JUMBA LA KIFAHARI LA MBUNGE BILIONEA LATEKETEZWA, MAGARI, MIFUGO VYAHARIBIWA VIBAYA

  Рет қаралды 147,836

Millard Ayo

Millard Ayo

4 күн бұрын

Пікірлер: 852
@anordiobadia.nycsong8123
@anordiobadia.nycsong8123 2 күн бұрын
Duu hawa wakenya wana kila sababu za kujengewa sanamu kwa kazi nzuri
@abdallahiddy6333
@abdallahiddy6333 2 күн бұрын
hawa jamaa big up sana wanapambana sana
@godfreypaul251
@godfreypaul251 Күн бұрын
Kwa kuharibu vitu vya watu?
@martineopapa7383
@martineopapa7383 Күн бұрын
Siku ukiharibiwa kitu ndo utajua uzuri zaidi
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats Күн бұрын
Sisi udaku udaku tu
@shabanikitula645
@shabanikitula645 Күн бұрын
Hao ndiyo wanaume na wakenya ndiyo taifa ambalo wananchi wake wanajitambua
@dadamuebrania1539
@dadamuebrania1539 2 күн бұрын
Wabunge wanaishi maisha ya anasa wenzangu na mie tunaopanga foleni kuwapigia kura mlo mmoja kwa siku😢tena sio mlo kamili Ee Yesu tusamehe tu😢
@RutinikiGosbert
@RutinikiGosbert 2 күн бұрын
Asante ndugu na wahapa kwetu wala hawana muda nasisi sasa wakati umefika wa kujakuomba kura
@josephelisha8413
@josephelisha8413 2 күн бұрын
Bro ni hustler if story ni kweli kuku 10000wa mayai mshahara wa mbunge haufikii
@samwa9496
@samwa9496 2 күн бұрын
Sasa kama kapata wivu wa Nini jamani hata vidole haviko sawa mmekosea sana wacha wawauwe kwani nilazima apate kwa hiyo ubunge mmelaaniwa hadi vitukuuna vilembwe​@@josephelisha8413
@celinamachundoInspires
@celinamachundoInspires 2 күн бұрын
Iwe fundisho kwa wabunge na wenye mamlaka bongo
@asinahussein2176
@asinahussein2176 Күн бұрын
Kwani matajiri wote ni wabunge angetegemea mshahara asingefika hapo alipo ila laana ya wanyama haitawaacha salama .​@celinamachundoInspires
@user13375
@user13375 2 күн бұрын
Machawa wa kusema ndiyooooooo kwa kila kitu ndo funzo😮😮😮
@eliariro5514
@eliariro5514 2 күн бұрын
😂😂😂 amekoma
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 2 күн бұрын
Hayo ndo malipo ya punda afe mzigo ufiko,hiyo sasa imekuwa mzigo ufe punda afike
@mshanibeatrice7449
@mshanibeatrice7449 2 күн бұрын
Ahahaa daa nimecheka km maxur
@karibunyumbani3824
@karibunyumbani3824 2 күн бұрын
​@@majaliwamsigwa6206😅😅😅😅😅
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 2 күн бұрын
😅​@@majaliwamsigwa6206
@AfricaQueen
@AfricaQueen 2 күн бұрын
✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾Safiii ndio wajue sasa Watu wamechoka Na kunyanyaswa wanaishi maisha mazuri Na kusahau wananchi ndio wamewapatia kura 😏hii ndio fundisho kwa African viongozi watu wamechoka kuliwa pesa zenu za kodi wanatuweka kwenye maisha ya tabu wao wanaishi maisha mazuri Tumechoka wananchi safi sanaaaaaa Kenya People 🥁🥁🥁🥁✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾🎷🥁🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️hiii itakwenda Africa nzimaaa Tuamkeeeee🗣️🗣️🗣️🗣️
@terashangwe255
@terashangwe255 Күн бұрын
Ila na nyinyi ndio mnaendelea kufa
@andrewkaswagula3367
@andrewkaswagula3367 2 күн бұрын
I love kenyans.. wapo serious sana wakiamua jambo lao. Sio sisi huku Tanzania. Viva kenyans 💪💪
@birianination7097
@birianination7097 2 күн бұрын
Ujinga huo
@zainajirani5296
@zainajirani5296 2 күн бұрын
Usiombe Bubu akiongea patakuwa hapatoshi... Si unawajuwa Panya road 😂
@andrewkaswagula3367
@andrewkaswagula3367 2 күн бұрын
@@birianination7097 hyo ndio dawa ya viongozi wa Kiafrika.. Kama ni mfuatiliaji mzuri wa Nchi za kiafrika toka tawala za kale enzi za kupigania uhuru utakuwa unaelewa. Viongozi wengi wa kiafrika hawajawai kuamini mpaka wafanyiwe machafuko na hata kupinduliwa. Kama wakenya wangelemaa huo mswada ungepita kiwepesi tu. Lakini hapo serikali itarejea tena kuuweka sawa. Acha sisi wenye uwoga tuendelee kusemea chooni. Ila wakenya nawapenda, wakichoka hawahitaji muda zaidi, wanaongesha vitendo.
@andrewkaswagula3367
@andrewkaswagula3367 2 күн бұрын
@@zainajirani5296 safi tu.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 2 күн бұрын
Si wamepata Katiba Mpya juzi tu au ndio hii.
@mosule9262
@mosule9262 2 күн бұрын
Kilichoniuma ni hao viumbe wa mungu kufa bila sababu !!! Daaah!!!
