#KUTANA

  Рет қаралды 7,064

VOAGTV

VOAGTV

Жыл бұрын

Awadhi ni kijana mwenye elimu ya degree ya Information Technology (IT) aliyopata katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam lakini badala ya kutafuta kazi ya kuajiriwa yeye ameamua kujiajiri na amechagua kuwekeza katika biashara ya matunda.
Biashara yake Ameipa jina la Soko Dogo lakini malengo yake hayana udogo huo kwani huo ni mwanzo tu ukilinganisha na mipango yake mikubwa ya kufungua matawi ya Soko Dogo maeneo mbalimbali hapa jijini Dar es salaam.

Пікірлер: 9
@focus140
@focus140 Күн бұрын
Hongera
@inbox_tz
@inbox_tz Жыл бұрын
My Furendi 🔥 keep it up
@georgekerya3247
@georgekerya3247 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana VOAG team and management.
@kennysontz3963
@kennysontz3963 Жыл бұрын
Good
@carolinematemba7482
@carolinematemba7482 Жыл бұрын
Kijana yupo vzuri sanaa awezeshwe zaidi na awe mfano
@dionizyshots2777
@dionizyshots2777 Жыл бұрын
Safi sana ndugu yangu 👍👍💪💪
@goodiemgeta
@goodiemgeta Жыл бұрын
Good job
@user-il3yo9ec6e
@user-il3yo9ec6e 7 ай бұрын
Nice nimeipenda iyo
@gloryatv1779
@gloryatv1779 11 күн бұрын
Instagram anatumia jina gani?
KAZI NI KAZI | Msomi wa chuo kikuu aliyeamua kuuza matunda
24:29
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 37 МЛН
NYUMA YA PAZIA LA BIASHARA YA MATUNDA    |   SALUM MAGEMBE
7:54
The Money in Groceries Business - Palde Farm  Fresh Journey
15:58
Capital FM Kenya
Рет қаралды 68 М.
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН