Kwanini nakosoa serikali nikiwa nje ya nchi?

  Рет қаралды 46,740

SK Media Online TV

SK Media Online TV

5 жыл бұрын

Najibu swali la Aloyce Nyanda wa Star Tv leo Juni 24 2019 anayehoji kwanini nakosoa serikali ya Magufuli nikiwa ughaibuni

Пікірлер: 204
@arafatyhussein
@arafatyhussein 2 ай бұрын
Hongera sana, Kazi nzuri mzee wangu🙏
@asacconlinemedia5343
@asacconlinemedia5343 2 жыл бұрын
Hongera sana Ansbert ngurumo. Kukuelewa wewe kunahitaji mtu mwenye afya njema ya akili.
@malingazeboss9351
@malingazeboss9351 3 жыл бұрын
Kweli mkuu, serikari hii imejaa mavi kichwani.
@johakhimu.mgembe.3297
@johakhimu.mgembe.3297 4 ай бұрын
❤Saluti kijana.ndio Wajibu wa Mwana habari.Shujaa.Tupe Uelimisho wa Taamuri..
@gervassikapundwa9632
@gervassikapundwa9632 4 жыл бұрын
Ongea baba
@akiliiddtuliza418
@akiliiddtuliza418 5 жыл бұрын
Freedom of expression
@juliasmuyinga7865
@juliasmuyinga7865 5 жыл бұрын
Wewe nimpumbavu midevu yako kanyoe kwanza
@hkaluminium2007
@hkaluminium2007 4 жыл бұрын
Kaka nakuelewa sana ww ni mwandishi nguli sana
@LissaJonas
@LissaJonas Ай бұрын
😂😂😂 Anacheza cheza na laptop 3:44
@winfredcanaan582
@winfredcanaan582 4 жыл бұрын
Nimekuelewa sana baba
@hamisially-c4x
@hamisially-c4x Күн бұрын
Gd sana
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 4 жыл бұрын
Nimeishia kucheka tuuuuuuu!!!Wabongo wameelimika wanataka Maendeleo Awataki porojo.Ahahahahahahaha kazi ipo.
@joshuaswai8203
@joshuaswai8203 Жыл бұрын
Wewe ni kamanda Kama wengine na Hawa Akili ndogo hawajitambui br
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 5 жыл бұрын
Mwehu tu Hao ndo viranza. Rudi bongo tukunase nyooo
@songombingo108
@songombingo108 8 ай бұрын
Wanaokushangaa ni wale walikuwa wadogo Sana wakati unaandika Makala zako. Hawajui ulikotoka. Sasa wamevunja ungo na akili imeanza kukua ndo wanajikuta wakikutilia mashaka.
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 8 ай бұрын
Ni kweli.
@chrispinjoseph5652
@chrispinjoseph5652 5 жыл бұрын
Unazeeka vibaya mzee rudi nyumban uongelee huku kama kweli uko sahihi unachokifanya
@asherykambona9168
@asherykambona9168 5 жыл бұрын
Mmuue! kazi yenu
@loner_wolf
@loner_wolf 4 жыл бұрын
Msengerema anapojifanya mnyamongo .....hahahaaaaa
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 5 жыл бұрын
Matusi sio dawa ,au kujua sana, teteeeni hoja,sio matus ,kwani sisi ni binadam kesho haupo au Leo haupo,je M,mungu ambae nyote mkipata matatizo mnamlilia atawapokea na matusi yenu?
@barikiwa22
@barikiwa22 5 жыл бұрын
Ndio ujue uwezo wa kufikiri kwa vijana wengi ni mdogo sana, low IQ, wanakurupuka hovyo!
@rajabkisebengo9406
@rajabkisebengo9406 3 жыл бұрын
@@barikiwa22 sawa kbs barikiwa mihemko inatuponza sana vijana
@rajabkisebengo9406
@rajabkisebengo9406 3 жыл бұрын
Alafu baada ya kumskiliza kwa utulivu ili kuchambua mambo wajue kwa kina wao kulupu matusi
@papayatnzania1005
@papayatnzania1005 5 жыл бұрын
Ukiona jitu lina mimvi kwenye ndevu basi pana mashaka kichwani
@alimsemakweli1376
@alimsemakweli1376 3 жыл бұрын
NASAHA NZURI: TUACHE MATUSI KWA NJIA YEYOTE ILE,,, KAMA MTU HAPENDEZEWI NA CHOCHOTE KILE BASI ANYAMAZE... TUKIFANYA HIVYO TUTAKUWA WAVUMILIVU NA MASHUJAA KTK USTAWI WA JAMII ZETU,,,, AHSANTENI
@kaimuulongo9590
@kaimuulongo9590 3 жыл бұрын
Nakubali
@AmosNicas
@AmosNicas 10 ай бұрын
Bigup
@amenyekibona8730
@amenyekibona8730 5 жыл бұрын
vipi familiya yako umehama nayo ama umeitelekeza,,, brother kuwa na aibu ughaibuni siyo peponi. ulaya wamechoshwa na wakimbizi like You
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 2 ай бұрын
Akili Mali serekali inakosolea nyinyi wajinga njaa kali mnamtukana huyu jamaa dah nayeye ndo anaetutetea wanyonge
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 5 жыл бұрын
Huyu ni zwazwa kipofu
@mathewilekwamack6778
@mathewilekwamack6778 Жыл бұрын
Kila ukitoa clp najitahidi kukufuatilia unaongea mambo mazuri na yenye kujenga nchi yetu sasa hawa wanatuongoza yani hata hawastuki bado wanakomaaa maisha yao bila kujali wananchi wao nasi wananchi hata hatujitambui ipasavyo tunawoga wa kutoshaaa
@anodmwambinga507
@anodmwambinga507 4 жыл бұрын
Asimsifia mkuu basi huyo si mzalendo acheni uzwazwa
@hamismasoud8306
@hamismasoud8306 5 жыл бұрын
Wewe ni mtumwa mbwa wa wazungu huko 😎😎
@rosenamilia4140
@rosenamilia4140 5 жыл бұрын
Tunamshukuru Mungu kwa ukuu wake wa kutuonyesha Leo,Sasa na hata Jana. Kesho hatuijui. Nasikitika kukusikia kwa majidai eti umepata zawadi. Je unawasaidiaje wanyonge Watanzania?.Naona maneno maneno tuweke chini ya karpeti ibaki ,HAPA NI KAZI TU.
@asacconlinemedia5343
@asacconlinemedia5343 2 жыл бұрын
Hivi unyonge wa Watanzania upo wapi? Nani Mwasisi wa huo unyonge?
@gracemima5234
@gracemima5234 3 жыл бұрын
Bwana Ngurumo maana ya ushamba maana yake ni nini?
@philemonmwakipos4859
@philemonmwakipos4859 5 жыл бұрын
kama anachotenda magu ni chema, kwa nin mkasirike. alafu kuikosoa serikar sio uhain. wala kuichukia serkal sio uhain, uhain ni kuliftn taifa lako
@goodluckyaugustu.1583
@goodluckyaugustu.1583 5 жыл бұрын
Mkataa kwao ni utumwa...unaenda kujigamba ugenini duuuuhhh....mimi ni mwana technology njoo TZ weka rejeo tushiriki na kufahamiana kiujuzi...Acha acha kufurahia kudhalilika!!!!"Njoo tuandikie makala Coco beach acha uhewa ankali"
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 5 жыл бұрын
Pumbavu ss huku tuko busy na JPM , we endelea tu kutumika, bila tija na mabeberu
@charlesmpemba9387
@charlesmpemba9387 5 жыл бұрын
We pia mshamba.
@bwerumaster6691
@bwerumaster6691 5 жыл бұрын
Huyu bwana hawezi kurudi kwani amejipa ukimbizi kwa visingizio vya kisiasa kwamba serikali itamuua. Kwa hiyo hii ndiyo biashara yake kutukana
@myself4128
@myself4128 10 ай бұрын
Sio kujipa ukimbizi mbuzi wewe,kwani hujui Watu wnaauwawa na wengine wanapotezwa kimya kimya kwa kuikosoa Serikali?Kuna Uhuru gani Tanzania au kuna Amani ipi zaidi ya utulivu wa kinafiki tu sababu ya uoga wetu na ndio maana Umasikini umeweka Kambi hapa Nchini,Acha watu wakatafute maisha sehemu binaadam anathaminika sio Hapa Tunaishi kama misukule,
@myself4128
@myself4128 10 ай бұрын
Kwa hiyo ulitaka Abakie Tanzania ili afe??Kuna Mitaahira kibao hii nchi
@salmaothuman4799
@salmaothuman4799 4 жыл бұрын
Senge hili zee mxuiiiiiiiii
@msongeomary6195
@msongeomary6195 4 жыл бұрын
Huna lolote mpumbafu na ndevu zako njoo sasa fanya kazi acha mzee awanyoshe wanao mnyoshea kidole huna lolo Njoo nchi uongee hizo pumba zako mtuwa we
@georgemageta6277
@georgemageta6277 5 жыл бұрын
Wewe jinga tu moja huna kazi za kufanya
@alexpeterkabululu488
@alexpeterkabululu488 5 жыл бұрын
Matusi in kipimo cha kufirisika akiri kizazi hiki kinataka majibu na usuruhishi
@gataonyango9294
@gataonyango9294 Жыл бұрын
Washamba na niwajinga wa karne ya kumi na nane
@eustacevenant4567
@eustacevenant4567 4 жыл бұрын
Wewe HUWA unapoongea huongo wakupasua NCHI kumbe ni Wewe Wala you don't hve points!
@zefamange7281
@zefamange7281 5 жыл бұрын
MPISHE JPM AFANYE KAZI YAKE, MPUMBAVU WEEE
@margaretwambete1228
@margaretwambete1228 5 жыл бұрын
Mjinga ni zefa 👹👺
@zefamange7281
@zefamange7281 5 жыл бұрын
@@margaretwambete1228 andika jina lako vizuri
@mtanzaniahuru6203
@mtanzaniahuru6203 4 жыл бұрын
Nadhani kwa sasa wewe unaongoza kwenye upumbavu. Nilitegemea unashauri kumbe wewe unaharibu pole sana na utabaki kuishi utumwani miaka yako yote.
@stanslausangelus8714
@stanslausangelus8714 5 жыл бұрын
Ningeshangaa kama WATU kama wewe wangekosekana katika jamii mpo lkn mwisho ubaya in AIBU tu!
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 Жыл бұрын
Waandishi asilimia kubwa nimapandikizi
@J4UPro
@J4UPro 5 жыл бұрын
Wewe Huna akiri kukosoa kila kitu.
@malingazeboss9351
@malingazeboss9351 3 жыл бұрын
Yupo sahihi but wewe kwakuwa unafirwa huwez kujua anachosema ngurumo
@salehestambul5535
@salehestambul5535 5 жыл бұрын
Mbona yupo kama shoga fulani hivi.
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 5 жыл бұрын
Salehe Stambul Anaonekana kama mtu anayefirwa firwa na mabeberu.
@almasjuma4194
@almasjuma4194 4 жыл бұрын
Wewe mjanja njoo tz uoupara utachemka
@saidipara4134
@saidipara4134 Жыл бұрын
Umesha sema upo nnje sasa ya ndani yanakuhusu nini?matako wewe nyie ndio munaetusabishia ss tuzidi kuminywa.
@dicksonmajaliwa3296
@dicksonmajaliwa3296 5 жыл бұрын
Good msema kweli hapendwi sema yaukweli usiweke yauongo mungu yu nyuma yako
@HASASON
@HASASON 5 жыл бұрын
Hahaha Ona sasa unavyoishi maisha ya taabu na upweke, huna rafiki huna ndugu huko huna uhuru uliodai Tanzania haikupi, matokeo yake unaishi kama bundi mwenyewe huku ukifanya kazi ya kitumwa kuihujumu taifa lako, wewe, kibendera lissu, wale makatibu wa ccm na mahaini mengine mtakufa vifo vibaya sana sababu ya kuihujumu Tanzania na chaguo la Mungu JPM, na hiyo ni bado mtapitia wakati mgumu sana sababu uhaini hauna mafao bali aibu maisha yote
@michaelmasalago5397
@michaelmasalago5397 4 жыл бұрын
WEWE MCHOZI LAKINI UZURI SASA HIVI SERIKALI YA MAGUFURI INACHAPA KAZI TU HAINA POROJOPOROJO MLIZOZIZOEA. Mshamba mwenyewe
@loner_wolf
@loner_wolf 4 жыл бұрын
Cjakuelewa lkn mzee .... Swali umejibu wapi Sasa...
