DAKTARI ATOBOA SIRI,VYAKULA VYA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME, PILIPILI YATAJWA KUJICHUA HAKUPUNGUZI NGUVU

  Рет қаралды 374,282

TimesFMTZ

TimesFMTZ

8 ай бұрын

All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Пікірлер: 367
@charlesmsigwa5277
@charlesmsigwa5277 6 ай бұрын
Nimekuelewa docter ata mimi ni mtumiaji wa pili pili vizuri sana
@nuruyakowewe
@nuruyakowewe 8 ай бұрын
Nimejifunza Mengi Asante sana Times Fm
@user-no4pk6ys5w
@user-no4pk6ys5w 5 ай бұрын
Asante daktari,ukweli wa dhati hayo.Akili nzuri yenye maarifa nzuri.
@barkyabdallah170
@barkyabdallah170 5 ай бұрын
Hongera doc kwa mafunzo mazuri Mola akulinde na akuzidishie elimu
@defaondimbo9600
@defaondimbo9600 6 ай бұрын
Huyo docta yupo vizuri Sana anasema kweli . Defao
@timothyassumani6769
@timothyassumani6769 6 ай бұрын
Sawa kabisa doctari. Nimekufata kutoka Drc.
@Artist-my9zx
@Artist-my9zx 4 күн бұрын
😂😂😂😂Dkt ahsante sana, SEMA nimecheka sana ,yaani hutulii ni kama unataka kupaa🤣🤣🤣🤣💞, SoMo zuri, Mungu akubariki
@AnnoyedGondola-pi2bv
@AnnoyedGondola-pi2bv 5 ай бұрын
Asante kwa elimu nzuri mtaalam mungu akubariki sana
@BakizeMngeja
@BakizeMngeja 2 ай бұрын
Duuu!!! Huyu docter Yuko vizuri kwa maelezo, Hawa ndyo tunawataka, syo hao wanaotaka pesa tuu!!
@user-zt6eb7re4u
@user-zt6eb7re4u 5 ай бұрын
❤❤doctar ongera sana nimechukua moja mbili thank you
@KayitareEmmanuel-qy8ok
@KayitareEmmanuel-qy8ok 12 күн бұрын
Ahsante Sana Doctor Kwa ushauri wako Nakupata vizuri nikiwa Kigali Rwanda ushauri huu nimzuri nitaendelea kukufuatilia
@TimotheoBulimwengu
@TimotheoBulimwengu 5 ай бұрын
Ubarikiwe sana na Mungu DOCTOR
@onesmusmdunya2836
@onesmusmdunya2836 5 ай бұрын
Asante kwa somo zuri.
@timothyjosphat209
@timothyjosphat209 3 ай бұрын
Funzo nzuri sana dak, upande wa kupiga punyeto nimesikita kw makini na n ukweli jibu lako liko sawa, mahana mm sijao lakn nmejijua zaidi ya miaka kumi lakn bdo nko sawa, nkiwa na mechi nacheza vizuri zaidi ya dakka 90+. Napendwa sana ninavyocheza game yangu
@yonaantony
@yonaantony 2 ай бұрын
Heeeee
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 16 күн бұрын
Vumbi ilo
@fuo228
@fuo228 4 ай бұрын
Very good but the background music is not supposed to be there
@mfuranzimagerard3801
@mfuranzimagerard3801 4 ай бұрын
Nikiwafuata kutoka Burundi, nafurahia Sana maelezo haya ya Daktari, abarikiwe sana na hii Radio ibarikiwe pia
@MohamedChivatsi-bx3lu
@MohamedChivatsi-bx3lu 2 ай бұрын
Ooooh nimejua Sasa Asante sana doctor
@laylayl5166
@laylayl5166 6 ай бұрын
Ubarikiwe Sana docktar kwahayo ulio elezea
@user-io9uv6ln2b
@user-io9uv6ln2b 4 ай бұрын
Asante sana daktari nimekuelewa vizuri san
@StivinMachume
@StivinMachume 9 күн бұрын
Duh! Ahsante sana doctor
@mwenebatuetabo5515
@mwenebatuetabo5515 5 ай бұрын
Na nahona wewe mdada unahuliza saana, unapenda ngoma!!
@matheiMathei-ob7vy
@matheiMathei-ob7vy Ай бұрын
Good education Mungu awabariki mwendelee na kazi hiyo Bila kuchoka
@nyamandogo7136
@nyamandogo7136 8 ай бұрын
Oooooh kumbe nmekuelewa docta 👏👏👏👏
@LaksonBernardo
@LaksonBernardo 2 ай бұрын
Asante doctor
@gastonkomanda5801
@gastonkomanda5801 17 күн бұрын
Hongera sana Mkuu Elimu Yako ni Muhimu sana.
