No video

KWA KAULI HII YA LISSU KUHUSU RAIS SAMIA JAMANI JESHI LA POLISI HATUJUI KAMA LITAMUACHA VIZURI.

  Рет қаралды 19,619

John Ngollo

John Ngollo

Күн бұрын

#lissu #raissamia

Пікірлер: 166
@SamsonWaite
@SamsonWaite 3 ай бұрын
Wambie tz wamelala sana😊
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 3 ай бұрын
Anaongea mambo ya msingi sana msimpinge mie sio CHADEMA,ila huu ndo ukweli
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 3 ай бұрын
Ubaya wa watanzania hawapendi kuambiwa ukweli, wakipewa ukweli, wanasema, umewatukana, acheni zilipendwa
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 3 ай бұрын
Kabisa ndugu yangu ukweli hawataki wapemba wabaguzi usisema huwez ishi nao
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 ай бұрын
Mtu kumuelewa Lissu kazima uwe mzalendo wa Tanganyika. Lakini ukiwa ujitambui hutamuelewa Lissu. Watanganyika hawajitambui mtajitambuwa mtakapo ona warabu wanawatawala tens watakaotawaliwa na warabu ni watanganyika. Anayowasema Lissu wachawa ati kwa sababu leo labda unapata cho chote katika serikali ya CCM. Je wakati watoto wetu watakapo kuwa wanateswa na warabu hamtakuwepo kuyaona watakayokuwa wanatendewa watoto wenu. Hii itakuwa laana kwetu sisi watanganyika kwa vitendo tunaoufanya sasa hivi. Anayeyafanya ni Samia mzanzibari, wajukuu wake wanaweza kurudi kwao na kuwacha wajukuu wetu watakaokuwa wanateswa na warabu anaowapa kila sehemu.
@Yomiyomi6897
@Yomiyomi6897 3 ай бұрын
NINYI WENZANGU, LISU ANAONGEA, ANATOA HOJA. TUPINGE HOJA ZAKE KWA HOJA ZETU. MUUNGANO HUU UNA MATATIZO MENGI. HEKIMA ITUMIKE KUYATATUA. KILA MARAISI WANAKUJA, WANAPIGA DOMO, WANAKWENDA ZAO, HAWATATUI KERO MSINGI. ANANUFAIKA NANI. HATUONI KUWA TUNA KILA SABABU KUURATIBU UPYA HUU MUUNGANO! UBAGUZI HAUPO MDOMONI MWA LISU. YEYE KATAMKA TU. UPO KT KATIBA. ONYESHENI KWAMBA HAUPO KT KATIBA. LA SIVYO, TUREKEBISHE KATIBA, JUU YA MENGI NA HUU MUUNGANO. WACHEKENI WAMASAI. SUBIRI IGUSE HAPO ULIPOSIMIKA KIBANDA CHAKO. UHAMISHWE. UTAJUA. KWA KATIBA HII, ALIYE SALAMA NI CGAWA TU NA KIROBOTO. HATA WEWE HUPO SALAMA.
@mmsfuzzsba3816
@mmsfuzzsba3816 3 ай бұрын
LISSU NI GENIOUS HOJA YAKE IMETUKISA NCHI RAIS AMEMTANGAZIA VITA LKN WAMESHINDWA KUJIBU HOJA LISSU VIVA TUMLINDE LISSU JAMANI
@anastazialushika
@anastazialushika 3 ай бұрын
Toka nikujue lisu wewe huna rais mzuri kila rais mbaya tyu kwako,! Ko tushakuzoea we payuka tyu mwisho wa siku samia ndo rais wako na watanzania wote acha kupandikiza chuki za ubaguzi wa kimataifa, wote cc ni watanzania
@LaisSailep
@LaisSailep 3 ай бұрын
Huo ndio ukweli
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 3 ай бұрын
Huo ndio ukweli,tuambie wewe, tangu tumepata Uhuru 1961 ni Rais gani kutoka CCM aliyetawala kwa misingi ya Katiba?
@ziongate5464
@ziongate5464 3 ай бұрын
Watanzania mchukulie Tundu Kicha Lisu kama mtu hatari sana na siyo mtu salama kwa taifa la Tanzania. Tunaomba Jeshi la polisi na Usalama wa taifa kufanya kazi zaidi zidi ya huyo mmpotosha amani.
