South Africa Durban sijachelewa sana mwalimu Asante limenifikia kikamilifu somo ❤❤❤❤❤
@joelnanauka4 ай бұрын
Shukrani sana kwa kuwa mwanafunzi unajifunza kila siku.
@user-rw3jx4bx4i4 ай бұрын
Ahsante sana kaka
@Eziron9Vyats4 ай бұрын
Ahsante sana kaka kwa malifaa ulisha wah nitoa hata moja kwenda nyingne kupitia vitabu vyako see you at the top
@joelnanauka4 ай бұрын
Ameen Ameen, nashukuru sana kwa mrejesho🙏🙏
@bernadetachari76484 ай бұрын
Kweli mwalimu asante
@user-sp1ig8ul2s4 ай бұрын
Iyo ya mwisho sasa
@work24onme4 ай бұрын
Holy Spirit Amen 🙏🏼 Asante sana mwalimu Joel, kila siku napata kujiona ninapo kosea na ninacho takiwa kukufanya, kupitia wewe, kama Mungu alivyo kuumba! God Bless you, Amen 🙏🏼
@selnamartini71714 ай бұрын
❤ Asante Sana ✍️✍️
@janetfrancis71804 ай бұрын
Asante MUNGU kwa ajiri ya kaka Joel Nanauka, MUNGU nakuomba endelea kumtunza kwa ajiri yetu. see you at the top.
@alexngumba35814 ай бұрын
Tupo pamoja kaka
@user-hr7bn8bm2l4 ай бұрын
Sijapata Mtu mwenye Hekima kama wewe! Yote ambayo umeyazungumza yananihusu Mimi! Asante Mwalimu Mwema. Nzarubara Emmanuel Nchini Rwanda.
@joelnanauka4 ай бұрын
Ameen Ameen, ahsante sana Nzurabara kwa kuendelea kujifunza.
@user-jb5tb7qq5f4 ай бұрын
Tunasubiri boss wetu
@user-lq4op1bv5c4 ай бұрын
Nashukuru san ninaumri mdog san lkn nimkubwa kiakil asante kwa kuujaz ubongo wangu kwa maneno n mxukumo kaka❤❤❤❤❤
@shukranjulius95264 ай бұрын
Kaka yangu kiukweli nakosa chakusema ,ila baraka za Bwana ziwe nawe siku zote ,umekua baraka kila iitwapo leo,hili somo limeniimarisha ,sito lalamika kwa watu ila nazidi kuwa imara
@goldiegranted55014 ай бұрын
🏆🏆🔥🔥
@alexlucas15714 ай бұрын
I'm the winner of the best
@user-gt2dg5gy2h4 ай бұрын
😊😊pamoja
@RozaliaNathoo4 ай бұрын
Ubarikiwe sana!
@clarasabutoke69074 ай бұрын
Asante
@alextzatv4 ай бұрын
Menono Yako yanaishi mungu akulinde
@bekaemmanuel53864 ай бұрын
Ubarikiwe
@paschalmasanilo26174 ай бұрын
🎉🎉🎉
@user-qv3eo5pb3g4 ай бұрын
I love u joel my roal mode wangu
@hadidjaissa91544 ай бұрын
🙏🙏🌹😘
@JumanneNkina-rb2ys4 ай бұрын
Dahl Kaka umenigusa kwa asilimia kubwa sana. Ila kupitia hili somo nimejifunza sana na nitaitatua hii changamoto kupitia maarifa niliyoyapata ili kuweka mikakati na misingi ambayo itaniwezesha kumaliza mambo. MUNGU akubariki Kaka.
@joelnanauka4 ай бұрын
Ahsante kwa mrejesho Jumanne,tuendelee kujifunza🙏
@user-nm4dl5lc3p4 ай бұрын
Ma sha allah.. ❤
@HyHy-si7oj19 күн бұрын
❤
@user-gi8vf5pn4g4 ай бұрын
nakukubari sana kaka
@EDMUNDSOSPETER4 ай бұрын
Mr Joel see me at the top
@emmanuelashery56214 ай бұрын
Barikiwa sana mwalimu. lakini huyo mtu wa kusubmitt namjuaje au namoataje?
@enessjohn62924 ай бұрын
Nimecomment KZfaq kwa mara ya kwanza kaka Joel. Kila mara naposkiliza hizi episodes zako hua nakua na Notebook and Pen pembeni kwa ajili ya noting down hizi gems. Mungu aendelee kukutunza😊.