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 3 ай бұрын
Ahsante doctor nimekuelewa vzr nipo similar na hivyo vyakula
@isaacochieng2415
@isaacochieng2415 3 ай бұрын
Asante sana Daktari nimepokea mafunzo kamili
@FrankMyamba
@FrankMyamba 20 күн бұрын
Asante doctor nimekuelewa
@StanleyAshiro
@StanleyAshiro 5 ай бұрын
Je. Kuinama sana mgongo kuuma inaweza kudhuru
@jumamohammed2748
@jumamohammed2748 6 ай бұрын
Nimekukubali sana dr
@DelightfulFjord-xe9ef
@DelightfulFjord-xe9ef 5 ай бұрын
Asante kwa elimu
@pacifiquemuzo7446
@pacifiquemuzo7446 6 ай бұрын
Shukrani sana
@johnmwenda7683
@johnmwenda7683 Ай бұрын
Doctor uko vzr sanaa aise nimependa somo lako
@hugholinemmasi1671
@hugholinemmasi1671 4 ай бұрын
Dr.asali ya nyuki wadogo ni tofauti na asli ya nyuki wakubwa Dr.
@olexanderj.6969
@olexanderj.6969 5 ай бұрын
7:21 Mpeni Daktari glasi ya kunywea maji.... kunywa maji moja kwa moja husababisha upungufu wa nguvu za kiume 😎
@ElsonMsuko
@ElsonMsuko Ай бұрын
Unatusaidia doctor barikiwa
@user-gk3ov7nr7o
@user-gk3ov7nr7o 2 ай бұрын
Asante docteur nimekupata kutoka Burundi
@user-yx5lv4pn4v
@user-yx5lv4pn4v 6 ай бұрын
Uko sawa docter
@williammarete3970
@williammarete3970 Ай бұрын
Doctor shikamoo! Ningeomba uzame zaidi kwenye sababu za kisaikolojia na jinsi zinavyoadhiri tendo la ndoa. Vyakula vina sehemu ndogo tu! Ila mwangalie sana huyo mwanadada! Kuna la zaidi anahitaji hupendi kuona!
@oscarsebastian3726
@oscarsebastian3726 8 ай бұрын
Nzuri sana,nimekuelew kamanda,endelea kudumu watanzania weng wanufaike na uwepo wako
@MwanumeWamkyungu
@MwanumeWamkyungu Ай бұрын
Ubarikiwe Doctor kwahilo somo.
@SalimSalim-ec9jo
@SalimSalim-ec9jo 6 ай бұрын
Waume musipate tabu mimi kama sadaka naitoa kwenu hii tumieni sana vitunguu saumu na karafuu tafuneni hivi viungo kunyweni na maji halafu mutashukuru.....
@barakaayoub3480
@barakaayoub3480 6 ай бұрын
Duuh
@samuhahamdan888
@samuhahamdan888 4 ай бұрын
Nitumie namba yako
@Mohaa4309
@Mohaa4309 3 ай бұрын
Yes
@mashakabagule3311
@mashakabagule3311 3 ай бұрын
Karafuu unatafuna kiasi gani
@rashidmollel529
@rashidmollel529 3 ай бұрын
Ati unasema?
@tatankakoroba48
@tatankakoroba48 6 ай бұрын
Well spoken
@Rabanus-Tv
@Rabanus-Tv 4 ай бұрын
Thanks doctor
@user-vn1qy8ow6j
@user-vn1qy8ow6j 6 ай бұрын
Dada umeongea vema kuhusu mazingira na uchafu yanachangia, Mimi mwanamke mchafu na maneno mengi nakosaga hisia naacha kabisa
@user-wc7ek6ir9h
@user-wc7ek6ir9h 5 ай бұрын
Nimefuatia vipindi vyako na nimefanya baadhi ya mazoezi (spel) zinanipa matokeo chanya tuko pamoja mungu atusaidie amen.
@davidkilimotips6276
@davidkilimotips6276 5 ай бұрын
Dr anaongea point saaana
@PhabianNgalu
@PhabianNgalu 2 ай бұрын
Ahsante kwa mafunzo doctor
@DitiLubava-id1rl
@DitiLubava-id1rl 2 ай бұрын
Nimeelewa thank you
@selemannestory1694
@selemannestory1694 6 ай бұрын
Hongereni sana
@user-fn3ko1ug7j
@user-fn3ko1ug7j Ай бұрын
Thank you so much 💓
@musakaziefuntv6995
@musakaziefuntv6995 6 ай бұрын
Hapo kwauchafu hapo mi nipo mungu asamehe comment yangu insha’allah
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr 6 ай бұрын
Nikeelii upungufu huu wangubu za kiuime ni shiida tanzania
@saimonwantango9569
@saimonwantango9569 6 ай бұрын
Docta umesahau,washauli wanaume wa dar,maharage hayafai na sukari kûtumia mda mchache kabla ya kwenda kweñye tendo Sasa dar unakuta maharage anachanganya na sukari,😅😅 bomu ndani ya bomu lazima adebhele na hata Kama ukila lazima tukumbuke na mazoezi
@user-dh1mw1gk8z
@user-dh1mw1gk8z 5 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@user-ki1mi8pf3b
@user-ki1mi8pf3b Ай бұрын
MashaAllah,mafunzo mazuri sana🙏
@ngelezabatende4528
@ngelezabatende4528 5 ай бұрын
Docta ubarikiwe sana mtu wa Mungu kwa mafundisho mazuri ya kiafia umenibariki sana
@mussamkali9926
@mussamkali9926 6 ай бұрын
Yaani wanaume wa dar hatutoboi kbs vyakura vyot ndo ivo
@JamalManzi
@JamalManzi 2 ай бұрын
Doctor yuko sawa kabisa japo appearance ni ya kiaskari😂
@fredotulia4941
@fredotulia4941 Ай бұрын
Nimependa hayo mambo umesema Daktari.
@user-bw1mb7uw9h
@user-bw1mb7uw9h 4 ай бұрын
Asante Sana
@benardsamson
@benardsamson 5 ай бұрын
Congratulations doctor
@LovelyCorgiPuppy-sp4cz
@LovelyCorgiPuppy-sp4cz 6 ай бұрын
Muko vyema sana❤
@FredMwambenja
@FredMwambenja 2 ай бұрын
Kweli upo vizuri docta
@elijahtille-ys5sc
@elijahtille-ys5sc 6 ай бұрын
Napenda mtu anaeongea vitu sahihi ambavyo nimekwishakufanya na kuona matokeo,nmekufatilia kwa kurudiarudia baaac ukaniongezea uhakika wa why am so strong na ni matokeo ya mengi uliozungumza...you are super broo
@tusajigwe7491
@tusajigwe7491 6 ай бұрын
Huyu jamaa anajitambua sio politique
@petingdavid9501
@petingdavid9501 6 ай бұрын
🎉❤🎉🎉🎉🎉
@petingdavid9501
@petingdavid9501 6 ай бұрын
​@@tusajigwe74910:00
@SolomonBitale
@SolomonBitale 6 ай бұрын
Nashukuru Dakitari Kwa mafunzo yako
@isayabomeza1371
@isayabomeza1371 5 ай бұрын
Uko vzr
@michaelaloyce2072
@michaelaloyce2072 7 ай бұрын
Hawa wanawake wanaomhoji inaonekana waume Zao Wana hyo shida. Wanahoji Kwa hisia sana. Docta ukimaliza jiongeze uwasaidie
@kassioothemiracle1688
@kassioothemiracle1688 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂 kwel kabisa
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 4 ай бұрын
Ni kweli
@user-bm4lw5db4l
@user-bm4lw5db4l 2 ай бұрын
Duuh
@lodvee1717
@lodvee1717 5 ай бұрын
Perfect...Huwezikula kitu dampo muda mrefu 😂😂😂
@gastonkomanda5801
@gastonkomanda5801 17 күн бұрын
Daktari Shuhkrani sana Ndugu yetu yaani umetujuza kwani Elimu Yako ni ya Manufaa sana katika Jamii.
@athumanimafugalo9917
@athumanimafugalo9917 6 ай бұрын
Huyu mwamba yupo vizuri sanaa
@japhetnyese2285
@japhetnyese2285 3 ай бұрын
Dokta nimekuelewa sana uposawa kbsa
@ElijusMpolya
@ElijusMpolya Ай бұрын
Uko vizuri docta
@user-vw8xd2iv2r
@user-vw8xd2iv2r 4 ай бұрын
Jambo zuri Doctor
@anwarsaid2008
@anwarsaid2008 6 ай бұрын
Pweza ana madini zink ya ambayo yanasaidiaa na kuhusika moja kwa moja na nguvu za kiume lakini haiwez kuwa busta ya siku moja ukanywe supu ukapata nguvu wengi wameaminishwa hivyo kifikra, ila pweza ana madini joto na mengino yanayosaidiaa mfumo mzima mwanaume kama atakuwa ndyo samaki wako kila siku basi unaweza kupata matokeo mazuri, na sio pweza tu kuna samaki wengineyo kama chanza ,mkunga n.k
