MCH.KATEKELA:SIFA 3 ZA NABII WA KWELI WA MUNGU NA JINSI YA KUMTOFAUTISHA NA WAUONGO

  Рет қаралды 6,542

PROMOVER TV

PROMOVER TV

9 күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.13322701
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 39
@jastinmkoba
@jastinmkoba 7 күн бұрын
Yaaaan ukielezea ivi Kila mwenye sikio lazima asikie na macho aone ....🤝
@user-fu6fx8if6w
@user-fu6fx8if6w 7 күн бұрын
Uyu mchungaji amekuwa wa baraka Kwa watoto wa Mwenyezi Mungu,acha Mungu akulinde na familia yako
@patricialiveti3520
@patricialiveti3520 7 күн бұрын
Mungu ni mwema katuletea wa kuambia kweli yake.
@aminathatwahir8462
@aminathatwahir8462 7 күн бұрын
Hakika YESU ni Bwana
@user-tf9pl1wh7b
@user-tf9pl1wh7b 5 күн бұрын
Heeeee. Mungu wangu. Tulinde na manabii wahuwongo
@MariaMwasyila-mq6yc
@MariaMwasyila-mq6yc 7 күн бұрын
Kabisa Mtumishi wa MUNGU aliye hai
@user-md1ih8eo2l
@user-md1ih8eo2l 6 күн бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi kwa kutufundisha haya yote na kutufunulia tusiyoyajuaa 🙏🙏
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 5 күн бұрын
Amen
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 7 күн бұрын
Stay blessed man of God
@edinahKwamboka-j2q
@edinahKwamboka-j2q 6 күн бұрын
Haya mafundisho ni poa sana mtumishi be blessed ❤
@RodahAdonice-dz4sm
@RodahAdonice-dz4sm 6 күн бұрын
Ni kweli kabisa watu hata hawastuki nabii unakuta anaombea mtu anataja in the name of prophet (..hapa anataja jina lake si jina la YESU KRISTO....) kuwa huru na watu hawastuki😢
@laita8218
@laita8218 7 күн бұрын
Ameeeen
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya 7 күн бұрын
YAAAAANNIIIII UPO SAHIHI SANAAAA. NAFAHAMU KANISA AMBALO HUWA WANATABIRIWA ULIZALIWA MWAKA FULANI UNAITWA FULANI KUMBE NI SHETANI KATAWALA. YAANI WATU WAKIPIGA MAKOFI NAWAONEA HURUMA MNO. KUWENI MAKINI WATU WA MUNGU
@user-iw1yq3op8f
@user-iw1yq3op8f 7 күн бұрын
Ameen and ameen mtumishi wa mungu ubarikiwe sana kwa neno zuri la mungu nimebarikiwa and be blessed more
@user-ft6vx2ee9n
@user-ft6vx2ee9n 6 күн бұрын
Amen mtumishi, umekuwa wa baraka kwa wengi mungu akubariki
@user-28Gerardineakimana
@user-28Gerardineakimana 7 күн бұрын
Mungu turehemu sisi niwenyezambi Nisame
@edinahKwamboka-j2q
@edinahKwamboka-j2q 6 күн бұрын
Haya mafundisho ni poa sana mtumishi be blessed
@rosemarymwanitega7926
@rosemarymwanitega7926 6 күн бұрын
Amen Hallelujah
@EZRA-b1c
@EZRA-b1c 7 күн бұрын
Eh! MUNGU TUSAIDIE JAMANI Ee
@user-od6cg6uh4h
@user-od6cg6uh4h 5 күн бұрын
Barikiwa mtumishiiiiiiii
@upendomhagama3236
@upendomhagama3236 6 күн бұрын
Hakika, mungu alikuchagua ukiwa tumboni mwa mama yako ili uje tuokoe mkononi mwa shetani ubarikiwe
@marthaumazi2197
@marthaumazi2197 6 күн бұрын
Haleluya amen
@user-28Gerardineakimana
@user-28Gerardineakimana 7 күн бұрын
Pasta Katekela amekuwa baraka kwangu
@JaneKuyokwa-ng2qf
@JaneKuyokwa-ng2qf 7 күн бұрын
Mungu akubaliki muchungaji
@jastinmkoba
@jastinmkoba 7 күн бұрын
Apo sasa upo korect
@DograsMussa
@DograsMussa 7 күн бұрын
Amen🙏🙏🙏🙏
@IbrahimMgimba
@IbrahimMgimba 7 күн бұрын
I got it🖐️
@ElizabethRobart
@ElizabethRobart 6 күн бұрын
Mungu akutunze
@InjiliyaUfalmetv
@InjiliyaUfalmetv 6 күн бұрын
Usicheke kwenye madhabahu huo Ni mzaha Mtumishi
@gilliansiara3324
@gilliansiara3324 5 күн бұрын
Uzuri mnajitambulisha wenyewe,Sasa ubinaadamu tayari, madhabau hayalingani na karama pia
@JulianaTryphony
@JulianaTryphony 6 күн бұрын
Ety baba kunamtumishi anauliza kwanini unasema inalilah wa inalilahi lajuuni..
@bahatiamandi5193
@bahatiamandi5193 Күн бұрын
Ila kuna nguvu ya Mungu ndani ya karama ya Mungu mafuta yapo kwa biblia mzeituni Wanafunzi wa yesu walitumia mafuta mtumishi Marko 6:12 Agano la kale Isaya 10:21 Biblia ina mafunuo mengi sana Sina upinzani na mahubiri haya Ila kupulizia watu pumzi watu kudondoka sio nguvu ya vitu vya kuzimu wewe pia unaweza kutumiwa na Mungu kulingana na ufunuo Mungu aliokupa na maandiko yapo mengi kwa biblia wewe mwenyewe Mungu alipo kuumba alikupulizia pumzi ukawa nafasi hai ndoo pumzi unayo hubiria leo alafu naomba kama ulivyosema kuna sifa za manabii ni kumi12 hauta sisema sema hapa wapendao mafundisho tujifunze wote
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 7 күн бұрын
Ila baba ungetutajia majina yao kabisa ya hao waongo ili tuwajue me saiv naogopa kabisa habar za manabii maana kumjua mkwel na muongo co jambo dogo baba ang
@flm1530
@flm1530 7 күн бұрын
Hata mkitajiwa mtawafwata tu
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 7 күн бұрын
@@flm1530 sasa hapo utakuwa huna hatia juu ya mtu huyo maana cku ya mwisho atacmama.mwenyewe kujieleza..kuliko ukaacha kututajia tubak tu bila kuwajua plzzz baba tutajie tuwajue saiv mambo hazalan hakuna kuficha kitu wataje baba plzzzzz
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 7 күн бұрын
Femida Yahaya, nikujulishe siri ya kuwa mkristo wa kweli ni.1 mwamini Yesu moyoni mwako kuwa ni Bwana na mwokozi wa maisha yako 2 ufanyiwe maombi ya kufunguliwa vifungo vyako.3ubatizwe kwa maji mengi,4 ujazwe nguvu za Roho mtakatifu 5 ufundishwe kuukulia wokovu,6 uwe msomaji wa biblia, mwombaji na mtu wa mifungo na Ibadan nyingi. Ukiweza hatua hizi utakuwa na viwango vya juu kiroho hakuna kitakachokushinda duniani.
@livinhillary9804
@livinhillary9804 7 күн бұрын
Amen
@edinahKwamboka-j2q
@edinahKwamboka-j2q 6 күн бұрын
Haya mafundisho ni poa sana mtumishi be blessed ❤
@edinahKwamboka-j2q
@edinahKwamboka-j2q 6 күн бұрын
Haya mafundisho ni poa sana mtumishi be blessed
MCH.KATEKELA:UKOMBOZI WA NYOTA ILIYOIBIWA
53:22
PROMOVER TV
Рет қаралды 3,3 М.
你们会选择哪一辆呢#short #angel #clown
00:20
Super Beauty team
Рет қаралды 17 МЛН
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 24 МЛН
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 22 М.
NGUVU INAYOZUIA MAFANIKIO YAKO.
54:51
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 144 М.
NABII ATOA UNABII PART TWO KUELEKEA UCHAGUZI 2025 || Prophetedmoundmystic
4:38
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 17 М.
USHUHUDA WA ALIYEKUWA KICHAA ANAYEISHI MAKABURINI
49:09
PROMOVER TV
Рет қаралды 15 М.
NJIA ANAZO ZITUMIA SHETANI KUTEKA NAFSI YA MTU |NABII ESTHER MASANJA
46:03
BADO KUNA USHINDI TV
Рет қаралды 5 М.
YALE USIYOYAWEZA BWANA ANAWEZA, ALIPO BWANA, ZUNGUMZA NAMI BWANA AND BILA WEWE YESU SIWEZI
34:14
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 4,6 МЛН
你们会选择哪一辆呢#short #angel #clown
00:20
Super Beauty team
Рет қаралды 17 МЛН