❤❤❤❤ MAgufuli mupia... Mungu akulinde 🇨🇩✅ I'm from DRCongo Bukavu town ❤ Much Love
@LilianMmbede5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤piga kazi kaka wanyooshe hao wanajiona km wao ndio wenye mamlaka ya kuonea wananchi kupitia vyeo vyao I love u makonda
@mohamedrashid90355 ай бұрын
Wanayo iyalibu sana hii nchi ni wakurugezi na mafisa wa Ardhi wa mikoa wilaya tarafa na viji
@Zubaiba5 ай бұрын
Magufuli mdogo oyeeeeeeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@kilogreekachananawatuwasio40545 ай бұрын
MAKUFULI JUNIOR KAZI KAZI CCM NAMBA ONE ❤
@Zubaiba5 ай бұрын
Wachani waandamane ccm mbele kwa mbele 😂😂😂😂😂❤
@user-nb4th3yj6v5 ай бұрын
Si agombee tu uraisi
@ramadhanibahati28295 ай бұрын
Gentleman makonda Good❤❤❤
@jacqulinehenry97415 ай бұрын
Milard umezingua kaka,picha kwa mbaaaaaaaliiii sijazoea quality hii.. Sema nn ukweli mchungu unasaidia,Makonda Mungu akutangulie kwa kila hatua baba Kaegan..
@loemamayor82875 ай бұрын
Makonda namwelewa Sana.
@user-nb4th3yj6v5 ай бұрын
Huyo jamaa ni JPM Part 2
@AlexAlex-kf1eg5 ай бұрын
Makonda makonda Mungu akutunze kaziyako ni njema sana nipo hapa makambako nlikuwa nakusubir nikuone kwa macho hakika ishi tu baba
@samwelkavwanga44915 ай бұрын
Ayo tv mmechemsha leo
@SamsonEzekiel-or9xc5 ай бұрын
Kuna limtu limenikela nilitamani nilipige kichwa eti linasema mama waliyemlawiti mtoto wake ametoboa baada ya kupewa milioni 10 na wanaccm walivyomchangia tena limwanamke hana uchungu
@willopsamwel12815 ай бұрын
Huyu mwenyekiti wa mkoa anaongea kwa mhemko san. Unakula mda embu shuka chini. Hiyo ungesema kwenye mkutano wako
@SamManyota5 ай бұрын
🎉
@waidiyoyadagospelsmusicofficia5 ай бұрын
AYO TV VIPI camera 📷 zenu ? Zina Zima Zima vipi?? Au Tu mwite Maconda ? Hatupati Talifa vizuri.🙏🙏
@user-ym6eh5fh3k5 ай бұрын
Oya milad umezingua
@JaneJennifer-zk7bk5 ай бұрын
Kwa hiyo serekali imeshindwa kutatua kero za wananchi, chama kimeamua kumtuma makonda kutatua kero za wananchi siyoeee
@kilalikanestory36355 ай бұрын
Baba Makonda wewe ndoo Magufuli alie Fufuka unagusa myoyo ya laia wengi