@helunia
@helunia 4 жыл бұрын
Swali la kwanza la kuuliza ni: kwa nini mtu yupo nje ya nchi. Si kwa sababu serikali imemkosea?
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 Жыл бұрын
Hakuna ushamba ujibu tu,, swali liko vizuri sanaaa
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo Жыл бұрын
Limejibiwa. Hukusikia?
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 Жыл бұрын
@@AnsbertNgurumo limejibiwa kwa nongwa sana,, haikuwa sawa kuanza kulifikiria kwa kulibeza na kusema la karne ya ngapi huko,,
@butungo1
@butungo1 5 жыл бұрын
Nadhani sipendi kukusikiliza tena
@gataonyango9294
@gataonyango9294 Жыл бұрын
Huna lolote
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 4 жыл бұрын
Ww mwandish uchwara njoo uone tunavyolisongesha nyani jike ww
@lutufyojason2598
@lutufyojason2598 5 жыл бұрын
Proud of you gentleman!
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 5 жыл бұрын
Kama hakuna mtu wa kukuzuia, njoo useme huku,,,,,!!!!!
@malingazeboss9351
@malingazeboss9351 3 жыл бұрын
Unagongwa wewe
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
@@malingazeboss9351 wewe unafirwa!!
@emanuelgaddafi7651
@emanuelgaddafi7651 5 жыл бұрын
Hovyooooooo kibaraka weye
@missmwayway4704
@missmwayway4704 3 жыл бұрын
🤔🤔🤔kwani hili ndo nani tena Jamaniii mbona silijui
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 5 ай бұрын
Wewemissmwauluway kwamba huyu mwamba humjui, basi hata UCHI wako huuju Shenzi Pumbavu Kabisa!
@eligiuselias4469
@eligiuselias4469 5 жыл бұрын
Mtaongea itafika hatua mtanyamaza tu😯😯
@hassansamata9696
@hassansamata9696 5 жыл бұрын
I love Tz..umekosa radhi yawazazi wako ndio maana umekua chizi
@almasjuma4194
@almasjuma4194 4 жыл бұрын
Wewe nimpuuzi hufai
@petermwacha9909
@petermwacha9909 5 жыл бұрын
Kwani ulizuiliwa kukosoa ukiwa huku we mpumbavu?
@peterjohn1969
@peterjohn1969 5 жыл бұрын
Wewe ongea tuu mdomo siwakwako ataulipii kodi wala uweki luku
@evansmlalo4049
@evansmlalo4049 5 жыл бұрын
Kosoa sana unaruhusiwa. Mbona Musiba anatukana watu hovyo. Mimi nasema kesi za kuishitaki Serekali bado ndio zimeanza na bado kesi za kumshitaki Magufuli mwenyewe. Anamlipa Musiba mamilioni atukane watu na kuwachafua huku akimfanyia kampeni. Ndege zimenunuliwa kwa fedha za watu waliofilisiwa. Kila mmoja afungue kesi popote Duniani kudai fedha zake. Musiba ni mjinga fulani tu. Bila kuacha hiyo tabia yake kesi zitajaa kote kuidai Serekali ya anayejiita Magufuli.
@peterjohn1969
@peterjohn1969 5 жыл бұрын
@@evansmlalo4049 una maana yoyote wewe katika nchi ii wewe umelaaniwa namimi sikuzote zamaisha yako apa nduniani utokuja kupata akili wewe na uzaowako milele mtakua watumwa atakizazi cha3 na cha4 kwakua unaadabu na watanzania.
@bigowillythomaskayanda7763
@bigowillythomaskayanda7763 4 жыл бұрын
@@evansmlalo4049 ,, Musiba amemtukana nani bro,, !!?
@nyembomajid907
@nyembomajid907 Жыл бұрын
mzee jibu swali kwa nini unakosoa serekali ukiwa mbali?
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo Жыл бұрын
Hukusikia jibu? Sikiliza.
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 8 ай бұрын
Kwani mataifa yanayokosoa serikali mbali mbalimbali na wakati mwingine kuwekea vikwazo wanakuaga ndani ya hizo nchi nafikiri tunaongea na wachanga sana wapiganaji wa uhuru walifanya hivo wakiwa nje ya nchi zao Samora ni mfano Mseveni pia nk nk walikuwa hapa Tanzania na kwingineko LAKINI waliweka pressure mpaka Mreno akaondoka shida ni kwamba hakuna somo la historia ya waliokomboa nchi zao ili kizazi hiki kijue tumetoka wapi tuko wapi na tunaelekea wapi ukikosolewa unajifunza unajitambua unakubali unabadilika unaleta mtazamo chanya wenye kuonyesha njia hongera kwa kuwa mvumilivu kwa kutojibu kwa matusi
@alihijiiddi8977
@alihijiiddi8977 3 жыл бұрын
MAKUFULI HUYO NDIO ANAVYO FUNGA FUNGA
@morefireministrychurch177
@morefireministrychurch177 5 жыл бұрын
Pumbu mtu mzima ovyo ujinga na uzee ndio tatizo lako
@malingazeboss9351
@malingazeboss9351 3 жыл бұрын
Huyu yopo sahihi but wewe kwakuwa unafirwa ndomana huna uwezo wakufikiri
@marafundujenzi4315
@marafundujenzi4315 4 жыл бұрын
Huna maneno kafiee mbele pumbavu
@kenedrocky5964
@kenedrocky5964 2 жыл бұрын
KWELI KABISA NDG YANGU.
@GozbertAliseni-vp6kj
@GozbertAliseni-vp6kj Жыл бұрын
Watu.wanapiga.kuranje.nimwandishi.gani.aibu
@edwinmathias129
@edwinmathias129 5 жыл бұрын
una ongea pumba tu brother
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 5 жыл бұрын
Sawa tu. Hata pumba zina faida kwa wenye akili wanaojua jinsi ya kuzitumia.
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 8 ай бұрын
​@@AnsbertNgurumousibishane na watoa matusi jibu wanaokokosoa kwa hoja
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 5 жыл бұрын
Mshamba huyu!!!!
@malingazeboss9351
@malingazeboss9351 3 жыл бұрын
Huyu Yuko sahihi bahna but tunatakiwa kujua serikari ya tz niyakishamba haiwezekani ufanye unavyotaka wakati katiba ipo
@robisonikadogo7371
@robisonikadogo7371 Жыл бұрын
Anae kuzomea uyo atazomewa na ulimwengu
@eaglecrown3872
@eaglecrown3872 5 жыл бұрын
rudi nyumbani kumenoga bro.
@deogratiashaule5224
@deogratiashaule5224 5 жыл бұрын
the most hopeless creature.mnayoyakusudia hamtafanikiwa.mlikwishashindwa kabla hamjaanza.wakala wa wasioitakia mema Tanzania.aibuuuuu.
@johnmachota4286
@johnmachota4286 Жыл бұрын
Safi Dana ngurumo
@bathromeobalisimula7166
@bathromeobalisimula7166 5 жыл бұрын
Fala we. Miaka 20 Kama mtz ulikuwa wap? Ovyoooo....
@jamesrobare522
@jamesrobare522 5 жыл бұрын
Pumbavu zako mbwa Koko CCM jiwe kwani lazima awe kwenye praise and worship team ya jiwe!km umechukia it's simple meza tikiti maji.
@ummykapera4660
@ummykapera4660 4 жыл бұрын
kweli mshamba ni wewe;njoo tukuchague wewe bac fara wewe;unasaidia nini?
@tatusaid1223
@tatusaid1223 5 жыл бұрын
mkia hautikis ng'ombe
@gilberthndakidemi7358
@gilberthndakidemi7358 5 жыл бұрын
Mshamba mwenyewe shoga wew hata ukirejea tz ufunuliwe uchunguzwe kijeshi
@sir.josephmbeya7017
@sir.josephmbeya7017 5 жыл бұрын
Gilberth Ndakidemi .Wewe ni mkubwa wa hao Mashoga.
@suleimamhamad116
@suleimamhamad116 5 жыл бұрын
Hata wewe Ni mshamba mkubwa zaidi na uso huruma Wala ubinaadamu, munataka kuiharibu Tanzania kuwa Ruanda . Mushindwe kabisa Mungu awalani ndio musiojulikana nyie sasa munajulikana mmoja mmoja.
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 5 жыл бұрын
Wewe ni mnafiki na wazungu wameshachoka wakimbizi kwenye nchi zao ipo siku utarudishwa!
