1lt9v4 күн бұрын
Kabsaaa,, hata mim cielewi bad,, kuhusu huyoo mayele na feitoto anaejua anieleweshe
@SalumKhamis-jz1zb2 күн бұрын
Simba wote tayar washawasajili au
@IssaMsham-x1m6 күн бұрын
Iki ni kipindi muhimu viongozi wetu muwe makini simba ni club kubwa afrika lazima tupate wachezaji wakubwa simba nguvu moja
@MoressMwakaje7 күн бұрын
Viongozi fanyeni usajiri wa uhakika mashabiki tumeumia yatosha jaman
@EricLupia2 күн бұрын
Iyo ya mayele ni kweli?
@PUBLICTVonlineКүн бұрын
Ndio mayele bado maongezi yanaendelea
@anithawidambe754310 күн бұрын
Simba acheni tetesi hao wachezaji wachukueni
@BakarKhamis-iy8fh7 күн бұрын
Atawakichukua wachezaj je wastahil
@FaziliSadiki-rv3pr7 күн бұрын
Simba acheni maneno wachukuni hao wachezaji
@SebastianSteven-pt8kh10 күн бұрын
Viongoz wetu ijengen timu msiishie natetesi msiendelee kutuumiza mashabiki