@mundhirsalum21
@mundhirsalum21 2 күн бұрын
Usile kuku au usinywe maji maana kuna viumbe pia 😂😂
@mercynina6288
@mercynina6288 2 күн бұрын
Yaan. Hawajui chochote 😢😢
@ManyoriModernFarmMMF
@ManyoriModernFarmMMF Күн бұрын
laana huwa inatafuna kila kitu huwa haibagui
@landmadvdmbeyacity9561
@landmadvdmbeyacity9561 Күн бұрын
Huelewek hata unaongea Nn kuku ww
@ManyoriModernFarmMMF
@ManyoriModernFarmMMF Күн бұрын
@@landmadvdmbeyacity9561 🙏 ubarikiwe sana ewe binadamu.
@deusisindwa616
@deusisindwa616 2 күн бұрын
Safi sn,, Iwe fundisho Kwa viongoz wa Africa,,wakichanguliwa wanajiona Miungu watu,, Wanatunga Shelia zakuwalinda wao,
@nyokaapaschal5734
@nyokaapaschal5734 Күн бұрын
Hii Iko poa Sanaa kazi nzurii
@somoeomar4861
@somoeomar4861 2 күн бұрын
Washenzi hawa viongozi wanajitajirisha wao maskini wawaumiza
@yordanyona1234
@yordanyona1234 2 күн бұрын
Kaka huyo anafanya Biashara kuku 10000 unajua ni sh ngapi ...sio kila anayeingia serikali huiba.. MFANO tuna shabibi Msukuma Wana pesa sana ... Kishimba wao hutoa fedha nyingi kuliko za serikali
@allahisone6386
@allahisone6386 2 күн бұрын
​ EEWEEEEEH_🤔
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt 2 күн бұрын
​@@yordanyona1234kwaiyo jumba lote hilo kalipata kwa kuuza kuku sio!?hiyo mifugo anafuga kwa kujifurahisha tuu sio kwa biashara!fuga nawewe utajirike kama unaona utajiri rahisi kiasi hicho
@birianination7097
@birianination7097 2 күн бұрын
​@@IbniAbbas-yz3kt sasa mtu mwenye kuku 10000 atakua na miradi mingapi, pia kuku 10000 thamani yake ni 100,000,000 kwa mwenzi.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 2 күн бұрын
​@@yordanyona1234 Acha tu ndio akili za masikini.
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 2 күн бұрын
Tanzania tushukuru sana kwa amani aliyotujaalia Mwenyezi Mungu, ila hii ni tahadhari kwa ccm inapenda sana kuifanyia mzaha amani hii, ccm mjiangalie sana
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 2 күн бұрын
Tanzania hatuna amani ndugu tunavumilia tu
@josephwilliammnyune5464
@josephwilliammnyune5464 2 күн бұрын
Wajiangalie kwa vipi? Mambo kama hayo hawawezi kutokea Tz.
@magorymara5515
@magorymara5515 2 күн бұрын
Muombe mungu sana hata Sudan hawakufikiria hivyo walizani itakuwa Sudan kusin tu lakin mambo yaligeuka kwahiyo ndugu mtangulize mungu tu ​@@josephwilliammnyune5464
@mkanjimamkanjimamkanjima2043
@mkanjimamkanjimamkanjima2043 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂​@@josephwilliammnyune5464
@makatym6151
@makatym6151 2 күн бұрын
Amani ama Uoga
@RwechungulaBegumisa
@RwechungulaBegumisa 2 күн бұрын
Wakenya mungu awabariki Kwa kuitafuta haki❤❤❤❤❤
@wilbertaerasto7584
@wilbertaerasto7584 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@asinahussein2176
@asinahussein2176 Күн бұрын
Haki ujinga tuu njoo uone maisha yao ndio utajua ata atawale malaika shida haxitaisha
@piussangu7963
@piussangu7963 2 күн бұрын
Hiyo ni nyumba ya shamba je ya mjini!!! Aisee wakenya fanyeni kazi
@BMboss108
@BMboss108 2 күн бұрын
Katika wabunge wote duniani wabunge waKenya ndio wenyewe mishahara minono...sahii maisha huku yamepanda sana..sio stima,sio mayai,sio sukari,sio uto,sio maziwa sio mkate..kitamba na 50Ksh wapata maziwa 500ML (nusu lita)sahii hakuna kuanzia 60 sh ukiwa na bahati..ndogo ilikuwa 20ksh sahii maziwa rahisi Kenya ni ya 35ksh 200ML!labda ununue kutoka kwa mkuliwa anaefuga ndio labda utapata nafuu kwa bei
@gboystoner
@gboystoner 2 күн бұрын
Fanyeni kazi mnachofanya hicho sio solutions la kutatua matatizo yenu. Mnaonekana ni wavivu na hampendi kujishughulisha na michakato.
@PaulMsema
@PaulMsema Күн бұрын
Wangekuwa na kazi wasiandamana,Hali ngumu ya maisha inamfanya mtu Bora afe maana garama ya maisha juu
@nabii-zc1hm
@nabii-zc1hm Күн бұрын
​@@PaulMsemasahihi
@asinahussein2176
@asinahussein2176 Күн бұрын
​@@gboystoneryani umeongea ukweli kiukweli kenya asilimia kubwa choka mbaya angalia wamepata nini sasa jana nilienda Town nimeona mafundi wamemwaga wanajenga tena.