@allonjoseph5467
@allonjoseph5467 3 ай бұрын
unatakiwa uchunguzwe ww kwan anacho oongea lissu kakosea wap
@fredducaunt
@fredducaunt 3 ай бұрын
SHENZI 😂😂 tunaomba wewe na nani Kimya mzanzibari wewe
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 3 ай бұрын
Alichokisema ni kweli japo sijui nia yake ya moyoni. Wazanzibar wamedai muda mrefu kuwa hawanufaiki na muungano, mimi naamini Zanzibar ina nufaika zaidi kuliko Tanganyika imagine serikali ya Samia imeweka watendaji hata sekta ambazo si za muungano kulingana na katiba. Square km za Tanganyika na Zanzibar na idadi ya watu na GDP ya pande zote haiwezekani tukawa na 50/50. Kwa hali ilivyo Ili muungano uendelee lazima mmoja akubali kupoteza na bila shaka Tanganyika imekubali kupoteza
@user-em3ye6el6z
@user-em3ye6el6z 3 ай бұрын
Unamuumiza Magufuli ndiye aliechakachua UCHAGUZI huko kwa MUNGU anajibu hili.
@JohnChacha-cy3fz
@JohnChacha-cy3fz 3 ай бұрын
Nyie muelewe ukienda Zanzibar kwenu huko, unaulizw a vitambulisho rukuki
@user-ne5cg4vv1h
@user-ne5cg4vv1h 3 ай бұрын
Saivi wamesema na passport
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 ай бұрын
Huyo mama yenu amefanya nini si kumalizia tu aliyokuwa ameyaweka Magufuli nayo yamemshinda mpaka kesho reli iko wapi anapiga pesa tu kwa kwenda kwa warabu ili kutuuza!
@LuganoAmwamsojo
@LuganoAmwamsojo 3 ай бұрын
Tanzania yetu inawatu wenye akilindogo sana atausemenini kazibule
@ChimamyShaa
@ChimamyShaa 3 ай бұрын
Zanzibar inawaumaaas eeeeeh jmn poleni hata cc tumeumia sn mama uza mpk nyumba zaooooo
@alinasor8553
@alinasor8553 3 ай бұрын
Huyu ni kichaaaa au
@alvezog_3836
@alvezog_3836 Ай бұрын
CCM Wanajifanya Wana Akili Sana,Wamemtuma Makonda Arusha Kwenda Kufanya Kampeni Kwa Ajiri Ya Uchaguzi Mwakani . Makonda Anajifanya Anasikiliza Shida Za Raia Na Kutoa Pesa Hapo Kwa Hapo Ili Awateke Watu Akili Zao.. Shida Zote hizi Zinazotokea Pale Arusha Zimeletwa Na Serikali Za CCM Kwaiyo Makonda Acha Kucheza Na Watu Wa Arusha.. Jamani Tushirikiane Sana ili Tuweze Kuwaondoa CCM Mwakani . Kama Tunania Ya Kuwaondoa CCM Madarakani Basi Tufanya Mambo haya: 1,Tupate Tume huru Ya Uchaguzi 2,Tupate Katiba Mpya .. Kutoka Johannesburg Westdene South Africa.
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 3 ай бұрын
Ukweli mimi sio chadema lakini hili la ngongolo linauma sana ni kama makabulu walivyowafukuza weusi kila mahali penye ardhi yenye lutba kwa hili la watu kufukuzwa linaleta maswali na kuumiza vicha hivi hatma ya watanzania nini ? baada ya kufukuzwa kila mahali nikiangalia naona giza mbele
@alinasor8553
@alinasor8553 3 ай бұрын
Ww tundu lisu shda nn kwan kila kiongoz unampinga ww hdi akikaa uyo mbowe hutomtka
@allonjoseph5467
@allonjoseph5467 3 ай бұрын
😢 matatzo kwel mtamuelewa tu ndo ss tunataka tumuweke mbowe ili tuone kama atayafanya kama ya ccm
@fredducaunt
@fredducaunt 3 ай бұрын
Wewe utakuwa mzanzibari Wewe
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 3 ай бұрын
Mbona sielewi sielewi haya. Kama kweli je anataka Wamasai waende wapi?. Hili litakua kichekesho kikubwa sana. Hapana Rais angaliye maamuzi yake. Mungu wetu asimame kututetea Watanzania. Amen.
