No video

Lema, Mnyika Waliamsha Tena Dude Bungeni

  Рет қаралды 362,820

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Jana miswada mitatu inayohusu madini ilisomwa bungeni kwa mara ya kwanza jana. Miswada hiyo iliwasilishwa kwa hati ya dharura kama ambavyo Rais Magufuli aliliomba Bunge lipitie upya sheria na mikataba ya madini. Bunge pia limeongezwa muda hadi July 5.
Wakati anapokea ripoti ya pili ya Kamati Maalumu ya Uchumi na Sheria kuhusu Taarifa ya Makinikia, Rais Magufuli aliliomba Bunge kupitia upya sheria na mikataba yote ya madini na gesi ili kuiepusha nchi kuingia katika mikataba mibovu.
Baada ya kuwasilishwa kwa miswada hiyo jana, Mbunge wa Kibamba, John Mnyika (Chadema) aliomba mwongozo wa Spika, ambapo aliliomba bunge kuondoa hati ya dharura ya kujadili miswada hiyo.
“Muda mfupi uliopita tumekabidhiwa ratiba ya bunge, serikali inaleta miswada mitatu kwa hati ya dharura, mwaka 1997 mikataba ya madini ilipitishwa haraka haraka, mikataba ya ngesi hivyo hivyo,
“Kazi ya bunge ni kutunga sheria, sisi ndio wawakilishi wa wananchi, kwa umuhimu wake na maslahi kwa wananchi, sisi wawakilishi tulitakiwa kukutana na wananchi, hivyo ni bora ikasomwa leo kwa mara ya kwanza na hati ya dharura ikaondolewa na kuletwa bunge lijalo.
“Kwa maelezo uliyotoa wadau wataitwa kwa short notice wafike Dodoma kujadili, sisi wabunge vile vile, miswada mitatu inaletwa tuichambue. Huu ni mtego kwa kutufanya tushindwe kuishauri serikali kwa kazi yetu ya kibunge”. Alisema Mnyika
Baada ya kauli hiyo ya Mnyika aliyoitoa jana Bungeni, leo Zitto Kabwe(Mbunge wa Kigoma-ACT Wazalendo) amepingana na kauli hiyo ambapo amesema Hoja ya hati ya dharura anayoizungumzia Mnyika ni dhaifu kwa sasa.
WEBSITE: globalpublishe...
FACEBOOK: / globalpublishers
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpublishers

Пікірлер: 84
@morandkaro5843
@morandkaro5843 7 жыл бұрын
Hongera mnyika
@nurumohamed1606
@nurumohamed1606 5 жыл бұрын
Huyu jamaa ni very genius special one
@betholuoga9381
@betholuoga9381 6 жыл бұрын
mnyika upo sawa wapizani wamedai sana mikataba mikubwa hususani ya madini ijadiliwe bungeni...serikali imekuwa ikibaki nayo eti ni confidential.. upuuzi...thank to Magufuli amekuwa msaada kwenye rasilimali za nchi
@hilalirusule6741
@hilalirusule6741 4 жыл бұрын
Good hayo unayo yasema takuwa nyumbani kwako wahamasishe wajinga wenziyo wenye akiri hawawezi kukuelewa unaumwa akiri
@fantsonmpango7742
@fantsonmpango7742 6 жыл бұрын
Safi sana mnyika na Lema
@tumainonesmo2150
@tumainonesmo2150 6 жыл бұрын
Honger upinzan
@winifridamunibi8891
@winifridamunibi8891 4 жыл бұрын
Jaman mnyikaaa💓💓👍👍👍
@SamSam-bn8db
@SamSam-bn8db 6 жыл бұрын
Tanzania kuendelea kiuchumi sahau coz maelewano hakuna hata kwenye ukwel, Bungeni ndo mlitakiwa kuwa kitu kimoja ili kuifiiisha nchi mahali husika, badala yake ndo haya.
@maiidd58
@maiidd58 4 жыл бұрын
Ww na uchumi wa Kati umefikaje 🙄🙄🙄
@djjoopitare2818
@djjoopitare2818 6 жыл бұрын
Daaaaah najivunia mbunge wangu lemah anaongeaga ukwel mungu amlinde tuu
@juliussupeethmollel5928
@juliussupeethmollel5928 6 жыл бұрын
Lema tuko pamoja na ww watatusoma. mwaka 220
@marcoaloyce9846
@marcoaloyce9846 6 жыл бұрын
DJJOO Pitare najy
@tedystanley8889
@tedystanley8889 6 жыл бұрын
Upinzani ndo kila kitu, Mungu awabariki sana
@kenjrnganzi478
@kenjrnganzi478 7 жыл бұрын
Nchi haiwezi piga hatua kwa mwendo huu wa wabunge wa ccm kusema kila kitu ndiooo
@prosperjohn6
@prosperjohn6 7 жыл бұрын
kiukwel upinzan unaonewa sana daaa
@dioflaurent447
@dioflaurent447 4 жыл бұрын
Prosper John s
@bonabonala7685
@bonabonala7685 6 жыл бұрын
Kweli lema upo saws IPO siku kitawaka 2 wanaona wanainchi wajinga wakumbushe yariotokea ivorycoest ya raurent gbabo ccm na mijadara ya sifa2 hayaa
@remnapapa7508
@remnapapa7508 6 жыл бұрын
Bila wapinzani bunge Tanzania hakuna
@jonesgeorge3152
@jonesgeorge3152 5 жыл бұрын
Remna Papa kweli kabisaaa
@bustobull1030
@bustobull1030 6 жыл бұрын
Serikali tawala mambo inayojifanyish siku wananchi tukisimama kitaeleka.
@allyrashidi4490
@allyrashidi4490 5 жыл бұрын
kweli umeongea sanaaaa alafu wao awaja ata aka awo
@peninaagustino2549
@peninaagustino2549 7 жыл бұрын
Upinzani ni wa muhimu sana katika kila eneo maana ni jicho la maendeleo. Ukiuchukia upinzani utakuwa haujui kucheza vita nzuri ya maendeleo. Hata wewe binadamu una wapinzani wako ambao wanakusaidia usibweteke, wanapokukosoa unajirekebisha na kusonga mbele.
@hilalirusule6741
@hilalirusule6741 4 жыл бұрын
Wakati wa kikwete waripiga kelele kuwa Hana akiri Leo hi wamekuwa wavuta bangi wapimwe
@allymfangavoo6065
@allymfangavoo6065 5 жыл бұрын
Matatizo yanakuja ayo ni madogo shida zinakuja 2020
@filimondeclassic1889
@filimondeclassic1889 6 жыл бұрын
Wapinzani mko makini mno bila ninyi bunge hakuna
@jonesgeorge3152
@jonesgeorge3152 5 жыл бұрын
Safiii mnyika
@tetesamweliy200
@tetesamweliy200 7 жыл бұрын
wachane awo
@jastinistivini9687
@jastinistivini9687 2 жыл бұрын
Wabunge wa chadema ni vichwa
@yairoswai9587
@yairoswai9587 6 жыл бұрын
Ninahisi upinzani Tanzania ni kama watu haramu ila laiti Watanzania wangeelea kutafakari faida za upinzani. Wamevumbua uozo kibao kama sio wapinzani Tanzania ingekua wapi leo
@lamecklema487
@lamecklema487 6 жыл бұрын
ccm kweli chenga
@alihamad2170
@alihamad2170 5 жыл бұрын
Lameck Lema kabisa ujakosea
@phineruge3480
@phineruge3480 5 жыл бұрын
Wapinzani wote mko Strong, Bila Upinzani Bunge halina watu wenye Hoja km wapo ni 20% kwa 100%
@sopiaahmad7795
@sopiaahmad7795 7 жыл бұрын
langu jicho sisemi kitu.
@dazuujuma1211
@dazuujuma1211 4 жыл бұрын
Apo tu umeshaongea tayr
@ayishajumaaa8941
@ayishajumaaa8941 6 жыл бұрын
Bila upinzani bunge litakuwa si bunge
@emmanuelmussa8331
@emmanuelmussa8331 6 жыл бұрын
Msigwa yeye anacheeka tu lema akiongea
@freddokuckelmann8502
@freddokuckelmann8502 6 жыл бұрын
Hawa jamaa wala hawapigani bungeni? Bunge ni Uganda bwana, nasubiri ngumi za wanawake wa Uganda tu. Wabunge wetu wana vitambi, ngumi moja analazwa Muhimbili miezi sita.
@mfaumemohamed8753
@mfaumemohamed8753 6 жыл бұрын
Lema boya kweli, kwa maneno yaka inaonyesha kwa wasiojulikana kule kibiti anawajua
@mubarackdangote742
@mubarackdangote742 6 жыл бұрын
mfaume mohamed UNEDUCATED
@jimylimo8794
@jimylimo8794 6 жыл бұрын
Mhhh
@diweni441
@diweni441 6 жыл бұрын
mfaume mohamed huna akil bwege ww
@hamadshein935
@hamadshein935 6 жыл бұрын
NAOGOPA KUKOMET HUYO ALOCMA MMECHELEWA. ANAJIJUA ALIFIKAFIKAJE HPO.
