KUVUNJA HATI YA MASHTAKA KIROHO|Day2_Mkutano wa injili Geita kanisa la TAG Nyamigana~Mch.Katekela

  Рет қаралды 13,007

PROMOVER TV

PROMOVER TV

2 жыл бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuchangia kila mwezi jiunge na magroup haya hapo chini na kama unataka kuchangia mara moja tu tumia namba ziko hapo chini :-
1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii chat.whatsapp.com/DjZYNtGlQSE...
3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp.com/Jzfy3pn4CyB...
Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 32
@dokasa9176
@dokasa9176 2 жыл бұрын
Kwa hakika Yesu kristo ni rafiki mwema,nikikuangalia Mchungaji ,natafakari upendo wa Mungu ,unapita fahamu za mwanadamu
@rebecashindika3091
@rebecashindika3091 2 жыл бұрын
Mungu aendelee kuwabariki kwa kazi ya Mungu nabarikiwa sana sana na neno la Mungu
@IbrahimMatofali
@IbrahimMatofali Жыл бұрын
Unanibariki mtumishi kwa sababu unamuumbuwa shetani na ushuhuda wako wote nimeupata
@tabithalucas4752
@tabithalucas4752 2 жыл бұрын
Ameni ubarikiwe sana ..
@tatumluv6054
@tatumluv6054 2 жыл бұрын
Amen Amen barikiweni sana watumishi wa Mungu
@user-kn3lh1co6u
@user-kn3lh1co6u 2 жыл бұрын
Amen kuokoka n Raha jaman
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 жыл бұрын
SHETANI AMESHINDWA KWA JINA LA YESU.
@irenek7280
@irenek7280 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Powerful 🔥🔥🔥 testimony Kali saana
@josephomuto3240
@josephomuto3240 2 жыл бұрын
This is powerful. Very powerful.
@lidiairene1360
@lidiairene1360 2 жыл бұрын
Mungu waamani awapeni neema kubwa muendelee kuinena injili kwaujasiri wote kiukweli wengi tumeishi kwenyevifungo lakini kwamsaada wenu tunajikangua maeneo mengi namungu yukokazini tunaendelea kuimarika mbarikiwexnxn
@prudencesumbane2886
@prudencesumbane2886 2 жыл бұрын
Jacta, Eric, na Mch Amiel Mungu awabariki sana kwakutufikishiya injili iyi mtandaoni, tuna barikiwa sana👏👏
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@eunicemwalsumo2166
@eunicemwalsumo2166 2 жыл бұрын
Aminaa mch
@bonifasemmanuel4700
@bonifasemmanuel4700 2 жыл бұрын
Mungu ni Mwema kweli, sema wema wake unaonekana kweli nani yako,
@imadastan48
@imadastan48 2 жыл бұрын
Ameniiiiii
@christophernzambimana1665
@christophernzambimana1665 2 жыл бұрын
Amen
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 2 жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu kwa mafundisho haya
@m.m.tvmbebamaono
@m.m.tvmbebamaono 2 жыл бұрын
Amina, Amina ,huo ndio ukweli injili ya hivyo haipo .
@zipporahmibei9007
@zipporahmibei9007 2 жыл бұрын
Yesu awabariki
@daisymuthoni675
@daisymuthoni675 2 жыл бұрын
Amen
@magretandrew758
@magretandrew758 2 жыл бұрын
Yesu ni mzuri sana
@noelashaoona
@noelashaoona 2 жыл бұрын
If he can do this for Jesus image what he did for the kingdom of darkness
@mercyelahuya9522
@mercyelahuya9522 2 жыл бұрын
Haleluya
@nuswemwakasala8687
@nuswemwakasala8687 2 жыл бұрын
😂 Yani hiki ni chombo cha Bwana chenye makali ya kupulia
@kevinevance2069
@kevinevance2069 2 жыл бұрын
Weka no ya simu bhac
@kmotivation1130
@kmotivation1130 2 жыл бұрын
sauti yake tu mapepo wanapata shida
@1122337971
@1122337971 2 жыл бұрын
Script ya mkutano wa Geita ni Chafu,imejaa channel noise,ni taabu kuisikiliza. Kwani haiwezekani kuisafisha?
@m.m.tvmbebamaono
@m.m.tvmbebamaono 2 жыл бұрын
Siku hizi hakuna anae weza kuhubiri hizo injili
@ffjamari3247
@ffjamari3247 2 жыл бұрын
Halelluja ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@mercyelahuya9522
@mercyelahuya9522 2 жыл бұрын
He wanaoamja wamenyolewa
@mercyelahuya9522
@mercyelahuya9522 2 жыл бұрын
Wanaoamka wamenyolewa je?
@racheldickson3236
@racheldickson3236 Ай бұрын
Emeen
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 19 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 44 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 64 МЛН
NGUVU YA KUZIFUNGUA KAMBA ZA MAUTI MCHUNGAJI AMIEL KATEKELA
49:17
PROMOVER TV
Рет қаралды 1,3 М.
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 19 МЛН