@samtechtanzania3252
@samtechtanzania3252 2 күн бұрын
Wabunge was Tz chukuen darasa la Bure
@allahisone6386
@allahisone6386 2 күн бұрын
SUBUTU
@annafredinandmatandiko8438
@annafredinandmatandiko8438 2 күн бұрын
2025
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 2 күн бұрын
​@@allahisone6386siyo subutu unajua saa yoyote tunavamiwa ba si watanzania
@BMboss108
@BMboss108 2 күн бұрын
​@allahisone6386 😂😂😂 ukiona cha mwenzako cha nyolewa na chako kitie maji..labdaa wa Tanzania ni waoga
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 2 күн бұрын
​@@allahisone6386usiseme ivo dunia sasa inabadilika
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 2 күн бұрын
Safi saaana nimefurahi mnakula kodi zetu tena za Zulma wacha yaungue
@nancyg8664
@nancyg8664 2 күн бұрын
kwahyo na mifugo imewafanyaje
@aidanmbilinyi8184
@aidanmbilinyi8184 2 күн бұрын
​@@nancyg8664 mifugo imejileta hapo s rasiliamali hizo
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 2 күн бұрын
Huu ni uharibifu na uharifu Wala hakuna sababu yoyote ya kuhalalisha ujinga huu!
@SeeMe-uh3sy
@SeeMe-uh3sy 2 күн бұрын
​@@nancyg8664wewe nawe mifugo yakuhusu au ni pesa yakununua hio mifugo imepatikana vp
@SeeMe-uh3sy
@SeeMe-uh3sy 2 күн бұрын
​@@nancyg8664 wanakuhusu ww hao kuku pesa ndio imenunua kuku na sio kuku wamekuja kukaa bure
@christaoman8890
@christaoman8890 2 күн бұрын
Kazi imefanyika km ni mbwai naiwe mbwai safi sana wa Kenya mmeonyesha mfano bora😂😂😂
@AfricaQueen
@AfricaQueen 2 күн бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾
@vero57
@vero57 2 күн бұрын
Wanaichi wanaenda nchi za kiarabu kufanya kazi wanateswa, wana firwa, wanauliwa , alafu nyie viongozi ndiyo muna kula pesa za nchi , safi sana hii!! Oneni mfano huo
@thobiasanthony-ep6lb
@thobiasanthony-ep6lb 2 күн бұрын
Wanafirwa😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 inaumiza sana. binadamu wawe na utu jamani dah! Inaumiza sana. Mungu atunusuru jamani
@samwa9496
@samwa9496 2 күн бұрын
​@@thobiasanthony-ep6lbhaya matusi si amelegeza Yako mwenyewe
@lawrencegwerino1656
@lawrencegwerino1656 2 күн бұрын
Wabunge wa tanzania hii inatakiwa iwe somo Kwenu..
@awadhally1052
@awadhally1052 2 күн бұрын
Kwel kabisa
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 2 күн бұрын
Hii inatakiwa imfikiee mwigulu tuchome kila kitu chake moto
@Zuu673
@Zuu673 2 күн бұрын
​@@deogratiusyudatadei5658nenda kachome😂😂😂😂😂wenzake wakutaje
@birianination7097
@birianination7097 2 күн бұрын
​@@deogratiusyudatadei5658 ujinga huu.
@DaudJoel-th7re
@DaudJoel-th7re 2 күн бұрын
I​@@Zuu673😅😂😂😂😂😂😂
@user-oz4gz8kq9e
@user-oz4gz8kq9e 2 күн бұрын
Safi sana hongera wananchi wa Kenya na hayo mliyoyafanya inabidi na Tanzania tufanye duu raisi Ruto kasikia wakenya wamevamia bunge napia wakatangaza kwenye ikulu Nairobi alhamisi ya juzi kabla hawajafanya Hilo Ruto akasalimu amri akasema atasaini mswada wa ongezeko la ushuru hongera sana wakenya bado Tanzania.
@user-dn8ok2io4l
@user-dn8ok2io4l 2 күн бұрын
Yan Tz tungekua kama wakenya tusingekuwa tunachezewa na hawa wala rushwa wa pumbafuuuu safi sana kenya
@annamussa185
@annamussa185 2 күн бұрын
Kabisa
@LugyPlan
@LugyPlan 2 күн бұрын
Haujitambui
@uwembatvonline
@uwembatvonline 2 күн бұрын
Si ujitambue ungejitambua na nani,, wewe ndo hujitambui
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 күн бұрын
Kabisaa aisee
@alainnduwimana544
@alainnduwimana544 2 күн бұрын
Jiombeeni
@jonasamos555
@jonasamos555 2 күн бұрын
Safi sana, na wengine zikachomwe mpaka washike akili huyu atajutia siasa maisha yake yote
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 2 күн бұрын
Nchi za kiafrika zina madini gesi misitu. Na kila aina ya rasilimali lakini maisha kwa wananchi wao ni ngumu kama chuma cha pua. Daaaaaaa😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 2 күн бұрын
Chuki zitawaua mtazidi kuwa maskini. Mwenzenu atalipwa na bima atazidi kutajirika.
@user-mf6yx1cy5u
@user-mf6yx1cy5u 2 күн бұрын
Bora amepoteza mengine hayatuhusu
@SalamSaleh-vu6cl
@SalamSaleh-vu6cl 2 күн бұрын
Wana roho mbaya hawana adabu majobless
@faithstephen3690
@faithstephen3690 2 күн бұрын
​@@SalamSaleh-vu6cl wee mbwa unabwekea nani shoga mkubwa majobless wakati ombaomba huku ni watanzania
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 2 күн бұрын
Huna akili tena inatakiwa nayeye wange mchoma harafu alipwe na bima
@damagesinger8971
@damagesinger8971 2 күн бұрын
Learn how to mind your own business what do you know about Kenya nonsense
@jumamabu3650
@jumamabu3650 2 күн бұрын
Wamekosea sana kuwachoma kuku Bora wangewafungulia tu watawanyike
@user-jx5ze9wz8e
@user-jx5ze9wz8e 2 күн бұрын
Wandamanaji wamefanya vizur san lakin kuku hawana hatia jamani
@mwinyimatopa2283
@mwinyimatopa2283 2 күн бұрын
Hata wale vijana walio uwawa na Askari hawana hatia kama sio huyo mbunge kupitisha huwo mswada Kwa hiyo kuku muhimu Sana kuliko watu sio
@wilbertaerasto7584
@wilbertaerasto7584 2 күн бұрын
Hasira hizo, wangemkuta huyo Mbunge ndio angekuwa halali yao😂😂
@user-fd5nk7fr2p
@user-fd5nk7fr2p 2 күн бұрын
@@user-jx5ze9wz8ewalah. Mm nimeumizwa na kuku 😢
@florencezawadi3784
@florencezawadi3784 Күн бұрын
​@@wilbertaerasto7584alikua hayuko tena ana bahati
@estakapufi7582
@estakapufi7582 2 күн бұрын
Yeye mbunge anaunga mkono hiyo bajeti angalia maisha anayo ishi ajuwi kama kuna watu wanaumia, iyo ndio nyumba yake ya shamba je zingine wache achomewe tu huwa wanapitisha bajeti bila kujuwa ninani itamuhasili wao wanapokea kola mwezi hawana shida ila wanachi wanapoongea wanawadhalau mungu halali hii dunia wanajilimbikizia mali kama watakufa nazo.
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 2 күн бұрын
I love tz my mother country idont have other nation
@gililwise
@gililwise 2 күн бұрын
Duh wabunge WA Tz mnajilimbikizia marupurupu na.kutetea ukandamizaji WA kodi Kwa wananchi.na kikokotoo kwa wafanyakazi U kiona mwenzako ananyolewa jitafakari.maana Kama wabunge wakenya wangesimamia serikali hayo yanayofanyika yasingekuwepo.
@PaulJelais
@PaulJelais 2 күн бұрын
Pesa ya dhuluma itakugharimu tuu maana Mungu yupo
@haggaikinyau1395
@haggaikinyau1395 2 күн бұрын
Umejuaje kuwa ni fedha ya dhuluma? Kenya ni nchi ya kibepari watu wanafanya biashara zao na kupata pesa wewe unasema fedha ya dhuluma, hii sio sawa na kwenyu huko Tanzania
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 2 күн бұрын
Hao wanyama hawana hatia wamewadhulumu bure, bora wangechukua wakawachinja na kupata kitoweo
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 2 күн бұрын
Sasa mtakufa vifo vibaya kama mlivo uua kuku ishallah
@meshackthomas1341
@meshackthomas1341 2 күн бұрын
Nimazara ya kuwaendekeza wavivu na wavuta bangi. Ndo haya haki gani inadaiwa Kwa kuingilia maisha binafisi ya mtu mkikatazwa kuandamana et tunanyimwa Haki ipi kama haki yenyewe ndo hi basi Africa tuondoe Sheria hi au tuboreshe Sheria za kihalifu. ziwe Kali sana bila kuangalia nani kafanya uhalibifu Hakuna haki ya uhalibifu 🙏💪
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m 2 күн бұрын
Mkundu wako ww
@Zuu673
@Zuu673 2 күн бұрын
Kweli kabisa
@SalamSaleh-vu6cl
@SalamSaleh-vu6cl 2 күн бұрын
Kweli kaka
@user-io5dh6px5q
@user-io5dh6px5q 2 күн бұрын
Wewe Kuma nn unawatetea nn Kuma mbuzi
@RaymondZindah-ow7wr
@RaymondZindah-ow7wr 2 күн бұрын
Bado skins mwiguru, msukuma na majariwa na chawa wote wanao unga sera kandamizi Kwa wananchi
@wilbertaerasto7584
@wilbertaerasto7584 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂Tanzania hatuthubutu, wake ya Wana umoja wakiamua kufanya Jambo lao hawana masihara🔥🔥🔥🔥🔥
@StanyOfficiol
@StanyOfficiol 2 күн бұрын
Safi kabisa tena hill jumba lingeanguka kabisa
@florashauri9228
@florashauri9228 2 күн бұрын
Mungu awarehemu,hii siyo sawa hata kidogo viumbe wamekosa Nini na kuharibu Mali za mtu
@awadhally1052
@awadhally1052 2 күн бұрын
Kwel kuchoma viumbe vision na hatia sio sawa.
@salimomari150
@salimomari150 2 күн бұрын
Kila alokufa kwenye maandamano Kenya,,nasema hivi tuwajenge sanamu,,sio pow,,hawa ndo wazalemdo halisi
@stevenngota6400
@stevenngota6400 2 күн бұрын
Safi sana ila kwenye mifugo mngebeba msingechoma
@dariandeogratius
@dariandeogratius 2 күн бұрын
Kabisa kuchoma wamekosea wangebeba tu
@stevenngota6400
@stevenngota6400 2 күн бұрын
@@dariandeogratius sana tu
@abuutasniym2675
@abuutasniym2675 2 күн бұрын
Mwendawazimu sio rahisi kujua chenye thamani kwake bali hupiga mateke tuu nakusepa zake
@ndessawandessageorge8895
@ndessawandessageorge8895 2 күн бұрын
Au wangepumzika hapo siku kadhaa wakila nakutafakari pakwenda kupumzika tena
@abdullahkazungu4025
@abdullahkazungu4025 23 сағат бұрын
Time yakubeba ilikua hakuna
@imanimussa6256
@imanimussa6256 2 күн бұрын
Kuua viumbe tena kwa moto mutajutia laana hii
@peternyingi5545
@peternyingi5545 2 күн бұрын
Magufuri arichoma vifaranga eti zimetoka kenya
@georgeichinge8599
@georgeichinge8599 2 күн бұрын
tz mnakata mazao ya wakimbizi ili wafe njaa
@user-jx5ze9wz8e
@user-jx5ze9wz8e 2 күн бұрын
Safi san wakenya sisi watanzania tunatesouwa tu huku kwetu watawala hawataki kutusikiliza sisi wana tuona kama hatuna akili wanatuwambia kam maisha magumuu tuwamia burundi daaa nimateso tupu
@terashangwe255
@terashangwe255 2 күн бұрын
Acha kusifia ujinga haya mamuzi yanasababisha kupoteza watoto na ndugu kwaujumla siwezi kubariana na haya mamuzi mpaka nakufa MUNGU akitaka kukupa haki atakupa tu hata kwakuchelewa Acha tuendelee kuwa wajinga
@alicejumaa89
@alicejumaa89 2 күн бұрын
​@@terashangwe255uongo
@Hamisi8465
@Hamisi8465 2 күн бұрын
​@@terashangwe255ujinga ni huu unaoufikiria wewe sasa Mungu yuko na yule anaeipambania haki yake
@abuutasniym2675
@abuutasniym2675 2 күн бұрын
Hakika Mwenyezi Mungu habadilishi yale yalio kwawatu mpaka watu wenyewe wabadilike Hivyo tukitaka mambo yetu yaende vizuri basi kwanza sisi wenyewe tuanze kubadilika tuache husda chuki choyo rohombaya baina yetu. Unamkutia mtu anamlaumu mwenzake wakati yeye mwenyewe ndie mwalimu wachoyo naroho mbaya naye akipewa kinafasi anamega anakua mbinafsi sasa vipi tutafanikiwa wakati imani zimekua dhaifu? Yote hayo nikutokana nakutokua nakhofu ya Mungu ndio maana mtu anahisi ataishi milele kwakuchukua mali za umma nakudhulumu
@asinahussein2176
@asinahussein2176 Күн бұрын
​@@terashangwe255ndio utawaona tuu wakaa vibarazani nikulaumu tuu serikali embu angalia waliokufa kenya yani ni familia duni bona hawajafa matajiri majitu yanajiendea km manyumbu
@josephlorri431
@josephlorri431 2 күн бұрын
Mimi ni mfugaji mdogo... ninaweza kuhisi maumivu ya huyo mbunge na hata mifugo waliokufa kwa mateso.. maskini hapendi mwenye mali..
@BMboss108
@BMboss108 2 күн бұрын
Mali ya wizi !sahii kuku mmoja Kenya kwa butcher ni 600ksh!kilo moja ya nyama ni hio 600ksh!kutoka 400ksh hadi 600ksh!alafu watuongezee.kodi!hakuna mahali Kenya utapata mkate kwa 50ksh wala maziwa..ni 65ksh kwendaa juu..wao wajingezea mishahara na kuwapa jamaa zao kazi..watu wamesoma na hakuna kazi
@mariamboki2868
@mariamboki2868 2 күн бұрын
😅😅😅😅😅 wakenya bwiiii
@samwa9496
@samwa9496 2 күн бұрын
Ni kweli huyo ni riziki yake ulitegemea wote muwe juu yaani mna wivu sana na roho za kwanini ishieni huko huko hatuwataki wasomali na Sudan ndio mmekaa fujo tuu mkenya sipendi kabisa kwa tabia zao hizo hata kiumbe anaumwa ni haki yao kupigwa
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 2 күн бұрын
Ila maumivu anayopata mkenya kawaida
@castomwakipesile9380
@castomwakipesile9380 2 күн бұрын
Wakenya mkuje na mahali flani hivi tunaonewa sana ila bas tu.🇰🇪 👐
@claudbusumilo3979
@claudbusumilo3979 2 күн бұрын
MUNGU awape nguvu wakenya na ikimupendeza MUNGU wote waingie MBINGUNI Bado tanzania siku sio nyingi
@greenwellnsyukwe4729
@greenwellnsyukwe4729 Күн бұрын
Hiyo mifugo Bora mngebeba mkale na siyo kuchoma moto.
@greenwellnsyukwe4729
@greenwellnsyukwe4729 Күн бұрын
Siyo wabunge tuu, Viongozi wote mnaojinufaisha Kwa Mali zetu harafu mnatudharau fundisho hilo hapo.
@r14kgroup68
@r14kgroup68 Күн бұрын
Hongereni kwa kuwapiga mafisadi
@bwittozmjomba7019
@bwittozmjomba7019 Күн бұрын
Kwa upande wangu Mmi nimeona ni sawa Ndio Mafisadi wenyewe wabunge
@ndessawandessageorge8895
@ndessawandessageorge8895 2 күн бұрын
Niwaombe wakenya wasiharibu mali bali waondoke nazo ata zikawe faida kwao Amani irudi Jamani , serikali nayo ikubaliane na wanacho kitaka 🙏🙏🙏🙏🙏😢😢😢🙏🙏🙏
@ngotamohamedi1793
@ngotamohamedi1793 2 күн бұрын
Safi sana😊
@user-wq8kw7wb1n
@user-wq8kw7wb1n 2 күн бұрын
wanajilimbikizia mali kana kwamba duniani hatutaondoka tz kinacho niumiza niwafanyakazi kusitafu uzeeni ile hali vijana weng sana hawana pakwenda sheria zibadilishwe tupeane shift tugawane icho kidogo nchi ni yetu sote hakuna aliye inunua mungu alituumba sote tuifaid
@malickabbas8271
@malickabbas8271 2 күн бұрын
Hawa viongozi wanajitajirisha kwa kodi zetu ,Safi Sana
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 2 күн бұрын
safiii sanaa wangemtafuta na huyo mbunge wammalize kabisa
@florenciamassawe4925
@florenciamassawe4925 2 күн бұрын
😱😱Eee Mwenyezi Mungu naomba urudishe amani ndani ya nchi hii ya Kenya 😢😢
@najmathiney65
@najmathiney65 2 күн бұрын
Aiseee Kenya ni mbayaaa uuuwiiiii ni mbayaaaa Kenya ni mbayaa mazee😂😂😂
@riavlogstz
@riavlogstz 2 күн бұрын
Tanzania nchi yangu nakupenda❤❤❤
@ahmedalfan8075
@ahmedalfan8075 2 күн бұрын
Na utaendelea kuteseka Kila siku mpaka chai ukamulia maji ya miwa
@mwajumaseifu216
@mwajumaseifu216 2 күн бұрын
​@@ahmedalfan8075 Akuna anayeteseka
@aminata3702
@aminata3702 2 күн бұрын
Nani aliyekwambia tunateseka wewe kiazi?Stop projecting
@ahmedalfan8075
@ahmedalfan8075 2 күн бұрын
@@aminata3702 projecting? U're suffering and then u're comforting ur self. U talking nonsense. Au ndio wale watoto wa baba kanituma ? Tz sugar how much per kilogram ? cornflower how much? A u out of u're mind ?