@user-zl4ch7kz3b
@user-zl4ch7kz3b 10 ай бұрын
Tangu nianze kuangalia bunge nilikuja gundua wabunge wa chadema ndio wanatutetea ccm ni vilaza hawajui kaz yao
@florinndeki2385
@florinndeki2385 7 жыл бұрын
upinzan unajua kila mtu anajua
@ndikumanakalenzo2440
@ndikumanakalenzo2440 7 жыл бұрын
Ila unalo rais la ajabu Sána, kama kweli Ana nia madhubuti angetoa muda WA kutosha kuanza mapitio ya miswada na sheria zote Za madini, na Hata ile report yake pía ipelekwe bungeni kupitiwa pía bila kujali wabunge ni WA chama gani
@loner_wolf
@loner_wolf 5 жыл бұрын
Hawa njaa TU.... Hakuna mkweli... Wasakatonge watupu
@josephnchunga6554
@josephnchunga6554 6 жыл бұрын
mpuuzi ninyi mlimkimbiza Nairobi mkihofia kuwa hapa inchi watamua ninyi nivigeugeu hamfai kuwa wabunge ,unaomba una bwabwaja mbona huna nidhamu ww.
@alawially854
@alawially854 6 жыл бұрын
ewzi
@emmanuelfeli7392
@emmanuelfeli7392 6 жыл бұрын
⌚⌚⌚⌚
@charlzlyimo1982
@charlzlyimo1982 7 жыл бұрын
wacha waendeelee kutuburuza make watz wengi ni uneducated,ngoja wazungu waendelee kutuibia tu
@daudmeshack7794
@daudmeshack7794 7 жыл бұрын
hatimä
@itazowanzagi5721
@itazowanzagi5721 4 жыл бұрын
Huyu jamaa waga namkubalisana kwenye siasa duu nahisi ana PHD
@joycemosha1898
@joycemosha1898 9 ай бұрын
JAMHURI YA MUUNGANO AFRICA DUNIANI CCM BILA DEMOCRASSIA HAWAWEZI KUKAA BILA KUWEPO DMC NA HAWATAPATA MIKPO YA KUMLINDA NA KATIBA RAISI KAKIUKA KATIBA NA KIAPO WAMEUUWA RAIYA KWENYE KUTUPA KWENYE VIROBA NA MENGI HAO HUKUNA UONGOZI AJIUZULU TU ANATAYARISHIWA YA KUONGEA
@evansonyango2878
@evansonyango2878 3 жыл бұрын
Tanzania si mtupatie huyu mbunge ata kwa mkopo🤣🤣
@mariamkalinga2628
@mariamkalinga2628 6 жыл бұрын
smtupati ng'o ccm mbel MBL kwa mbl
@nicevictormkalimkali3776
@nicevictormkalimkali3776 5 жыл бұрын
Mariam Kalinga huna akili wewe
@alihamad2170
@alihamad2170 5 жыл бұрын
Mariam Kalinga ccm pumba tupu
@jonesgeorge3152
@jonesgeorge3152 5 жыл бұрын
Mariam Kalinga mahaba ya kuvaa t.shet
@lasatkheri7045
@lasatkheri7045 3 жыл бұрын
U mesema kweli wavunje wabaki wao tu
@agneserasto9806
@agneserasto9806 5 жыл бұрын
Wananchi hatuwezi kuwaerewa wapinxani maneno matupu
@adsonmbosso1202
@adsonmbosso1202 7 жыл бұрын
Lock up ipo jirani
@cosmasjohn740
@cosmasjohn740 7 жыл бұрын
Jembe
@paulemmanuel9512
@paulemmanuel9512 7 жыл бұрын
tumesha wazoea kulopoka kwao
@juliasmollel5176
@juliasmollel5176 4 жыл бұрын
lema umebonga point lakin sasa hao wajinga hawatakuelew
@favouredfreda283
@favouredfreda283 4 жыл бұрын
LEMA ni lazima asikilinzwe kwani inaonekana kunauvivu wa kufikiri madhaifu ya utendaji kazi kuleta mabadiliko ya nchi.
@agneserasto9806
@agneserasto9806 5 жыл бұрын
Chadema wamebaki wabunge 2 tu
@njombohainga3027
@njombohainga3027 6 жыл бұрын
tz tunakujua toa ujinga wako lema
@fetyykisabo4747
@fetyykisabo4747 6 жыл бұрын
Njombo Hainga kilaza wewe ujielewi
@agneserasto9806
@agneserasto9806 5 жыл бұрын
Nyie wapinzani ndo mnatakiwa kuhondoka bungeni hibaki ccm mnaka mnararamika mbona amuhondoki maneno tu
@ismailjuma9753
@ismailjuma9753 5 жыл бұрын
Agnes Erasto
@tonnsimbasportsclub7168
@tonnsimbasportsclub7168 5 жыл бұрын
Agnes Erasto huna akil
@kamandacobra498
@kamandacobra498 5 жыл бұрын
we nawe Agness mbwa tu hata kuandika hujui funga bakuli lako nyau wewe
@danieldaniel-lb2on
@danieldaniel-lb2on 5 жыл бұрын
Malaya wa kike wewe! Rudi shule kwanza.
@georgesimon9739
@georgesimon9739 4 жыл бұрын
Sisemi kesho nikajikuta sipo
@frabomdemwa8880
@frabomdemwa8880 4 жыл бұрын
Ccm ni dhaifu ndio maana raisi ameanza kampeni kwenye ziara za serikali huku akionekana wazi wazi kuwabagua viongozi walio chaguliwa na wanannchi huku akijinasibu ni raisi wa wote upuuzi mtupu
@alawially854
@alawially854 6 жыл бұрын
damondi
@agneserasto9806
@agneserasto9806 5 жыл бұрын
Wabunge wa wpinzani wizi mmehiba simenti mmehiba zahabu
@agneserasto9806
@agneserasto9806 5 жыл бұрын
Lema tunakataa ni ujinga mtupu we ni mbunge kazi yako mbaya kaxi ya ubunge himekushinda usiwatiahe siku yako ya kwenda jera himefika
@Rashidmhedhery
@Rashidmhedhery 5 жыл бұрын
Agnes Erasto ; have been to school?
@JosefuSwai
@JosefuSwai 3 күн бұрын
Malaya wewe
@abdulkarimjuma6721
@abdulkarimjuma6721 4 жыл бұрын
Hakika ukisikiliza upinzani huwez kuipenda ccm
@Mbugokilonda
@Mbugokilonda 7 жыл бұрын
Chama cha upinzani ndo kila kitu bungeni! Wabunge wa chama cha mapinduzi ni mambulula tu, wanafuata upepo kama bendera
@melikiormelikior6171
@melikiormelikior6171 6 жыл бұрын
Mbugo Kilonda
@cleverlove6225
@cleverlove6225 5 жыл бұрын
Mbugo Kilonda 👏👏👏👏
Mtiti Tena Bungeni... John Mnyika Afurumushwa Nje ya Bunge na Askari
11:16
MWANZO-MWISHO: Mbunge Mnyika alivyotolewa Bungeni na Askari
10:23
Millard Ayo
Рет қаралды 356 М.
娜美这是在浪费食物 #路飞#海贼王
00:20
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 6 МЛН
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 22 МЛН
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 24 МЛН
Godbless Lema Aliamsha Dude Bungeni, Hali ya Hewa Yatibuka
15:51
Global TV Online
Рет қаралды 575 М.
Lissu afunguka kuhusu madini 'Mungu anasikia.. mtaniambia'
17:29
Millard Ayo
Рет қаралды 375 М.
Ni Tundu Lissu na Joseph Mbilinyi tena Bungeni leo May 5 2017
11:11
Millard Ayo
Рет қаралды 1,4 МЛН
MBUNGE BWEGE: "Mnaua, Mnateka tu, Mlitaka Kuninunua nikakataa"
11:46
Global TV Online
Рет қаралды 751 М.
“Watu wanauawa, msifikirie Watanzania hawaoni”-John Heche
9:21
Zitto Kabwe 'ACHARUKA' Bungeni "Tusije Kulaumiana, Siasa Itakuwa Ngumu"
15:02
LEMA ALIAMSHA DUDE BUNGENI MATIBABU YA LISSU, MWENYEKITI AMTAKA AKAE
4:05
Mwananchi Digital
Рет қаралды 167 М.
Sugu Amvaa Bashite, Ataka Ashtakiwe, Awaponda Bongo Muvi
11:55
Global TV Online
Рет қаралды 134 М.
Godbless Lema VS Waziri Simbachawene bungeni leo
9:52
Millard Ayo
Рет қаралды 1,3 МЛН