LIVE: TAMBUA NGUVU YA KINYWA CHAKO KIROHO // DAY 19

  Рет қаралды 5,935

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

6 ай бұрын

Mithali 13:2-3
Mtu atakula mema kwa matunda ya kinywa chake; Bali nafsi ya mtu haini itakula jeuri. Yeye alindaye kinywa chake huilinda nafsi yake; Bali afunuaye midomo yake atapata uharibifu.
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Пікірлер: 99
@adophine1063
@adophine1063 5 ай бұрын
Amen , navufa maneno mabaya yote tuliyo nenewa tangu ku zaliwa mpaka leo na maneno tulio nenea wengine wengine kwa jina la yesu ya vutwe kwa jina la yesu.
@user-to9fm1ho1g
@user-to9fm1ho1g 4 ай бұрын
Amen mtumishi Mungu akupe nguvu na maisha mema ili tuweze kupokea chakula Cha kiroho naami Mungu ni mwema wenye wingi wa baraka nami natamka Kwa damu ya yesu kristo vikwazo vyote vilivyopo katka maisha yangu vikateketee na nikawe na baraka tele
@Joyyyyyjoy-yo3jj
@Joyyyyyjoy-yo3jj 6 ай бұрын
Ameen..natamka baraka na mafanikio katika maisha yangu yote .kuanzia leo hii na kwa siku zote .. napokea kibali kwa jina la yesu Ameeeen ameen
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 5 ай бұрын
Ameen natamka baraka na mafanikio katika maisha yangu yote kuanzia leo hii na kwa siku zote napokea kibali kwa jina la YESU
@lisakuingwa7337
@lisakuingwa7337 4 ай бұрын
Mm sio wa kawaidaaa nitakiriii uzimaaa katikati ya chochote nachopitiaaa God is good this preaching.issss goood so powerful
@lostanguvila7761
@lostanguvila7761 5 ай бұрын
Natamka uzima kwenye Kila eneo la maisha yangu uzao wa tumbo langu familia yangu wazazi wangu kaka zangu dada zangu wadogo zangu na familia zao kazi zetu mifugo tukutumikie wewe ndoa zetu mashamba uzima kwenye fahamu tuondolee roho za aibu na fedheha madeni umasikini kudharauliwa kejeli kuonewa tumechoka
@Dhore-jb5pb
@Dhore-jb5pb 6 ай бұрын
Yes lord usinipite bwana nakusikia mtumishi mm kwashia leo mm ni mshindi ndio bwana nataka baraka nyingi nyingi kutoka kwa bwana na pesa nyingi nyingi🫰🫰 kutoka kwa bwana na neema yako bwana na nyumba zuru na gari zuri yes bwana🤲🤲🤲 na kaka yangu abate kazi amelia sana himetoza sasa bwana wazazi wangu ali yahumasikini hizhe yes lord dada zangu mashule wawe na akili mzuri na familia yangu uwe mwalimu wao bwana ndio bwana🤲🤲🤲🤲🙏🙌 nipokee katika jina la yesu yes lord
@mercyndoli5296
@mercyndoli5296 5 ай бұрын
Whatsapp
@fourgmobile1969
@fourgmobile1969 6 ай бұрын
Mungu wa rehema nakuomba,usinipite YEHOVA,sikia na kwangu baba nakuomba ufungue watt wangu maarifa na hekima,wewe ndio unapeana baba naomba kwa imani
@Fatmasafe-jz8ij
@Fatmasafe-jz8ij Ай бұрын
Amen nafuta maneno mabaya yote nilio nenewa Toka kuzaliwa kwangu ninafuta kwa damu ya yesu kristo
@Ruth-cm7wr
@Ruth-cm7wr 6 ай бұрын
Natamka kurudishiwa vyote vilivyo nyakuliwa na ibilisi,,, amen 🙏
@siwanchimbi1127
@siwanchimbi1127 6 ай бұрын
Naitwa Rehema mimi ni mbarikiwa, mi ni tajiri, mi ni napokea ndoa njema yenye kumpendeza Mungu.
