No video

Leo Tena: Mama Akutana na Mwanae Baada ya Kupotezana kwa Miaka 35

  Рет қаралды 153,880

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Kipindi cha 'Leo Tena' kimeweza kumkutanisha Mama na Binti yake baada ya kutomuona kwa zaidi ya miaka 35, tangu alivyochukuliwa na Baba yake mjini Kondoa- Dodoma.

Пікірлер: 364
@saumugunga8453
@saumugunga8453 2 жыл бұрын
Hongera sana kwa kazi nzuri mimi ninaomba usaidizi watanzania niko na kijana wa huko TZ ako na miaka 20 hajaenda kwao. Wazazi sijui wanasemaje tumsaidie cz anatesela sana
@benjaminsuleiman4347
@benjaminsuleiman4347 6 жыл бұрын
Sizani kabisa africa kuna radio yakufananishwa na clouds fm thanx CMG
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Benjamin Suleiman Wallah
@emmahmelisa4511
@emmahmelisa4511 5 жыл бұрын
Kunayo huko Kenya
@radhiambwana8787
@radhiambwana8787 4 жыл бұрын
Gea habibu anastahiki mshahara mkubwa sana anaibuaga mambo mengi sana ktk jamii hongera pia kipind cha Leo tena
@omaryabed3044
@omaryabed3044 3 жыл бұрын
Live kaka leo tena hii ndo ilikua tamuuu
@jayamrso3819
@jayamrso3819 6 жыл бұрын
Hongera clouds tv hivi ndo vitu vya kuangazia kusaidia jamii hata wakati wa shida sio kama tv zingine zenye umbea tu na udaku pongezi clouds tv from doha qatar
@AliBaba-zb3tg
@AliBaba-zb3tg 6 жыл бұрын
Nimelia sana daah R.I.P my Mama umeniaccha nikiwa na miaka3 paka sasa na 26 mdogo wangu ulimuacha ana nyonya 😭😭😭😭stili we love yo mama mungu akupunguzie adhabu za kaburi 😭😭😭
@rayaskitchen0189
@rayaskitchen0189 5 жыл бұрын
Jaman pole mpenzi pole sanaa
@idayagangs124
@idayagangs124 5 жыл бұрын
Duuh pole sana wangu
@nurisahim7898
@nurisahim7898 5 жыл бұрын
Pole sana
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 4 жыл бұрын
Pole saaana
@aishaawadhimalokimaloki9953
@aishaawadhimalokimaloki9953 4 жыл бұрын
Nick pole sana ndomitihani
@AMINASAIDI-mx7rs
@AMINASAIDI-mx7rs 8 ай бұрын
Jaman tuliopitia hayo tugonge like .
@begumabdul1869
@begumabdul1869 6 жыл бұрын
Alhamdullilah mama kampata mwanae na mtoto kakutana na mama na ndugu zakealhamdullilah nimefurahi pia nimelia kwa furaha maskini,Allah Kareem.Hongereni clouds fm/leo tena
@hongerakkachawasemewwkzbut4996
@hongerakkachawasemewwkzbut4996 6 жыл бұрын
huyu mama kaniliza wallah pole mama vuta shubra mshukuru mungu kwa yote mama sema alhamdulillah poleni sana
@olivasanga8259
@olivasanga8259 5 жыл бұрын
jamani mungu nimwema kumbe namimi nitakuja kummuona kaka angu imani ngogo nimiaka 13 tangu aondoke
@yassintaibrahim24
@yassintaibrahim24 2 жыл бұрын
@@olivasanga8259 Pole Saana My Tuendelee Kumwamini Na Kumtegemea M/Mungu Wetu 🙏🙏🙏 Atamrejesha Salama Ndugu Yetu
@raykivuyo6871
@raykivuyo6871 6 жыл бұрын
Big five to Clouds Media Group kaz mnayofanya hakuna mwanadamu anaweza kuwalipa...i luv this radio
@gilbertkipeta5234
@gilbertkipeta5234 2 жыл бұрын
Kweli tulio na wazaz wetu wote tuendelee kishukuru MUNGU 😭😭😭
@lydiajepchirchir5100
@lydiajepchirchir5100 2 жыл бұрын
Ni kweli
@halimaamini8015
@halimaamini8015 6 жыл бұрын
😢😢😢nimeumiaa niliwai kutoroka nyumbani miaka 2 ck mama alinionaa alinifanya km hivi jamani akuna km mama nimeliaa kwa furaha nilivyowaona hawa wamefurahi daah hongera team ya leo tena
@restutamganga306
@restutamganga306 5 жыл бұрын
Halima Amini poleni. sana
@nyamwinukankwera3749
@nyamwinukankwera3749 2 жыл бұрын
Pole mamy
@aishakhamis714
@aishakhamis714 Жыл бұрын
Lala mahala pema Mama 😭😭 aisee nimelia sana 😭😭😭 Kwakweli kuishi bila mama Ni kugumu mnoo😭😭
@selincharles3383
@selincharles3383 6 жыл бұрын
cloud nyie watu nashindwa kuwa define maana vitu mnavyo vifanya ni hatali Mungu awape maisha marefu.
