Mashaallah yani tusome tuondowe ujinga cyo kila anaye soma ana ajiriwa utaona mtu anamaliza umri wke kuzunguuka tu na vyeti ongereni kwa kujiongeza mungu atazindi kuwapambania amen
Hongereni vijana Kwakweli nimefurai sana kwa hii Kazi Mzuri kwakweli 👌💪🍾
@saidhuma91713 жыл бұрын
Harmonize apeleke msaada huko, na sio kugawa magari dar
@wamoroboy89633 жыл бұрын
Sio harmonize tuy ata diamond ni msenqe san yan
@anoldjose77933 жыл бұрын
@@wamoroboy8963 😂😂😂
@wamoroboy89633 жыл бұрын
@@anoldjose7793 😂👐
@jumaallymningoallymningo35633 жыл бұрын
Mungu atari huko ndiko kujiongeza sio kulalamika na kulaumu
@antoinekatembo85203 жыл бұрын
Kabisa!
@allyjumakukulo49722 ай бұрын
Hongereni san vijana wenzangu
@georgeisdory99983 жыл бұрын
Dhaaa mbaka nawatamania hongera sanaa wapendwa Mungu awabariki Mashujaaq
@musagesedoto99673 жыл бұрын
Fightings pay, hongera kwao, wadau husika waone kitu Apo.
@joasitz95593 жыл бұрын
Mwe hongereni sana vijana kwa kujituma.
@othumanlorenzo2603 жыл бұрын
Safi sana sana dc,rc ,na staff waofcn ya mkoa waangalie hata kwa ushauri
@feimohach3 жыл бұрын
Hongera kwa mandugu hawa! Msife moyo Mwenyewezi Mungu atafungua, nawaombea kila la kheri na mafanikio, ayo TV asanteni kwa juhudi zenu kama hizi, zidisheni video kama hizi shukran!
@user-tb3du8fz7e4 күн бұрын
Najifunza kwenye Nia Kuna njia na hakuna mafanikio rahisi yaani no sweat no sweet
@mohamedkikale72413 жыл бұрын
Wenye akir ndio Wenye kuzingatia!
@robertnicodemas58533 жыл бұрын
Asante Millard Ayo kwa habari zako nzuri
@lydiathomas29053 жыл бұрын
Hongereni sana. Mungu mwema lazima mtafanikiwa
@lufeferanana89133 жыл бұрын
ayo mungu akulipe kwa uwezo ulio nao .hao jamaa wanajituma sana wausika hitabidi wafatilie hilo wameonyesha kua niwajasilimiamali .pia kutokana na kujalibu kujikwamua kwao basi selikali iwasaidie kwa mkopo wa bey nafuu maana walimaliza chuo na awa................
@kakawamashariki89783 жыл бұрын
Salaam za pongezi kwa vijana watanzania wote wanao jitambua.
@rahmaramadhan97733 жыл бұрын
Mashallah kweli wapambanaji jamanii
@khadijahali48373 жыл бұрын
Hongereni
@emmanuedamas2952 Жыл бұрын
Hongera Sana jack my sister
@suleimanismail5569 Жыл бұрын
Safi sana msife moyo endeleeni kupambana
@jumakitandu54383 жыл бұрын
Hao ndugu wanapambana sana ila kilimo kinahitaji kucheza na misimu
@allyjumakukulo49722 ай бұрын
Ila badilisheni mazingira mkiona Kuna changamoto ya maji na ardhi
@rumb96913 жыл бұрын
Msikate tamaa kilimo cha mbogamboga kina lipa ipo siku mtatoboa .
@hassanlubola4143 жыл бұрын
Wapo vizuri sana
@ombensamwel26263 жыл бұрын
Big up san vjana
@ziadamaulid90893 жыл бұрын
Safi sana
@edwardmsongelwa54553 жыл бұрын
Kwa Nini hamku lions Hilo kuona Na ma afisa kilimo WA wilaya ili Wawa onyeshe nzima fungueni macho Sasa mengi yame funguka kuweni wepesi ili mfaidike Mungu YUPO nanyi msikate tamaa ushindi uko mtaa wapili
@RenaldaZeramula Жыл бұрын
BASHE anasemaje
@RenaldaZeramula Жыл бұрын
Mwl. Atswaacha solemba ajira atapata
@emilyibraimo50323 жыл бұрын
Ila ndugi zangu komaeni kwani kilimo kinalipa kinoma noma kazeni na Allah yupo pamoja na waja wake kila siku
@salimalaquimane26403 жыл бұрын
Kikubwa serikar izid kutoa mikopo zaid kwa wajasilimali
@davidmbaga29983 жыл бұрын
Nendeni kitere (Mtwara)mkanunue au mkakodi shamba kule kuna ardhi mzuri kwa ajiri ya kilimo na maji yapo mengi sana ya chem chem
@vickyadrian15033 жыл бұрын
HAWA NDIYO AINA YA VIJANA TAIFA LINA WAHITAJI RAIS MAGUFULI WAANGALIE HAWA VIJANA KWA JICHO LA KIUCHUMI ZAIDI
@nakundwamkubwe78233 жыл бұрын
@vicky Adrian Rais Magufuli anatakiwa atoe ajira ilo ndio swala la muhimu
@emariohjohn37433 жыл бұрын
Nikweli....