@BoazDillu
@BoazDillu 2 күн бұрын
B​@@ahmedalfan8075 Bro hayakuhusu ya huku pambaneni na hali zenu TZ hatuna njaa kali kama nyie
@laurfredyadoniar5653
@laurfredyadoniar5653 2 күн бұрын
Wanakoelekea nikutengeneza nchi masikini
@kingmsanya3524
@kingmsanya3524 2 күн бұрын
Naungana na wew
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 күн бұрын
Njqq itqzidi
@riavlogstz
@riavlogstz 2 күн бұрын
Yes maana hata watalii waliokua umo wameondoka fasta jkia airport ilikua imefurika
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o 2 күн бұрын
​@@HanifaOman-oo4pl😂😂😂😂😂 haya na wew hanifa umetuandikia lugha gani au ndo woman wamekuchanganya
@edwardkasubi5135
@edwardkasubi5135 2 күн бұрын
Pengine wewe hukusoma historia ya Dunia hii ,anza SA , USA , rudi kwenye mataifa mengine ya Africa wakati wa ukoloni kama HAKI iliombwa
@atupelejohnmwakangale3226
@atupelejohnmwakangale3226 2 күн бұрын
Kuharibu mali ni chuki ya kimasikini,na hata wanaofanya HIVYO huendelea kuwa masikini katika vizazi na vizazi VYAO. MTU mmoja ANAWEZA tengeneza laana kwa ukoo kwa kizazi na kizazi pasipo kujua. Mungu hawezi kuwapa Watu wanaofanya Mambo kama hayo. Ukijaribu kujenga anakuta hufiki Hadi hatua ya mwisho na ukifuga hawafugiki.
@paulmushi2428
@paulmushi2428 2 күн бұрын
Utajuaje? Yawezekana na yeye ana Laana hiyo hiyo unayoisema!!
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw 2 күн бұрын
Si kodi zao ndo zmenunua?
@marymanoni5536
@marymanoni5536 2 күн бұрын
Huyu mbunge ni Tajikistan toka zamani tabla ya ubunge😊
@IbrahDeDonny-lv2lo
@IbrahDeDonny-lv2lo 2 күн бұрын
Tulichoma kodi zetu shida ipo wap?, sheenzi ww
@user-pi9ds7oe9s
@user-pi9ds7oe9s 2 күн бұрын
We tahila na vinenovyako jitu kama mwigulu yanakera hongera sana Kenya
@JonesMwita-lb3wm
@JonesMwita-lb3wm Күн бұрын
Lakini gen z msichome mifugo watoto wetu deal na magari na majengo plz msijiletee laana
@daudymlauletv8489
@daudymlauletv8489 2 күн бұрын
Saf sana Tena wangechoma na nyumba
@samuelemmanuel3400
@samuelemmanuel3400 2 күн бұрын
Hii mbaya sasa
@rosesilio9008
@rosesilio9008 Күн бұрын
Kama mimi tu Nina kiglosary kwa mwaka nalipa laki moja bora hata ingekuwa elfu 20 halafu usipolipa wanakufungia usifanye biashara,, na vitishio juu,, halafu unakuja kulipa kodi serikalini ukienda hospitalin dawa hakuna na hawa wabunge sijui kinanani hawatujali pesa zote wanakula wao ndo matokeo yake hivi
@abiudkarume938
@abiudkarume938 2 күн бұрын
Tufanye ivyoooooo apa Tz
@Skomi-0nedayyes
@Skomi-0nedayyes 2 күн бұрын
Wenye nchi wakiamua jambo Lao akuna jeshi litakalo wazuia ukiona kiongozi asie na busara anatuma jeshi kudhuru wananchi kwa ajiri ya kurinda maslai yake pamoja na familia yake uyo siyo kiongozi wa halal na afai ata jeshi linapaswa kumgeuka kwasababu uwezi kulinda mtu mmoja kwa kudhuru maelfu ya watu wakiwemo ndugu zako, changamoto za nchi na mafanikio ya nchi lazima yajadiliwe kwa pamoja na wananchi na sio viongozi peke yao wasio jua shida za wananchi kwavile wao . mishahara minono na wanaishi ktk nyumba za bure, Tanzania inapaswa kujifunza kutoka kwa jirani zetu wa Kenya.
@florencemeza6540
@florencemeza6540 2 күн бұрын
Safi kabisaaa maana wanajiona Mungu mtu hawa wabunge wanaamua kujipatia pesa kwa njia ya kuzurumu wananchi
@asinahussein2176
@asinahussein2176 Күн бұрын
Mbona mnamawazo finyu mtu kazaliwa kakuta Mali kwa wazazi wake yeye amejitambua nyumba ipo kabla hajawa mbunge roho mbaya mtakuwa maskini aisha yote
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 2 күн бұрын
Sasa hao kuku na wao walipitisha huo Mswada daah kwa kweli mumekosea sana Kuua hao Viumbe
@daudysanga8492
@daudysanga8492 2 күн бұрын
Ila wakenya hongereni sasa mmewasulubu mpaka kuku nao wanakula kodi zenu😂😂😂😂😂
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 2 күн бұрын
Hao kuku Bora mngechukua mnadhulumu viumbe wasiohusika daa
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 2 күн бұрын
Kweli ndugu yangu 😢😮
@brianndege5331
@brianndege5331 2 күн бұрын
Hatukuwa na mda lakini tulichukua zingine za kupika usiku
@allahisone6386
@allahisone6386 2 күн бұрын
​ HHHH HHHHH
@BoazDillu
@BoazDillu 2 күн бұрын
Kuku wamepitisha mswaada wa Kodi😂😂😂😂
@dallasmusic6465
@dallasmusic6465 2 күн бұрын
Mafisadi Wa Tanzania 🇹🇿 jifunzeni hapo kuwa zulma ya Mali ya uma hailipi na malipo ni hapa hapa duniani 🇰🇪🇰🇪
@kennedylubanga1002
@kennedylubanga1002 2 күн бұрын
Waaaa.mngaacha kuku....
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 2 күн бұрын
Wakome na akome. Wao wanapitisha tu hata uwe unamkandamiza mwananchi wa hali ya chini kwa sbb wao wanajua hautowabana wana pesa
@lilianmlowe9154
@lilianmlowe9154 Күн бұрын
Wananchi wa kenya nawapongeza haiwezekani mbuge unamwakilisha mwanachi we unamaisha mazuri kuliko yeye inamana kodi ya wananchi unatafuta vizuri
@mariecruz921
@mariecruz921 Күн бұрын
Duh wasingehusisha hao kuku na ng'ombe jaman!!
@DevidMwakajila
@DevidMwakajila 2 күн бұрын
Bado bongooo soon mtaniambia hakuna jeshi baya kama la wananchi wakijizila huwawezi
@cristinajeremiah2450
@cristinajeremiah2450 2 күн бұрын
Mungu turehemu baba was mbinguni wenzetu watu was Kenya Amani Yako Bwana Yesu
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 2 күн бұрын
Hii nimeipenda sana
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y 2 күн бұрын
Alafu wanajadili bungeni,eti wananchi masikini kwelli Tanganyika one day wabunge watalia
@user-tu2ne7so3b
@user-tu2ne7so3b 2 күн бұрын
Kenya Kenya Kenya ,Amanita ndio kila kitu Kenya niyenu
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 2 күн бұрын
Amani kwenye njaa 🤔
@emmanuellupiga
@emmanuellupiga 2 күн бұрын
Tanzania haya mambo yanatia hasira viongozi chukueni somo twaenda huku huku
@Mwigaa95
@Mwigaa95 Күн бұрын
Kenya wako nyuma sana kwenye maswala ya intelijensia haiwezekani watu mpaka wana fanya uharibifu mkubwa kiasi hicho bila vyombo vya ulinzi na usalama kujua
@user-nb2jw4km6f
@user-nb2jw4km6f 2 күн бұрын
Jamani wa kenya msifanye hivyo hata Mungu hapendi😮😮😮
@shadrackkassale2968
@shadrackkassale2968 Күн бұрын
Pamoja na yote lakini kuku waliochomwa wakiwa hai Mungu awarehemu😥😥😥
@dulasaid2581
@dulasaid2581 2 күн бұрын
Millard Ayo. Na vile vile msiogope kutoa tarifa za wabunge wa Tanzania na Mali zao. Msiwe machawa. Toweni habari za kwenu.
@eliariro5514
@eliariro5514 2 күн бұрын
Hawa ndio wanahujumu uchumi wa Kenya, good job 😂
@charletsada8779
@charletsada8779 2 күн бұрын
Km hakufaint uyo,wallahi nifukuzwe mbio ni kuku gredi
@samuelemmanuel3400
@samuelemmanuel3400 2 күн бұрын
Huu ni wivu sasa😢
@user-rf9mx7cu5r
@user-rf9mx7cu5r 2 күн бұрын
Wivu gani unaongelea
@damagesinger8971
@damagesinger8971 2 күн бұрын
Do you really know how Kenyans are going through a lot b cause of this silly mps
@samuelemmanuel3400
@samuelemmanuel3400 2 күн бұрын
@@damagesinger8971 does burning there houses and destroying properties solve issues?
@dubabaxakatv2993
@dubabaxakatv2993 Күн бұрын
Hii ni Mali ya umah.....tuliwatuma bungeni kuhongwa ama kutuwakilisha??mambo bado
@binseif2216
@binseif2216 2 күн бұрын
Makosa sana kuuwa wanyama hao wanyana wanakosa gani mpka kuwachoma moto majitu yakiwa hayana iman ndo hivo
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 Күн бұрын
Kenya sio Africa tena weeeee
@someaafrika.3379
@someaafrika.3379 2 күн бұрын
Safi sana waKenya ❤
@honestvictory7596
@honestvictory7596 2 күн бұрын
Hapo kwny ng'ombe alokutwa keshachinjwa😂😅😅😅😅 kunawatu hawacheleweshag fursa😅 hawarembi
@Bashitetako
@Bashitetako 2 күн бұрын
Maskini huwa ana roho mbaya sn
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 2 күн бұрын
Poleni sana wabunge Mungu aingilie kati
@rehemah5843
@rehemah5843 2 күн бұрын
Wee nawe Kafie bele hivi wanavo fanyia watu nihaki
@adammjomba5814
@adammjomba5814 2 күн бұрын
Usihangaike na wabunge Wa TZ haitatokea chochote kwa TZ ,lazima unapongea MAMBO ya maana usiongelee wa TZ .Wa Kenya ni mashujaa toka enzi na enzi usifananishe na uchafu wa Wa tz
@BoazDillu
@BoazDillu 2 күн бұрын
Hata hvyo yenu hayatuhusu😅 Kwani nanikakwambia tunajifananidha na nyie kila mtu yuko inchin kwake
@joeldickson5322
@joeldickson5322 2 күн бұрын
Hii ingetokea bongo wakaenda kwa waziri wa fedha wakamfira mke wake ingependeza sana
@user-jo5ig8ww1b
@user-jo5ig8ww1b 2 күн бұрын
Kuku imeniuma wangechoma tuh moto nyumba
@AsungaSteven
@AsungaSteven 2 күн бұрын
Kweli kuku hapo wanakosa gani
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 2 күн бұрын
Bora wangewachukua wangeenda kula lakini sio kuwapiga kibiriti aisee
@tulinavemgeni210
@tulinavemgeni210 2 күн бұрын
B​@@husseinmassawa7186 Hata wangewafungulia waende popote
@faridhamad3678
@faridhamad3678 2 күн бұрын
Hata mimi kiukweli Kuku wameniuma sana😢 viumbe wa Allah hawakua na kosa Bora wangekula tu kuliko kuwatesa hivo.
@asinahussein2176
@asinahussein2176 Күн бұрын
Hata hy nyumba wanauhakika ni pesa ya serikali
@OmarMohamed-bs2hf
@OmarMohamed-bs2hf 2 күн бұрын
Hii imekuwa ni uwasi wa mtu mmoja mmoja sasa naamini Kenya mta pigana kwa makabila na hili sasa mtakuja kuwa kama watuwa gadafi mtakumbuka nn nimekisema
@eddechriss2664
@eddechriss2664 2 күн бұрын
Yani kitu mmeudhi ni kuteketeza hivo viumbe hai visivyo na hatia
@AjiaMohamed-rt5pb
@AjiaMohamed-rt5pb 2 күн бұрын
Ukivila ww unasemaje
@wkjshsxbbsbs6392
@wkjshsxbbsbs6392 2 күн бұрын
Their insults na huge salaries pesa ya wakenya na pia kuhongwa two million each ku vote yes
@stevebaluwa7132
@stevebaluwa7132 2 күн бұрын
Ata kwenye biblia Kuna wakati Mungu aliruhusu taifa lilipige taifa na kisibaki kiumbe hai chochote wala kisichukuliwe chochote vyote viuwawe
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 2 күн бұрын
kufa basi msenge wewe
@azizymachadeson3577
@azizymachadeson3577 2 күн бұрын
​@@stevebaluwa7132ushasema kwenye biblia kwani apo ni kwenye biblia Kuweni na utu mnachopambania ni sawa but isiwatoe roho ya utu hao viumbe wanaroho kama alivyobinadamu
@cristinajeremiah2450
@cristinajeremiah2450 2 күн бұрын
Mungu awarehemu mmefikia hatua mbaya
@paulinakiria7918
@paulinakiria7918 2 күн бұрын
Wakenya hao ndo wanaume Sasa sio hawa wanaofunga maduka wanapenda kulala ndani
@MussaNsekela
@MussaNsekela Күн бұрын
Wanasiasa wa Africa wajifunze kusikiliza wananchi
@bockerNyarusahi
@bockerNyarusahi 2 күн бұрын
Viongozi mna kula jasho la walipa kodi maskini tena kwa uhuru ila,hao Wananchi wakikugeukia ndiyo utajua Watu wanalia
@hamissomary6869
@hamissomary6869 2 күн бұрын
Bdo tanzania "mana viongzi wa serikali ya CCM wanajali matumbo yeo tuu"wanatunga sheria kandmizi"sku itawafika hyoo
@dubabaxakatv2993
@dubabaxakatv2993 Күн бұрын
Tuliwatuma bungeni kutuwakilisha sio kutusaliti halafu watuonyeshe kiburi ...hao jamaa waliopiga yes kwa bunge ni wakimbizi hawalali makwao
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 күн бұрын
Wakenya wanaharibu economy yao kwa hasira zao wenyewe...... Mama Samia awaalike matajiri walioathiriwa na uharibifu huu waje wawekeze Tanzania nchi yenye amani. Nchi ambayo watu wanagoma kwa kufunga maduka na sio kuvunja vitu na kutiana hasara.
@vanjay8685
@vanjay8685 Күн бұрын
Huyo mama yenu mnayemuabudu Hana tofauti na ruto by the time anamalizana na nyinyi hamtakua na nchi ngojeeni tu
HAKUNA NDOA
11:49
Joti TV
Рет қаралды 152 М.
World’s Deadliest Obstacle Course!
28:25
MrBeast
Рет қаралды 144 МЛН
#EXCLUSIVE: KWA MARA YA KWANZA ROMA AFUNGUKA YOTE KUHUSU RC MAKONDA
53:33
TAZAMA MANABII WALIVYO MWAGA PESA KWA MASANJA#MASANJATV
10:16
Masanja TV
Рет қаралды 13 М.
World’s Deadliest Obstacle Course!
28:25
MrBeast
Рет қаралды 144 МЛН