@bilajasho449
@bilajasho449 6 жыл бұрын
lkn wanafanana bhn
@happythomas1773
@happythomas1773 4 жыл бұрын
Selin Charles mmi naitwa Nechivera Thomasi na mtoto wangu Ana itwa farida Arikuwa Ana soma Kondoa Kwa mjomba wake Sasa Aliondoka huu mwaka toka nanenane handi Leo sijui mwanangu yuko wapi mmi niko tabora namba zangu ni hizi je nawapatanje 0712 697270
@clemmyamani7566
@clemmyamani7566 6 жыл бұрын
Wow this was amazing iwish you could help me find my aunty sister to dad lost long yrs back I'm from Kenya congrats cloud's FM
@gabudixon5161
@gabudixon5161 6 жыл бұрын
kwanza nawapongeza CLOUDSMEDIA THE PEOPLE STATION hakika mungu ni mwema na analopanga mungu lazima litimie, kupoteana na mwanao au mama yako miaka 35 sio kitu cha kawaida,nimeshindwa kujizuia machozi yamenitoka wakati naangari show ya leo tena,Nawatakia maisha marefu mama na mwanae.
@user-rd7jt1vi5x
@user-rd7jt1vi5x 5 жыл бұрын
Hata mm jaman kuna mama angu mdogo aliondoka nyumbani mda sana naona hata miaka 45 inafika kaelekea mwanza hadi leo harudigi kijijini jamani tufanyaje ili arudi nyumbani hadi babu kafariki mwaka 2017 lakin yy hakuja kwenye mazishi ya baba yake sasa hatujui kama ni mzima au alishafariki maana hata mawasiliano hatuna nae duuuuh ni shida jamani hongera sana mama kukutana na mwanao na mm naamini ipo siku nitakutana na mama angu mdogo mungu yupo pamoja nasi
@diyaosman8992
@diyaosman8992 6 жыл бұрын
الله خليك يا ماما nani kama mama Kenya..qatar
@ummulkheirzubeir6320
@ummulkheirzubeir6320 6 жыл бұрын
Jmn anataman kumbeba anashindwa Allah n muweza Wa yote mpk nmetaman kumuona mama ANGU ila ngumu daaah R I P MAMA
@aishaawadhimalokimaloki9953
@aishaawadhimalokimaloki9953 4 жыл бұрын
Pole mdogowangu ni mipango yake Allah
@yassintaibrahim24
@yassintaibrahim24 2 жыл бұрын
Pole Saana My Tuendelee Kumuombea Pumziko La Amani Mzazi Mama Yetu😭😭😭
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 6 жыл бұрын
Nani.anakata vitunguu karibu yangu?😢😢😢😢😢😢
@aminadagida2428
@aminadagida2428 6 жыл бұрын
I love Jesus 😅😅😅😃😃😃😃😃😄😄😄😄
@annedavienyamhanga4738
@annedavienyamhanga4738 5 жыл бұрын
Haha jmn wew
@nuraydasworld4431
@nuraydasworld4431 4 жыл бұрын
Mieeee😭😭😭😭😭😭
@athkiduboathkidubo1815
@athkiduboathkidubo1815 4 жыл бұрын
Mm
@feithchilala6374
@feithchilala6374 4 жыл бұрын
I love Jesus namimi kaja kunikatia
@aishanjama8971
@aishanjama8971 6 жыл бұрын
Mashaallah nafurahi kwa kipidi chenu kizuri Sana from Kenya leave in Qatar
@yasintamrema9832
@yasintamrema9832 2 жыл бұрын
Hongereni kwa kazi nzuri mnayoifanya. Samahani naombeni msaada na mimi na familia yetu tumepotezana na Kaka yetu anaitwa Deogratias Alphonce Mrema. Tunaombeni msaada wa upatikanaji wake.
