KWANINI MUNGU HUFANYAKAZI ZAIDI KWA WALE WALIOJUA UKWELI UNAOHUSU USHINDI WAO|Mch.Amiel Katekela

  Рет қаралды 9,994

PROMOVER TV

PROMOVER TV

5 ай бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hiichat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 41
@machariakahia3697
@machariakahia3697 5 ай бұрын
Kenya,Muranga.Kwa Jina la Yesu Kristo aliyehai Amieli wanibariki sana
@elijahwambugu8301
@elijahwambugu8301 19 күн бұрын
Amen Yesu ni mambo yote
@EliidiEdward
@EliidiEdward 11 сағат бұрын
Ameeeeen
@user-ke8jv8tl2p
@user-ke8jv8tl2p 4 ай бұрын
Ameen
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 3 ай бұрын
Halleluyha
@nancyisoyi8164
@nancyisoyi8164 5 ай бұрын
Hallelujah ❤❤❤❤ UJASILI kwa JINA LA YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@FloridaSyombua
@FloridaSyombua 5 ай бұрын
Amen amen nimemjua Yesu na uweza wake na madhabahu za mashetani hazina nguvu tena juu ya maisha yangu
@mossesezekiel7862
@mossesezekiel7862 5 ай бұрын
Amina sanaa!!! Ashukuliwe MUNGU atupae kushinda kwa BWANA WETU YESU KRISTO
@SIMONPIUS-wu1cs
@SIMONPIUS-wu1cs 3 ай бұрын
Tupendane kama arivyo tupenda bbyetu
@rosemwende9961
@rosemwende9961 5 ай бұрын
Amina, nabarikiwa nikiwa Kenya,
@fedhajoseph7687
@fedhajoseph7687 5 ай бұрын
Amen Amen kubwa utukufu na heshima kwa Yesu kristo alie hai tunashukuru kwa huduma zote unazo zifanya mtumishi katekela.
@SIMONPIUS-wu1cs
@SIMONPIUS-wu1cs 3 ай бұрын
Mungu akubariki
@annajotham9478
@annajotham9478 5 ай бұрын
Mubarikiwe sana kabisa
@marianchamba3898
@marianchamba3898 5 ай бұрын
Amen mimi nimzima kwa jina la yesu kristo
@user-uk2cz3ws4k
@user-uk2cz3ws4k 5 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi,nabarikiwa sana
@annambembela6661
@annambembela6661 5 ай бұрын
Amina mtumishi mungu akutie nguvu sana nimejifunza mengi kupitia kwako
@Kingsalumoni
@Kingsalumoni 5 ай бұрын
Amen
@user-sd4yc7gb8c
@user-sd4yc7gb8c 5 ай бұрын
Amen glory to God,barikiwa mtumishi akuinue unapoendelea kutufundisha
@violetnasimiyu8718
@violetnasimiyu8718 5 ай бұрын
Haleluya utukufu kwa Mungu
@EddahMwakipesile
@EddahMwakipesile 5 ай бұрын
Amina ,Mungu akutunze akulinde tunategemea sana ujumbe wako baba.
@ikambombutolwe6321
@ikambombutolwe6321 5 ай бұрын
Amen barikiwa mtumishi wa Mungu.
@EddahMwakipesile
@EddahMwakipesile 5 ай бұрын
Tunakufatilia kutoka Tukuyu Mbeya
@mpandawiliam5390
@mpandawiliam5390 5 ай бұрын
Ameni sana.
@RoshaniLifeStyle
@RoshaniLifeStyle 5 ай бұрын
Hallelujah!!! Glory to JESUS!!
@rudgerleonard7164
@rudgerleonard7164 5 ай бұрын
Aminaa
@user-uz7kv2nj9o
@user-uz7kv2nj9o 5 ай бұрын
Amina ubarikiwe 🙏🙏🙏 Mchungaji
@raelnangila3006
@raelnangila3006 5 ай бұрын
Haleluyaah 😮😮😮😮
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 5 ай бұрын
Amina Amina iwejua iwe mvua injiri itahubiriwa
@AzAz-sy6zp
@AzAz-sy6zp 5 ай бұрын
Aminaa ubarikiwe san mtumishi nipokea
@Mwasame_Official1
@Mwasame_Official1 5 ай бұрын
Tuko pamoja mchungaji
@user-ph2xx4xv4e
@user-ph2xx4xv4e 5 ай бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏
@user-yy6xh6tm2g
@user-yy6xh6tm2g 5 ай бұрын
Amen lakini mwanamke kuungi kichwa wazi kanisan ni vizuri??
@marykalinga8878
@marykalinga8878 5 ай бұрын
,......
@evalyneayo-xo3lp
@evalyneayo-xo3lp 5 ай бұрын
Mtumishi mbona ulifundisha tusisuke weaving mbona mama kanjekela kasuka jamani tukae upande upi ssa
@flm1530
@flm1530 5 ай бұрын
Ww fwata biblia inavyosema kuwa usisuke
@agnesmtimba5524
@agnesmtimba5524 5 ай бұрын
Alisema Kama unae Roho Mtakatifu wa kukuchagulia zisizo na satanic code namba
@flm1530
@flm1530 5 ай бұрын
@@agnesmtimba5524 sio alisem biblia inasem msisuke kbs wal kuwek vitu bandia
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 5 ай бұрын
Kuhusu kusuka anachofundisha mtumishi ni sahihi ila mke wake kutokutii neno hayo ni maamzi yake kwakuwa kila mtu ataubeba mzigo wake. Tatizo la wake za wachungaji walio wengi wao huwaona waume zao kwenye nafasi moja tu ya mme nafasi ya mchungaji hawaioni hivyo hawako tayari kujifunza wakati waume wao wanapokuwa madhabahuni.
@user-ee3sl8lt7k
@user-ee3sl8lt7k 5 ай бұрын
Amen
@user-sx6xb2hg3l
@user-sx6xb2hg3l 5 ай бұрын
Amen
@user-wt9kj7gl1i
@user-wt9kj7gl1i 5 ай бұрын
Amen
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 15 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 62 МЛН
Israel Mbonyi - Heri Taifa
14:21
Israel Mbonyi
Рет қаралды 252 М.
MWENYEZI MUNGU WA ZAMANI ZOTE - PAPI CLEVER & DORCAS Ft MERCI PIANIST : MORNING WORSHIP 184
6:51
Mch Moses Magembe -MATOKEO YA KUFUFUKA KWA YESU - SONGEA 03
2:09:37
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 2,6 М.
EE BWANA NAKUPENDA  AND RAHA JIPE MWENYEWE [NEEMA MWAIPOPO cover] done by Minister Danybless
21:17
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 4,7 М.
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН