LIFE WISDOM: VITU AMBAVYO VIPO NDANI YA MAONO - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 9,660

Joel Nanauka

Joel Nanauka

4 ай бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 89
@dorahmatitu2554
@dorahmatitu2554 4 ай бұрын
Hbr kaka. Shukran sana. Mungu akujahalie Afya njema
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 6 күн бұрын
Sijawahi juta kukufatilia kaka Joel Mungu akuvariki sana
@user-vk5vi3es5g
@user-vk5vi3es5g 3 ай бұрын
Mw/mungu akubariki sana kaka Joel. Kiukweli ukiwa NA maono ata km unapitia nyakati ngumu kuna nguvu inakuja na imani kuwa ulivyo Leo sivyo utakavyo kuwa kesho,, nipo Oman huu mwaka wa 4 na napititia changamoto nyingi kuna wakati adi unakata tamaa lakin nguvu ya maono niliyonayo inanipa ujasili na kuzid kupambana ili kesho yangu isiwe km jana na yote ni kwa sababu ya maono niliyonayo juu ya maisha yangu japo cyo kazi rahisi kwa uku uwarabuni but Allhamdullah
@bina2557
@bina2557 Ай бұрын
Aisee mimi kila siku napata elimu mpya kaka Joel Nanauka you are the best
@janetmbwana553
@janetmbwana553 4 ай бұрын
Ameen Ameen 🙏🙏 praise the Lord 🙏🙏 Asante sana kaka Joel nimepata nguvu mpya kabisa mana na mm nipo kwenye kipindi hiki cha mpito kiukweli ni kigumu sana Kuna muda naona kabisa nashindwa kuendelea mbele😢lkn nakumbuka hii sio final destination yangu ko nasimama tena na tena 🙏🙏🙏hakika leo umesema na moyo wangu Mungu akubariki na aendelee kukutunza kilaa iitwapo leo🙏🙏
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Nakuombea Uvuke salama na uvuke kwa ushindi
@RichardGilbartMPAGAZE-hk2ny
@RichardGilbartMPAGAZE-hk2ny 4 ай бұрын
Shukrani sasa my brother Joel kwa mafunzo ya leo nimejifunza mengi sana ubalikiwe ❤❤❤
@RamadhanMtaki-sw1gx
@RamadhanMtaki-sw1gx 4 ай бұрын
Shukrani sana bro
@user-cd8rc5jp2i
@user-cd8rc5jp2i 4 ай бұрын
Joel nanauka Joel nanauka Joel nanauka Joel nanauka Joel nanauka Joel nanauka Joel nanauka Joel nanauka Joel nanauka Joel nanauka Nimekuita mara kumi... nimegundua kitu kutoka kwako.. yaweza kuwa wazazi wako walikulea vyema ndo maana upo kama ulivyo au ulilelewa na kuzungukwa na watu sahihi au icone ya familia yako kuna mtu alikuwa au yuko kama wewe...Mungu kakuleta duniani ili uponye watu kwa namba yako ya kipekee... kuna wakati nawaza je ungekubali kwenda kusoma nje ya nchi wengine tungekuwa wapi? Ila ulikataa kwa sababu Mungu alishakuandaa kuokoa maisha ya watu wengi. Ur blessed and naamini kuna siku sanamu yako itajegwa mahali.🙏🏾
@LusajoMboli-ef2xx
@LusajoMboli-ef2xx 4 ай бұрын
Mungu amuweke huyu bwana uwezo alio nao sio mdogo watu wa hivi huzaliwa Mara chache Sana hapa duniani akiondoka huyu jamaa unaweza kuta baada ya miaka hata Mia ndio anatokea mtu wa dizaini yake
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Ameen Ndugu yangu, Ahsante kwa maneno yako ya baraka. Endelea kuniombea🙏
@user-cd8rc5jp2i
@user-cd8rc5jp2i 4 ай бұрын
@@joelnanauka upo kweye maombi yangu kila siku kwani umekuwa mwanga ulio tumwa kutuongoza juani
@tinahosea4031
@tinahosea4031 4 ай бұрын
Ameen 🙏🙏
@goldiegranted5501
@goldiegranted5501 4 ай бұрын
MWENYE MAONO ,HAKATI TAMAA MAPEMA ✅🏆✅
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Ni kweli kabisaaa
@Johmery
@Johmery 4 ай бұрын
Naisubiri hii mkuuu❤❤❤
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Safiii, tukutane asubuhi saa 12 kamili tujifunze
@user-xv6lq2st1p
@user-xv6lq2st1p 4 ай бұрын
Asante sana kaka nakuelewa ipasavyo🙏
@goldiegranted5501
@goldiegranted5501 4 ай бұрын
Shukran Sana Kwa somo PROF✅,,,,Naishi nayo hii_AS LONG AS I CAN LOOK UP💯_I CAN STAND UP🏆
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Kabisa, hakuna kurudi nyuma
@goldiegranted5501
@goldiegranted5501 4 ай бұрын
@@joelnanauka for real 💯✅🏆🔥
@mohamedmaokola7791
@mohamedmaokola7791 4 ай бұрын
Ahsante sana kaka tupo pamoja,,,nakufuatilia sana na sasa niko na mabadiliko chanya kupitia wewe,Mungu azidi kukubariki🙏🙏
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Ameen Ahsante sanaa
@user-zs8vc1xx4z
@user-zs8vc1xx4z 4 ай бұрын
tuko kwenye zamu tukiingoja,ubarikiwe saaana kaka JOEL❤❤❤🤝
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Ameen tutakuwa pamoja saa 12 asbh
@emanuelchanya5182
@emanuelchanya5182 4 ай бұрын
NITAENDA KWA KASI KWASABABU YA MAONO
@rollahngimbwa6978
@rollahngimbwa6978 4 ай бұрын
Shukran sana kk joel 🙏🏽. Kila siku naongeza maarifa mapya kupitia video zako. Nitaishi na maono daima🙏🏽
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Ameen nashukuru sanaa
@Eziron9Vyats
@Eziron9Vyats 4 ай бұрын
Ahsante sana kaka kwa malifaa ulisha wah nitoa hatua moja kwenda nyingne kupitia vitabu vyako see you at the top
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Hongera sana sana🎉
@Eziron9Vyats
@Eziron9Vyats 4 ай бұрын
Ahsante sana pia
@user-jk3ex8ol2y
@user-jk3ex8ol2y 4 ай бұрын
Ubarikiwe sana brother Joel 🙏
@hassanihassani7154
@hassanihassani7154 4 ай бұрын
Tuko pamoja kaka hatua kwa hatua
@user-uj3ld6ni1s
@user-uj3ld6ni1s 4 ай бұрын
Asante sana Kaka ❤
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Karibu sana
@user-rw3jx4bx4i
@user-rw3jx4bx4i 4 ай бұрын
Ahsantè sana
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 4 ай бұрын
asante sana mwalim 🎉🎉🎉
@user-cd8rc5jp2i
@user-cd8rc5jp2i 4 ай бұрын
🎉❤
@priscalongo6090
@priscalongo6090 4 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki mtu wa Mungu
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Ameen nashukuru sanaa
@hajihemedi5189
@hajihemedi5189 4 ай бұрын
Asante Kaka
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 4 ай бұрын
Upo kwa jili Yangu 😢 brother ❤
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Ameen Ahsante sana
@masudibaja
@masudibaja 4 ай бұрын
Kaka Joel,,siku zote nikitazama video zako zinatia moral katika maisha yangu.
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Amen Ameen, Songa mbele
@user-tu1uh5sy8e
@user-tu1uh5sy8e 4 ай бұрын
Kazi njema nanauka
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Ahsante sana
@ashangonyani7989
@ashangonyani7989 4 ай бұрын
Mungu akupe umri mrefu sana. Asante kaka angu.🙏
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Ameen Ameen
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 4 ай бұрын
Na kinanda kipo juuu sana brother siyo mara moja
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Ahsante kwa maoni, tutaboresha
@JumanneNkina-rb2ys
@JumanneNkina-rb2ys 4 ай бұрын
Ahsante sana Kaka kwa Kuendelea kutufumbua vichwa vyetu muda so mrefu nitakuja kutoa ushuhuda wangu. MUNGU azidi Kukubariki
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Mungu ni Mwema, ahsante sana sana
@will-cash4666
@will-cash4666 4 ай бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮💯💯✅✅🇧🇮
@akimustephano286
@akimustephano286 4 ай бұрын
Nimeipenda mno ❤️❤️ ubarikiwe sana bro joel nanauka🙏
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Ameen Ameen
@user-iq7uq3qu9d
@user-iq7uq3qu9d 4 ай бұрын
Safi
@alexandermajula7268
@alexandermajula7268 4 ай бұрын
Kila baada ya masaa 5 lazima nipitie page zako 🙏🙏🙏 Asante sana kiongoz
@isamosaidi8680
@isamosaidi8680 4 ай бұрын
Niko live kaka Joel
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Safi sanaaaa🙏
@swachtech
@swachtech 4 ай бұрын
begin before you are ready
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Kabisaa
@joasitz9559
@joasitz9559 4 ай бұрын
You made my day, wish u more blessings 🙌
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
AMEEN
@WINNERBOYKE
@WINNERBOYKE 4 ай бұрын
❤❤
@user-jb5tb7qq5f
@user-jb5tb7qq5f 4 ай бұрын
Uzidi kubarikiwa kaka tunakuombea
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Ameen Nashukuru sana sanaaa
@isamosaidi8680
@isamosaidi8680 4 ай бұрын
Niko live
@moseskenedy7042
@moseskenedy7042 4 ай бұрын
Naingoja kaka
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Tukutane saa 12 kamili nitaanza kufundisha
@ViviKitchen23
@ViviKitchen23 4 ай бұрын
Amiina Kupitia mafunzo yako na vitabu vimenibadilisha sana,na mbinu ya kuandika kimenisaidia sana kila nilichoandika kweli kinatimia ❤❤❤❤❤ Ubarikiwe sana kaka
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Ooh huu ni ushuhuda mkubwa sana, hongera sana
@veronicawangari8089
@veronicawangari8089 4 ай бұрын
Now I understand 👂
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Ahsante kwa kuwa na mimi live leo
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Safi safi, tuendelee kujifunza
@mahwabashiri5467
@mahwabashiri5467 4 ай бұрын
Msukumo ndanii ya moyo wa kutimiza ndoto zangu ni kitu kinachonikosesha usingz
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Safi Songa mbele hakuna kurudi nyuma
@jndema_
@jndema_ 4 ай бұрын
Mungu akubariki sana brother Joel
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Ameeen
@lucaspengo310
@lucaspengo310 4 ай бұрын
Vitabu vyako vinauzwag bei gni kk
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
zinatofautiana, tuwasiliane 0762 31 2171
@user-gz1cd6kn5j
@user-gz1cd6kn5j 4 ай бұрын
Kweri kaka azina ya vijana Mimi apa ni meludi tena kwenye biashara ndogo zaidi kwani naitaji fedha kidogo tu
@EK-kp2np
@EK-kp2np 4 ай бұрын
Lugha sanifu: Kweli ( ❌Kweri) kaka, hazina (❌azina) ya vijana, mimi (❌Mimi,herufi kubwa hutumika mwanzo wa sentensi, au jina) hapa (❌apa) nimerudi (❌nimeludi) tena kwenye biashara ndogo zaidi kwani nahitaji (❌naitaji) fedha kidogo tu. Andika kwa usanifu ili wanaotaka kukusaidia waweze kukutathmini kwa kiwango bora
@paschalmasanilo2617
@paschalmasanilo2617 4 ай бұрын
Mie ninazidi kupata NGUVU ya kukamilisha dreams zangu nina imani nitakuwa leader mkubwa
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Kabisa na iwe hivyo, Mungu akusaidie🙏
@Thisislilian
@Thisislilian 4 ай бұрын
Ubarikiwe kaka Joel🙏
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
Ameen
@user-sp1ig8ul2s
@user-sp1ig8ul2s 4 ай бұрын
Apo kwenye mfano sasa
@joelnanauka
@joelnanauka 4 ай бұрын
👏🏻👏🏻👏🏻
LIFE WISDOM: KUMALIZA UNACHOKIFANYA -  JOEL NANAUKA
15:52
Joel Nanauka
Рет қаралды 9 М.
LIFE WISDOM : MATUMAINI KATIKA KIPINDI CHA KUSUBIRI - JOEL NANAUKA
16:49
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 32 МЛН
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
KUSUDI LA MAISHA YAKO - JOEL NANAUKA EPISODE 02
10:00
Family of Praying Women
Рет қаралды 8 М.
LIFE WISDOM: KUPATA MATOKEO NDANI YA MWAKA HUU - JOEL NANAUKA
15:02
ONYO KUHUSU TATOO/MUHIMBILI YATOA ANGALIZO ULAJI WA HOVYO
13:16
MTANZANIA ALIYEKUWA WA MWISHO DARASANI ATOA MTAJI WA MILIONI 10
32:25
LIFE WISDOM : IJUE NGUVU ILIYOPO NDANI YAKO - JOEL NANAUKA
15:34
Joel Nanauka
Рет қаралды 15 М.
Namna gani unaweza kuongeza kasi ya kutimiza maono yako
26:17
Joel Nanauka
Рет қаралды 153 М.
TENGENEZA MAISHA UNAYOYATAKA - JOEL NANAUKA
16:51
Joel Nanauka
Рет қаралды 114 М.
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 32 МЛН