@stellahmsigwa8146
@stellahmsigwa8146 4 жыл бұрын
Nimelia sana akuna mtu ninae mpenda duniani ninae mpenda kama mama angu ila mungu alimpenda zaidi
@lydiajepchirchir5100
@lydiajepchirchir5100 2 жыл бұрын
Pole Sana dada mungu yupo usijali
@keyakeya8911
@keyakeya8911 5 жыл бұрын
Daaah masikin hakika mungu ni mwema mm pia kaka angu alipotea akiwa na miaka 22 arudi nyumbani kazeeka kabisa daah hongera mama mrangi mwenzangu
@zainabmakame1321
@zainabmakame1321 6 жыл бұрын
Hongereni sana clouds,,mama umeniliza na mm..mshukuru allah
@aminahassan561
@aminahassan561 4 жыл бұрын
Pumzika kwa amani mama yangu mpenzi daima nta kukumbuka milele miaka mitatu sasa tangu ututoke adhabu ya kaburi mwenyezi mungu akupunguzie amina
@salmadashlaquimanelaquiman4427
@salmadashlaquimanelaquiman4427 6 жыл бұрын
Daaaah wallah Adi nme Lia akuna kama mma
@thauratali3656
@thauratali3656 6 жыл бұрын
Du maskin lkn huyu mtoto namuona mdogo miaka 42 mashallah
@herrychristopha4428
@herrychristopha4428 6 жыл бұрын
nimeliaa kwakweli
@teddymathew159
@teddymathew159 6 жыл бұрын
Mpaka nimelia jamanii😭😭yani daaa nani kama mama katika dunia hii hakuna kabisaa mama nimama Mungu mkubwa mtoto namama wamekutana leo ashukuriwe Mungu
@AliBaba-zb3tg
@AliBaba-zb3tg 6 жыл бұрын
Daaah Mama kaniliza sana 😔 Nawapenda ote wa Mama otee duniani 😍😍😍😘
@AlexAlex-js4qt
@AlexAlex-js4qt 2 жыл бұрын
Deus abençoe vocês todos jornalistas , estou escutar vosso programa apartir de 🇲🇿
@arafaiddy8962
@arafaiddy8962 6 жыл бұрын
masha Allah hakuna kama MAMA jaman MAMA ni MUNGU wapili kwadunia
@MaryamMaryam-ij3uw
@MaryamMaryam-ij3uw 6 жыл бұрын
Arafa Iddy astahafirullah
@mtamomtamo544
@mtamomtamo544 5 жыл бұрын
Arafa Iddy
@cestlaviecestlavie4606
@cestlaviecestlavie4606 5 жыл бұрын
Arafa Iddy, kubeba mimba myezi mitisa yote na kule kumsukuma hmmm aca tu 😏...
@neykazungu6184
@neykazungu6184 6 жыл бұрын
waooooh! hongereni sana cloud media mmezidi kunifanya niongeze kasi kuipenda cloud media. inshort chozi limenidondoka na tumbo la uzazi limeniuma ghafla japo sijawahi kizaa.
