TAHARUKI ; VIJANA 2 WACHOMWA MOTO NA PIKPIKI YAO KWA KUIBA SIMU KALOLENI ARUSHA

  Рет қаралды 512,515

KUSAGA TV

KUSAGA TV

27 күн бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZfaq : www.youtube.com/@kusagatv6320...
Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...

Пікірлер: 779
@harrymakongwa1147
@harrymakongwa1147 20 күн бұрын
Ingekuwa hivi na kwa mashoga ingekuwa poa sana
@brightonchedego8100
@brightonchedego8100 24 күн бұрын
Daah!hata kama ni wizi wa kiasi gani lakini siyo kwa kumchoma moto mtu mwenye nafsi kama yako na nyama kama yako. Hebu tuwe tunasoma maandiko ya neno la Mungu au kufika ibadani kanisani au msikitini😢😢😢
@roseyohana3500
@roseyohana3500 21 күн бұрын
hakuna mtu anataka kuhukumu iau kushabikia ila watu wanamaumivu mwizi akiingia ndani mwako anaweza akakwambia lala na mwanao na watu wengi wamishapitia maumivu hayo wote tuliopitia maumivu hayo tunajua hata kama niwazazi ukiwapele kk a polisi kama wameeda kozi wakirudi ndio kwanza wanazidi ndio maana watu wanachukua Shelia mkononi
@rizikisam6481
@rizikisam6481 23 күн бұрын
Umenikumbusha kifo cha baba mdogo wangu walimpiga nyundo siku wameshikwa wanachomwa moto ndo wakasema wao ndo wamemuua 😢😢😢 tokea 2010 nlikuwa mdogo ila sitasahau kamwe
@zurita3411
@zurita3411 11 күн бұрын
🤡
@ZaharaImole
@ZaharaImole 9 күн бұрын
Why did they burn him for
@KhubaybuMuhammad
@KhubaybuMuhammad 21 күн бұрын
Mwizi kuchomwa moto sio jambo jema, kwa mujibu wa sheria za dini wala katiba ya nchi, wanaowachoma moto wezi watambue wanamkosea Mungu na ni kosa kwa sheria ya nchi. _Allah atuwafiqishe na atuepushie mabaya_.
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 18 күн бұрын
Lakini dini inasema kisasi ni haki.Haijalishi kinalipwa vipi.Mwizi akiiba ukimkamata unaua tu,ukimchelewesha anakuua wewe.
@user-uc1pd1tc2x
@user-uc1pd1tc2x 17 күн бұрын
So what did bible said about thieves?
@ZaharaImole
@ZaharaImole 9 күн бұрын
Some people are not really thevies they just be lying on people
@karimambosanga4290
@karimambosanga4290 24 күн бұрын
Binti yangu aliporwa kwa simu kwa njia hii lkn kuuwa mtu haifai
@winfredngaeje6969
@winfredngaeje6969 21 күн бұрын
Huyo Fei toto anafanya nn hapo muda wa mazoez saiv😂😂😂 Kam umemuona Fei kulia GONGA like
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 20 күн бұрын
😂😂😂
@johnbernad3990
@johnbernad3990 19 күн бұрын
😂😂 6:12
@anordlaurent8751
@anordlaurent8751 18 күн бұрын
😅😅😅😅
@user-mk4sd9qo8s
@user-mk4sd9qo8s 13 күн бұрын
Jmn kwa kwel anafanana nae😂
@MaryamRashid-zd6gl
@MaryamRashid-zd6gl 23 күн бұрын
Naomba na wanaolawiti na kubaka watoto pia watieni moto pia
@EstherYoram
@EstherYoram 24 күн бұрын
Co nzuri sheria zipo
@raajtz8073
@raajtz8073 14 күн бұрын
Wew ushawahi kuibiwa au kujeruhiwa na mwizi???