@HabibuSalumu-iv5wl
@HabibuSalumu-iv5wl 3 ай бұрын
Hivi kunasheria za wanzazibar na WA Tanganyika hao wanamishiwa zanzibari au Tanganyika,Hizo ndio sera za watanganyika sio sera ya Watanzania,
@usafiaps318
@usafiaps318 2 ай бұрын
Kurudisha Mali Zetu Hii Ni Kutomchagua Tena.Wazanibar Waende Zanzibar Na Watanganyika Wabakie Kwao.
@johnkisendi2436
@johnkisendi2436 3 ай бұрын
Aliegundua mpambanaji kwanywa toti ya konyagi gonga like
@allonjoseph5467
@allonjoseph5467 3 ай бұрын
ww ndo umekunywa
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 3 ай бұрын
Mafisiyemu mtuache bana msitufanye ndondocha tulieni msijitikise dawa iwaingie
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 ай бұрын
Lisu acha fitina zako unataka tuuwane wenyewe kwa wenyewe nini maana ya Muungano humpe di sababu ya ukabila Mwalimu Nyerere aliyakataa hayo Lisu wewe mtu mbaya sanaaaa
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 3 ай бұрын
Hakuna NN bandari zimeuzwa na Samia za Tanganyika kwani NN hakuuza Zanzibar km nimuhmu haya ngorongoro ni Tanganyika kauza kwa. Waarabu nayo unabisha nn kwa NN WATANZANIA hatutaki kuambiwa ukweli haya kadanganya NN Samia sio mzanzibr hivi umewahi ishi na wapemba wabaguzi kweli kweli juz umesikia tuuu kuwa tukienda Zanzibar twende na passport ss wao waje bure tuu humu.
@ziongate5464
@ziongate5464 3 ай бұрын
Tanzania inawasomi na wazee wenye hekima na busara na ndio maana nchi ipo salama hadi leo. Jee Watanzania mmechoka na amani? Tundu Kicha Lisu unatakiwa kutangaza sera za chama chako siyo kutangaza ubaguzi zidi ya taifa.
@ChinaBoy-jh8bm
@ChinaBoy-jh8bm 3 ай бұрын
Wewe piga mdomo aunalolote lisu akuna siku utapata nafasi ya uraisi
@AndrewGimusa
@AndrewGimusa 3 ай бұрын
Wewe ndio huna lolote, unaumia nini Lissu akiongea !?
@frankjohn8706
@frankjohn8706 3 ай бұрын
​@@AndrewGimusaukiona mtu anaumia na maneno hayo jua Yuko upande wa Wala INCHI.sasa akikubali kuachia mtu awajulishe WANAINCHI haki zao ambazo WAO ndio wamezikalia ni lazma POVU limtoke kama FARAO ilivyokua maumivu kuachia WATUMWA wanawake israel😅
@GoodTeck90
@GoodTeck90 3 ай бұрын
Akili huna wewe
@hawakazimoto2949
@hawakazimoto2949 3 ай бұрын
Nyerere alikataa ubaguzi. Hawa watu sio wa kuwapa nchi pumbavu sana
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 3 ай бұрын
Katiba mpya
@frankjohn8706
@frankjohn8706 3 ай бұрын
Alikataa ubaguzi vp kwenda Zanzibar kwa passport
@Veni584
@Veni584 3 ай бұрын
Mbona wa Zanzibar hawakubali rais wao atoke tanganyika? Je huo sio ubaguzi?
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 3 ай бұрын
Kweli kabisa nyelele. alikataza ubaguzi alitaka bandali iuzwe wamasai wafukuzwe kama punda mwitu alitaka lushwa isonge mbele na watoto wa wakubwa wawe mabwana
@abeliantony7085
@abeliantony7085 3 ай бұрын
Hili jamaa likichukua nchi tunaisha kabsa macho yalenyewe niyakuibia kabsa
@mohdsaid8744
@mohdsaid8744 3 ай бұрын
Tunampenda Rais wetu mpendwa hata museme vipi
@evamoka6520
@evamoka6520 3 ай бұрын
Uko na mdomo kama huyu Ruto wa kenya alichukua mamlaka na ameshindwa kuongoza.
@fredducaunt
@fredducaunt 3 ай бұрын
Nyamaza mzanzibari wewe
@ChimamyShaa
@ChimamyShaa 3 ай бұрын
Mama uza mpka nyumba zao kodisha warabu mana hizi laana mushatuzulumu sn
@user-hl5yq5gi2z
@user-hl5yq5gi2z 3 ай бұрын
Ni hatariiiiii saaaana
@cosmaslunyembeleka251
@cosmaslunyembeleka251 3 ай бұрын
Dunia haijawai kuwa hadui sisi ndo maadui wa dunia
@alinasor8553
@alinasor8553 3 ай бұрын
Waje zanzibar wa masai kwenye hoteli huku tunawakari isha jamani
@erickkimaro9190
@erickkimaro9190 3 ай бұрын
We tokaumekua mmbunge ulifanya nini chaukumbusho.
@fredducaunt
@fredducaunt 3 ай бұрын
Nyamaza mzanzibari
@rastapeace9616
@rastapeace9616 3 ай бұрын
Mm nakuona ww mzee umechizika unaongea nini wewe kama kiongozi hautakiwi kuwapotosha watu huo ni ubaguzi sawa eti miaka 60 wacha hzo wew
@fredducaunt
@fredducaunt 3 ай бұрын
Kimya mzanzibari wewe
@erickkimaro9190
@erickkimaro9190 3 ай бұрын
Njaa ni mbaya zinasumbua watu.
@fredducaunt
@fredducaunt 3 ай бұрын
Kalime Zanzibar
@jumaigoti7541
@jumaigoti7541 3 ай бұрын
Kama watu wangorongoro nawaurumia sana
@cassimmalcolm1326
@cassimmalcolm1326 3 ай бұрын
Nimegungua keshkunywa pombe Kali tena chafu
@kassidpandu866
@kassidpandu866 3 ай бұрын
kumbe ukabila unakusumbua sana Hufai ww kuwa Rais wa Nchi hii kabisa kabisa
@lekishonmolele1859
@lekishonmolele1859 3 ай бұрын
hiyo ni yako unkekua na ndugu sako hapo Ngorongoro uone file wanafanyiwa unyanyasaji unaoendelea huko usingeandika hiyo komente
@frankjohn8706
@frankjohn8706 3 ай бұрын
Mh hao mbogamboga wasingekua na ukabila na udini na ukanda wasingesema rais akitoka bara .makamu atoke zanzibar.raisi akiwa MUISLAM makamu awe MKRISTO ila ujinsia ndio wameanza sasa RAISI me makamu ke rais mke makamu mme sasa wameingia kwenye elimu rais awe dkt sio profesa mwl.sheikh.mchungaji.sir
@edosha3137
@edosha3137 3 ай бұрын
Mjinga wewe .ukabila uko wapi
@agustinohizza1395
@agustinohizza1395 3 ай бұрын
Wewe kule zanzibar wanakuita chogo una tetea nini
@frankjohn8706
@frankjohn8706 3 ай бұрын
@@edosha3137 wasiomaarifa hawajui hata kusema rais akitoka bara makamu atoke Zanzibar .rais akiwa MKRISTO makamu awe MUISLAM sasa RAISIwanamme makamu mke hio ni Nini ama ubaguzi ukoje
@ignasmlonge8384
@ignasmlonge8384 3 ай бұрын
Wote tunapita atabaki mungu tu masikini na matajiri kwa mungu wote mavumbi acha tudhurumiwe
@ZuenaSharifu
@ZuenaSharifu 2 ай бұрын
Wewe ni mbinafsi tu ndomana hupati kitu
@user-hl5yq5gi2z
@user-hl5yq5gi2z 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 3 ай бұрын
Yeah president wa Tz
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 ай бұрын
Jamani Lissu huyu ni mtu mbaya sana sana.Jasusi na katumwa na a n alipwa.Usije kumuamini huyu ndugu mwenye passiporti mbili .Tena Msenge wa Amsterdam na wenzake.A n alipwa kila mwezi posho na mabeberu. Mpotoshaji mku b wa.Propaganda mbaya sana.Tena Chizi. Sasa je hiyo ndiyo sera😢
@frankjohn8706
@frankjohn8706 3 ай бұрын
Kama asemayo hayana maana Wala asiwepo mwenye akili kuyajadili mambo yasiona maana.lkn ukiona paka anatoa kucha meno na ukali ujue Iko maneno
@user-el1eh6xn6w
@user-el1eh6xn6w 3 ай бұрын
Hata kura tunawapigiaga sisi wazanzibari ila wao hawatupigii sasa muungano uko wapi
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 3 ай бұрын
Unakausha kooo na huna mpya. Kakojoe ukalale.
@harunkaluona7779
@harunkaluona7779 3 ай бұрын
Toa hoja za msingi ACHA chuki.mpaka hapo huonshi Kama kiongozi
@PartySekemi
@PartySekemi 3 ай бұрын
Hoja hizo ni za kisomi jibu kisomi
@zephamghamba8757
@zephamghamba8757 3 ай бұрын
Kweli leo nimeamini kuwa Lisu na chama chako hamfai kupewa hata ubalozi wa nyumba kumi.Maana unaitakia nchi hii Mabaya hufaiiiiii,baada ya kuhubiri amani unahubiri matengano duu.
@teddyteddyphilipo5254
@teddyteddyphilipo5254 3 ай бұрын
Ukweli ni huo katav hatuna mashamba kama nsimbo wilaya ya mpanda hamu hatuna
@thabitiseapower4499
@thabitiseapower4499 3 ай бұрын
Nilijua chizi kumbe zinaingi zinatoka.
@teddyteddyphilipo5254
@teddyteddyphilipo5254 3 ай бұрын
Ukwl ni huo
@saidimasudi6450
@saidimasudi6450 3 ай бұрын
Chizi hili😮
@ndorobocarworks-dx4pf
@ndorobocarworks-dx4pf 3 ай бұрын
Wew ni mpotoshaji
@milkabelias448
@milkabelias448 2 ай бұрын
Ww uneona amepotosha nini o
@hassannuru7399
@hassannuru7399 3 ай бұрын
tuambie ukiwa rais utafanya nin cha tofauti,acha kutupotezea mda na matusi,tunataka sera sio matusi kwa rais wetu mpendwa.
@frankjohn8706
@frankjohn8706 3 ай бұрын
Kama mtu ni mtz na ajua kiswahili sawaswa hanahaja yakufundishwa matusi .hakuna matusi mapya wenye akili na hekima hawaoni hawasikii matusi hapo maana wapo sawa lkn. Asie sawa atasema jamaa anatukana
@teddyteddyphilipo5254
@teddyteddyphilipo5254 3 ай бұрын
Nikweli baba
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 3 ай бұрын
Lisu ukweli unauma lakini ukweli ni tiba
@milkabelias448
@milkabelias448 2 ай бұрын
Wape maana wanaona wote tumelsla
@nicodemusfidelis3772
@nicodemusfidelis3772 3 ай бұрын
Ni kweli kabisa
@user-id7ws5hl5p
@user-id7ws5hl5p 3 ай бұрын
Huyo Salam mwalim fala kweli mwambie huyo fala lissu kiboko yake makufuli
@EmanuelSamuel-mt5wr
@EmanuelSamuel-mt5wr 3 ай бұрын
Usitugawe watanzania wewe.je wabara tunao kaa Zanzibar tukueleweje!
@noelhudson6356
@noelhudson6356 3 ай бұрын
Sasa mwaka 64 wasomi wenyewe si walikua kimkoa wasomi ni sita tu? Ukigoma sasa hivi nafasi yako kesho si inazibwa tu ? Wasomi kila nyumba
@rastapeace9616
@rastapeace9616 3 ай бұрын
Wacha ubaguzi wewe tundu lissu
@kudramzee5769
@kudramzee5769 3 ай бұрын
Wewe ndio hufai kuwa rais maana ushaanza ubaguzi
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 ай бұрын
Wazanzibar siyo wabaguzi? Wao wanainchi yao raisi wao serikali yao. Wanakuja huku Tanganyika kuwadanganya na mnakubali kuwa tunamuungano uko wapi? Tanganyika iliungana na Inchi gani? Kwa kweli kama watanganyika tumelogwa nadhani tumelogwa.
@erickkimaro9190
@erickkimaro9190 3 ай бұрын
We unaejitambua naunaishi tanganyikia si ungeenda kuishi marekani kwavile unajitambua.
@user-qn8ig9ey6b
@user-qn8ig9ey6b 3 ай бұрын
Ni ajabu kuona mtumzima asapoti ujinga eti wanefukuzwa hujui hata kutofautisha kufukuzwa na kuhamishwa kuhamishwa wananchi kutoka sehem1kwenda nyingine hakuanza mamasamia labda kama umekujaleo tanzania na hujui historia ya tanzania
@PartySekemi
@PartySekemi 3 ай бұрын
Stupid you😮
@emmanuelmakorere4835
@emmanuelmakorere4835 3 ай бұрын
Ukweri
@banihashim5347
@banihashim5347 3 ай бұрын
Mpumbavu sana wewe Unatuletea ubaguzi Magufuli mtanganyika pia ulikua ukimsema sana pia
@user-id7ws5hl5p
@user-id7ws5hl5p 3 ай бұрын
Ww mbaguzi hufai kuwa raisi utapiga debe sana lakin Hakuna mtu atakae kupigia kura ww
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 3 ай бұрын
Kutoa mjinga kuweka mpumbavu nikitu kusichowezekana sahau hiyo kitu😂😂😂😂😂😂
@frankmwakila7153
@frankmwakila7153 3 ай бұрын
😢😢
@JohnChacha-cy3fz
@JohnChacha-cy3fz 3 ай бұрын
Waaanbie haooooo
@emmanuelmichael7856
@emmanuelmichael7856 3 ай бұрын
Huenda hajui matukio ya namna hii yaliyofanana na hayo, miaka ya 1970, wakara walihamishiwa Kome Kutoka visiwa vya Ukara na Rais alikuwa Nyerere. Na je, hizo ni kero za ujumla kwa Watanzania.
@user-qr5yx6fy2u
@user-qr5yx6fy2u 3 ай бұрын
Yani hii nchi watu wanaichafua sana sasa wwe lisu uzanzibar unakujaje kwenye mikutano umeishiwa resa sasa siukae kimyatu kwakweli hamtapata nchi mnachuki sana tena hamfichi kweli kura yangu kwenu chadema hampati
@alikhamis3723
@alikhamis3723 3 ай бұрын
Miaka hamsini iliyopita raisi wa Mungano alipokuwa mtanganyika na pia ametawala Zanzibar kwa koti la Mungano pia wazanzibar tulitakiwa kusema nini. Mulisha sahau babu yenu alipotulia ndugu zetu wa micheweni kwa helkopta. Semeni la hayo pia
@funnuelmwalukasa4506
@funnuelmwalukasa4506 3 ай бұрын
Sasa hiyo ni siasa au mipasho na ubaguzi pole sana Kula hupati Kwa ngonjela hizo
@user-ps8ty7xn4j
@user-ps8ty7xn4j 3 ай бұрын
Mzee aibu yakov hot umeishiwa acha mikutano pumzika.
@alinasor8553
@alinasor8553 3 ай бұрын
Mbna hueleweki ss mi sikufahmu asaaaa
@hawakazimoto2949
@hawakazimoto2949 3 ай бұрын
Ubaguzi haufai jamani matusi ya nini jamani? Sera hamna imebaki kutukana tu sasa. Samia iyeeee CCM OYEEEEEEEE MBELE KWA MBELE 2025 TENAAA KAMA KAWA.