@husenially8649
@husenially8649 6 жыл бұрын
safi nimependa mungu awape maisha marefu watangazaji
@aboturkey3778
@aboturkey3778 5 жыл бұрын
Jamani.nimeliyakwafuraha.nani.kama.mama.oooh.mungu.sifanautukufuniwako❤❤❤❤
@saidshuaib7645
@saidshuaib7645 4 жыл бұрын
Nawapa sana clauds TV kwa kazi mzuri mnayoifanya mw/mungu killa la kheir. From Iraq
@esperansahkafuka9891
@esperansahkafuka9891 4 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani mama yangu, Mungu akukumbuke kwa mema yote uliyoyatenda Duniani, Kweli Mama Ni Tunu, Mama Ni zawadi isiyoisha thanami
@lydiajepchirchir5100
@lydiajepchirchir5100 2 жыл бұрын
Pole lakini mungu yuko
@khimfarawaytz6910
@khimfarawaytz6910 4 жыл бұрын
Mashaallah hakun kama mama
@princesscaithan3097
@princesscaithan3097 6 жыл бұрын
Daaah yani nimeliwa mwanzo mwsho naimage ndo ningekuwa mie nakuwa bila mama jaman kama mama zetu wapo hai tushukuru mungu en tuwaheshimu sanaa HAKUNA KAMA MAMA yan nimejifunza kitu kikubwa sna leo
@asiakinia9344
@asiakinia9344 4 жыл бұрын
Yaani wallah nimelia kama ndio mm Allah mkubwa sanaa
@user-fq6oz3ls3h
@user-fq6oz3ls3h 6 жыл бұрын
Hamna kama mama duniani mama ni pepo ya dunia mungu awape kher mama wote duniani
@salmaiddy6059
@salmaiddy6059 5 жыл бұрын
Clauds mpovizuriiii gongs like
@butangasospeter9322
@butangasospeter9322 6 жыл бұрын
Hongera sana cloud kwa msaada huo kuwakutanisha ndg hao. Naomba pia mm mnisaidie kumpata baba angu tuliyepotezana naye toka 1993 mwezi 11 huko Simiyu Bariadi Dutwa! Anaitwa Sospeter Ndongo Butanga
@karimukigogoro7318
@karimukigogoro7318 6 жыл бұрын
Weka namba yako kaka kwa ajili ya mawasiliano. Utampata kaka usijarii
@jandaboy3273
@jandaboy3273 6 жыл бұрын
nenda mikocheni clouds kama unawez kumpata ivi
@mwajumasultan4658
@mwajumasultan4658 6 жыл бұрын
Ukitaka kuumuwa Mama apotezane na mwanaye
@user-rd7jt1vi5x
@user-rd7jt1vi5x 5 жыл бұрын
Jamani hata mm pia kuna mama angu mdodo aliondoka nyumbani miaka 45 inafika hakumbuka kijijni kabisa wala harudi nyumbani aleelekea mwanza ila yy mama angu mdogo ni mtu wa kondoa hadi babu kafariki mwaka 2017 hakuja kuzika kwenye mazishi ya baba yake yani kaondoka mda sana nyumban kibaya zaidi hata mawasiliano yake hatuna hatujui kama ni mzima au aneshafariki hilo sisi hatujui kabisa sjui tufanyaje ili tumpete huyu mama yangu mdogo angalo aje amuone hata bibi tu babu yy kashatangulia mbele za haki ila bibi yupo ni mama angu mdogo kabisa kutoka mama yangu ndo akafanta yy huyu aliepotea huko mwanza
@arafakiloli749
@arafakiloli749 2 жыл бұрын
Alhamdulillah nimefrah sana japo nimelia pia.😭😭😭
@Himdat-wg1ut
@Himdat-wg1ut 6 жыл бұрын
Asante clouds Media
@hamudmo58
@hamudmo58 4 жыл бұрын
kwanini afrika kuna uzembe wa kupoteana angali wote wako nchi hiyo hiyo. kwanini serikali isiweke sheria ya watoto na wazazi. nchi za wenzetu bila ya barua ya baba na mama mtoto hawezi kwenda shule wala kusafiri mahali popote. miaka 40 yote hiyo vp hadi inatokea hivo? utafikiri serikali za afrika hazina viongozi.