@ashaally7559
@ashaally7559 6 ай бұрын
Najitamkia baraka tele, na mwaka huu ukawe wenye mafanikio kwangu pamoja na familia yangu,nikaongezeke kiroho,kiafya,kiuchumi na nikapokee kibali kutoka kwako eeeh Mungu wangu
@sahaaflorence.gahaha4151
@sahaaflorence.gahaha4151 4 ай бұрын
Amen .BWANA YESU .ninakata maneno maovu kwa kinywa changu
@user-ix1ep4vx3h
@user-ix1ep4vx3h 6 ай бұрын
Nimepona yesu biashara zangu zimefunguka watt wangu wamefunguka yote ni kwa jina la yesu
@marymueni7891
@marymueni7891 6 ай бұрын
Mungu nimechoka na shida katika ndoa yang.Natamkia ndoa yangu ibarikiwe
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 5 ай бұрын
YESU huu mwaka husinipite niskie kilio na mahitaji ya moyo wsngu
@AgnatarAmad
@AgnatarAmad 6 ай бұрын
Mungu wangu yasikie maombi yangu niondolee aibu na uniheshimishe niondolee kudhrauliwa na univishe vazi la hekima uirudishe furaha yangu pamoja na nyumba yangu na familia yangu yote uzitimize ndoto zangu tuishi maisha mema yanayo kupendeza na kila hatua tutakayo piga tuuone mkono wako usituache Ee Mungu bola wewe hatuwezi
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 5 ай бұрын
Natamka kurudishiwa vyote vilivyo nyakuliwa na ibilisi amen
@EunicewangechiEunicewangechima
@EunicewangechiEunicewangechima 6 ай бұрын
bwana asifiwe .mtumishi wa mungu naomba unisaindie kwa maombi juu mm nimeshidwa kuomba kabisa naskia nataka kuomba lakini nikienda kuomba nashidwa nayamaza tu mm ni mtu wamungu naomba usaidizi kwako mtumishi🙏🙏🙏🙏🙏
@florencewambua7866
@florencewambua7866 6 ай бұрын
Asante mtumishi WA mungu Kwa mafundisho yako B blessed
@niyonkuruneema6197
@niyonkuruneema6197 6 ай бұрын
Nimesumbuliwa na roho ya hofu na woga miaka mingi,ila Kwa sasa natamka ushindi na mafanikio Kwa jina lipitali majina yote YESU KRISTO,.
@chahalemahate-to9nb
@chahalemahate-to9nb 6 ай бұрын
ameni ameni mungu atutangulie
@Ingabirenoella-zu2jd
@Ingabirenoella-zu2jd 6 ай бұрын
Na tamka ushindi kila sehemu ya maisha yangu kwa mwaka huu nina pokeya haja ya moyo wangu kwa imani
@sallie2505
@sallie2505 6 ай бұрын
Asante bwana yesu kwakua ni mwema kwetu🙏❤
@user-lh7od6sk9w
@user-lh7od6sk9w 6 ай бұрын
Asante Yesu unupozuru wengine usinipete unisikie ninaomba
@rithamalisa4636
@rithamalisa4636 6 ай бұрын
Mungu naomba umponye rafiki yangu pendo awe na afya njem ten na aweze kulea mtt wake .
@joyceshiyo7257
@joyceshiyo7257 4 ай бұрын
Mungu nakutumainia natubu mbele zako baba nisameheee
@alicethobias932
@alicethobias932 6 ай бұрын
Najiunganisha na madhabahu hii Mungu anipe nauli nirudi nyumbani
@SYDEYLINET
@SYDEYLINET 6 ай бұрын
KWA JINA LA YESU KRISTO 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️🙌🙌
@winfredmuthui9707
@winfredmuthui9707 6 ай бұрын
Hallelujah. Maneno ya kinywa changu yatawaliwe nawewe bwana.