@user-ef2zr4un2u
@user-ef2zr4un2u 3 ай бұрын
Mama samia msamehe bure muache bure insha alwha mungu akuwezeshe uwe mvumilivu kashfa matusi yake hayakupunguzii yeye kwake kila mtu mbaya kila kitu kibaya msamehe bure hiyo ni shukurani ya punda wabilahi taufiki
@user-id7ws5hl5p
@user-id7ws5hl5p 3 ай бұрын
Ww huna sera kazi yako kuchukia uzanzibar kwaiyo wananchi unawatua sumu ya ukabila
@hawakazimoto2949
@hawakazimoto2949 3 ай бұрын
Kushangiria kupi kwani hujui ni amani tu. Tunaishi kwa amani. Domo lako kubwa chafuuu urais huupati hata kwa dawa
@mohdsaid8744
@mohdsaid8744 3 ай бұрын
Ubaguzi mtupu hatutaki viongozi kama hawa fitna tupu
@gerachtangatya2835
@gerachtangatya2835 3 ай бұрын
Hapo bila d mbili huwezi elewa
@athumaniahamadi3812
@athumaniahamadi3812 3 ай бұрын
Kawafukuza au kawahamisha kasome kiswahili kwanza
@user-zo8ep4rz3l
@user-zo8ep4rz3l 3 ай бұрын
Maawazo so you ya kujenga mini Maana ya muungano ukabila kwisha.
@pantaleolaurentlaurentkavu2011
@pantaleolaurentlaurentkavu2011 3 ай бұрын
Huyu ni mpotoshaji.hana siasa ya kuleta amani.hata yeye hajitambui.anapandikiza ubaguzi na si umoja Zanzibar ni ndogo.ikiachwa.itakuwa sehemu yà kuua uchumi wetu.viwanda na biashara zote bara bidhaa za magendo zitafifisha uchumi wetu.ajira zilizopo zitakufa
@alinasor8553
@alinasor8553 3 ай бұрын
Ata pumzi huna ushachka ww
@williamkeko9244
@williamkeko9244 3 ай бұрын
Najua ni wachache wanakuelewa ,lakini kama wamekuelewa watesi wetu hawatachukulia poa maana ni ukweli wa kuchoma
@NestoyChotta-wk8bl
@NestoyChotta-wk8bl 3 ай бұрын
WW Ni MZALENDO WA KWELI
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 ай бұрын
Tutakufa ndiyo lakini Mungu alitupa Tanganyika ili tukae kwa amani. Ni Mungu huyo huyo Mungu aluwapa wazanzibar lakini hakumapa watawala wa CCM kutuuza watanganyika kwa wazanzibar? Hilo ni wanadamu na ndiyo sababu Mungu amekaa kimya. Na Mungu anawakati tukimlilia atasikia siku moja na watesi wetu CCM watapigwa kama Farao alivyopigwa.
@richardgeorge5377
@richardgeorge5377 3 ай бұрын
Hakuna kiongozi hapo
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 ай бұрын
Asingefanya hivyo ila yuko hapa kuuza Tanganyika yote kwa warabu atakapo maliza uraisi apate kwenda kufurahi na warabu labda anataka kurudi kwa original yake.
@user-sg4vj4ky4y
@user-sg4vj4ky4y 3 ай бұрын
Kaishiwa sera huyu
@athumaniahamadi3812
@athumaniahamadi3812 3 ай бұрын
Unagua kichaa tundu lisu shida iko wapi?
@selestinfrancis5904
@selestinfrancis5904 3 ай бұрын
😅😅
@georgemwanaloga4682
@georgemwanaloga4682 3 ай бұрын
Tundulisu acha uchochezi na uroho wa mafaraka
@imanisaveri8921
@imanisaveri8921 3 ай бұрын
Selikari yetuuuu
@bakarisaidi8517
@bakarisaidi8517 3 ай бұрын
Wewe mwizi Kama wezi wengine
@lightnessgamasa6039
@lightnessgamasa6039 3 ай бұрын
Mmmmh anapenda vita,na sifa TU
@user-id7ws5hl5p
@user-id7ws5hl5p 3 ай бұрын
Ww umechaguliwa lissu fala mkubwa mbaguzi
👨‍🔧📐
00:43
Kan Andrey
Рет қаралды 10 МЛН
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 14 МЛН
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 27 МЛН
7 Days Stranded In A Cave
17:59
MrBeast
Рет қаралды 66 МЛН
👨‍🔧📐
00:43
Kan Andrey
Рет қаралды 10 МЛН