Hili jamaa ukiliiga unafilisika au unakufa kabisa Tumor tu mauwa yake🎉🎉
@NasibSam8 ай бұрын
Diamond platnumz is undisputed champion here in Africa
@tanzcanmediatv44738 ай бұрын
Iga ifilisike uishiwe hadi boxer.harmonize fanya kwa level yako mazee utafilisika
@user-qi7px6nb8r8 ай бұрын
Jamaa level nyingine jamaa hakuna wa kumfananisha na msanii yoyote hapa africa
@hajjiomary23838 ай бұрын
Awataki wanakwambia anaiga miziki kiba mkali or anavuta unga shida kibao
@joanbwahama-rx3tc8 ай бұрын
Sio Africa sema Tanzania
@RenifridaRamadhani-ml4ge8 ай бұрын
Wew acha uongo sem Tz lkn sio Africa
@ChaiboMomade-gd3bk8 ай бұрын
Simba 🔥🔥 ni nomaaa
@user-sw8np1pq6w8 ай бұрын
Ivi ndivo msanii mkubwa anatakiwa aishi
@PaulNzima-pd8il8 ай бұрын
Mfalme ni Moja East Africa.... SIMBA La MASIMBA 🦁🦁🦁🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇿🇦🇿🇼🇧🇫🇿🇲🇧🇮🇮🇪
@bakarimganga5548 ай бұрын
Weee Zhombii....😂🤣🤣🤣
@vinny.morales8 ай бұрын
This is a true definition of a Super Star🎉
@geoufo28588 ай бұрын
Hii Inaitwaa iga ufulie on spot
@bjzee19818 ай бұрын
Hawa wasanii wasikutishe ndugu. Ukweli wao hutokea baada yakufulia. Nakumbuka prezo wa Kenya alie kua aki enda show zake na helicopter. Kumbe jamaa alikua akikopa hela zaku kodi huku akiumia. Manyumba ya kifahari nairobi alikua ana kodisha sio yake. Baada yaku chapa ndio akaja hadharani kutu umbua tuliio kua tuki mshobokea
@kabwelerywamwatumu50788 ай бұрын
😂😂😂
@danieljs42858 ай бұрын
@@bjzee1981 aah tuache uongo bhana mond ana pesa wanaofake ni hao wengine
@issackathman8508 ай бұрын
@@bjzee1981tafuta hela ww
@Jimmy126928 ай бұрын
@@bjzee1981😂😂😂 Hakuna msanii aliefikia hii lifestyle ya Mondi hapa Africa mashariki ukweli useme jamaa ni superstar kweli kweli😂😂
@yanickmustafa72218 ай бұрын
Diamond platnumz 🙌🤴🦁
@barakarajabu9751Ай бұрын
Ebanaee acha mond aitwe mfalme wa Tz ni halali kbx because ameshakua mxanii mkubwa wa kitaifa na kimataifa upande wa pili kaeni hivyo hivy mkimuiga chibu mta lala njaaa platinum hakamatiki c.kwa pesa,kimuziki au kwa kuwekez Salute xan chibu popote ulipo aman xan kwako pamoja na familia yako kwa ujumla
@allyfatma73598 ай бұрын
Haya.mpangieni maisha mliosaidia kutafuta pesa.
@user-fx5gu6xs5o7 ай бұрын
Diamond is another level❤❤❤❤
@muddymiusic16248 ай бұрын
Simbaa🔥
@TajiriHalisi-ez1tf8 ай бұрын
Simßaaaaahhhh🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@upendoluva20668 ай бұрын
Hongera zari umekunza watoto,baimond kanza buti upo vizuri baba.❤❤🎉
@raphaelkayange98896 ай бұрын
Hongera simba
@user-th5xz1fg5t8 ай бұрын
amebakiza t kuwa mtumixh wa kanixa
@aminatanzanya74758 ай бұрын
Mtangzj mbona husem akiw mpenzi wake Zuchu 🤣🤣
@aaa64sa138 ай бұрын
Zuchu na Boss wake wanaekekea kazini.
@user-wi6uk1vz1h8 ай бұрын
@@aaa64sa13tant pis pour toi tu cherches à te réconforter
@user-wi6uk1vz1h8 ай бұрын
Et vous avez trop mal les détracteurs
@user-fj3yf1my6e8 ай бұрын
Simba ndo simna tuu
@milazoomilazoo44948 ай бұрын
Hala ndioo tunaposemaga daimondi hafananishwi na huyo mavi hamo kupigapiga kelele tuuuu mpuuuzi huyoo
@davidwalalason76308 ай бұрын
This dude knows how to position himself frfr
@suleimankhamis82988 ай бұрын
life is too short vuruga baba unaishi mara moja tu
@magomakabanja4807 ай бұрын
😮 Napambana na Hali yangu Sitaki Kumuiga Huyu Simba la Masimba Dangoteee Nisije Weka Uhai Wangu Poni Wazazi na Mke Wangu na Watoto wangu Wakabaki Wanataabika Hongera Sana Mondiiiii Kwa Mafanikio yako ila Usisahau Kama Kuna Kufa 😂😂😂😂😂😂
Simbalamasimba Dangote wee zombiiii haujuiii ayayaaa ayaaaa wataelewa tu
@elinamilyatuu73378 ай бұрын
Super star,Super kabisa ile gumzo ya kitaa
@deonatusyokta35798 ай бұрын
Huyu muha kajipata walahi😂
@easternyerembe72718 ай бұрын
Magari yote ninayo hayo na zaidi cjionyeshi tu😊
@alliymohamedalliy65248 ай бұрын
🤦♂️ 😂😂😂😇🚮
@asahdhamza10348 ай бұрын
😂
@abdulrahmanhassan85028 ай бұрын
Labda toys
@martinfrancis98088 ай бұрын
MAISHA ALIYOFIKIKIA DIAMOND HATA AKIACHA MZIKI HAFILISIKI TENA ANA PESA NYINGI
@flm15308 ай бұрын
Nan kakudangany hela za shetani zinadumu?
@stevenlyando18018 ай бұрын
Maji namafuta uwa vinajitenga vyenyewe,huyu mwamba ndio nembo ya mziki wa nchi hii halafu kuna kunguni zinajifananisha na jamaa,ukitaka kufirisika nunua hizi ndinga kama wewe unamsuli kweli kama hujafunga gang🤣🤣🤣🤣🤣
@seiftaji78388 ай бұрын
Konde hana pesa bali ana visent vya machungwa ila anatuna sana
@vickystephano2248 ай бұрын
Hela Hz jamaniiii
@user-zu1wd4hj2v8 ай бұрын
Acheni shobo kwasa babu diamond platnumz ni musani mudogo Sana Africa na kama unabisha mufatiliye davido au burna boy njo utajifunza mengi 😊
@StephanoMashavu-mw2ij8 ай бұрын
Mm nkajua utamtaja wamfatilie harmonize au kiba kmbe Burnaby hapo nmekuelewa
@MajaxAlp8 ай бұрын
Kuna wa Kaz na mud wa mapenz
@sulleymernmannarah79308 ай бұрын
Konde hua anasema yko na Hela
@alimkumbukwa83638 ай бұрын
E nomaa
@dayana5513story8 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@rajabuhamisi32308 ай бұрын
Msije mkaniambia mr nice alikuwa mkubwa kuliko Simba
@happymwaseba58788 ай бұрын
Nimeamua nicheke hapana dai hajui kitu alafu Hana ela Wala hajui kuimba nyie aibu naona Mimi sisi tuna maneno
@tariqdasulley67598 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@ndukulusudikucho_8 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@SabadopedridoSabadopedrio6 ай бұрын
Ae
@paizinhosaide-cv9pm8 ай бұрын
❤❤❤
@user-xv8tb2fl5x8 ай бұрын
Acheni kuiga mtafirisika
@issackathman8508 ай бұрын
haha ndo hvo ka uwezo wako wa marage afu unataka nyama mhhhh
@user-qi7px6nb8r8 ай бұрын
Simba la masimba
@kelementbushishi36878 ай бұрын
🦁🦁🦁🙌🙌🙌🙌
@kristofuraha33698 ай бұрын
Wapi wakazi?!🤣
@benjagaspar53048 ай бұрын
licha ya mzik kuna kitu chakujifunya
@asahdhamza10348 ай бұрын
Chibdee chibdee
@afterx31728 ай бұрын
Sasa hao wengine si chawa na dancer na wao wapo kwnye msafara, ni ile tu kutafuta tension no more
@edwardtrigga57018 ай бұрын
Na point Yako ni nini?!
@kilimaone36328 ай бұрын
Hii benz kanunua serikalini bei nyasi tu
@TheBastarrrd8 ай бұрын
Hata nyasi wewe unamiliki?
@kilimaone36328 ай бұрын
Ndio
@agapemunyi20958 ай бұрын
Usipomuamini unaemdharau kuwa atafanya kitu fulan half akafanya lazim utafute neno la kujipoza na pressure, ungesema hta kapewa bure 😂😂
@issackathman8508 ай бұрын
nunua nww sasa
@kilimaone36328 ай бұрын
@@issackathman850 tayar ninayo
@gideonemmanyi95938 ай бұрын
makalio tu
@TheBastarrrd8 ай бұрын
Ya mama ako
@mwinyiabdallah43838 ай бұрын
Duh utakufa Kwa chuki
@DigonzaKeimbe-uq1bx8 ай бұрын
🏂🏂🏂🏂
@vannyapple34018 ай бұрын
Juma2 Kuna watu wanamawe cyo pumbavu huyu
@TheBastarrrd8 ай бұрын
Pumbavu mama yako
@ezekielmichael94318 ай бұрын
Tatizo wasanii wa bongo mapicha picha mengi mno kwa sas kama huyo diamond anatuonyeshe ana maisha ya kitajili, ikitokea tu....! Amepata changamoto yoyote ya ki afya utaona tunaanza kuoombwa michango
@geoufo28588 ай бұрын
Ata bakressa akiumwaa miaka kumi ataomba mchango pia acha ushamba
@shahakaisi19208 ай бұрын
unachosema kwa mtazamo wako ni sawa,ila haujaangalia madaraja anaweza akakwama na kuhitaji msaada lkn huo msaada sio kwa levo yako.
@sabihaibrahim1438 ай бұрын
@@geoufo2858muongo wewe
@hassanfigo61758 ай бұрын
Bro wewe waangalia sana bongo movie ndio maana. Lakini sio mondi kwa level hizo hapo hakuna mchango WCB tu wakitoa michango yao inatosha sio lazma nyote muusishwe
@sabihaibrahim1438 ай бұрын
@@shahakaisi1920ni hizo hizi mia mia zetu
@user-jq9rj4dm5u8 ай бұрын
We zombie 😂😂😂😂
@amanikingu22678 ай бұрын
Hivi kwa nn magari yote Simba ni yanarangi nyeusi
@masturasudi73948 ай бұрын
Mmeanza
@jacobsanga61188 ай бұрын
Roz Roz kwan ni nyeusiii au macho yngu
@gabrielmpanda97098 ай бұрын
Gari yenye rangi nyeusi uonyesha Utawala,Ufalme,Uongozi na Kuheshimika na ndo maana unaweza kuona baadhi Gari nyingi zitumiwazo na Viongozi na watu mashuhuri Duniani ni za Rangi Nyeusi Lakini pia nasikia ukikuta zinauzwa Gari za aina moja na kuna nyeusi na za Rangi zinginezo basi yenye Rangi Nyeusi bei itakuwaa juu zaidi kidogo kuliko zenye Rangi nyingine
@shanatatrigger65378 ай бұрын
Jibu ni hili kama hujui kaulize ila gari lenye rangi nyeusi ni bei kuliko rangi zinginezo