@sifasanga7866
@sifasanga7866 6 жыл бұрын
Kumbe hata Mimi nitamuona siku moja kaka angu , miaka kumi na sita sasa haonekani....machozi yananitoka
@nesmaakhy2778
@nesmaakhy2778 5 жыл бұрын
inshaa Allah usjali kwa uwezo wake mungu utamuona
@kilavomngara5603
@kilavomngara5603 4 жыл бұрын
Mungu nitengenezee njia nami nikutane nakakaangu cku moja Amen miaka 18 sasa
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 4 жыл бұрын
Utamuona usijali
@rosechild5021
@rosechild5021 5 жыл бұрын
Mimi nili ibiwa mtoto na mtu alikuwa nime wangu aka mpeleka Sudan sija mu ona mtoto wangu tangu iko na myaka mi 3 ivi iko 16 yrs old sina ata mausi yano ya sim lakini siku mungu ata ni saidiya kumpata mtoto wangu 🙏🏽🙏🏽
@hyacintagugu7
@hyacintagugu7 2 жыл бұрын
Maskini...pole sana
@halimkepa7766
@halimkepa7766 6 жыл бұрын
dah hadi roho imenium Alhamdulillah
@hassanyahaya169
@hassanyahaya169 5 жыл бұрын
Inaliza sana imenitoa machozi
@gracemilinga6775
@gracemilinga6775 4 жыл бұрын
Kiukweli nimepata uchungu usowakawaida, kweli mama ni mtamu tena hakuna wa kumfananisha nae. Ee Mwenyez Mungu Msamehe Mama yangu na Mpunguzie adhabu ya Kaburi😭😭😭Amen.
@mohamedomar4037
@mohamedomar4037 4 жыл бұрын
Mashaalah anafanana sana na mama yake
@jaybchaponda6886
@jaybchaponda6886 6 жыл бұрын
Mungu ni mwema kila siku ,hadi nalia masikini
@zawadikondo5014
@zawadikondo5014 5 жыл бұрын
nmelia sana dah nimemmis sana mama angu lakini sitamuona tena
@shishismile1973
@shishismile1973 4 жыл бұрын
Usijali Mungu anajua sababu ni gani
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 2 жыл бұрын
Jamani na mm kuna siku ntakuja muona babangu kweli 😰😰 nimeona hii video nimelia😭😭💔💔
@yassintaibrahim24
@yassintaibrahim24 2 жыл бұрын
Inshallah Kheri Habipty Utakuja Kumuona Uckate Tamaa Endelea Kumuomba Saana MOLA Wetu Ni Msikivu Atatenda Inshallah 🤲
@faizabaishe5172
@faizabaishe5172 5 жыл бұрын
Alhamdulilah InshAllah heri
@xkingx8041
@xkingx8041 6 жыл бұрын
Hongera saana clouds media
@ashabaybeashabaybe49
@ashabaybeashabaybe49 6 жыл бұрын
I could not hold my tears
@miriamdavis3893
@miriamdavis3893 2 жыл бұрын
Congratulations radio ya watu you did it well 👏
@immaruzige1845
@immaruzige1845 6 жыл бұрын
Hadi mama kalia duh!
@sevelinapeter5179
@sevelinapeter5179 5 жыл бұрын
jamn na mmi namtafuta mama angu nitawezaje kuja hapo jmna nijue kama mama yangu yupo au Alisha kufa natamani nimuone mama yangu jamna
@sakinamubaraka1246
@sakinamubaraka1246 5 жыл бұрын
Jaman pole sana ilikuwaje
@wemakalamu3538
@wemakalamu3538 5 жыл бұрын
Clouds clouds clouds clouds clouds heshima kwenu mubarikiwe inshaallah 🙏🙏🙏🙏🙏
@hamidaissa8817
@hamidaissa8817 6 жыл бұрын
Kiukweli nimetokwa na machozi hongera clous fm nawapenda sana waendashaji wakipindi
@munaahmed8499
@munaahmed8499 2 жыл бұрын
Allah azidishe kher na nuru ya kaburi lako izidi kuwaka malaika wema wawe wazungumzaji na wewe mama yng sikujui kwa maan uliniacha nikiwa mdg nakuona kwa picha ila nakuombea dua mno mama yng ila maisha bila mama acheni tu
@elpinarichard1884
@elpinarichard1884 5 жыл бұрын
Nimelia duh God Is great!
