Kwa wanandoa Tu. Fahamu vyakula vinavyochangia kuongeza nguvu za upambanaji katika ndoa. Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor & Counseling Psychologist #WCC +255 713 18 39 39
Пікірлер: 27
@p.kwaris62274 жыл бұрын
Zawadi kubwa iliopeanwa na Mwenzi Mungu Kwa hii dunia kupitia Tz,Tushukuru mola kwa hizo siku alioturuhusu kuwa nawe.lala salama kaka.
@isabellasanga91854 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@rebeccamilongo21914 жыл бұрын
Aaaahh thk u fr the teaching
@makwayandeki28855 жыл бұрын
Dah salute kwako
@aishahaisha49415 жыл бұрын
Aki mwalimu haya mafundisho ya wanandoa ulipewa neema ilioje mwenyezi Mungu akubariki na akuongezee ck za kuishi ili uendelee kuponya ndoa zetu. Nabarikiwa sana na sana nakuombea kila la heri
@gatimakonge97494 жыл бұрын
Ahsante boss pumzika kwa Amani
@ahazidembe33385 жыл бұрын
🙏🙏🙏👍
@rosemaryondeche57895 жыл бұрын
Hahaha uuuuwiiii, asanti baba
@mwasitiiddy74254 жыл бұрын
Allah ampumzishe mahar pema pepon
@user-ii4jc3wo4i5 жыл бұрын
Asante mchungaji kwa fundisho hili nitazidi kudumisha ndoa yangu
@cars99695 жыл бұрын
True God bless you.
@patiencemwende44515 жыл бұрын
wow thats great be blessed
@20olga004 жыл бұрын
Rest in peace
@akinyisusan80495 жыл бұрын
Haha nimejifunza mengi asande sana
@faidaimmaculee283 жыл бұрын
Baba RIP 😭😭😭😭😭
@barakakomba61713 жыл бұрын
Nimekumiss mkuu
@judithnjunwa66685 жыл бұрын
bwana mchungaji unachekesha wewe,kwa hiyo mwanamke akiwa anaogeaongea ni kukosa kufika kileleni,nimecheka leo. haya mwaya
@raheemamkambha60135 жыл бұрын
Mchungaji umefanya nicheke bila mpango
@ebbykerubo954 жыл бұрын
Mafunzo yakulea ndoa vyema
@juliustitto264 жыл бұрын
RIP
@gatimakonge97494 жыл бұрын
Ni wachache sana wanafunfisha kama wewe.. Atatokea wapi tena kama wewe mpz wa watu
@raheemamkambha60135 жыл бұрын
😆😆😆😆
@tumpeernest96904 жыл бұрын
😂😂😃😃
@francinejames37965 жыл бұрын
Parachichi ndiyo nini mwalimu?? Please give us the list
@mitimingionlinetv98965 жыл бұрын
Greetings in Jesus name. Parachichi is an African swahili name fruit. Parachichi stands for Avocado Blessings.