@MasouHusein
@MasouHusein 25 күн бұрын
Subhannallah kumbukeni hukumu ya Allah wala hamjafanya vizuri
@simonlukiko2850
@simonlukiko2850 25 күн бұрын
Wewe UJAWAI kutwa na hao jamaa ukizingua wana kugeuza bucha
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d 24 күн бұрын
Hayajakukuta
@upendosteven6733
@upendosteven6733 24 күн бұрын
Wewe ni mwizi nawewe Nini 😅 pole
@simondangote3245
@simondangote3245 24 күн бұрын
Allah yup wakat hao wanarudisha maisha nyuma
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 24 күн бұрын
@@MasouHusein Usiombe wakuweke kati utajuta
@ElibarikiRaphael
@ElibarikiRaphael 23 күн бұрын
Hili swala sio picha nzuri
@JohnChedego
@JohnChedego 20 күн бұрын
siyo picha nzuri wakati wao wanaua watu nawawaibia pia pumbafu zao niwa kaangwe kabisa ngoja siku uibiwe ndo utaona umuhimu wa kuwachoma na kuwakaangaa.
@CatherineMwakibinga-gi1kp
@CatherineMwakibinga-gi1kp 20 күн бұрын
Hamjui TU Arusha wanavyotusumbua hawa wezi jmn
@fredrickomondi9307
@fredrickomondi9307 19 күн бұрын
Wewe haujaibiwa ndio mana unaongea hivo
@user-ph9gs2lx3m
@user-ph9gs2lx3m 4 күн бұрын
Je crois vraiment que l'Afrique est un continent maudit
@isaiahisaac7240
@isaiahisaac7240 9 күн бұрын
Mm wachomwee au wachinjwee kama kuku ndio furaha yangu ..kazi iendeleee
@antonyiyona5937
@antonyiyona5937 21 күн бұрын
Duh watanzania mmefikia hapo nawengine mnaingia kanisani na misikitini duh kweli hii si haki😢😢😢
@kilelechaimani.8956
@kilelechaimani.8956 21 күн бұрын
Ipo siku Kila mtu atalipa sawa sawa na ujira wake
@sophiemsuya6507
@sophiemsuya6507 25 күн бұрын
Jamani! jamani! Hebu tuache kuchukua hukumu mikononi. Hebu fikiria huyo ni mwanao! Tuwakamate na kuwaadhibu sio kuua. Kama wizi tuwaue wale wanaotuibia mabilioni jamani.Mungu uturehemu
@user-ey5mv1yz3s
@user-ey5mv1yz3s 25 күн бұрын
Hayajakukuta pole maana Mimi mwizi siwezi mtetea mwizi akikukamata anakuua wewe kabla ya wewe kumuwahi elewa hili
@dallasmusic6465
@dallasmusic6465 25 күн бұрын
Hawajakuzuru
@pendo8082
@pendo8082 25 күн бұрын
​@@user-ey5mv1yz3skabisa
@exodusKaitira
@exodusKaitira 25 күн бұрын
Kawaulize wanao vamiwa na kukatwakatwa na hawa wezi.. yani mi nasapiti wangechinjwa kwanza ndo wachomwe@sophiemsuya6507
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d 24 күн бұрын
We hujui kitu kaa kimya
@GdFf-ik2eo
@GdFf-ik2eo 23 күн бұрын
Yaani rabb tunusuru na vizazi vyetu wafuate amri yako ya rabb
@umumuhammad8741
@umumuhammad8741 22 күн бұрын
Aamiyn Aamiyn Aamiyn
@KhubaybuMuhammad
@KhubaybuMuhammad 21 күн бұрын
Allāhumma amiin 🤲
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 25 күн бұрын
WEWE DADA WAMEJARIBU LAKINI AWAJAIBA HAYO MAKOSA
@SharaunFrancis-dj1tw
@SharaunFrancis-dj1tw 24 күн бұрын
Kila mwanamke anae sapoti kitondo hicho, kwanza anatakiwa ambukuke kua anatumbo la uzazi hawezi jua aliyo wazaa/atazaa nani,Maana huyu MUNGU waajabu sana
@Namtumbo
@Namtumbo 24 күн бұрын
Acha tu simu gharama ngano,Mungu wangu angempa adhabu nyingine
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 23 күн бұрын
Nimemshangaa huyo mwanamke mwenzangu.😰
@user-kn8pw7vk4e
@user-kn8pw7vk4e 23 күн бұрын
Nikuulize swali..?? unampenda mwizi...?
