🔴LIVE:ALLY KAMWE "FEI TOTO HAWEZI KUCHEZA NA DEBORA SIMBA/CHAMA TUMEMPA ULINZI MKUBWA/HATUOKOTIOKOTI

  Рет қаралды 29,023

Mpenja TV

Mpenja TV

10 күн бұрын

Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga Ally Kamwe Leo July 7,2024 amezungumza na Vyombo vya habari,punde tu alipotua kwenye uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere International Airport akitokea Mbeya
Aidha amefunguka kuhusu usajili unaoendelea huku akigusia kuhusiana na usajili wa Prince Dube.

Пікірлер: 110
@mierin8456
@mierin8456 8 күн бұрын
Acha Debora!! 😅ngoja akacheze na Joyce😂😂😂
@roi2554
@roi2554 8 күн бұрын
Yanga ni namba moja Africa na hamsemi, we huogop
@SalomeEmanuelimpalasinge
@SalomeEmanuelimpalasinge 7 күн бұрын
Uko sawa simba no makolo🧡💛💛💛💛
@francisngowi7556
@francisngowi7556 8 күн бұрын
Na hao watoto wakikomaa tunwachukua. Acha hiyo iwe ni as academy yetu
@mimiwajuu
@mimiwajuu 8 күн бұрын
Mbona watu wanatukana au ni Simba mbovu😂😂😂💚💚💚💛💛💛
@alicenice1711
@alicenice1711 8 күн бұрын
Ally kamwe unaniuwa uku😂😂
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt 8 күн бұрын
Mbona alicheza na Joyce
@AntonyPitter
@AntonyPitter 7 күн бұрын
We chama karib yanga
@emmanuelmathiasmpesa9396
@emmanuelmathiasmpesa9396 7 күн бұрын
Nikukumbushe acha kuwasimanga wachezaji kwanini unamuonea huyu debora
@martinkabazo8412
@martinkabazo8412 8 күн бұрын
Hata Joyce ni Joyce
@aamarsuleymain2932
@aamarsuleymain2932 7 күн бұрын
Tasafu fc
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 8 күн бұрын
Eti sisi hatuchukui watu kuja kuwalea.
@marthajosephdihimbwa2329
@marthajosephdihimbwa2329 7 күн бұрын
anaongea ukweli simba bado mnazidi kuporomoka poleni sana
@abdallayunnus3475
@abdallayunnus3475 8 күн бұрын
Nakubali kamwe
@athumanmsuya2688
@athumanmsuya2688 8 күн бұрын
Huyu hana taaluma ya uandishi,anaiongelea simba tu
@jonasinocent7477
@jonasinocent7477 8 күн бұрын
Simba brand Ili uonekane lazma uisemee Simba ndo maana
@FredymaswiMwita-oj6gv
@FredymaswiMwita-oj6gv 8 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤ young African
@Abdurazaqmbuni714
@Abdurazaqmbuni714 8 күн бұрын
Bado hamjasema2
@AllyAbdallah-hn9rq
@AllyAbdallah-hn9rq 8 күн бұрын
Zungumzia timu Yako,Kila cku Simba Simba,
@chawalagodfrey9013
@chawalagodfrey9013 7 күн бұрын
Waambie Kamwe❤❤❤😂😂😂
@MunirPingili
@MunirPingili 7 күн бұрын
Ali kamwe unajua kukela
@khayrounabdullah806
@khayrounabdullah806 8 күн бұрын
Why debo😅😂
@samwelingasa1638
@samwelingasa1638 7 күн бұрын
Hivi Deborah na muda nan mkali comment
@shaxonboy_
@shaxonboy_ 8 күн бұрын
Ila kacheza na Joyce sio
@user-hv9mb4uy1z
@user-hv9mb4uy1z 8 күн бұрын
Zoa zoa fc mchukueni na bocco hhhhhhhhh wewe si ulisema chama ni kilema cha ajabu njiti kakata keki mamae
@josephndaki8003
@josephndaki8003 7 күн бұрын
Mwana zungumzia na timu zingine kama makolo wasiokuwa na msemaji
@salumuomari
@salumuomari 8 күн бұрын
Simba sasahv wanaitwa mishangazi wanalea watoto
@JumaLuwaly
@JumaLuwaly 8 күн бұрын
Mkata mauno akiongea anajulikana
@KibinzaCharles
@KibinzaCharles 8 күн бұрын
Hahaha 😅😅😅 huu musim nausubili kwa ham
@Vedax_mashauri
