KUWASAIDIA WENYE HALI MBAYA NI LAZIMA KWA KILA MUISLAMU || Muhammad Bachu .

  Рет қаралды 5,005

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

9 ай бұрын

Пікірлер: 24
@fakihkhsaid9353
@fakihkhsaid9353 9 ай бұрын
Allah akuhifadhi wewe ni shkh Nassor mwenyewe allah akupe afya njema na kukuthibitisha katika haki.
@yazu3007
@yazu3007 8 ай бұрын
Asalam aleykum sheikh Mohammed bachu nakuomba sana uwakumbushe waislamu ( DHULMA na malipo yake ) mana wengi wetu tumekumbatia hili jambo .. mimi na mke wangu nimefanyiwa dhulma na waislamu wenzangu walio jipanga na kutuzia barabara badala ya kiwanja na mwisho wanadunda na wanajivuna wamekula na hakuna lolote.. sheikh inaniuma sn waislamu watendea waislamu wenzo dhulma
@musafirbaba2100
@musafirbaba2100 8 ай бұрын
Nilikuwa nashangaa kwann huzungumzii swala hili alhamdulillah
@NassirKhamis-yp1xk
@NassirKhamis-yp1xk 9 ай бұрын
Mashallah, hutba nzr sana Allah akubarik sana ❤ nakupnd kwa ajil ya Allah sheigh Wang Muhammad nassor bachu
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 9 ай бұрын
Ni mtihani. Kunamafungamano makubwa katika kusaidiana na imani
@yuzarsifibrahimfatuma9725
@yuzarsifibrahimfatuma9725 9 ай бұрын
True msaada unakuwabora na wenye faida kubwa ukianzia nyumbani
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 9 ай бұрын
Asalam Alaykum. Maa Shaa Allahu. Ujumbe umefika. Waislam tuzinduke....
@user-dv9mx9oq1w
@user-dv9mx9oq1w 9 ай бұрын
Asalam aleikum warahmatu llahi wabarakatu Maneno ya dhahabu na ndio ilivyo subhana allah. Jazaka allah khairan.
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 9 ай бұрын
Skuzote msaada huanza na nyumba yako jirani yako nk, jee ikiwa huna huruma na ndugu yako kidamu nakiimani jee utakuwa na huruma na ndugu zetu wanaouliwa huko Palestine, waislam tuko kwenye msiba mkubwa sana waislam tuamkeni tunusuru ndugu zetu ktk miji yetu tunusuru jirani zetu ktk mitaayetu tunusuru ndugu zetu wapalestine hata kwa duwa Allah ataona juhudu zetu insha Allah
@isarichard
@isarichard 9 ай бұрын
In sha Allah
@abdulhalimomar5329
@abdulhalimomar5329 9 ай бұрын
Sawa , waislamu tuwaombe waislamu wezetu wanauliwa lile shehe kasem kuw n kubwa tuwaombe duwa palestina
@abdulkadirhaji3947
@abdulkadirhaji3947 8 ай бұрын
Shk Mohammed bachu plz nitumie hadithi hiyo kwa kiyarabu tuadikiye hapa hadithi inaosema waumini ni kama mwili moja
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 9 ай бұрын
Hakika kabisa bila shaka yeyote
@IbnuAlly-cg2gn
@IbnuAlly-cg2gn 9 ай бұрын
Kimantiki ni kuwa watu wazizungumzie wala kujadili kinachoendelea Palestina
@yasinitwaha3192
@yasinitwaha3192 9 ай бұрын
Punguza jazba katika khutba unagomba au unakhutubu
@nurdiniuledi48
@nurdiniuledi48 9 ай бұрын
Unamaanisha parestina wasisaidiwe? Saud wamekua vibaraka wa marekani na nyinyi wahabi mmekua hivyohivyo huku Tanzania.
@faizaa155
@faizaa155 9 ай бұрын
Kwanza jifundishe kuandika Kisha kmhunalakusema nyamaza wengine wapate faida
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp 9 ай бұрын
Kwaiyo wanaopigwa nimasufi
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 9 ай бұрын
Sasa nyie mlio sahihi mmeshakusanya msaada gani maulidin mkapeleka palestina????
@husseingitonga8921
@husseingitonga8921 9 ай бұрын
Allah akupunguzie chuki inn sha Allah.
@twalibsaid2614
@twalibsaid2614 9 ай бұрын
Sasa watoa mfano palestine ndio nini msaada wadharura nikawaida palestine ni msada wa dharura , twajua mawahabi hawanaha ya palestine ni kama mabwana wao wa suudia , suudia ndio wanao lipa mawahabi nahawaruhusu kufanya hata maandamano kwa kadhia ya palestine
@JAFARYMUSSA-bg8mf
@JAFARYMUSSA-bg8mf 9 ай бұрын
allah akusamehe ndugu yangu kwa maneno yako
NILIYOJIFUNZA KATIKA SAFARI YA MOUNT KENYA || Muhammad Bachu || 15/12/2023
35:41
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 1,6 М.
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 34 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 17 МЛН
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 17 МЛН
SHIRKI YA MWANZO ALOIPINGA MTUME MUHAMMAD || Muhammad Bachu
26:22
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 1,9 М.
MFUMO KAMILI ANAOTAKIWA MWANADAMU KUISHI SHEIKH MUHAMMAD BACHU
1:00:05
Al Haajar TV Kenya
Рет қаралды 939
KUSIMAMA NA HAKI NDIO NJIA YA KUFAULU / SHEIKH MUHAMAD BACHU
1:23:14
FADHAKKIR CHANNEL
Рет қаралды 6 М.