@martinemaganga25463 жыл бұрын
@@nakundwamkubwe7823 ajira siyo lazima ,fanya unachoweza ajira ni utumwa
@nakundwamkubwe78233 жыл бұрын
@@martinemaganga2546 kama ajira ni utumwa mbona hao viongozi wameajiriwa? Unafikiri ni kazi rahisi kujiajiri mwenyewe? Vijana wa 5 hao wana vyeti na hawana kazi wakati wazazi waliwasomesha wakitegemea wapate ajira serikali leo mzazi atapata wapi pesa Za kumpa mwanae Za mtaji? Nasio hao tu vijana wengi wanahangaika! Cha muhimu serikali iongeze ajira na ifufuwe viwanda vilivyo kufa . Enzi mimi nakuwa kwetu tanga kulikuwa na viwanda kama 15 ivi ! Kila mtu alikuwa anakwenda kazini hata wasio soma walipata ajira kutokana na elimu yao ndogo . Viwanda vyote vimekufa na kubinafsishwa !
@salimalaquimane26403 жыл бұрын
@@nakundwamkubwe7823 huko ulaya tu ajira ngumu sembuse bongo
@georgedamas70973 жыл бұрын
Vijana bado wanamoyo sana wa kufanya kazi, lkn sasa wanakosa "connection "
@bjzee19813 жыл бұрын
Huyo pharmacist kweli wasimpe kazi na vile wako wachache
@waluohopaulo21163 жыл бұрын
Hawa ni kama walisikia mafundisho ya Mweshimiwa Gwama alipokua akiongelelea mambo haya ya kilimo hiki.
@binsultan69813 жыл бұрын
Ndo maana mwenzenu nlijiongeza tangu darasa la 3 kusoma na kundika tu ilitosha nikaacha wenye jamaazao serikalin wasome....heeee si ndo kuna siku nimpta sheli naweka gar mafuta si akapita jama anauza karanga kumchek kumbe side aliekua anatokea wa kwanz darasn
Walio soma wengi ndo walikua hawana ajira walokua hawajasoma ndo wamejazano ukokwenye maofisi kwasabubu wanajamaa zao Tanzania watu hawatizami vyeti kinacho angaliwa jee ww ni mtoto wa nani
@zainabwage46583 жыл бұрын
Jibu konk ili💪
@kiblahmchengule1293 жыл бұрын
Et maji mjini ni shida dah inaniuma sana tunashindwa maji kuwa ya uhakika wk yanatoka mara mbili dah
@fogotv76323 жыл бұрын
Mimi nataka kujiunga nao nibonyeze ngapi
@augustinomwamasinga22003 жыл бұрын
Tafuta wa4 muwe wa5 nanyi mwanzishe
@hanskidd22903 жыл бұрын
Kam vip na ss tuanzishe ya kwetu me nakuwa wa pili
@antoinekatembo85203 жыл бұрын
@@hanskidd2290 niunganisheni na mimi maana kilimo nakipenda sana!
@kacherosimba57623 жыл бұрын
@@antoinekatembo8520 namimi jamani japo kua nipo kenya lakini kama mpo tayali nipo tayali kurudi nyumbani napenda sana kurima
@jumaramadhani14863 жыл бұрын
Hapo hapo ulipo anza kaka mtaani unapoishi ongea na wenzio watano hata kumi mnajiwekea malengo tu nakujichanga changa mtafanya kitu kaka, hapa kwangu wife na mashoga zake walianzisha kikundi cha kuweka na kukopa na malengo ya kufunguliana biashara aisee mwanzo niliona wananijazia tu watu kwangu kila jmoc na makelele now mwenyew nikitingwa namuomba wife anikopee kwenye kikundi chao wamefunguliana biashara kila mmoja ht na umbea umepungua mtaani wapo biz na biashara zao na sasa wameanza kununuliana viwanja kwa wale wenye uhitaji ambae hana anapewa hela na lengo wajengeane walio nyumba za kupanga watoke huko niliona mwanzo wanaigiza lkn sasa mwenyw namuongezea wife hela ya kupanda ht kama hajaomba
@bintiiddy70433 жыл бұрын
Uzur Kuna maji
@sankofaman41123 жыл бұрын
Millard Ayo washauri wafungue account ya GO FUND ME tuwachangie pesa
@chigasontv123 жыл бұрын
Hao wanavyeti vyao na wamejiongeza wewe zaidi ya chadaktari ukienda kupima huna kingine bado unachaguaa cha kufanyaa...uuuuumbwaaa wewe...utakula ushuzi....