@rosemdoe2827
@rosemdoe2827 Ай бұрын
Bwana asifiwe mimi ni rose mdoe kutoka kimara stop over mungu akubariki
@EvelyneNdabunga
@EvelyneNdabunga 6 ай бұрын
Yesu aniponye magonjwa yote anifungue kiafya nakiuchumi
@Fatmasafe-jz8ij
@Fatmasafe-jz8ij Ай бұрын
Yesu huu mwaka usiishi bila kupokea mume Alie sahihi
@user-ix1ep4vx3h
@user-ix1ep4vx3h 6 ай бұрын
Mungu nisaidie shetani ananiletea usingizi wakati wa kipindi kwann
@happinessnjita1121
@happinessnjita1121 6 ай бұрын
Asante YESU wangu 🙌🙌🙌
@ScolastikaNathan
@ScolastikaNathan 6 ай бұрын
Emungu wangu unajua napitia katika maumivu makari sana naomba ingilia kati
@user-vm9th9xj2n
@user-vm9th9xj2n 5 ай бұрын
Emen 🙏🙏. Asante yesu🙏🙏
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 6 ай бұрын
Ameen Ameen Natamka kesho yangu ni nzuri
@siwanchimbi1127
@siwanchimbi1127 6 ай бұрын
kwa jina la Yesu Amen
@user-ez5jf1un7g
@user-ez5jf1un7g 6 ай бұрын
Amen amen mtumishi wangu
@easterfraha5008
@easterfraha5008 6 ай бұрын
Usinipite yesu 🙏 nsaidie n mimi
@rechomoris1325
@rechomoris1325 4 ай бұрын
Amina barikiwa mtumishi
@julianarichard920
@julianarichard920 4 ай бұрын
Natamka mafanikio kwenye maisha yangu
@user-rl6pu5hi3d
@user-rl6pu5hi3d 6 ай бұрын
Natamka mm nimepona udhaifu wote unaonisumbua, natamka nitaolewa na mtu sahihi alieandaliwa na Bwana,nitajenga nyumba yangu Kwa uwezo wa Mungu, nitalea watoto wangu katika maadili mema Kwa mamlaka ya damu ya Yesu! Mungu wangu wewe hujawahi kushindwa nishike mkono Ee Elshadai 🙏🙏🙏
@LadyGaudencii-rd8ck
@LadyGaudencii-rd8ck 6 ай бұрын
Natamka mimi ni mfanya biashara mkubwa Geita naenda kukutanishwa na wakuu naenda kuwapa msaada wale wote walionidharau mimi ni muheshimiwa naenda kukaa meza moja na wakuu
@LadyGaudencii-rd8ck
@LadyGaudencii-rd8ck 6 ай бұрын
Natamka kwa kuamini mwanangu ni geniouse atakua anaongoza grad A kuanzia vidudu mpaka PHD
@LadyGaudencii-rd8ck
@LadyGaudencii-rd8ck 6 ай бұрын
Natamka leo kupata wateja kwenye biashara yangu ya nguo za ndani nauza laki na 20
@user-fn6hf6pf4b
@user-fn6hf6pf4b 5 ай бұрын
Asante Yesu kwa uhai 🎉
@user-fn6hf6pf4b
@user-fn6hf6pf4b 5 ай бұрын
Natamka kwa Iman yangu leo ni siku yangu ya BARAKA katika biashara yangu
@florencewambua7866
@florencewambua7866 6 ай бұрын
Nakupata vizuri Sana mtumishi
@user-dm7iw2us6u
@user-dm7iw2us6u 5 ай бұрын
Unasikika vizuri mutumishi wamungu jinalabwanalibarikiwe
@user-dm7iw2us6u
@user-dm7iw2us6u 5 ай бұрын
Ameni
@rosettenyandwi6334
@rosettenyandwi6334 5 ай бұрын
Naomba unisamehe EeMungu kwa Matamuko mabaya ninayoyatamuka
@rahmellio
@rahmellio 6 ай бұрын
Yesu naomba usinipite ukumbuke maombi yangu kumbuka machozi yangu nifute machozi yangu nope haha ya moyo wangu nisitawishe nifanye mkuu katka hii dunia niwe nyota chochote nitakacho fanya nifanikiwe unipe neema na baraka zako fungua milango zotee za baraka katka maisha yangu nijbu maombi yangu mwaka huu uwe mwaka wa mafanikio kwangu Asante mungu
@rosettenyandwi6334
@rosettenyandwi6334 5 ай бұрын
Asante Mungu kwakunipa ushindi
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 5 ай бұрын
Asante YESU
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 5 ай бұрын
Usinipite YESU nsaidie n mimi
@user-ez5jf1un7g
@user-ez5jf1un7g 6 ай бұрын
Bwana mungu nisikiye na mimi
@marymueni7891
@marymueni7891 6 ай бұрын
Natamkia kijana wangu kazi
@FrolaMbembela-lt8jy
@FrolaMbembela-lt8jy 6 ай бұрын
Aminaa 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 🙏🏾 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@Jaredobichu-ww7hf
@Jaredobichu-ww7hf 5 ай бұрын
kazi nyumba n watoto
@happinessnjita1121
@happinessnjita1121 6 ай бұрын
Amina Amina
@user-cs6mk3ry5h
@user-cs6mk3ry5h 5 ай бұрын
Mimi ni mshindo nitashinda na zaidi ya kushinda nafanikiwa katka kila jambo
@julianarichard920
@julianarichard920 4 ай бұрын
Mimi.Julie ni Best designer na Mwalimu Bora for future
@SYDEYLINET
@SYDEYLINET 6 ай бұрын
HALLELUJAH usinipite mwokozi
@MariaKimaro-od1ni
@MariaKimaro-od1ni 6 ай бұрын
natamka ushindi natamka kufanikiwanatamka watoto wangu kufanikiwa natamka kupona Marathi yamacho mimi ni mpambanaji me ni jasiri
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 6 ай бұрын
Asante yesu
@perisriziki1592
@perisriziki1592 6 ай бұрын
Kwa jina la yesu christo mm ni Tajiri wa ajabu na fela tele
@mbithetaabu6413
@mbithetaabu6413 4 ай бұрын
Amen
@gideonwambua9498
@gideonwambua9498 6 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏
@lisakuingwa7337
@lisakuingwa7337 4 ай бұрын
God God God thankyouuuuuuu❤😊
@florah-jw9wk
@florah-jw9wk 5 ай бұрын
Najitamkia baraka kwa familia yangu
@StellaJohn-dz6gv
@StellaJohn-dz6gv 6 ай бұрын
Mungu naomba uniinulie watu sahihi wa kunisaidia nitoke kwenye maisha magumu 🙏
@marymueni7891
@marymueni7891 6 ай бұрын
Mungu fatwa maneno yote yaliyotamkiwa ndoa yangu,watoto wangu na maisha yangu
@user-tj4jg8wx6d
@user-tj4jg8wx6d 5 ай бұрын
Ndio Bwana 🙏
@angelinemapenz4358
@angelinemapenz4358 6 ай бұрын
Natamka kufanikiwa mwaka huu Hadi mahadui washangae katika jina la yesu🙏🙏
@user-lh7od6sk9w
@user-lh7od6sk9w 6 ай бұрын
usinipite Yesu ninaomba
@user-kq5zy3gk3j
@user-kq5zy3gk3j 6 ай бұрын
Amina sana
@abigaelmwadena2262
@abigaelmwadena2262 6 ай бұрын
Baba naomba unisadie kila walio tamk mabaya ya batilishe yakawe mema kwangu
@amisakiza1538
@amisakiza1538 6 ай бұрын
natamka kuhishi makusudiyangu sawasawa ginsi MUNGU alinikusudiya
@MercylineGetuma
@MercylineGetuma 6 ай бұрын
Yesu huu mwaka husinipite niskie kilio na mahitaji ya moyo wsngu😢
@user-lh7od6sk9w
@user-lh7od6sk9w 6 ай бұрын
Yesu nena neno moja juu ya maisha yangu amen
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 6 ай бұрын
Mm ni wa thamani
@amisakiza1538
@amisakiza1538 6 ай бұрын
natamka kupokeya mshaara double
@pety-vl3rb
@pety-vl3rb 6 ай бұрын