@jumahamad3723
@jumahamad3723 14 күн бұрын
Apo kwenye mkunga baba umepatia sawa
@japhetnyese2285
@japhetnyese2285 3 ай бұрын
Aisee inapendeza kwa elimu na ufundishaji wako upo vizuri huposhi umezama ndani yasoma safi
@user-ck8cn7de2z
@user-ck8cn7de2z 6 ай бұрын
Umenifunza brother Asante nimekuamini
@adamnassoro
@adamnassoro 5 ай бұрын
Alicho kisema doctor ni kweli kabisa
@user-rh9cr9sp8m
@user-rh9cr9sp8m 5 ай бұрын
Nakuombea maisha marefu dockt
@MuntuAuguy
@MuntuAuguy 2 ай бұрын
Hongera 'ndungu kwa ushaurî kqfuti ni tunda ao tweleze 9:00
@isaacklameck8539
@isaacklameck8539 4 ай бұрын
Dr uko sawa
@sostenesnahonge1938
@sostenesnahonge1938 Ай бұрын
Very Good
@user-ie1kg5rj3h
@user-ie1kg5rj3h 5 ай бұрын
SHkrn doctor
@FarajaMakala
@FarajaMakala 6 ай бұрын
upo saw
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 6 ай бұрын
Dada wa Miwani nimekuelewa unaonekana Una uzoefu mno maana maswali yako duh 🙄😀😀😀 kama umekutana na matatizo yote😀😀😀
@raphaelboy7051
@raphaelboy7051 5 ай бұрын
Duuuh apanaa
@mussahf.m6000
@mussahf.m6000 3 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅nipe arafa yake
@user-ye3fy9kk6r
@user-ye3fy9kk6r 5 ай бұрын
Doctor uko sahihi,binafsi nishajichunguza kila baada ya mfungo wa Ramadhani nakuwa vizuri mno,so shida ya yote ni ulaji mbovu
@saadaluvanga7024
@saadaluvanga7024 6 ай бұрын
Perfect!
@jamesmkude3633
@jamesmkude3633 6 ай бұрын
Nimekusoma doctor upo very
@chrissrutatika7369
@chrissrutatika7369 5 ай бұрын
Watu wenye kisukari kula matunda ni changamoto.Kwa sababu.matunda yaliyomengi yana sukari.Km chungwa,embe,papai,nanasi,water melon nk.na tunazuiwa kula hayo na ukitaka kuyala kula kipande kidogo.Hapo tunafanyaje
@Mukisankuba-kq6wi
@Mukisankuba-kq6wi 5 ай бұрын
Nashukuru Docta kwa huo ufafanusi
@SolomonMUSSA-l9s
@SolomonMUSSA-l9s 7 күн бұрын
Pamoja Sana doctor
@user-pi8dq9qn3h
@user-pi8dq9qn3h 5 ай бұрын
Kwenye asali umekosea sana. Tafiti tunazoendelea nazo zinaonesha utofauti mkubwa Sana kati ya asali ya nyuki wanaodunga na asali ya nyuki wasiodunga. Fuatilia vizuri urekebishe hiyo sehemu
@user-um9yw6tl2u
@user-um9yw6tl2u 5 ай бұрын
Asante
@gastondofra9151
@gastondofra9151 6 ай бұрын
Ni kweli doctor
@user-dt4me2cw4m
@user-dt4me2cw4m 2 ай бұрын
Hili ni bonge la daktar mungu liongezee umri nokumba
@FredMwambenja
@FredMwambenja 2 ай бұрын
Safi docta
@divinekazige
@divinekazige 6 ай бұрын
Chakula gani kizuri kitumiwe basi?
@user-vt8qq3vj7e
@user-vt8qq3vj7e 6 ай бұрын
Guvu zakiume kwa hivi Sasa zinasababishwa na wanawake kutembea uchi hivyo niatomatikali
@user-if8ui7cz6o
@user-if8ui7cz6o 6 ай бұрын
Nimeupenda sana ushauri huu,ASANTE SANA DR.
@musakaziefuntv6995
@musakaziefuntv6995 6 ай бұрын
Kiufipi pweza sio tunavo aminishwa wow
@nelsonsimon2950
@nelsonsimon2950 4 ай бұрын
Nimekuelewa Dr,kumbe cha msingi ni kufuata maelekezo ndo ushindi utapatikana
@mustafamfilinge4450
@mustafamfilinge4450 3 ай бұрын
Mungu akupe umri mrefu ili uendelee kutuelimisha
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 33 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 84 МЛН
KWA WANANDOA TU - VYAKULA VINAVYOCHANGIA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME KWA WANANDOA
17:02
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
TAFSIRI YA NDOTO  KUOTA UPO SHULENI AU UNAFANYA MTIANI, NDOTO ZA KUOKOTA HELA, BY PST GODWIN NDELWA
6:30
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 56 М.
Did you see the photo?
0:20
Women Power
Рет қаралды 11 МЛН
БУКЕТ МЕЧТЫ НАСТОЯЩЕЙ СЛАДКОЕЖКИ😂😂😂
0:19
СЕМЬЯ СТАРОВОЙТОВЫХ 💖 Starovoitov.family
Рет қаралды 2,6 МЛН