@neemazee1864
@neemazee1864 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😊🤗🤗🤗🤗🤗Acheni Mungu aitwe Mungu 🙏🙏🙏🙏nna furaha mimi leo utafikili nausika na iyo familia
@sebastiandeus763
@sebastiandeus763 6 жыл бұрын
Clouds kweli mnatufungulia dunia kuwa unachotaka super brand
@agripinajoseph3801
@agripinajoseph3801 6 жыл бұрын
hongera sana sijui na mm lini nitamtafuta mama angu jaman
@stelabrent6056
@stelabrent6056 2 жыл бұрын
mungu ni muaminifu awape maisha marefu mpate kufurahi pamoja miaka yenu ilibaki 💞
@sharifa2274
@sharifa2274 6 жыл бұрын
Alhamdulilah
@sharifa2274
@sharifa2274 6 жыл бұрын
Hongera kipindi kizuri Leo tena
@onesmojoseph8378
@onesmojoseph8378 6 жыл бұрын
ndo maan nakipend hik kipind much love clouds fm much lov clouds tv
@martinabdallah2600
@martinabdallah2600 6 жыл бұрын
hongen clouds media group
@allybububu9757
@allybububu9757 6 жыл бұрын
my team Leo tena.nakupendeni sana
@BigZhumbe
@BigZhumbe 6 жыл бұрын
So touching....walitengana vp all those years
@tuzoalbinus6517
@tuzoalbinus6517 Жыл бұрын
Hakuna Kama mama nikitafakari waliyoyapitia wadogo zangu hii dunia hakuna Kama mama hiki kipindi Cha leo tena kinaniliza Sana..rip mom tunakupenda tutakuona mbinguni mama yetu
@seciliagwelino47
@seciliagwelino47 4 жыл бұрын
Jaman hii studio iko mkowa gani jaman namimi nifike nina ndugu yangu alipotea ...naomba mnisaidie nifike huko studio kwenu
@bijumakassim3697
@bijumakassim3697 4 жыл бұрын
Jamani sio kwa kulia huku jamani Mwana yutamu uchungu wa Mwana aujuae ni mzazi.subuhana Allah miaka 30 na zaidi haswa mungu n mkubwa jamani.pole kwa yote mliopitia
@nasrairunga7730
@nasrairunga7730 5 жыл бұрын
Ni ndugu yangu kabisa yani tusema tuu mungu mkubwaa masikini tumezaliwa tunasikia tuu stori zake jamani mungu mkubwa
@neemachongolo6498
@neemachongolo6498 4 жыл бұрын
Hongereni sana,hakika ni furaha
@saimasaidi5850
@saimasaidi5850 2 жыл бұрын
Amenilizs na mm nakamkumbuka mama yangu.Mwenyenzi Mungu amrehemu mama yangu
@tamimakhalfanikhani8403
@tamimakhalfanikhani8403 2 жыл бұрын
Mm nna shangazi yng kapoteana na mwanae mama mzanzibar baba mtu wa bara lkn mam mzazi nashindwa kumuelewa ukimuuliza anakwambia sijui nianzie wapi natamani niwaunganishe ila mama wenyewe anajifanya hazimtoshi mtt tangia miaka mitano mpk sasa anaweza fika 27-20 yaani toto la kipemba zuri kasabilia mpk leo mtt hamjui mama ake sizani kama wataonana tena
@radhiaathuman3350
@radhiaathuman3350 4 жыл бұрын
Du jmn inauma Ila alhamdulillah kwa kuwa ushampt mwanao
@pp1153
@pp1153 5 жыл бұрын
aki nimelia sana inauma mama ni mama 2
@lydiajepchirchir5100
@lydiajepchirchir5100 2 жыл бұрын
Nimelia Sana mama ni mungu wa pili duniani
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 2 жыл бұрын
Wamefanana sana mama na mtoto mashaallah Alhamdililah
@mussataliye7815
@mussataliye7815 5 жыл бұрын
No one like mumy
@aishahusseni3352
@aishahusseni3352 2 жыл бұрын
Raha sana
@faizabaishe5172
@faizabaishe5172 5 жыл бұрын
MaashAllah mabrq
@fattyandruqyahbinthouthman8025