Nataka nipe mkataba wa mwaka mzima nataka nikutane na watu sahihi katika masomo kazini nataka nikubalike kila seheme hr anikubali katika ajira anipemkataba wa mwaka mzima nataka niongezewe mshahara
@evelinemusanga621
@evelinemusanga621 6 ай бұрын
Usinipite mwokozi
@user-of5rx6bf7n
@user-of5rx6bf7n 5 ай бұрын
Natamka sasa nakwenda kupata mume mwema
@amisakiza1538
@amisakiza1538 6 ай бұрын
natamkakuwa financially stable
@Jaredobichu-ww7hf
@Jaredobichu-ww7hf 5 ай бұрын
nataka mke arudi kwsngu
@ScolastikaNathan
@ScolastikaNathan 6 ай бұрын
Ninatamka kuanzia sasa nahita mrudishe mmewangu namuhitaji arudi tulee watoto nakuomba badilisha moyo wake
@ElizabethSalama-pg1bq
@ElizabethSalama-pg1bq 6 ай бұрын
Mchungaji naomba huyo mwimbaji wahiyo nyimbo nina haja nawe
@happinessnjita1121
@happinessnjita1121 6 ай бұрын
Naimiliki march kwa uweza wako YESU Kristo
@UBUMENYITV-xm9rs
@UBUMENYITV-xm9rs 6 ай бұрын
Ninatamka kwa IMANI ya kua Nita kua na mahusiano makubwa na MUNGU mwaka huu, Ninatamka kwa IMANI yakua nitapona hapa kwenye koo, Ninatamka kwa IMANI yakua nitafauru NECTA Niliyo ifanya, In the name of JESUS Amen amen.
@kisianganimary3.gmail.c
@kisianganimary3.gmail.c 6 ай бұрын
Mungu nizaidie nitamke maneno ya liyo ya maana katika kinywa changu,nikatamke maneno ya baraka yakuleta manufaa na mafanikio yaliyo bora katka maisha yangu na uzao wangu,natamka ushindi kwa mafanikio yangu na mipango yangu ya biashara
@EsterErick-dg1dv
@EsterErick-dg1dv 6 ай бұрын
Najitamkia Mimi ni mzima wa afya na nimepokea uzm kwa nzia leo
@florencenshimi9353
@florencenshimi9353 6 ай бұрын
Amen
@TimaHamisi-mf7ve
@TimaHamisi-mf7ve 6 ай бұрын
Kila ninalolitamka bwana ukae pamoja nami likawe lanheri kwangu
UNAPOCHOKA,NANI ANAKUBEBA KATIKA MAOMBI?? // MUHIMU SANA
37:41
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 87 М.
LIVE: JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA VITA NYAKATI ZA USIKU
43:38
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 44 М.
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 2,4 МЛН
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
00:56
صدام العزي
Рет қаралды 57 МЛН
MY WIFE LEFT ME WITHOUT NOTICE- PK KARITEI
1:19:01
JEFF KURIA
Рет қаралды 41 М.
MAOMBI YA KUOMBEA SIKU ULIYOZALIWA // BIRTH DAY
9:46
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 3,1 М.
NGUVU YA KUINUKA TENA || PASTOR GEORGE MUKABWA || 17/01/2024
1:36:36
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 19 М.
KUMPENDA MUNGU PEKEE HAITOSHI // JIONGEZE
16:13
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 3,4 М.
Nyimbo za Kuabudu || Rauka na Bwana  ||  Mon 22/07/24 #live #livestream #morningworshipsongs
𝗚𝘂𝘇𝗮 𝗧𝘃. (𝑻𝒐𝒖𝒄𝒉𝒊𝒏𝒈 𝒍𝒊𝒗𝒆𝒔)
Рет қаралды 65
#LIVE MAOMBI YA KUFUNGUA ANGA LA BARAKA ZAKO // Mkuu wa Anga
15:59
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 4 М.
MADHABAHU ZA KUZIMU CHANZO CHA MATESO YAKO
13:52
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 7 М.
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 2,4 МЛН