@Vedax_mashauri 8 күн бұрын
Badala aongelee team yake anaongelea simba
@jumakalinga2812
@jumakalinga2812 8 күн бұрын
Dogo hajielewi uyu
@user-ik2fg6iu2m
@user-ik2fg6iu2m 8 күн бұрын
Unajipendekeza kwa fei
@TeresiaDeo
@TeresiaDeo 8 күн бұрын
We huna jipya umeishiwa nyimbo unaemtegea ni scaut was Simba chama ,bareke,mkude na okrahuna jipya pumbaa v P kuhusu jous hujui kikongo umesoma kiswahili ndio maana
@KevinPhilberth
@KevinPhilberth 8 күн бұрын
Team kubwa haifanyi scout, wachezaj wanaipenda wenyewe,, na hao waliosajiliwa akiwemo mzuri 2 anaejua bori, anakuja team kubwa..
@jacminjosefh4400
@jacminjosefh4400 7 күн бұрын
Debo😂😂😂😂
@brownmasai774
@brownmasai774 8 күн бұрын
Alli umenikumbusha msemo wa Kiingereza usemao: You may be hungry and yet abandon the food that is already on dining table. For it's not hunger that makes one eat from the table but rather it's the arrangement of the table and the mood of its attendant. Yanga inawavutia. wachezaji wakubwa hivi sasa wanapo assess quality ya wachezaji watakao fanya combination nao na hatimaye kufanya familia moja. Lakini pia uongzi, manjonjo na maslahi watakayo kutana nayo kama wanafamilia ktk club.
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p 6 күн бұрын
Xavi mtupu fei
@mimiwajuu
@mimiwajuu 8 күн бұрын
DC😂😂😂
@user-ik2fg6iu2m
@user-ik2fg6iu2m 8 күн бұрын
Yanga hamna mchezaji wa kuifunga alahli
@vicentsagudasheyi564
@vicentsagudasheyi564 8 күн бұрын
Pacome ni bibi yako eti😂
@bilombelekilozodieudonne123
@bilombelekilozodieudonne123 8 күн бұрын
𝗧𝘂𝗻𝗮𝗲 𝗻𝗮 𝗧𝘂𝗻𝗮 𝗧𝗮𝗺𝗯𝗮 𝗡𝗮𝗲 😂😂😂
@KibinzaCharles
@KibinzaCharles 8 күн бұрын
Hahaha 😅😅😅 huu musim nausubili kwa ham 9:31
@jonasinocent7477
@jonasinocent7477 8 күн бұрын
Kwani fei hakucheza na Joyce
@emmanuelngussa1529
@emmanuelngussa1529 8 күн бұрын
Makolo mama yako
@user-lr6kf6bf9l
@user-lr6kf6bf9l 8 күн бұрын
Ndo jina lenu 😂😂😂
@MzeewaYanga-hm8jq
@MzeewaYanga-hm8jq 8 күн бұрын
Debora fc wamenuna
@hamadiayossy
@hamadiayossy 8 күн бұрын
Uzuri msemaji wetu wa simba akiongea huwa haongelei hawa mashog
@shabanishabani9350
@shabanishabani9350 8 күн бұрын
Nimekuwa wakwanza
@user-ib7kx9dc5m
@user-ib7kx9dc5m 8 күн бұрын
Uta umia sana Kwa usajili wa Simba na Bado mpa ukome Usha Anza kuunga unga maneno
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 8 күн бұрын
Usajili gani huo alioufanya Simba😆😆😆😆 mnachukua watoto wa ili muwalee🤣🤣🤣
@nicodemusmemba1402
@nicodemusmemba1402 8 күн бұрын
Michezo sio matusi
@iddfundikira2817
@iddfundikira2817 8 күн бұрын
Debora ni mcheza lede huyo hamna ki2
@user-yr8eq7rr1z
@user-yr8eq7rr1z 6 күн бұрын
Kitoto kinajidai hiki
@Kelvin-gi1zp
@Kelvin-gi1zp 8 күн бұрын
Duh huyu jamaa akapimwe akili,,coz msemaji mzuri ni yule anayeongelea timu yake sasa huyu mmmh anatia ad huruma
@ZainabSimith-ey6vm
@ZainabSimith-ey6vm 8 күн бұрын
Duuu hili nisemaji au ni bwabw tu
@johnshija8917
@johnshija8917 8 күн бұрын
Haujakua bado siku ukikua utaacha utoto
@nashirkamugisha9425
@nashirkamugisha9425 8 күн бұрын
Yaani Yanga mnasajili watalakiwa 😂
@Marthamajebele-xr8lb
@Marthamajebele-xr8lb 8 күн бұрын
Kwan dube kaishafany nn cha maana ????
@devynnedennis7358
@devynnedennis7358 8 күн бұрын
Mwacheni aongee semaji letu nyie wote mnaomsema ni ya mkosaji
@ChenchiKing
@ChenchiKing 8 күн бұрын
Watapat Tabu Xan Mwaka Huu Makolo Kazi Yaho Kuzurura Tu😅😅
@cyprianbernard3378
@cyprianbernard3378 8 күн бұрын
Acha upumbavu wako mbona Feitoto alipokuwaapo alicheza na joyce
@johnfrank234
@johnfrank234 8 күн бұрын
Yani huyu jamaa hajui kabisa kuongea Yani ni zero nyeusi
@BinshakbuHemed-gb2zi
@BinshakbuHemed-gb2zi 8 күн бұрын
Atacheza. Na. Mamaaako
@cyprianbernard3378
@cyprianbernard3378 8 күн бұрын
Wewe huna akili ndomaana unajikilimu hunalolotewewe
@ZuberiMlanzi
@ZuberiMlanzi 8 күн бұрын
Ww zungumza ynu ni NSSF mbna hatuwataji wenu . Kolo ni mjomba kk wa mamako. Utaiga sana .fara ww
@ZainabSimith-ey6vm
@ZainabSimith-ey6vm 8 күн бұрын
Huyu ni zero lipuuuzi m
@law93king
@law93king 8 күн бұрын
😂😂😂😂
@JustinePogba
@JustinePogba 8 күн бұрын
Choko we alikomwe
@YahayaBakari-hf5yk
@YahayaBakari-hf5yk 7 күн бұрын
Ww ni chura a,k,,a uto kama kaweza kucheze utopolo timu zingine je
@Busagotz
@Busagotz 8 күн бұрын
Wewe zungumzia team yako simba na Azam ndo nn
@user-pf6tl1jy8c
@user-pf6tl1jy8c 8 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 unachukuatuu sio?? Gonga taarabu babaaaa
@user-ik2fg6iu2m
@user-ik2fg6iu2m 8 күн бұрын
Unajipendekeza kwa fei wewe alikamwe
@jamessanga6768
@jamessanga6768 7 күн бұрын
Kati ya alikamwe na madunduka nani anajipendekeza😊😂
@user-pf6tl1jy8c
@user-pf6tl1jy8c 8 күн бұрын
Baba simba namba sita timu yako yaangapi??????😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@leonardmhina4004
@leonardmhina4004 8 күн бұрын
Pimbi tu huyo kelele nyingi tu
@roi2554
@roi2554 8 күн бұрын
Yanga ni namba moja
@NadriqDotto-lk5ss
@NadriqDotto-lk5ss 8 күн бұрын
Acha zako wewe mbn unakufa kwa maneno muache msemaji wa caf na mashabki wa caf tutambe weweee
@RwechungulaBegumisa
@RwechungulaBegumisa 8 күн бұрын
We ni kapumbavu kabisa
@shabanishabani9350
@shabanishabani9350 8 күн бұрын
Waaambie
@emmanuelngussa1529
@emmanuelngussa1529 8 күн бұрын
Zungumzia usajir wako acha kuzungumzia wachezaj wasimba na cuf hamfik popote hata robo hamtoboi
@user-lr6kf6bf9l
@user-lr6kf6bf9l 8 күн бұрын
Nani kakutuma umskize....😂😂😂
@kolosii4351
@kolosii4351 8 күн бұрын
Unatafuta nini huku choo cha kike??
@user-cb3uo6rs7o
@user-cb3uo6rs7o 8 күн бұрын
😂😂😂😂 unateseka na maneno
@paulnzilo7252
@paulnzilo7252 8 күн бұрын
Mbona mapovu ndugu?!
@KevinPhilberth
@KevinPhilberth 8 күн бұрын
Kasikilize wasemaj watim ndogo achana na mwananchi
@HajiKanju-x8o
@HajiKanju-x8o 7 күн бұрын
Acha hizo wewe dogo, kwani Fei hakuiacha Yanga inakwenda Champions Club akaenda Azam ambayo ilicheza Confidaration Cup? watu wana angalia Pesa sio sifa ya kucheza michuano mikubwa.
@jonasinocent7477
@jonasinocent7477 8 күн бұрын
Ubingwa unaujua wewe bwaaa
@MzeewaYanga-hm8jq
@MzeewaYanga-hm8jq 8 күн бұрын
😂 debora fc 😂😂😂😂😂
@aamarsuleymain2932
@aamarsuleymain2932 7 күн бұрын
Joyce lomalisa
@samwelingasa1638
@samwelingasa1638 7 күн бұрын
Inatamkwa Debrii Fernandez
@SanziNzige
@SanziNzige 8 күн бұрын
Huyo joisi wako unajizima data humjui.pumbafu wewe.
@user-lr6kf6bf9l
@user-lr6kf6bf9l 8 күн бұрын
Mtaumia sana makolo😅😅😅
@nashirkamugisha9425
@nashirkamugisha9425 8 күн бұрын
Joyce, zawadi,
@veronikasilayo1455
@veronikasilayo1455 8 күн бұрын
We vp mbona unakimdomo sana
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 7 күн бұрын
Wewe nimjinga mchezaji wa simba anakuhusu nini.mwehu tu wewe
@KibinzaCharles
@KibinzaCharles 8 күн бұрын
Hahaha 😅😅😅 huu musim nausubili kwa ham
@user-hv9mb4uy1z
@user-hv9mb4uy1z 8 күн бұрын
😂😂😂 njiti fc mtoeni hiyo miwani mtu unacheza mpira umevaa miwani na huyo si alisema chama mzee chama ni kilema dunia hii lakin sawa zoa zoa fc mchukueni na bocco
@ShabaniIssaBenja
@ShabaniIssaBenja 8 күн бұрын
Yan Ww mxhukulu Mungu kukuumba wakiume Ila Ungekuwa wakike Ucnge olewa Nahata Asaiv Nina Hofu inaezekana Co Mwenzetu Kwann huzungumzii Timu Yako Ya Wazee lazima uitaje Simba Huo Ndo Mwanzo Wakufeli Mbwa ww
ТАМАЕВ УНИЧТОЖИЛ CLS ВЕНГАЛБИ! Конфликт с Ахмедом?!
25:37
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 29 МЛН
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 75 МЛН
ZULI COMEDY WALIVYO WAVUNJA MBAVU WATU UKUMBINI UTACHEKA SANA
9:24
BABA YANGU KIPOFU Full episode/15/ #love
50:40
BabaJoan
Рет қаралды 362 М.
반자동 직업병 '삐끼삐끼' 이주은(Lee Ju-Eun)치어리더
0:19
ENGLISH OR SPANISH EA FC 2025
0:14
Jhow GK
Рет қаралды 6 МЛН
За что им так😢 #football #fifa #soccer #worldcup #realmadrid
0:15
Messi or Ronaldo ?✍️ #football #vs
0:13
AGZDREAM
Рет қаралды 4,2 МЛН