Рет қаралды 58,689
Kuotesha na Kuvuna Hydroponics Fodder/ Hydroponics Fodder in Tanzania
Hydroponics fodder ni teknolojia ya kuotesha maji bila kutumia udongo ili kupunguza gharama za chakula cha mifugo mfano kuku, ng'ombe na nguruwe.
hydroponics fodder Inaweza kukupunguzia gharama za chakula kwa 50% na kama tunavyo jua kwenye ufugaji hasa Kuku chakula kinabeba hadi asilimia 85 ya gharama zote za uendeshaji wa kuku.