@SharaunFrancis-dj1tw
@SharaunFrancis-dj1tw 22 күн бұрын
@@user-kn8pw7vk4e hakuna anaependa kuzaa kibaya kila mwanamke anapenda kuwa na kizazi chema
@user-bi9pn1pm8z
@user-bi9pn1pm8z 22 күн бұрын
​@@user-kn8pw7vk4ekama wewe ni mzazi huwezi kujua kesho ya watoto tena inaonekana watu wahiyo mji hawana imani
@MariamCalyx-ju7jv
@MariamCalyx-ju7jv 24 күн бұрын
Tufunge sana na kumuomba MUNGU hii dunia inakoelekea ni pabaya sana😢😢 "Ee Mwenyezi MUNGU nakuomba uniepushie katika kizazi changu na cha dada zangu na wadogo zangu isikubwe na roho za uwizi na nyingine mbaya zikae mbali nasi katika jina la yesu kristo Amen😔🙏🏾
@JosephineMhando
@JosephineMhando 22 күн бұрын
Ameen
@Thebaddie419
@Thebaddie419 21 күн бұрын
Tabia ya kuiba inataka tunawachoma sio kufunga 😅Wewe kwani unachakula
@zalampy1680
@zalampy1680 19 күн бұрын
Amen
@zalampy1680
@zalampy1680 19 күн бұрын
​@Thekumbuka hujui ksho yakobaddie419
@user-rh5iy3ei3g
@user-rh5iy3ei3g 25 күн бұрын
Yaraby tunusuru na ndugu na family zetu 😢😢waepushe wadg zangu na tamaa za dunia yasijewakuta haya
@geitandelwa299
@geitandelwa299 24 күн бұрын
Tumuombe SANA MUNGU ATUSAIDIE MAANA shetani yupo kutesq watu dhambi yoyote ni mbaya ni shida tumuludie MUNGU TU
@khumayraabdulla96
@khumayraabdulla96 25 күн бұрын
Subhanallah hamjamaliza safari nanyie 😢
@surusuru1994
@surusuru1994 25 күн бұрын
Wezi baya fanya kaz
@user-tm5ls1ml6d
@user-tm5ls1ml6d 25 күн бұрын
Jaman sio haki kwakweli mwachukua sheria mkononi msiwapige wapeleke polisi walipe tu so vzr
@christaoman8890
@christaoman8890 25 күн бұрын
Acha wachomwe moto kwani wakipelekwa police wanaachiwa safi sana
@morjanoman5181
@morjanoman5181 25 күн бұрын
Wewe. Ujawaikuibiwa sio nyokosana wewe. Acha wachomwemoto pumbavuzako au bwanako
@naomikisaba5785
@naomikisaba5785 25 күн бұрын
Hujawahi ibiwa ndio maana huwez jua maumiv
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 25 күн бұрын
Unaongea tu sio haki kwakua hujakaa arusha nahujakutana naonusiku wanaeza kukuua wewe hao
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 23 күн бұрын
Wewe mama wewe unazaa wewe haya maneno unayoyazungumza tema mate chini mdada una roho ngumu hivo unashinikiza Kabisa wachomwe moto je kama Ni mtoto wako sikia hivo hivo asije akawa mtoto wako siku moja
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 25 күн бұрын
Wachomwe kabisa hao vibaka walimkaba brother angu wakamkata kichwani hajapona hadi Leo 😢
@elizabethclement1017
@elizabethclement1017 24 күн бұрын
Pole dear
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 24 күн бұрын
@@elizabethclement1017 Asante mpenzi
@ROCKWITCER
@ROCKWITCER 23 күн бұрын
ni hao
@teddyshija3839
@teddyshija3839 22 күн бұрын
Hao ni wezi hata waret zao zimeonekana zina nyembe ni za nini heri wafe tu
@osevekimberly2688
@osevekimberly2688 21 күн бұрын
They should introduce this in south Africa so that they'll learn a lesson
@user-hm9ir7yz4z
@user-hm9ir7yz4z 24 күн бұрын
Aisee kama wameiba kweli, kuchomwa ni haki yao ila kama hawajaiba. Ni mbaya sana kumdhuru asie na kosa. Tatizo wezi huweza kuharibu maisha ya raia mwema kuanzia mtegemewa mpaka wategemezi. Wezi ni wabaya sana katika jamii...
