KUTOKA CANADA NA KUANZA UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI TANZANIA

  Рет қаралды 8,105

Mutafarm TV

Mutafarm TV

Ай бұрын

Пікірлер: 31
@pillyseleman8090
@pillyseleman8090 16 күн бұрын
Naoenda sana kufuatilia kipindi chochote kinachotoa mafunzo yaufugaji wa kuku naipenda sana hii kazi
@MutafarmTV
@MutafarmTV 14 күн бұрын
asante sana karibu...
@ummylashomba2847
@ummylashomba2847 Ай бұрын
Kazi nzuri Mungu azid kuwatangulia
@MutafarmTV
@MutafarmTV 14 күн бұрын
amen , asante sana
@elfazjohn4215
@elfazjohn4215 27 күн бұрын
Hongereni kwa kudhibiti vifo, na maerezo yako ukosahihi, kuku anatakiwa kukingwa na siyo kutibiwa, niko katoro geita, mi pia mfugaji
@MutafarmTV
@MutafarmTV 27 күн бұрын
pamoja sana ...
@pillyseleman8090
@pillyseleman8090 16 күн бұрын
Kwahiyo kufagia ni vipi
@furahasweya7433
@furahasweya7433 25 күн бұрын
Hongerasana kwa kazi nzuri. Nami najifunza kutoka kwenu
@MutafarmTV
@MutafarmTV 20 күн бұрын
asante , pamoja sana karibu
@calvinmlowe8850
@calvinmlowe8850 Ай бұрын
Kazi nzurii na ni uwekezaji mkubwa kazi isonge mbele🙏🙏❤️
@MutafarmTV
@MutafarmTV Ай бұрын
Asante
@barakamutabazi2824
@barakamutabazi2824 Ай бұрын
Nice and keep up the good work
@MutafarmTV
@MutafarmTV Ай бұрын
Thanks!
@gastonmangala4461
@gastonmangala4461 Ай бұрын
Kazi kwa kazi kbs... Ila tunafanayaje tunapotaka kuanza ishu kama ivo
@MutafarmTV
@MutafarmTV Ай бұрын
asantee sana jitahidi kufwatilia video zetu zote utapata kujifunza mengi na namna tulivyo anza. asantee...
@fermekulisha
@fermekulisha Ай бұрын
Great work
@MutafarmTV
@MutafarmTV Ай бұрын
thank you
@peacemakerdxb6012
@peacemakerdxb6012 Ай бұрын
Well done
@MutafarmTV
@MutafarmTV Ай бұрын
thanks
@furahasweya7433
@furahasweya7433 25 күн бұрын
Hongerasana kwa kudhibiti vifo
@MutafarmTV
@MutafarmTV 20 күн бұрын
asnate sana
@kananiomwamirwenyagira8374
@kananiomwamirwenyagira8374 Ай бұрын
Ni jisanvu cha ile mihogo mikubwa? Hongera sana
@BarakaKikoti-ub2xq
@BarakaKikoti-ub2xq Ай бұрын
Kisamvu cha kawaida
@jsmfarms71263
@jsmfarms71263 Ай бұрын
🎉🙏🙌
@MutafarmTV
@MutafarmTV Ай бұрын
🤝
@KingoFarm1
@KingoFarm1 Ай бұрын
Broiler ? Ndio chakula Gani?
@BarakaKikoti-ub2xq
@BarakaKikoti-ub2xq Ай бұрын
Broiler starter na layers starter itakua ka jichanganya apo kidogo
@Lynnalice217
@Lynnalice217 Ай бұрын
Wee 15 or 16 kwaiyi layers wanaanza kutaga miezi 4?😮😊
@barakamutabazi2824
@barakamutabazi2824 Ай бұрын
Uakika kuanzia wiki ya 16 kama wanakula vizur
@lucasrobert3791
@lucasrobert3791 21 күн бұрын
Ata uwape chakula kizuri vipi hawawezi kutaga na miezi minne kutaga wanaanza na miezi 6 adi 7
@nurumwita9034
@nurumwita9034 15 күн бұрын
​@@lucasrobert3791ata miezi mitano wanataga ukiwapa egg booster wanaanza na miezi mitano
SHAMBALULU: UFUGAJI KUKU WA MAYAI KISASA.
28:07
ITV Tanzania
Рет қаралды 16 М.
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 42 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 50 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 15 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
Nilianza na Kuku 8 wa Kienyeji, Lakini Nimezalisha Kuku wa Kienyeji 300
10:37
SHAMBANI: UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI
24:48
TBConline
Рет қаралды 182 М.
EPUKA HASARA ZA KUFUGA KUKU WA MAYAI
3:29
MKULIMA SMART TV
Рет қаралды 1,6 М.
TATESA EP 11 - UFUGAJI BORA (UTUNZAJI WA MAYAI)
5:40
TATESA
Рет қаралды 32 М.
ICHEKI MWANZO-MWISHO UJENZI WA BANDA BORA KUKU 1000-1300
32:01
Charity Farm
Рет қаралды 12 М.
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 42 МЛН