@HappnessYohanaRohongo
@HappnessYohanaRohongo Жыл бұрын
😏😏
@jeromeruhele3059
@jeromeruhele3059 5 жыл бұрын
We ni kibaraka tu huna lolote
@godloveadamu4379
@godloveadamu4379 5 жыл бұрын
Ukisoma comments hizi,utajua Tanzania hii ya sasa co ya kale.wala hatukusikiiiiiiiii
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 5 жыл бұрын
Nazipenda kama nini! Endeleni kushindilia. Ongezeni matusi. Nayo sehemu ya uhuru wa kujieleza tunayotetea, na kila mtu hufanana na kile kinachomtoka.
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 8 ай бұрын
Sema humsikii usisemee mwingine
@anthonynsojo7169
@anthonynsojo7169 5 жыл бұрын
Mimi nilikuwa nasoma saana makala zako tangu enzi hizo na nilizipenda kwa kudhani ulikuwa unaandika kwa kumaanisha. Nimepata mashaka kama kweli ulikuwa ukimaanisha uliyokuwa ukiyaandika baada ya ujio wa RAIS Magu. Rais JPM ameaddress mapungufu mengi saana ya serikali zilizomtangulia. Amehuisha matumaini ya wanyonge wengi saana ambao hapo awali walijua haki zinapatikana kwa wenye fedha na nafasi fulani kwenye serikali au chama tawala tu. Chini ya JPM hakuna mtu anaweza kumtishia mtanzania yeyote kwa sababu ya utajiri wake, cheo chake, au kujuana kwake na fulani. Na kiukweli waathirika wakubwa wamekuwa ni wanaCCM waliokuwa wakifaidika na mfumo uliokuwa unawapendelea na kuwapa fursa za kufisidi Nchi. Ni dhahiri kama binadamu anaweza kabisa akawa na mapungufu yake, lakini kwa mpinzani honest kabisa atakiri kuwa JPM anafanya kazi nzuri saaana kwa nchi yetu. Pengine utakaporudi utakuja kukiri utakapojionea kazi ya JPM.
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 5 жыл бұрын
Anthony Nsojo Huyo msaliti na mwizi hawezi akarudi TZ. Akithubutu kurudi tu atawekewa bangili mikononi na kusukumwa ndani. Usishangae!
@bonnyngowo7567
@bonnyngowo7567 3 жыл бұрын
Demokrasia,mauaji ya kiholela,utawala bora n.k??????
@lazarojohn6762
@lazarojohn6762 Жыл бұрын
Uhai wa mtu unadhamana kubwa sana kuliko mibarabara yenu na vidaraja vyenu
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 6 ай бұрын
MAGU ALIJUWA KULA NA VIPOFU (HAO WANAOMSIFU SIFU KAMA MAZUZU.) MNAIKUMBUKA HOTUBA YA MWAL. NYERERE YA MEI MOSI 1995 JIJINI MBEYA? KTK HOTUBA ILE ALITOA MFANO MMOJA WA TAPELI: ALISEMA ANAWEZA KUJA TAPELI, ANA ALMASI BANDIA IKO NDANI YA KICHUPA INANG'AA KAMA ALMASI HALISI NA WEWE UNAYO ALMASI HALISI LAKINI HAING'AI HALAFU TAPELI ANAKUAMBIA ALMASI YAKE NDIYO HALISI YA KWAKO NI BANDIA ANAKUAMBIA CHUKUWA YAKE UMPE YAKO NA WEWE UNAMPA YAKO HUKU UKISHANGILIA KAMA ZUZU!!! HAKIKA MFANO ULE AMBAO MIMI NAUITA UNABII WA MWAL. WA MEI MOSI 1995 ULITIMIA 2015 TUKAMPATA TAPELI!!!! NAJUWA ZUZU HAWEZI KUKUBALIANA NAMI, LAKINI NAKUHAKIKISHIA KUWA UKIFANYA JAMBO JEMA SANA LAKINI HUKU UKIKUSUDIA JAMBO OVU NDANI YAKE NI SIFURI!!! WAJINGA WENGI HUDHANI KUWA AKIDHILUMU(AKIIBA) HALAFU AKAJENGA NYUMBA YA IBADA MSIKITI AU KANISA ATAPATA DHAWABU, LAHASHA, ILA