#Live

  Рет қаралды 27,178

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Жыл бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hiichat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 91
@marylineboola4236
@marylineboola4236 Жыл бұрын
Nimeyapokea maombi hayo kwa jina la Yesu
@dorcasmunyao1743
@dorcasmunyao1743 Жыл бұрын
Watching from Kenya 🇰🇪,God bless the true men of God
@KALEGORAJABUMBEHO
@KALEGORAJABUMBEHO 26 күн бұрын
Aminaa mtumishi
@gilbertsaya
@gilbertsaya Жыл бұрын
Thanks for the upload, am following from Kenya, I love the teachings. God bless you
@serahmatiru3741
@serahmatiru3741 Жыл бұрын
Bwana Yesu Kristo akubariki Sana Mtumishi, wa Mungu aliye hai, Nashukuru Mungu kwasababu yakukutumia kwa njia za Hali ya juu njinsi hi. Asanti kwa ufafanuzi wa ndoto, najua nisha ota hizo ndoto na sasa najua maana yake na najua jinsi ya kuiombea sasa katika Jina la yesu. Amen
@AbelyThedonny-ko4fw
@AbelyThedonny-ko4fw Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi kwa mahubiri yako katika wilaya yangu ya bunda -mara jina la bwana lihimitiwe@@
@mercyblessedke
@mercyblessedke Жыл бұрын
Watching from kenya! Barikiwa mtumishi
@stephanomakoye6936
@stephanomakoye6936 Жыл бұрын
Amen sana tunazidi kubarikiwa,,,jina la YESU libarikiwe!!
@lydiamwachiramba4366
@lydiamwachiramba4366 Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe. Pongezi sana Pr. Amiel. Nimeinuliwa sana na maombi yako. Zidi kuniombea nifunguliwe na uzao wangu pia. Mungu akubariki sana. Unayoyasema ni kweli kabisa. Amen
@HyasintaShayo-wm9uu
@HyasintaShayo-wm9uu Жыл бұрын
Asante Sana Yesu kwa ajili ya huyu Kaka,Mungu ambariki sana
@mirakeniya1712
@mirakeniya1712 Жыл бұрын
Amen mchungaji hio ya kuota kijijini mara nyingi kabisa. Hata niko huku mbali kazini lakini najpata huko niliko zaliwa na ta tulishakuhama tukajenga kwengine ila bado siachi kufikishwa huko
@mirakeniya1712
@mirakeniya1712 Жыл бұрын
Asante kwa hilo ombi la kujitenganisha na maagano ya ukoo
@honoratamafala6968
@honoratamafala6968 Жыл бұрын
Mungu akubariki Mchungaji.niombee na familia Mch.
@gerardineakima1766
@gerardineakima1766 Жыл бұрын
Hallelujah hallelujah niko nafungulia MCH KATEKELA MUNGU akubariki sana 🙌🙌🙌🙌😭😭😭
@genevievesunday
@genevievesunday 11 ай бұрын
Ubarikiwe sana Kwa mafundisho mazuri nakuelewa sana mtumishi, kazi Yako ni njema.
@RoshaniLifeStyle
@RoshaniLifeStyle Жыл бұрын
I learned a lot on this video! Thanks for sharing.
@everlynemiriam5943
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
I have learn alot about u man of God what I can say is u re Truely a messager 4rm God. May da lord Jesus save those innocent souls hidden in a hole asikiye haya mafundisho yaliyo na asali
@uwasedative-ol4eo
@uwasedative-ol4eo Ай бұрын
Nimebalikiwa namafundisho Yako muniombee namimi nifunguriwe
@naikekangele7117
@naikekangele7117 Жыл бұрын
MUNGU akubariki sana mm umenipa hatus nyinginektk maisha ya kiroho na kimwili
@gracesambula7310
@gracesambula7310 Жыл бұрын
Mungu Akubariki sana kwa mafundisho mutumishi wa mungu
@sophiajonas2090
@sophiajonas2090 Жыл бұрын
Daaaaa ubarikiwe Sana sana
@raelnangila3006
@raelnangila3006 Жыл бұрын
Mungu akulinde sana muchungaji wa mungu
@ester7689
@ester7689 Жыл бұрын
BWANA YESU asifiwe mtumishi naomba kupata mawasiliano ya much amieli
@ellenngecho-uo8wf
@ellenngecho-uo8wf Жыл бұрын
Ameeen and ameen mtumish
@sarahkishaluli6087
@sarahkishaluli6087 Жыл бұрын
Bwana Yesu kristo asifiwe jamani Mchungaji Mungu akubariki sana,ndoto ni kweli kabisa kwa kuwa MUNGU alisema katika Hesabu 12:6, pia anasema halitafa halitafanyika neno lolote bila kuwajulisha watumishi wake Amosi 3:7, Yoeli 2:28
@zainabuathumani2571
@zainabuathumani2571 16 күн бұрын
Namna pia naotaga mchungaji
@mirakeniya1712
@mirakeniya1712 Жыл бұрын
Nakuele pastor,wapigwe na wspigwe kweli ju mama nampa poket money kumbe anaipeleka mizimuni. Mwisho namuota amenilaza chini akinichapa
@yonakatoto4067
@yonakatoto4067 Жыл бұрын
Mungu akuinue
@everlynemiriam5943
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
May da lord almigt 4give us and bless you always with ur family Amen
@MchungajiNewton
@MchungajiNewton 10 ай бұрын
natazama kutoka kenya ❤ naomba no. Yako nikutafute
@bungigemangana4171
@bungigemangana4171 Жыл бұрын
Nakuelewa sana my friend
@user-re4iu4vu3b
@user-re4iu4vu3b 11 ай бұрын
Uyo dada ana pepe mungu akulinde baba muchungaji
@hortenseornella-po8zw
@hortenseornella-po8zw Жыл бұрын
Amnjambo mashadiki wangu. Tafazali naomba namba ya mutumishi amieli katekela, nisaidiyeni njamani ❤
@jacymueni1671
@jacymueni1671 Жыл бұрын
Pastor. God bless you
@evasanga6635
@evasanga6635 11 ай бұрын
asate yesu😂
@prosperousbuildingconstruc3500
@prosperousbuildingconstruc3500 Жыл бұрын
Amen 🎉😊
@everlynemiriam5943
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Wewe ulituma Truely from God be protected by the blood of Jesus fight for you always
@prosperousbuildingconstruc3500
@prosperousbuildingconstruc3500 Жыл бұрын
Amen thanks
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Ni kweli kweli tunaendelea kukataa na kuvunja madhabau
@user-nu9ww9ly6q
@user-nu9ww9ly6q Жыл бұрын
Amen Aman
@user-cf6lx5vn4g
@user-cf6lx5vn4g Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungi
@tamarali8325
@tamarali8325 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu. 😂 nimecheka sana yule dada kukuambia baba nimekumiss umetoa macho kweli 😂😂. Hata hivyo tulikuwa tumekumiss kw Jina La Yesu tunakupenda Upendo wa Kristo Yesu. Wana Promover Barikiweni sana.
@rispermoki4687
@rispermoki4687 Жыл бұрын
😊😊
@TheddyBasili-gv5tz
@TheddyBasili-gv5tz 11 ай бұрын
Mtumishi Mimi naotaga nafanya mapenzi hii Hali inanitesaga sana
@deomajuva2432
@deomajuva2432 Жыл бұрын
Kwenye kuomba hapo hapana lazma tuombe Mungu ni baba lazma tuombe sisi kama watoto wake
@user-vx9nj2sy6x
@user-vx9nj2sy6x 9 ай бұрын
Namba zake zinapatikanaje Jamani..msaada plz
@masokasiwahemo7028
@masokasiwahemo7028 Жыл бұрын
Amen Amen
@AlexAliane
@AlexAliane 6 ай бұрын
Na mimi ndoto za shure zinanitesa saana kabxa😢😢,..ndo maana sometimes itabidi tuanze kufwatilia ndoto,.Asante saana mchungaji,.Mungu azidi kukubadiliki
@saradavirginia-kd7tn
@saradavirginia-kd7tn Жыл бұрын
Ubarikiwe
@agnestunu5527
@agnestunu5527 Жыл бұрын
Mch Mafundisho yako ni kwel labisa apo pa kuota nipo shule,nko kijijini yaan zote ni zangu na nmeamini iyo ya kuota nkiwa shuleni,😢😢 eeh Mungu nisaidie kunitoa kwa ivyo vifungo
@frankzagalino9687
@frankzagalino9687 Жыл бұрын
Nimecheka sana
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Kweli unachosema ushaidi upooo
@jeremiahjoseph1532
@jeremiahjoseph1532 Жыл бұрын
Blessed
@tumumasha1568
@tumumasha1568 Жыл бұрын
Amen
@RobertMaboga
@RobertMaboga 7 ай бұрын
😊🎉❤😊
@JuhudyTulalishe-fc4yr
@JuhudyTulalishe-fc4yr 11 ай бұрын
mpaka wamjuwe mungu wote
@FainaMkemwa-jf6tn
@FainaMkemwa-jf6tn 2 ай бұрын
😊
@saradavirginia-kd7tn
@saradavirginia-kd7tn Жыл бұрын
Hii ndoto nishaotaga mwezi wa 02 ata kufika mwezi wa 03 hadi naendelea vitu haviendi kabisa Mungu nisaidie.
@keyansalimu7516
@keyansalimu7516 Жыл бұрын
Jamani naomba namba ya mtumishi Amiel katekela
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Mie pia ilinitokea
@zainabuathumani2571
@zainabuathumani2571 16 күн бұрын
Niombee paster
@dianamorisi
@dianamorisi Жыл бұрын
Ameni
@catherineawinja7417
@catherineawinja7417 Жыл бұрын
Amiel nakupenda
@malengamsombwa3115
@malengamsombwa3115 Жыл бұрын
Mwanangu Jactani naomba uniunganishe na mchungaji katekela please
@PromovertvTz
@PromovertvTz Жыл бұрын
Tafadhali nitafte
@uwasedative-ol4eo
@uwasedative-ol4eo Ай бұрын
Amene
@uwasedative-ol4eo
@uwasedative-ol4eo Ай бұрын
Naitaji maombi Kabisa nyotayangu imeibiwa munisaidie maombi
@uwasedative-ol4eo
@uwasedative-ol4eo Ай бұрын
Hata maisha imekataa nafanyakazi lakini sipate faida
@prayerwomen3444
@prayerwomen3444 Жыл бұрын
mimi nimewai kuota iyo ndoto mch katekela nifanyeje
@carolinenakirutimana1559
@carolinenakirutimana1559 Жыл бұрын
Hizo ndoto mi zangu kweli kabsaaa, na kurota nafanya mapenzi ,mala nyingine naona niko cooni najisaidia haja kuu au naona niko fasi cagu ambao watu wamijisaidia haja kuu,
@mirakeniya1712
@mirakeniya1712 Жыл бұрын
Kwa kuingia makanisa umeniona Mi niko na makanisa mawili Pentekostal nilishiri kuanzia sunday school hadi nikiwa darasa la saba. Nikabatizwa kanisa ya ANGLIKAN church. Nimedumu huko ila nikienda kwetu kwakuzaliwa naingia hio pentekost (peffa) church. Niko kazini kwa miaka yakuhesabu sasa, na sadaka natuma kote kote kanisa zote mbili... Jefanyeje hapa??
@leahmartine5620
@leahmartine5620 Жыл бұрын
Kalibu musoma
@bungigemangana4171
@bungigemangana4171 Жыл бұрын
Nitafute inbox
@patricianyale
@patricianyale Жыл бұрын
😭😭😭ata mimba yakusingiziwa ...lkn namwamini Mungu tu atafunguwa tumbo la ndoa yangu
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Yoo Mungu asikie Maombi yako.kuanzia Leo.,
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Akupe haja ya Moyo wako
@patricianyale
@patricianyale Жыл бұрын
@@trophywilson7211 Amen
@user-wp1wz9ew8f
@user-wp1wz9ew8f 2 ай бұрын
​@@patricianyalenaomba namba ya mchungaji katekela
@mirakeniya1712
@mirakeniya1712 Жыл бұрын
Wachawi wapigwee...
@odettebarengeke2469
@odettebarengeke2469 Жыл бұрын
Mimi kila siku na ota iyi ndoto ya shule
@mirakeniya1712
@mirakeniya1712 Жыл бұрын
Ni ukweli kabisa kwamba kizazi chote cha babangu nami niki mzaliwa wa 4 kwahio famili, sote sote hata wajukuu, hakuna anae ng'aa au alie na maendeleo. Mimi pekeangu tu ndo nafuu ila VITA wakitaka nikufie huku kazini. Yaani ninarogwa na pesa ngu niwapayo wapatekutumia
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Pole saana
@odettebarengeke2469
@odettebarengeke2469 Жыл бұрын
Jamani tuna itaji number za uyu mutumishi , tu pate musaada
@anneokaka8213
@anneokaka8213 Жыл бұрын
😂🤣😂🤣Amen neema ya Mungu iwe nawe
@mirajimkagulu1295
@mirajimkagulu1295 Жыл бұрын
Napataje no ya huyu mtumishi?
@naikekangele7117
@naikekangele7117 Жыл бұрын
Yangu nimeanza kukufatilia umenipa ujasiri na mamulaka juu ya wachawi wanaisoma number barikiwa sana mch
@WORLDWIDE_CLASSIC_NATION-vm3ud
@WORLDWIDE_CLASSIC_NATION-vm3ud Жыл бұрын
Niko mara nataka kuja bunda semina inaisha lini
@PromovertvTz
@PromovertvTz Жыл бұрын
Jumapili
@Dyla424
@Dyla424 Жыл бұрын
Mahubiri ya kijinga
@everlynemiriam5943
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Toboa zote siri za kusimu wengi wanateseka bila mafundisho ya kweli
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 Жыл бұрын
Amen
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 12 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 9 МЛН
KATEKELLA TV is live  MASWALI NA MAJIBU
53:03
KATEKELLA TV
Рет қаралды 4,8 М.
NGUVU YA NAFSI|UKOMBOZI NA MAMLAKA YA KUZISHINDA|Mch Amiel Katekella
1:05:57
Hatumtafuti Mungu kwasababu tunashida  " Ezra 8 : 21 - 23 ".  Rev. Abiud Misholi
1:19:10
JINSI YA KULITUMIA NENO LA MUNGU ILI LIKUPE MATOKEO  || PASTOR GEORGE MUKABWA || 14/04/2024
3:47:36
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 23 М.
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН