No video

MAKONDA NA JERRY SLAA WAINGIA KWENYE 18 ZA LEMA "WANAIDHALILISHA SERIKALI"

  Рет қаралды 35,864

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Күн бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZfaq : www.youtube.co...
Tiktok. www.tiktok.com...

Пікірлер: 152
@piusmaduka
@piusmaduka 4 ай бұрын
jiwe la gizani limewapata chadema. JPM alishasema ukiona mpinzani anakusema sema ujue umemtwanga kisawasawa. Big up makonda kumbe uliwatwanga bro
@recenttechnologiestanzania2703
@recenttechnologiestanzania2703 4 ай бұрын
Sasa mpinzani unamtwangaje wakati hawajawahi kuchukua serikali
@recenttechnologiestanzania2703
@recenttechnologiestanzania2703 4 ай бұрын
Waziri anachokifanya pia ni maigizo watu wanatafuta kampeni kwa nini mamlaka ya ardhi isiwajibike mpaka aje waziri na je huyo waziri atafikaje vitongoji vyote nchi hii
@EnockKanduli-cv8yr
@EnockKanduli-cv8yr 4 ай бұрын
Kilaza.unaishi kwa maziwa ya ccm
@awadhally1052
@awadhally1052 4 ай бұрын
Kwel kabisaaaa
@robertlary6007
@robertlary6007 4 ай бұрын
Arusha ni HIP HOP lakini Lema analeta TAARABU Jukwaani, Makonda kwasasa ni mkuu wa mkoa wa Arusha.
@user-dr8ft9ye1k
@user-dr8ft9ye1k 4 ай бұрын
Wewe ni mujinga sana hauna jipya umezeeka
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 4 ай бұрын
Wewe kijana unalipi? Kenge kuwa kijana wa kusikiliza kwa umakini siyo kubeza vitu vya msingi!
@monicamwita7865
@monicamwita7865 4 ай бұрын
Amezeeka kama wewe
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 4 ай бұрын
Wajinga wanajuana na wazee wanajuana hizo ndizo za mbogamboga hawana madini kichwani wana matusi​@@monicamwita7865
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 4 ай бұрын
Ndio Waziri ajaye huyo! Mungu tusaidie!
@costamasuba1099
@costamasuba1099 4 ай бұрын
Lema ni akili kubwa ,mungu akubariki sana unasimamia ukweli mkuu hongera sana,elimu kubwa hiyo mkuu,jangwa litoe chakula ,aridhi yenye rutuba haitoi chakula.
@MICHAELSYLIVANUS-ig5pk
@MICHAELSYLIVANUS-ig5pk 4 ай бұрын
Pole,Rudi Canada.
@robertlary6007
@robertlary6007 4 ай бұрын
Akirudi Canada tutakosa taarifa 😂😂😂
@sambulugu9988
@sambulugu9988 4 ай бұрын
Sasa wewe unamwita mwenzako Boya unategemea wananchi wakuone una akili wewe!
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 4 ай бұрын
Hamna jipya hebu semeni yenu wananchi wenye akili watafautisha lipi bora nyie kazi yenu kukosoa tuuuuuu hebu tupeni sera zenu tutafautishe lipi bora kwetu huna sera kakojoe ukalale uaiku mkubwa
@dianamakyara4210
@dianamakyara4210 4 ай бұрын
Lema tunakuelewa sana,wasiokuelewa wakalale
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 4 ай бұрын
Watanganyika hawa hawakuishi enzi za Nyerere ameanza na CCM iliyokufa kwahiyo hawajitambui kabisa na hawawezi kuona ubaya wa CCM inavyoenenda.
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si 4 ай бұрын
Kweli chadema mzigo , lema mziiiiigoo! Lisu mzigoooo! Yaani hakuna Sera
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 4 ай бұрын
Tupe sera
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 4 ай бұрын
@@nabimanyafesto5014RUZUKU iongezwe 😢😢😢😢😢
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 4 ай бұрын
Madini tuuu hakuna pumba
@bulunjamalimikulwa4876
@bulunjamalimikulwa4876 4 ай бұрын
Wafanye, mnasema! wasipofanya mnasema, sasa ww lema upo upande gani ww
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 4 ай бұрын
Tatizo la kuelewa kwako ni tatizo unaweza ukawa unatumia Cha Malawi hutoelewa kinacho zungumzwa hapo darasani yawezekana ulikuwa kilaza!
@issarashid3575
@issarashid3575 4 ай бұрын
Lema Hiyo njaaa sasa kaka tafuta kazi nyingine umekuwa kama mchambaji
@robertlary6007
@robertlary6007 4 ай бұрын
Arusha ni HIP HOP lakini Lema analeta taarabu Jukwaani, kazi Iendelee 🇹🇿
@valenakomba7686
@valenakomba7686 4 ай бұрын
WEWE LEMA ACHA WIVUU. HALAFU HAKILI HUNA KABISA . HATA HAO WANAO KUSIKILIZA HAWANA KAZI. HATA MIMI HAPA SIFURAHII MAMBO MENGI YANAUOGINYWA NA CCM. LAKINI PALE WANAPOFANYA VIZURI , INABIDI UPONGEXE. HALAFU UNAJIITA MTU WA MUNGU?. WEWE UNA ROHO YA CHUKI NA WIVU . HAYO UNAYOYAONGEA HAPO NI UCHONGANISHI.. 😮😮. KWA KWELI WEWE SIYO MWANASIASA NI MPIKA MAJUNGU TUU.
@robertlary6007
@robertlary6007 4 ай бұрын
Mwanasiasa mpiga majungu ni sawa na muimba taarabu, Arusha ni HIP HOP, welcome RC Makonda to Arusha, kazi Iendelee 🇹🇿
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 4 ай бұрын
Hayonimawazo yako lakini sisi tunamwamini MH Lema, kwahiyo TUsubiri uchaguzi wahaki tuonembichi nambivu
@nivahnehemiah5765
@nivahnehemiah5765 4 ай бұрын
Mpuuzi sana huyu.kila kitu kwenu ni kibaya
@PeterNMzee
@PeterNMzee 4 ай бұрын
Nadhani makonda na jerry wapo tu sawa..... Magufuli nae pia Ali jitahidi Sana.... Ushauri wangu pale ambapo pana ukweli tuseme kweli..... Sina maana taifa halina changamoto, kuna changamoto San za uongozi. Tukifanikiwa kupata kiongozi mzuri huko juu uwezekano wa kuibadilisha maisha ya Tanzania upo
@rahmazahor4333
@rahmazahor4333 4 ай бұрын
Wapinzani bwana kila kitu wanapinga tuu ....Sasa wakifanya kazi mnalalamika ....wasipo fanya mnalalamika ...
@robertlary6007
@robertlary6007 4 ай бұрын
Bila wapinzani hauwezi kushinda, watoa taarifa wanahitajika ili taarifa zao zichujwe kwenye chujio na zitumike kuleta maendeleo kwenye Jamii husika. Battle ya Lema na Gambo itasimamiwa na mwenye Mkoa wake mteule MAKONDA
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 4 ай бұрын
Vijana mwendo wa kujikomboa kifikla nchi hii ni yetu sote mungu ametupa sisi na vizazi vyetu tusikubali kuitwa chawa wala kutumiwa na wakuu uzalendo mbele jipende na ipende nchi yako nzuli tz ni wewe mkombozi wa tz jitambue
@user-dr8ft9ye1k
@user-dr8ft9ye1k 4 ай бұрын
CCM sio mbaya viongozi wachache ndo wanaiharibu tanzania, jembe silaah, na jembe makonda, na jembe aweso, na jembe , bashungwa, na jembe majaliwa, na jembe, biteko, na polepole, makamu wa Rais na ummy mwalimu hao wana tosha kuivusha tz
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 4 ай бұрын
We Ni miyeyusho Tu mkimbizi uchwala😂😂
@humphreynyiti516
@humphreynyiti516 4 ай бұрын
Huyu jamaa huwa namuelewa sana
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 4 ай бұрын
Ongelea Sera za maana
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 4 ай бұрын
Lema unazingua brother acha wivu makonda na jeli wako sawa ata magufuri mlikuwa mnaponda hivi hivi ndiyo mahana nawachukia ifikie mahala ikitokea mtu ananafasi ya kusaidia watu mwache asaidie siyo kumkatisha tamaa KWA UFUPI WEWE NDIYE BOYA.
@user-nr3uw7bq1r
@user-nr3uw7bq1r 4 ай бұрын
Mwambie babako amsaidie basi
@sokoineMollel-nc5rc
@sokoineMollel-nc5rc 4 ай бұрын
Chadema ni wababaishaji
@nicolaskalunde
@nicolaskalunde 4 ай бұрын
Nakukubali sn roll model wangu 👏👏 upo sahihi.. Tunakariri mno ila wenye akili ndgo hawawez kuelewa. Akili itumiwayo na ccm ndio ileile kila mwaka hakuna advancement. Kusifiana tu bac
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 4 ай бұрын
Rudi Kanada Una passport mbili
@robertlary6007
@robertlary6007 4 ай бұрын
Akirudi Canada tutakosa taarifa 😂😂😂
@user-iq7kk7my4s
@user-iq7kk7my4s 4 ай бұрын
Sasa huyu jamaa yan anaeleza siasa za kipuuz..uko arusha unasimulia vitu unavoona kama move marekani..ulisha waona hawa wala jan kama watoto wako, tena unawambia boda sio kaz , wew umetoa ajira ngapi mfano sasa...wew njaa2 huna lolote .
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 4 ай бұрын
Huna JIPYA lema rudi tu CANADA UKAPEWE STAMP RUZUKU HUKU NI YA MBOWE TU
@user-fc9zq6xt4m
@user-fc9zq6xt4m 4 ай бұрын
Yupo kwenye majukumu take acheni wivu akuna ambae hajui matatizo ya ardh
@user-lr4pj1hr8h
@user-lr4pj1hr8h 4 ай бұрын
LEMA NI MWENDAWAZIMU, ACHA WATU WAFANYE KAZI, PUNGUZA WIVU
@anethkajuna4941
@anethkajuna4941 4 ай бұрын
Wallah, mtayasema mtayamaliza mate yatakauka kwenye midomo yenu. Makonda ni yuleyule jana leo na kesho na husiyemtaka kaaajaaaa.
@yapukahassan
@yapukahassan 4 ай бұрын
Pumba 2pu
@simumbaken4902
@simumbaken4902 4 ай бұрын
Acha wivu
@xxxl-jf2ji
@xxxl-jf2ji 4 ай бұрын
Acha uwongo usimchafue jerry maneno ya mkosaji hayooooo
@Tg.7_7
@Tg.7_7 4 ай бұрын
Kwa hili la Jerry Slaa Mh. Lemma sikuungi mkono, kazi anayofanya Jerry ni ya kupigiwa chapuo sana!! Yale si maigizo!!
@sakayonsakihunga3496
@sakayonsakihunga3496 4 ай бұрын
Fact
@sakayonsakihunga3496
@sakayonsakihunga3496 4 ай бұрын
Navipi kuhusu kubomoa nayo ni act
@user-ul9ur7ss9s
@user-ul9ur7ss9s 4 ай бұрын
Kazi ya upinzani ni kupinga tu hata kama ccm inafanya kazi vizuri. Ndio maana mimi nilishaipuuza chadema kabisa.
@EnockKanduli-cv8yr
@EnockKanduli-cv8yr 4 ай бұрын
Kilaza wewe. Hata Lema humuelewi?
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 4 ай бұрын
Njaa zinatuuma tupe sembe acha kuongea pumba msee😢😢
@valenakomba7686
@valenakomba7686 4 ай бұрын
SASA HIYO NDO KAMPEENIIII? AU NINI?. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@restitutalucian78
@restitutalucian78 4 ай бұрын
Wivu kidonda baba
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 4 ай бұрын
Ndio wanasiasa wabongo hata watu kusaidiwa ni nongwa.
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 4 ай бұрын
Wengi wanaomsikiliza lema ni wahuni hakuna wenye akili timamu ccm hoyeee
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 4 ай бұрын
Kweli kabisa NI wahuni tena NI vijana waliojikatia tamaa wanatafuta japo wapate falaja maana wengi wamesoma hawana ajila NI vijana maskini hao ndio wanaomsililiza watoto wa wakubwa hawana MDA wa kumsikiliza MTU kama huyo na hawawezi kumwelewa maana anayosema sio shida zao
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 4 ай бұрын
@@SmilingCityMap-xb9md yani wewe kwa akili zako kuna kijana apo alie soma na hana ajira mm niko chuga nasema nacho jua hao ni wahuni tu na hawapigagi kura mda wa kura wanakua na hangover
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 4 ай бұрын
Ni kweli hawajasoma maana elimu yao haijawasaidia chochote wamaishia kuwa boda boda na machinga waliosoma wako wanakula nchi na kuluhusu uuzaji wa pombe kali mpaka kwenye vituo vya mabasi ili vijana waliojikatia tamaa kwa kukosa ajila walewe na wasikumbuke hata kupiga kula ​@@PrinceHendry-hp8vv
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 4 ай бұрын
Kwa utimam wako wa kiakili ukiondoa akili za uchawa na ukiondoa ushabiki wa kiccm unaona wote wanaoonekana pale kwenye mkutano wote NI wahuni na wote NI wallevi ​ ? Hivi Kwa nini kila wakati CCM mnataka kutufundisha kuona na kutufundisha kufikili ? Kama mnavyotaka yaana mmetawala lasilimali zetu ardhi yetu a mwangawa kama njugu Kwa wageni sasa mwataka kudumaza fikla za vijana wote wafikili Kwa fikla za kichawa chawa na kuwasujudia wakuu huku wanapigwa fimbo za mgongo na hiyo ndio hekima za wa CCM wote wanatamani watz wote tuombe pambio za wakuu wanaupiga mwingi wanaupiga mwingi na Hali twalazimika kufanya KAZI ngumu na mikono yenye Pingu za chuma @@PrinceHendry-hp8vv
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 4 ай бұрын
​​ukiondoa akili za kichawa chawa kweli unaowaona hapo kwenye mkutano wote NI wahuni na wote NI walevi jamani hivi Kwa nini CCM majalibu kudumaza fikla za vijana wote wafikili na kuona kama mnavyotaka au mwataka vijana wote wawe na mitazamo ya kichawa chawa na kuomba mapambio ya wakuu wanaupiga mwingi wanaupiga mwingi na Hali twalazimika kufanya KAZI ngumu na mikono yenye Pingu za chuma@@PrinceHendry-hp8vv
@user-id6xo9td6k
@user-id6xo9td6k 4 ай бұрын
Akitoke.mtu akawasimamia. Wanyonge kwa haki zao, kwenu ni mbaya,halafu mtu huyo anatamani kuwa kiongozi wa wananchi ni mshangao.
@erickmsigala138
@erickmsigala138 4 ай бұрын
Wanyonge gani anasimamia makonda au ni uboya na umasikini ccm wanajua aslimia 90 ya watanzania ni Mipumbavu wanacheza na ujinga wenu hakunamtetezi wawa nyonge ccm
@user-id6xo9td6k
@user-id6xo9td6k 4 ай бұрын
Sisi masikini na maboya ndiyo tuna wahitaji watu wanamna hiyo. Kuliko wahuni kama lema..
@robertlary6007
@robertlary6007 4 ай бұрын
Lema usiempenda kaja. Makonda ameteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha. Kazi Iendelee 🇹🇿
@ramadhanibahati2829
@ramadhanibahati2829 4 ай бұрын
Huna lolote ,maneno ya unafiki tu
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 4 ай бұрын
Hivi hawa ni wana siasa au ni vibaka?
@awadhally1052
@awadhally1052 4 ай бұрын
Hawa ni vibakaaaa
@abubakariramadhani1372
@abubakariramadhani1372 4 ай бұрын
Uko sawa
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 4 ай бұрын
Ongea sera acha habari Za watu 🐞🐞
@augustinomhanje9225
@augustinomhanje9225 4 ай бұрын
Lema unamawazo mazuri sana ila tatizo ni kwamba hayawezekani kwa sababu zifuatazo. 1.Nchi hii inaangamizwa na wanasiasa ndiyo . 2. Nchi hii inaangamizwa na wezi na mafisadi. 3.Nchi hii inaangamizwa na uvivu wa watanzania. 4. Nchi hii inaangamizwa na watu weupe. 5. Nchi inaangamizwa ma unafiki na chuki. Mwisho kiongozi ambaye angeweza kuifikisha mahara pazuri alikuwa JPM mimi sioni kuongozi mwengine yeyote ama kutoka Upinzani au Chama tawala wote nyinyi ni watu wa ngonjela tu. Afrika tumekaliwa na watu wa maghalibi na ndiyo maana hata aje kiongozi mzuri kiasi gani ambaye anataka kuinua afrika atauwawa tu. So mjomba lema afrika ni ngumu kwa mtindo huo .
@uwezashehemba5367
@uwezashehemba5367 4 ай бұрын
Lema hunajipya kila kitu unaponda ulivyokua mmbuge ulisaidia nini
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 4 ай бұрын
Huo moto -Mwenge ni agano la imani walilofanya waasisi wa taifa letu kwa ajili ya umoja amani na upendo....na ujue nchi yetu kwa hayo iko sawa
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 4 ай бұрын
Wewe ungekuta baba Yako anafuga majini ungeendelea kuyafuga?
@user-zz2sn2et4t
@user-zz2sn2et4t 4 ай бұрын
Nakukubarigi Sana rema unajuwasiasa
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 4 ай бұрын
Lema tatizo lako unajifanya unajuwa kila kitu .Umekuwa muingizaji ???!!!
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 4 ай бұрын
Maskin kamanda lema hivi unasoma coments kwa kifupi rudi Canada kachek mke na wanao kwa ubunge arusha sahau
@usafiaps318
@usafiaps318 4 ай бұрын
Lema Napemda Sana Hoja Zako,Lakini Kwa Tabia Yako Hii Uliyoionyesha Kwa Wanasiasa Wenzako Hufai.Siasa Sio Ugomvi Wala Chuki;Utawachukia Wangapi???.Jifunze Kwa Kiongozi Wako Mbowe.
@GeorgeDamas-tn5ph
@GeorgeDamas-tn5ph 2 ай бұрын
Lema acha watu wapige kaz kaka
@joyeemollel2092
@joyeemollel2092 2 ай бұрын
Hv Lema siunyamaze
@BonaventureJohn-mk6xh
@BonaventureJohn-mk6xh 4 ай бұрын
Big up Lema, wenye akili tunakuelewa
@user-on4jf2tu7m
@user-on4jf2tu7m 4 ай бұрын
Imepenya Lema hiyo ❤
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 4 ай бұрын
Siasa tu lema muongo
@issaramadhani9141
@issaramadhani9141 4 ай бұрын
Hizi siasa ukichunguza wanaoumia ni wananchi na hasa wasioweza tafakari, kila serikali duniani watendaji wasiowaadilifu hawakosekani kipindi cha Magu wakati anawawajibisha hawa jamaa walisema udikteta watu wanateswa leo unasema iundwe sheria wahujumu wafungwe miaka 40 , watu wanashida nyingi na wanahitaji kusaidiwa. Siasa zetu hazilengi uhalisia wa kutatua kero za wananchi bali kila chama kinaangalia mwenzake anafanya nn na wakiona kitawaletea shida wanakiponda badala ya kutoa ushauri namna ya kuboresha. Tutaumia sanaaaa
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 4 ай бұрын
Mr. Kila mtu ni mhujumu uchumu kwani yeye magu wabunge wake tuliwapigia kura????
@coolruler6820
@coolruler6820 4 ай бұрын
Hujielewi kalale,,,,inawezekana kama umeona bs mamlaka umekabidhi kwa mkeo
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 4 ай бұрын
Ndio sera hizooo!😂😂😂 halafu mmekaa mnachekelea! Jamani!!
@uwezashehemba5367
@uwezashehemba5367 4 ай бұрын
Huna jema Rema mtu anatatua kero za watu unampoda hivi wale watu walosaidiwa hujapenda
@user-hs7vq1jo2q
@user-hs7vq1jo2q 4 ай бұрын
Mh kiukweli wanao kwenda kwa viongozi kama jerry slaa nikweli wana shida ya ukweli na nikweli wanashughulikiwa sana na wengine ni wa chadema na ccm
@BonaventureJohn-mk6xh
@BonaventureJohn-mk6xh 4 ай бұрын
Ni kweli wanashughulikiwa lakini anachosema Lema ni kwamba kati ya vitongoji elfu 75 vyenye watu maelfu Kwa maelfu utawafikia wachache mno. Lakini idara zilizopewa dhamana kisheria zilizosambaa nchi nzima zikisimamia majukumu haya Kwa kumaanisha ni rahisi Kila mwenye changamoto kuhudumiwa
@yohanamsongole6489
@yohanamsongole6489 4 ай бұрын
Wanao mwelewa lema nima chizi
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 4 ай бұрын
Kabisa wanatakiwa waende mirembe 😢😢
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 4 ай бұрын
Aseeee ,naona machawa wa comedy wanatepeta hasaaa huyu ndo Lema bwana huyu Lema ni nguli na jabari la siasa za Arusha Tanzania na Afrika kwa ujumla kwanza huwezi kumlinganisha makonda na jabali hili la arusha
@vt-kn6qf
@vt-kn6qf 4 ай бұрын
Kwa kweli chadema sio chama cha upinzani bali chaupotovu na matusi pia wivu
@adamkapolo8817
@adamkapolo8817 4 ай бұрын
Hapo umeharibu lema nimeshaanza kukudharau
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 4 ай бұрын
Ndondocha la mbowe hilo na misukule yao
@user-mh1vw6fw7t
@user-mh1vw6fw7t 4 ай бұрын
Lema huwa nakuelewa kuliko mwanasiasa yeyote mwaga madini mkuu
@OmariKayuki
@OmariKayuki 4 ай бұрын
LEMA SIJAWAHI KUMWELEWA NI BOYA SANA
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 4 ай бұрын
WELL SAID MR LEMA GODBLESS
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 4 ай бұрын
DUANZI WEWEE !!!SUREE
@YusufSwaibu
@YusufSwaibu 4 ай бұрын
Huyo Rema Ni mwendawazimu kama wenzake badala ya umeleza mikakati ya chama chake ya sera za kuwavutia wananchi wabunge yy Kazi yake kuwasema watu wewe una chembe za ushoga?
@HusenNdwata-yb6nw
@HusenNdwata-yb6nw 4 ай бұрын
Chadema ni watu wanaojitambua ccm mtafute kazi za kufanya tumewachoka
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn 4 ай бұрын
Lema una akili
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 4 ай бұрын
Lema nimjinga sana huna hoja .makonda na slaa wanakuhusu acha uhuni na ujnga wako .Hoja huna chochote . Lema nitapeli na mhuni kabisa .
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 4 ай бұрын
Mm napenda sana wapizani lkn hawa si wapizani ni waropokaji tu wache kuongea ujinga wekeni makosa serekali na nakusema mkipewa nchi mtafanya nini ambayo serekali imeshindwa lkn kukejeri MTU anae fanya jambo jema utaonekana tu muongeaji ovyob lkn kwa maana anayo fanya jery nimakosa au anayo fanya makonda nimakosa kwahiyo tukiwapa kazi amtafanya hy bs pigeni kelele tu maana sioni mkipata na ona miaka 100 ya CCM madakani akuna wakuwatoa
@livingstonekabantega
@livingstonekabantega 4 ай бұрын
Wanakosoa Kila kitu
@adamkapolo8817
@adamkapolo8817 4 ай бұрын
Kila kitu kibaya nyie wapinzani mmekosa ubunifu
@HassanSaleheSima
@HassanSaleheSima 4 ай бұрын
Hunaga zuri wewe kazi yko ni kuchambua tu,au uwe mchambuzi wa kisiasa
@saidimdoe5246
@saidimdoe5246 4 ай бұрын
Wananchi wanataka hoja mkipewa nchi mtafanya nn
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 4 ай бұрын
Na unao wajuwa wewe wanahoja zipi? Maana hapo hujamwelewa Lema Basi darasani ulikuwa kilaza kabisa wewe!
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 4 ай бұрын
Wakipewa nchi wanaifilisi siku mbili tu hawa WAHUNI 😢😢😢😢😢
@soudnassor2956
@soudnassor2956 Ай бұрын
Mtu yoyote aliyesikilia clip za DR Slaa kuhusu ardhi na akisikiliza ya kwako ww Lema basi ww ndio utaonekana Boya la nguvu Hata huyo Makonda basi bado wewe Lema ni Boya maana unaongea pumba tupu hapo
@mejamiela7436
@mejamiela7436 4 ай бұрын
Makonda mumuache tu jmn anauthubutu sana
@hadijamatunda3691
@hadijamatunda3691 4 ай бұрын
Lema mimi nakuelewa nakupenda mpaka rahaa
@user-hn7uv4yg2q
@user-hn7uv4yg2q 4 ай бұрын
magufuli alifanya hivyo mlimuita dikteta
@barikitemba4401
@barikitemba4401 4 ай бұрын
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 4 ай бұрын
Lema kwa komedi anafaa
@designdesign4426
@designdesign4426 4 ай бұрын
HUYU KAONGEA MDA MLEFU LKN HAJAONGEA POINT, JINSI YAKUSAIDIA JAMBO APO NDO UJUE UONGOZI KIPAJI ,ANAPIGA MAJUNGU TUUU TUAMBIE UNAJAMBO JIPYA GANI?
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 4 ай бұрын
Asante bro kwa kuwaumbua hawa wevi na wanyanganyi
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 4 ай бұрын
Hanhanha kweli.wanatuliga.chenga za.macho
@FursaOnlineTz
@FursaOnlineTz 4 ай бұрын
🎉
@alfrediaugustino1026
@alfrediaugustino1026 4 ай бұрын
Yaan lema ukianzaga kuogea huwa natuliaga sana uko makini saa wewe
@endwardntandu3736
@endwardntandu3736 2 ай бұрын
We we ni ubongo was fisi acha watu wafanye kazi were ni kenge tu
@tedyalifons924
@tedyalifons924 4 ай бұрын
Lema nikweli unaongea Watu ni wasanii sana
@user-oo1vz3zi1t
@user-oo1vz3zi1t 4 ай бұрын
Wacha maneno yako ya chuki binafs achana nahao vijana wanafanyakaz bila ubabaishaji
@stevenkatani3047
@stevenkatani3047 4 ай бұрын
Rema bhan
@user-wh1bv2pj2d
@user-wh1bv2pj2d 4 ай бұрын
Ww njaa inakuumizaa hakuna lako Tena arusha tafuta kazi ya kufanya tapeli ww?????
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds 4 ай бұрын
Kamanda pamoja sana wananchi tuwe macho ni mbinu tu ya kupata kura 2025 wanajifanya wanasikiliza watu hamna kitu
@ericrukamba6802
@ericrukamba6802 4 ай бұрын
Unaongea upumbafu, alafu wajinga wanashangikua😂😂😂
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 4 ай бұрын
Lakini kwa nini wafanya kazi tunaowalipa wao wako kusababisha shida tu. Waziri anatakiwa kuhakikisha wafanya kazi wanafanya wavyotakiwa badala ya kuwa madalali ya viwanja vilivyo na watu tayari na kufanya kiwanja kimoja kuwa na watu zaidi ya mmoja haya maovu ndiyo Slaa anatakiwa arekebishe siyo kuhama ofisi awe ofisini kusawazisha mambo. Kwa kuwa mmezoea kurundika mahali pamoja ati mtatuliwe matatizo. Out of 100 wanatatuwa matatizo 5kwa kutumia siku nzima. Wakati watu wanejaa uwanja. Nimekaa Inchi nyingi za wafrika vituko vya Tanzania sijawahai kuviona hata kwa Inchi yo yote ile ila nimevikuta hapa kwetu Tanzania. Ama kweli !
@AdamuJuma-tp1xr
@AdamuJuma-tp1xr 4 ай бұрын
Kelele za chura
@edwinmeenda9171
@edwinmeenda9171 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@Flaviosafari
@Flaviosafari 4 ай бұрын
Lema Akili kubwa.Mtamuweza wapi?
Businessman Jimi Wanjigi arrested after surrendering to DCI
4:02
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 36 М.
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 18 МЛН
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 38 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 33 МЛН
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 7 МЛН
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 18 МЛН