@samuelmanunu1543
@samuelmanunu1543 20 күн бұрын
Dah, popote pale anapothibitika mwizi kwakweli auwawe TU, afe! Sina hamu nao
@user-uc1pd1tc2x
@user-uc1pd1tc2x 17 күн бұрын
​@@samuelmanunu1543Great
@user-uc1pd1tc2x
@user-uc1pd1tc2x 17 күн бұрын
True❤❤
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 25 күн бұрын
AYO MAUAJI UWEZI UKAMCHOMA BINADAMU MWENZIO
@officialEly-i7s
@officialEly-i7s 21 күн бұрын
ivi wewe hujawahi kuibiwa kumbe
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 21 күн бұрын
@@officialEly-i7s Vitu vinapatikana lakini roho uwezi kuipata hikitoka
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 24 күн бұрын
La haula walakuwata ila billah hasbunallah waneemal wakel
@user-ui5xc6sb5m
@user-ui5xc6sb5m 25 күн бұрын
Daah asani nyambulet Kaisha
@yasintajoseph7495
@yasintajoseph7495 25 күн бұрын
Kwani Ni mwizi kweli?
@Umu-khansaa.
@Umu-khansaa. 23 күн бұрын
Alimpigaga mume wangu ngumi ya mdomo akatema jino Hadi Leo anapengo alifungwa miezi sita Ila faini mume wangu alimsamehe na alivyoambiwa kafariki ameishia kusema tu "hapa duniani usimtendee mwenzao ubaya."
@Umu-khansaa.
@Umu-khansaa. 23 күн бұрын
Alimpigaga mume wangu ngumi ya mdomo akatema jino Hadi Leo anapengo alifungwa miezi sita Ila faini mume wangu alimsamehe na alivyoambiwa kafariki ameishia kusema tu "hapa duniani usimtendee mwenzao ubaya."
@bahatikengese744
@bahatikengese744 19 күн бұрын
Bora hawa wezi kaz nzuri kulio mashoga
@MohamedyOmary-cv6gk
@MohamedyOmary-cv6gk 25 күн бұрын
Jamani vijana wamrudie Mungu
@SaruniChristophersabaya
@SaruniChristophersabaya 24 күн бұрын
Very nice
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 25 күн бұрын
Ila tuendako kwa hali ilivyo usalama utakuwa mdogo sana sababu nchi haijaweka mazingira mazuri ya watu kujitafutia. Watu wengi wanatelekeza familia hivyo tunazalisha kizazi cha hatari na ndoa nyingi zinaporomoka
@DavidMwaipopo
@DavidMwaipopo 21 күн бұрын
Hii so sawa kabisa
@ruphersonkiirii9254
@ruphersonkiirii9254 6 күн бұрын
People need to change thinking backwards.
@shukurually8769
@shukurually8769 25 күн бұрын
Hii iamie dar kwakweli nimeipenda acha wachomwemoto
@kassimmambo2279
@kassimmambo2279 25 күн бұрын
Dah mtihani
@clementinefaida2257
@clementinefaida2257 22 күн бұрын
Mukowalozi sana
@Mpakauseme
@Mpakauseme 21 күн бұрын
Inasikitisha sana , Africa kweli moto, mtu mweusi ni kiumbe hatari sana kialisi ni watu wenye nguvu kimwili vichwani kweupe na wenye ugonjwa wakuwashwa hasira , Mungu haniepushe kuishi katika Africa
@user-nr8tn4ew3t
@user-nr8tn4ew3t 5 күн бұрын
Kama ni wizi jamani mge wapeleka polisi sio kuwaunguza ila Alie waunguza mungu anamuona iposiku iyo damu ailiyo itokomeza itamlilia atokaa afanyikiwe leo kwako kesho kwako wataunguzwa na watoto wenu usitoe ukumu jamani msinge waunguza mungu awalahani
@irenemlay9769
@irenemlay9769 25 күн бұрын
Mungu wangu
@Godelivanana
@Godelivanana 24 күн бұрын
Kisa sim tuu jamani mbona wakatili hivyo jamani akuna asiye na thambi 😢
@magerorobert4098
@magerorobert4098 14 күн бұрын
Hi from Kenya here How are you
@danielhassan392
@danielhassan392 22 күн бұрын
Very very good
@Teddyzhukenya01
@Teddyzhukenya01 22 күн бұрын
😭😭😭 Inaumiza Sana Aiseeeh Kuchoma Mtuu Jaama
@hyacintagugu7
@hyacintagugu7 21 күн бұрын
Yaani...wasingewachoma.kila mtu ana dhambi
@monicaisuja8917
@monicaisuja8917 25 күн бұрын
Jamani vijana fanyeni Kazi ,achane kuwachoma moto.nidhambi
@TonnySimiyu-pr5yw
@TonnySimiyu-pr5yw 22 күн бұрын
Nani kawatuma waibie watu?...
