NYUMA YA PAZIA LA BIASHARA YA MATUNDA | SALUM MAGEMBE

  Рет қаралды 2,550

VOAGTV

VOAGTV

Жыл бұрын

Yapo mengi usiyoyajua kuhusiana na biashara ya mboga mboga na matunda, wapo ambao wamefanikiwa kwa kihasi kikubwa hata wakaweza kununua magari, viwanja, kujenga na wanasomesha watoto shule nzuri kupitia biashara hii.
Lakini pia kuna changamoto zake, mchakato wa kupata matunda bora kuyatunza na kuyauza kwa wapita njia sio kazi rahisi. Wengi wao hutumia usiku mzima kutafuta matunda muda ambao watu wengi wempumzika wao wanakuwa barabarani kutafuta mbogamboga na matunda ili waweze kuwauzia wateja vitu vilivyo fresh.
Leo hii VOAG kupitia kipindi chake cha Masoko Yetu imemtembelea Bw. Salum Magembe na kusikiliza story yake kuhusiana na biashara hii ya mbogamboga na matunda kwani ndiyo kazi pekee inayomuweka hapa mjini na kwa muonekano tu inaonekana kwake mambo sio mabaya sana; hebu tumsikilize.

Пікірлер: 7
@KefliniDaudi
@KefliniDaudi 13 күн бұрын
God bless you
@devothaanzikali8243
@devothaanzikali8243 Ай бұрын
Unapatikana mbez bech sehemu gani
@fatimaomari5279
@fatimaomari5279 Жыл бұрын
Mung akusimamie
@happyyohana9881
@happyyohana9881 11 ай бұрын
Ameen
@husnamagembe4782
@husnamagembe4782 Жыл бұрын
Aina sauti mbon
@ammsuya9400
@ammsuya9400 10 ай бұрын
Siwez kupata mawasiliano ya huyu jamaa??? please
KAZI NI KAZI | Msomi wa chuo kikuu aliyeamua kuuza matunda
24:29
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 16 МЛН
100❤️
00:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 6 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 21 МЛН
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 3,8 МЛН
Njia Nne (4) Za Kukuza Biashara Yako - Joel Nanauka
9:07
Joel Nanauka
Рет қаралды 144 М.
Jinsi ya kuanzisha biashara ya matunda
9:01
Tan Business Channel
Рет қаралды 3,3 М.
Starting a Nonprofit Organization? 3 Things You MUST do First
12:24
Amber Melanie Smith
Рет қаралды 328 М.
How to start a grocery store business (How to start foodstuff shop business)
2:56
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 16 МЛН