Sma ni mtu alonifungua sana kuelewa Geopolitics, God bless Sma
@soyamBay3 күн бұрын
Kwa kweli wanaumbuka vibaya wamagharb, Ahsante kwa kutufungua ubongo maana!
@user-eo6ou4zd4d3 күн бұрын
Tupo pamoja Dj.Sma,siku hizi nimeacha kiangalia taarifa za habari. Habari zenu ni uhakika,hongera sana.
@appolonation3 күн бұрын
Dj Sma nakukubali sana kbs!!! Nakusikiliza kutoka Rwanda Kigali 🙌
@FrancisDonald-go9cs3 күн бұрын
Kigali wapi uko mbinde ndani ndani
@omarymwaluko97652 күн бұрын
@@FrancisDonald-go9csunaumia ww choko
@bahatihamissi1161Күн бұрын
From Mwanza nawakubali sana
@BushashaSwitch3 күн бұрын
Asante sana 💥🥰🇧🇮🇧🇮 ndakwemera cane 💥 BURUNDI 🇧🇮 tunakupenda sana
@mndambokilavo25023 күн бұрын
Hizi zama ukweli hata uufiche vip utajitokeza tu
@sadikiswidik3 күн бұрын
Nakukumbali 100%
@davidndaha96073 күн бұрын
Mimi niko USA 🇺🇸 ila kuna city na state zimechakaa hapa huwezi jua kama ni USA
@ilovejesus93033 күн бұрын
True
@KS-iw7qv3 күн бұрын
True 👍
@saidibuja50503 күн бұрын
Nakufata sana kutoka DRC🇨🇩 kam sijapata abari kutoka kwako huwa najiisi vibaya sana
@mackjr52912 күн бұрын
Habari, maisha ya congo yakoje ndugu?, uko congo sehemu gani?
@graceKisomopepe3 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤natoka Congo mimi nakukubali sana ndugu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@hemedmwipopo7803 күн бұрын
Korea Kaskazini siyo masikini kama tunavyo aminishwa ila ni propaganda tu za magharibi
@josephwilliam58132 күн бұрын
Ni kweli Ile ni NCHI ya kijamaa uchumi unamilikiwa na serikali na sio wananchi
@AliNassor-qt6fm3 күн бұрын
Dj smaa nakukubali sana uchambuzi wako
@JumaAyo-qp3fm3 күн бұрын
upo poa ,👍kutoka pemba
@catprettyworld3 күн бұрын
Swala langu la ICON DJ SMA , appreciate sana kazi yako🎉
@nsabimanaabedi5413 күн бұрын
In'chi inavikwazo tena inamahendeleo kuzindi in'chi zetu ambazo hazina vikwazo
@zanzibarsmzenji2 күн бұрын
Sisi kazi ni siasa tu
@user-nd5uf6lw4g3 күн бұрын
Hiyo mijengo ni moto sana ❤🎉🎉 cjui MAGHARIBI na media zao wameona hii
@godwinmandary51163 күн бұрын
Magharibi wameipotosha Dunia kwa mda mrefu
@Zainab_salat3 күн бұрын
@@godwinmandary5116kweli wanasemaga Waafrika ni maskini
@goodluckmsoka36603 күн бұрын
Tujishughulishe na maisha yetu tunapoteza muda kujadili magharibi hakuna aliyekuambiaufatilie media zao
@omarymwaluko97652 күн бұрын
Maghreb media za mashoga
@Rey_D6692 күн бұрын
@@goodluckmsoka3660 😂😂
@piusrweyemamu39003 күн бұрын
Mbona hata hizo picha wanazoonesha wa magharibi sio mbaya sana zinaonyesha kuna nafuu kuliko huku kwetu!
@user-cw8zn2dn6m3 күн бұрын
Safi sana ndugu!! Haydom Manyara hapa. Team Russia!! Pamoja sana rafiki.
@Yayouselim3 күн бұрын
Kama hawana chakula Sasa wanapata nguvu ya kujenga kutoka wapi😂😂
@TrinaRoman3453 күн бұрын
Dj smaa hawa vichwa vigumu tuachie sie wana fuse tutawapa ngumu kumeza..😂😂😂 tutawapeleka BBCpropaganda bila nauli 🤗 🫢
@mansooranam8312 күн бұрын
SNS ni wazungumza ukweli yaani facts and logics mungu awasimamie, amiin!!
@Hillary_Daudi_Mrema3 күн бұрын
Hongera kwa kazi nzuri Dj Smaa. Team Russia, China, North Korea, Iran tukiongozwa na Vladimir Emirovic Putin lengo ni kuwaondoa Mabepari Barani Afrika kupitia Viongozi Vibaraka.