JEHANUM INAMSUBIRI KWA UWIZI WAKE!!! NI KWAMBA UKITENDA JEMA KIASI GANI KWA KUVUNJA SHERIA JAMBO HILO HUWA NI BATILI. HUYU MNAYEMSIFU KWA MAENDELEO NA KUPITIA MAENDELEO HAYO ALIJINUFAISHA BINAFSI KWA KUZITUPILIA MBALI KABISA SHERIA ZA MANUNUZI AMBAZO NI MAALUMU KUDHIBITI UBADHIRIFU!! KAMA SI ZUZU NAWEZAJE KUMSIFU MTU ANAYE JENGA DARAJA I KWA GHARAMA YA MADARAJA 2 KWA MFANO? HAPA KAZI HUYU ALISIMAMA JUKWANI NA KUTUAMBIA KUWA DUNIANI KOTE HAWANUNUI NDEGE KWA TASLIMU (CASH) YEYE ANANUNUA KWA TASLIM HOJA NI PESA IPO WAKATI HUKU MTU HUYU HUYU ANAKOPA FEDHA KWA SIRI NA HIYO ILIKUWA NDIYO SABABU YA KUTHIBITI VYOMBO VYA HABARI NCHINI ILI VISIANDIKE MAOVU YAKE KAMA HAYO!!! MSISAHAU ILI UPATE TENI PA SENTI LAZIMA UNUNUE CASH HAPA DHAHIRI KILICHOKUWA KINAKUSUDIWA NI KUJIPATIA TEN PER CENT HUKU AKIJUWA ANALIUMIZA TAIFA MASIKINI KWA MANUFAA YAKE BINAFSI LAKINI MAZUZU WALIKUWA WAMEKODOREA MACHO KASI YA MAENDELEO WAEREVU WAKISHUHUDIA KASI YA UBADHIRIFU WA KUTISHA PAMOJA NA MAISHA YA AKINA ANSIBERT NGURUMO KUWA HATARINI KWA SABABU YA KUUPIGIA KELELE UOVU WA MTU YULE TAPELI WA KUTISHA!!! OGOPA KUMPENDA MTU KULIKO MUNGU.
@dallas1413
@dallas1413 5 жыл бұрын
Wee kichwa Aise rudi bongo basi uendeleze kukosoa. Tuna kutamani ile mbaya 💪
@maulidhijja8998
@maulidhijja8998 5 жыл бұрын
Bro ayo unayosema ni zilipendwa si zama hizi za mjomba Magu!!
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 5 жыл бұрын
Waekewa tunakuelewa sana!! Washamba na mafara ndo wanashangili upuuzi!! Hata nyerer angekuwepo asingechekelea ujinga ktk uongoz was nchi!!!
@hassanmirambo564
@hassanmirambo564 5 жыл бұрын
RAPHAEL SAMWEL mwambie akutafutie basha huko alipo ili umfuate na wewe
@princebashaijarwazo622
@princebashaijarwazo622 5 жыл бұрын
Nadhani ni vema kukosoa maoni kwa hoja badala ya matusi, tuepuke fallacy wapendwa, hoja ni je yanayosemwa na mhariri yapo na yanatokea au ameyatunga hayapo nchini hapa?!!!
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 8 ай бұрын
Una akili hekima busara na ufahamu ukiona mtu anayetoa matusi tena machafu ujue kuanzia malezi yake ni ya kutukana vinginevyo unamjibu mtoa hoja kwa kutoa mwelekeo na kukanusha maelezo yako kwa hoja na mifano matusi hutolewa na wasioelimika
@bahishaalexander3641
@bahishaalexander3641 5 жыл бұрын
Hivi Huyu mnamuelewa kweli? Eti anasema kazi yake ni kukosoa Maraisi, halafu Mbona Kama unaropoka vitu ambavyo vinatudhalilisha Kama taifa, halafu ukamwangalia kwa umakini anaonekana Kama mmbea mmbea tangu utotoni mwake, na hii itawezekana ikawa ni madhara ya mtoto kuwa karibu Sana na mama kuliko baba, mala nyingi wanakuwa na vitabia vya umbea umbea Kama Huyu mwandishi, maneno yake yanaonyesha ana tabia ya kebehi iliyopitiliza, unajua kukosoa siyo tatizo, tatizo ni namna unavyowasilisha ukosowaji katika mamlaka za juu. Ukosoaji ni lazima uendane na uungwana, staha, uzalendo na heshima Kama ilivyo desturi ya watanzania.
@alfredlimu308
@alfredlimu308 5 жыл бұрын
Huyu hafai kwa lolote kwa nchi kama Tanzania na huko alipo analipwa na waajiri wake
@josephdogani3419
@josephdogani3419 4 жыл бұрын
ukosefu wa elimu ,uwezo mdogo wa kufikili na kupambanua mambo ,uduni wa akili na I q ndogo in chanzo kikubwa cha komenti nyingi za kumpinga na kumzodoa mwandishi anayezungumza.nasikitika sana kusema kuwa watu wenye ufahamu wa panzi na wasiojua tulipo na tunapoelekea hukosoa na kukashfu watu wenye busara.
@naimasuleiman5334
@naimasuleiman5334 5 жыл бұрын
TUNAKUSHANGAA SAANA MJINGA MWENYEWE
@bahatidamiani8546
@bahatidamiani8546 4 жыл бұрын
Kaombewe mwehu wewe , kakosoe mkeo , kwanza were si mzalendo, nyoaa midevuuu
@pgabbermusic5423
@pgabbermusic5423 5 жыл бұрын
Hahaha njoo bongo wakuoneshe kua wewe ni mwanamke kamili kipara hicho kitaota nywele na hao walikupa tuzo hajui kukugeuza vizuri njoo bongo wapo wageuzaji
@ericrukamba6802
@ericrukamba6802 5 жыл бұрын
Wewe kaa huko huko usirudi tena Tz , hamna anayekuzuia kuongea pumba mdomo ni wakwako fanya unavyo tako lakini iko siku utapatikana usifikili huko uliko ni mbinguni hakufikiki mjinga mkubwa.
@bahishaalexander3641
@bahishaalexander3641 5 жыл бұрын
Nice comments I liked it !Mr. Eric .
@papadimayo1chanel.747
@papadimayo1chanel.747 5 жыл бұрын
Hakuna swali la kijinga bali kuna majibu ya kijinga. Unapaswa kujibu Kwa hekima siyo kutukana.
@gerazijjemba1186
@gerazijjemba1186 4 жыл бұрын
ill.litakua.shoga
@andrewmsungu2535
@andrewmsungu2535 5 жыл бұрын
Kumbe kukosoa nako ni kazi? Duuuhhhh tafuta kazi nyingine kaka sisi tuache tuchape kazi uungwana ni vitendo
@raphaelphaustine9408
@raphaelphaustine9408 5 жыл бұрын
Nakuelewa sana Bro love you
@obedigubabwengebwenge210
@obedigubabwengebwenge210 5 жыл бұрын
Raphael Phaustine
@mamamaria8840
@mamamaria8840 5 жыл бұрын
Obedi Guba Bwenge Bwenge mpuuzi ni ww Huna lolote you are an imperialist stooge. Toka 1967 tulikuwa na watu kama ww sell outs!! Sishangai kusikia Huijui Tanzania ya sasa
@mtengulerashid7868
@mtengulerashid7868 5 жыл бұрын
Kama kweli.wewe umekwenda jando na unajiamini rudi hapa tz tuone jeuri.yako
@msilunguilunguotobisotobis4748
@msilunguilunguotobisotobis4748 5 жыл бұрын
Mjinga wewe bwabwa tu
@josephkasika6755
@josephkasika6755 5 жыл бұрын
Unalipwa na Nani boya.
Ushauri wangu kwa Rais Samia: Kuwa kama Mandela, usigombe 2025
12:17
SK Media Online TV
Рет қаралды 8 М.
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 9 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 17 МЛН
Box jumping challenge, who stepped on the trap? #FunnyFamily #PartyGames
00:31
Family Games Media
Рет қаралды 18 МЛН
USHINDI WA MWABUKUSI NA ATHARI SABA ZA DHULUMA YA DOLA KWA WANATAALUMA
12:02
TUMWEPUSHE RAIS SAMIA NA KUFURU HIZI ZA KIJINGA
11:34
SK Media Online TV
Рет қаралды 73 М.
TANZANIA BILA MAGUFULI: ALIPENDWA KAMA ALIVYOCHUKIWA
21:19
SK Media Online TV
Рет қаралды 22 М.