@chuchemugob944
@chuchemugob944 21 күн бұрын
Dah! Aised
@paulmaganga9700
@paulmaganga9700 24 күн бұрын
Hii sio sawa
@dailyviral96
@dailyviral96 8 күн бұрын
apakah tidak ada hukum yang berlaku di sana hingga menghakimi sesama manusia?
@dailyviral96
@dailyviral96 8 күн бұрын
saya lihat ini sesuatu yang tidak manusiawi
@festohaule9716
@festohaule9716 24 күн бұрын
Akina Mama poleni sana...Akina Mama raundi hii Mmezaa!!!!!
@aishakimaro2795
@aishakimaro2795 24 күн бұрын
Moto ni wa allah tu jaman hiyo co hukumu ipaswayo kwa mwizi wallah mwogopeni mungu japo wezi wanakera sana na wanaumiza mno ila hii hapana
@GdFf-ik2eo
@GdFf-ik2eo 23 күн бұрын
Subhaana llah mnajichukulia hukumu allahu Kumbukeni na nyie pia mtalipwa
@eddyderrickmail66
@eddyderrickmail66 22 күн бұрын
Nikweli wizi wanarejesha nyuma ila tusiwauwe Tena kwa kuwachoma moto mungu kakataza ata sisimizi ucmuazbu kwa moto mwenye haki ya kumchoma moto kiumbe ni yeye peke yke adha wa jallah kwaiyo tuacheni hayo mambo vyombo vya Sheria vpo
@user-uf7oh5eu4v
@user-uf7oh5eu4v 21 күн бұрын
So sad😢
@Naju645
@Naju645 24 күн бұрын
Dah😢mm nilishawah kuibiwa nawiz vitu ndan Ila wanarudisha watu nyuma Sana
@ipepeetube449
@ipepeetube449 24 күн бұрын
Jamani mkiwakamata wafunge jela mbona sisi polisi waliua ndugu yangu hatukuwa homa acheni uzamani
@JudithKimaro-fw6dd
@JudithKimaro-fw6dd 23 күн бұрын
Duuuh kuna wat wana roho ngum aisee na wengine wamama hapo wana watoti
@lilianakeya9868
@lilianakeya9868 19 күн бұрын
So sad no one is perfect 😔😔😭😭
@FaisalBaluchi
@FaisalBaluchi 25 күн бұрын
Daaaah mungu atusaidie tu na vijana wetu
@evalynewanjiru9685
@evalynewanjiru9685 10 күн бұрын
😢😢Jesus. I don't support stealing but really. ooh my God
@ZaharaImole
@ZaharaImole 9 күн бұрын
Sometimes people don't even steal they just lie on people he look like a police man
@user-il8wx3eq8i
@user-il8wx3eq8i 25 күн бұрын
Ila dah 😢
@josephlorri431
@josephlorri431 25 күн бұрын
Nimeogopa mimi... kuna wezi wamevaa suti,wanatembelea vx na kulindwa na askari wetu..rejea ripoti ya CAG.. mbuga,bandari,migodi,mashamba zimeondoka
@puritymwaka5036
@puritymwaka5036 25 күн бұрын
Sawa dada achomwe moto ....je ingekuwa n mtoto wako ......vitu vingne amuen lakn mfikirie kwanza hamjafanya poaaaaaaaaaa😢😢
@gloriajoseph9098
@gloriajoseph9098 24 күн бұрын
ila nyie lliioshuudia pia mna moto wenu jmn,,, this is not right , yaan dhambi mliochoma na kushuudia alooo tubuni😢
@johnadera3247
@johnadera3247 22 күн бұрын
Hongera piga hao wezi wakufe
@RoseMwaksese
@RoseMwaksese 20 күн бұрын
Sio nzuri sheria zipo
@happinessmadaraka3127
@happinessmadaraka3127 21 күн бұрын
Alaf mmama mwenye kizazi na unawatoto unashabikia wauwawe we mama una watoto kumbuka na hujajua hatima yao😢
@mrrockboy9508
@mrrockboy9508 24 күн бұрын
Apa Chuga pamezidi
@oswardmsigwa5728
@oswardmsigwa5728 25 күн бұрын
Mngekuwa mnahasira kali kwel mngekuwa mnawachoma na mafida wanaoiba mabilion ya pesa
@SaidiMbawa-st6bj
@SaidiMbawa-st6bj 14 күн бұрын
Good job
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 23 күн бұрын
Kama hujawahi kukwapuliwa utawahurumia ila kama yakikukuta utaona wamestahili mavuno hayo.
@user-vf8mw6eu9w
@user-vf8mw6eu9w 16 күн бұрын
Safi sana wezi wana ludisha nyuma maendeleo
@AdamSabugo-t2p
@AdamSabugo-t2p 22 күн бұрын
Mwenyez mungu hawasamee wote mliotenda ivyo
@ghhyhh7591
@ghhyhh7591 21 күн бұрын
Dah imani hatuna nyoyon yarrab kwann waja wako wanaingilia kaz yako ya allah😢😢unatoa roho ya mwenzio kikatili
@AliamryBakar
@AliamryBakar 24 күн бұрын
Inalilah
@noahchepe8036
@noahchepe8036 22 күн бұрын
Waliochukua sheria mkononi wachukuliwe hatua. Magereza na police vipo kwa ajili ya kujenga maadili kwa waovu kama hao wezi walitakiwa kufungwa na sio kuuliwa
@verobecamfipa8655
@verobecamfipa8655 22 күн бұрын
Hujawahi kuibiwa wewe kaaa kimya
@noahchepe8036
@noahchepe8036 22 күн бұрын
@@verobecamfipa8655 nimewai ibiwa sana vitu.. ikiwemo simu. ila mauaji kama hayo ni ya kukuemea sio kuchekelea! waovu wakirekebishwa wanakua wema!
@JohnChedego
@JohnChedego 20 күн бұрын
@@noahchepe8036 jela watatoka ila kuwakaanga ndo fundisho kwa wengine wataogopa kidg sababu watajua wakishikwa tu watafanywa ndafu
@jeffrymutisomwololo7075
@jeffrymutisomwololo7075 19 күн бұрын
Wakati wao wanaiba na kuuwa watu hakuna shida sivyo
@noahchepe8036
@noahchepe8036 19 күн бұрын
@@jeffrymutisomwololo7075 😂😂
@upendodanielchidaka44
@upendodanielchidaka44 25 күн бұрын
Wapi hiyo jaaaaaaaaaaan
@asinahussein2176
@asinahussein2176 25 күн бұрын
Arusha hiyo
@devisshirima6780
@devisshirima6780 25 күн бұрын
Mungu aturehemu sana, 😢😢 tumekuwa wepesi sana kuhukumu !! Haijalishi mtu kakosea namna gani kuua ni dhambi. Hakika Mungu atuondolee laana hii
@EdenMcharo
@EdenMcharo 25 күн бұрын
Kazi,zipo nyingi za kufanya
@cristinajeremiah2450
@cristinajeremiah2450 25 күн бұрын
Mungu turehemu sisi na uzao wetu
@Naju645
@Naju645 24 күн бұрын
Jaman jaman vijana waaache wizi 😢wanarudisha watu nyuma Sana sasa hao niwale waliowah kuibiwa hasira Sana Napo inauma
@nduwimanahafsa4611
@nduwimanahafsa4611 24 күн бұрын
😢😢😢😢😢 mingingewalipiaa iyoo siim wallah je kayako akicomwaa😢😢😢
@officialEly-i7s
@officialEly-i7s 21 күн бұрын
wewe s unaongea tu hujawah kuibiwa
@johnallen680
@johnallen680 23 күн бұрын
So sad jamani inatisha kuangalia
@chidrashid3797
@chidrashid3797 25 күн бұрын
Dawa yao hiyo
@championchugu4115
@championchugu4115 22 күн бұрын
noma sana
@user-db1uy6hv9q
@user-db1uy6hv9q 24 күн бұрын
Subuhana lahha
@hassanimussa
@hassanimussa 16 күн бұрын
Safi
@aminakhamis2276
@aminakhamis2276 22 күн бұрын
سبحنا الله اينللح وانا اليه راجعون
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 23 күн бұрын
Amin
@shebbyelphonce8514
@shebbyelphonce8514 23 күн бұрын
Inauma ukiona mtoto wa mwenzako akichomwa inauma kwel lkn sio watu jmn
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 25 күн бұрын
Kwa msiyojua arusha mtawaonea huruma lakini nataka niwaambie Hawa vijana ni hatari mno.hata ukijisalimisha panga au pisipisi inakuhusu. Na hapa ni katikati ya Jiji hilo
@jeremiahwillson363
@jeremiahwillson363 21 күн бұрын
Mungu wa Mbinguni atuokoe vijana. Siwajui lkn inauma mno, tusichome watu moto, ni kitendo kibaya
@HanafiRamadhani-vf4de
@HanafiRamadhani-vf4de 19 күн бұрын
Na ww wataka uwemwizi au
@YahyaKhamis-h3g
@YahyaKhamis-h3g 22 күн бұрын
Subhanallah
@AbuuAli-nf4fb
@AbuuAli-nf4fb 23 күн бұрын
Huo mchezo wa kunyakulia watu simu umezidi watieni adabu ya kutosha iwe funzo kwa wengine
@ramadhaniabdulkadry288
@ramadhaniabdulkadry288 24 күн бұрын
Dah so sad
@dunstankihaa2383
@dunstankihaa2383 25 күн бұрын
Daaaah kisa simu ndo mtoe roho ya binadam mwenzao!!!! Mungu tusaidie
@marwajoseph8060
@marwajoseph8060 24 күн бұрын
Choma moto majizi hayo kwanini wasifanye kazi sheria sheria mbona wanapo iba hawakumbuki sheria mkitaka kuchoma pterori nitawanunulia njoeni tarime
@user-vz6kk8id2f
@user-vz6kk8id2f 25 күн бұрын
Jmni Mungu tusaidie
@user-hq5tq9dj2v
@user-hq5tq9dj2v 22 күн бұрын
👀👍👍👍
@SharaunFrancis-dj1tw
@SharaunFrancis-dj1tw 24 күн бұрын
Huyo aliye vaa sweta jegundu ni rafkiyangu sana hata mwezi wa 3 alikuja kunisalimia pindi niko mzali
@ev.emmanuelkawema2493
@ev.emmanuelkawema2493 24 күн бұрын
Hata Dar nilikwapuliwa mwaka jana maeneo ya Uwanja wa taifa pale Kwa kweli hata Dar siku amekamatwa mtu sijui itakuwaje
@mamuumamuu1871
@mamuumamuu1871 23 күн бұрын
Jamani siata msikilize basi😢
@ElizabethFrank-r4n
@ElizabethFrank-r4n 17 күн бұрын
Jaman 2mwogope mungu hasala loho pesa makalatasi bola mwakamate wapelekwe kwenye vyombo vya sheria
@DianaLyimo-be7yp
@DianaLyimo-be7yp 25 күн бұрын
Jamanii
@theghost-bull7400
@theghost-bull7400 9 күн бұрын
*Damn. What the Hell did they do?*
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 55 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 68 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
The Rock
8:58
Shotgun BomBom
Рет қаралды 76 МЛН
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 6 МЛН
"Nothing's free in WATERWORLD!" | Waterworld's Best Scenes
10:10
Boxoffice+
Рет қаралды 570 М.
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 55 МЛН