@surusuru19943 күн бұрын
Ila mee toka niazekujua manaya siasa sijawahi kuiugamkon ulaya yote kabis ❤
@RashidRajab-oz5ec3 күн бұрын
Ruto kazi anayo
@salehkhalfan73453 күн бұрын
Kutoka Zanzibar
@sleifikhajjir2623 күн бұрын
Pamoja sana 🎉❤
@SM-fu1yv3 күн бұрын
Duh naomba nchi zetu za Africa japo moja kuwa kama hivi
@user-il6my8sp3iСағат бұрын
Asante sma kwa kuzid kutup madini ambayo huyapt popote
@kyangwesignermohamed78673 күн бұрын
Dj Smaa mimi nimshabiki wako ninakufatilia kutoka Switzerland🇨🇭
@dengepandu97343 күн бұрын
Kutoka Zenj ddj smaa tunakuelewa vyema
@Linsha1993-hw9kl22 сағат бұрын
Nakupata vizuri kutoka mansa ZAMBIA
@ABDULShq-wv6stКүн бұрын
Upo vizuri kijana good job 👍
@Expl0rer.22 сағат бұрын
Asante bro 👍
@franksiame84413 күн бұрын
Makonda anaweza rahisi tu kwake
@goodluckmsoka36603 күн бұрын
Jadili na matatizo yetu nn kifanyike kupata maendeleo sio kila siku kujadili nch za watu wakati nch Yako huvhambui na vp kuhusu mgogoro wa karikao
@sharifahabsi50043 күн бұрын
Pamoja kaka frome Oman 🇴🇲 Al amraty
@Supremoji23 күн бұрын
Nchi pekee yenye mafanikio bila IMF na WB
@niffonlinetz72143 күн бұрын
MWANETU DJ SMA THE GENIUS MAN
@niyibigiratimothy54483 күн бұрын
Nakufuata kutoka Cape Town city center CBD, Cape Town 🇿🇦 ila mimi ni mwananchi wa Burundi 🇧🇮 Bujumbura.
@mtushindirena29812 күн бұрын
Aise hakika unajua from 🇨🇦🇨🇦
@FadhiliAlly-fy2tx3 күн бұрын
Dj sma ningekuwa na pesa ya kuwapeleka Korea oya nyote mngeenda mukaimbia ukweli dunia mungu awabaliki sana
@user-lv4cx1sc5d3 күн бұрын
Njaa hata marekani wanayo mbona Wana kuja afrika kuchukua chakula
@KS-iw7qv3 күн бұрын
Tumekuelewa 💯
@talents79343 күн бұрын
Uzalendo na kauli moja Ndio imewafikisha hapo walipo😢
@khalfanmlala50932 күн бұрын
From kigoma Asante tunakupata vzr
@AziziSelemani-t9x2 күн бұрын
Naskuliza kutoka chuga nakukubali sana mwamba
@jongosalehe10363 күн бұрын
Congratulations sana DJ Smaa na Hao maraisi Putin na Kim
@ahmedshariffu21083 күн бұрын
Awa jamaa ni kinyume na tunaviamishwa na mgarbi awa jamaa wapo na maendeleo wanalngana na baadhi ya inchi za maga4bi
@JohnCage-we6tp3 күн бұрын
Kenya allies 😅😅😅😅😅Alf watu wanakuja North Korea maskin ety wanasem Nigeria ni Tajiri kuliko North Korea haya Walete hat Mji wenye kufanan na huuu
@brownshirima59248 сағат бұрын
Sma. Hakika nakuambiah leo north ni watu brave sana. Na wanachokisema BBC n uwongo mtupu jua kuwa mwanamke awez msifia mke mwenzake bhnan. Ila big up una open sana mind za watu hakika
@kassimbayuu52173 күн бұрын
Kazi nzuri big blaza
@user-dg8zi5gb1m3 күн бұрын
Kwa majengo gani sasa ayo sikama ya NSSF tu
@rogatimushi6893 күн бұрын
Leo nakupata Thailand umetisha sana
@user-kz1jb2nc9t3 күн бұрын
Very nice😊
@SalimKombo-xo4pqКүн бұрын
Thanks mr.dj sma
@SalimKombo-xo4pqКүн бұрын
Mashallaah ni mzuri sana
@valentiniradukunda3 күн бұрын
From burundi kk❤❤❤
@HorebuKasuku-zz8cj3 күн бұрын
Ukitaka kuwaelewa marekani vizuri ishi nao propsgsnda ndo chakula chao😂
@bakarussi54283 күн бұрын
Hawa jamaa barabara zao nimezikubali sana kwanza ni safi sana
@kenochieng309820 сағат бұрын
Dj sma wewe utaki mumerika kweli kweli amerika ako kwa power kwa ajili ya mungu
@davismuzahula9073 күн бұрын
Nchi zenye watu walio serious na maisha
@dominic47273 күн бұрын
Mti unao pigwa mawe ndio wenye matunda
@Brunotarimo102 күн бұрын
Dj sma mtu Wa fact 👏
@mlelwatv58313 күн бұрын
Wa kwànza nipeni likes 😂
@davidwalalason76303 күн бұрын