@fattyandruqyahbinthouthman8025 5 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭jmn nimejikuta machozi hunitoka yarabi😭😭😭pumzika kwa Amani ya Mungu Mama angry 😭😭😭
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 4 жыл бұрын
Wewe Kaka labda ulipozaliwa ulitupwa chooni ndo maana huoni furaha ya mama
@bintsalim9546
@bintsalim9546 6 жыл бұрын
I could not hold my tears😭😭😭😭
@hidayamussa4273
@hidayamussa4273 6 жыл бұрын
Dah aisee yaani hata mie on meshimdwa kujizuia inasikitisha nimiaka mingi sana ila mungu mkubwa
@stellahmsigwa6493
@stellahmsigwa6493 2 жыл бұрын
Duh R.i.p mama mungu akupunguzie azabu ya kaburi na maraika wa bwana wakuangazie mwanga wa milele
@cestlaviecestlavie4606
@cestlaviecestlavie4606 5 жыл бұрын
masha'Allah 👏👍👌
@zaituniiddi8615
@zaituniiddi8615 6 жыл бұрын
hongereni sana
@iqrayasin9518
@iqrayasin9518 6 жыл бұрын
mungu mkubwa hongeren sana clouds...mmefanya dada ajiskie raha
@hasanjason3182
@hasanjason3182 3 жыл бұрын
kwakweli jambo lakumshukuru mungu sisi wenye kunakaka yetu tulie changi baba alizaliwa dodoma alizaliwa mwaka 74 kwahiyo tunaadidhiwa nababa yetu mdogo aliebakia ndoalituambia anaitwa shukuru baba yetu alikuwa anafanya kazi idara yamaji baba alikuwa anatumia jina lajongo kabila lababa yetu nimruguru inasemeka baba alimpeleka huyo kaka yetu kwa mama yetu walikuwa wanaishi chamwino dodoma halafu baba yetu baadae alijenga nyumba changombe nahadileo nyumbayetu ipo changombe ilababa yetu alifariki sasa hatujajua kama huyo kaka yetu yupohai aula nambazangu nihizo jana langu naitwa kulwa mama yetu alizaa mapacha mara mbili ilakunawengine wapo wawili mmojammoja huyomwingine walizaliwa mwaka mmoja nashukuru ambae anaitwa fitina wanavyodai huyo mama alikuwa anaishi kati yachaduru au makole dodoma nilikuwa natafuta jinsi yakupata namba yagea habibu namba yasimu 0652003072 mimi nipo hapa daa
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 жыл бұрын
Ongera Gia na Redio yote👍👍👍❤❤
@rayanalhabsi8029
@rayanalhabsi8029 6 жыл бұрын
Mlima na mlima aukutani binadam ukutana ongera sana
@halimakipendo1606
@halimakipendo1606 6 жыл бұрын
Mashaallah
@byenobijoram6315
@byenobijoram6315 6 жыл бұрын
Amina
@leilashaban3519
@leilashaban3519 5 жыл бұрын
Mashallah akuna kama mama
@giftpamelagiftpamela4494
@giftpamelagiftpamela4494 2 жыл бұрын
Alhamdulillah kilakitu kinawezeka jamani mungu mkubwa 🙏🏼🙏🏼😌😌
@waruhassan7881
@waruhassan7881 6 жыл бұрын
Hadi chozi limenitoka wallah.....alhamdulillah hakika Allah ni mjuzi.....!!!!
@zainabbakari3603
@zainabbakari3603 6 жыл бұрын
Dah m.mungu ndio mpangaj wa kila kitu ni furaha kwakwel had nimeliaa jins gani mlivyo kuwa na furahaa hongera saana clouz kwa msaada wenu
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 39 МЛН
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 14 МЛН
Mwanaume Akiomba Andazi Anapewa By Mariam Migomba | Kitchen Party Online
5:14
Kitchen Party Online
Рет қаралды 4,1 М.
MZUNGU KANIZALISHA KISHA KAKIMBIA KISA DAWA ZA KULEVYA NAJUTA SANA
35:17
Mama akutana na mwanaye baada ya kupotezana miaka 30/ DADAZ LIVE
36:10
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 39 МЛН