Damn it, North korea is fuccin beautiful
@user-vi7ly9zh1q3 күн бұрын
Yani wamagharib niwaongo sana
@user-ii6gs2jg4g3 күн бұрын
Magharibi ni wa hovyo sana
@kingmtetezi66703 күн бұрын
Nakufata vizuri kabisa nikiwa Mwanza Tz
@BeatriceBeat-hk5cyКүн бұрын
Yaani wako vizuri kuliko nchi ambazo hazina vikwazo
@mtulivu-ir1nq3 күн бұрын
Africa tu ndio tupo nyuma ila nchi nyingi za Asia zimeendelea na licha ya vikwazo vyote Korea kaskazini sio masikini
@thelonewolf44293 күн бұрын
Moja kati ya sera za mashoga (west) nikuuhadaha ulimwengu yaani uwongo kila maali
@selemancokker49943 күн бұрын
Dj smaa ubalikiwe
@hamzaally80383 күн бұрын
Kaka upo vizur mwamba kwauchambuzi
@19ddr2 күн бұрын
Sma kama Richard medhust
@SerwaLeina3 күн бұрын
Kweli mzungu mshenzi Korea wapo mbali sana
@user-yh6nz6ri2m2 күн бұрын
No economic restriction
@SM-fu1yv3 күн бұрын
Mimi binafsi habari za bbc france 24 huwa sitizami kabisa naonaga ni propaganda
@DANIELWILLIAM-jo5bw3 күн бұрын
tuko live sma
@safitechnologies20003 күн бұрын
Lakini sisi tuna demokrasia😅😅
@jumaciza4613 күн бұрын
Pesa za magharibi ndio zimejenga iyo mijengo.
@philemonmagesa55483 күн бұрын
Namm nAamini hvyo
@mwlpierre3 күн бұрын
Lakini anatumia magari kama Benz(Germany) pia naiona Land Cruiser V8(Japan) ni sawa uchumi wake anategemea zaidi malighafi za madini kama Congo ambazo anauza kwa nchi kama China na ulaya lakini ingekuwa na maana zaidi kama angeuza bidhaa za viwandani ingetoa tafsiri kubwa ya uchumi kama kiwango cha ukosefu wa Ajira
@malkavoice25703 күн бұрын
Dah!
@user-oh6pc7zd4s3 күн бұрын
We love uuu N Korea
@ndiiyolazaro11253 күн бұрын
Nipo bagamoyo
@user-vt6du7ll8l3 күн бұрын
Napenda sauti yako
@Kagineemmanuel3 күн бұрын
Unapendaje sauti ya mwanaume mwenzako
@user-vt6du7ll8l3 күн бұрын
@@Kagineemmanuel una nyege wewe
@user-oh6pc7zd4s3 күн бұрын
Keep it up
@mtzhalisi22323 күн бұрын
Kutoka dodoma kaka
@DoctorBondia22 сағат бұрын
Kiufupi jamaa wapo vizuri sana Tanzania bamoja na kuwa hatujawekewa vikwazo lakini Korea iko mbali sana kiubora kuliko sisi (Tz) 😅😂 Hongera kwa Wakoroea wote. Wazungu wamejaa Propaganda😅😅
@milindiibrahim82853 күн бұрын
Dj sma habari za geopolitics Drc-rwanda please
@ramauo44102 күн бұрын
wanatuletea abali za Nyerere kitambo hicho ana tuambia kaota kumbe kaagalia kwenye tv
@user-sr8tc8ke6q3 күн бұрын
Daah kama bongo KUBABAKE 😂😂
@STEVEN-f6g3 күн бұрын
Dunia imebeba mengi...
@technicalgearboxenginebysc13603 күн бұрын
Ngozi nyeusi tuna laana wizi ndio tunajua
@MasomeAbell-cr1um3 күн бұрын
Halloo kweli
@josephjulio61123 күн бұрын
Nimependa viji vyao
@abdaboking1463Күн бұрын
Mbona kwenye Group tukiingia hatuoni uptodat
@saidabou63423 күн бұрын
Du tunadanganjwa sana na hawa wahuni wa magharibi
@HamzaMbasha-xs2ky2 күн бұрын
Wanavikwazo hila mji wao ni mizuri kushinda nchi nyingi vibaraka..
@wesakawesaka351617 сағат бұрын
Ata dar haifiki hapo
@furahamwaseba79102 күн бұрын
Bora nasisi tuwekewe vkwazo labda ndo tutapata akili ya kujinasua kamavmataifa yalio wekewa vkwazo ndo wanamaendeleo kuliko cc
@omariddi2 күн бұрын
❤
@mozeekamana3 күн бұрын
🙌🙌
@salumkasongo75072 күн бұрын
Russia sanction zote hizoooo 😅😅😅
@jumamnumbwa9483Күн бұрын
Nchibza kijamaa hazina hali mbaya ya maisha ,ni uongo
@jumaciza4613 күн бұрын
Wakati putin anatembelea Urusi nilivyo ona Nika comment kwenye sky news. Wanavyo ponda north korera Eti hakuna maendeleo nimepata majibu zaidi ya 100 😂😂😂