Loh!! Alichozungumza Biteko mbele ya aliyepambana na pacha wake

  Рет қаралды 13,992

BMG ONLINE TV

BMG ONLINE TV

3 жыл бұрын

Waziri wa Madini, Doto Biteko amewatembelea wachimbaji wadogo wa Nyarugusu wilayani Geita ambako pia linapatikana jimbo la Busanda ambalo pacha wake Kulwa Biteko alishinda kura za maoni ndani ya CCM ingawa jina lake halikurudi na badala yake likarudi jina la Tumaini Magesa ambaye alichaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo kwenye Uchaguzi Mkuu 2020.
Tovuti @BMG BLOG www.bmgblog.co.tz/
Facebook @BMG HABARI / bmghabari
Twitter @bmghabari / bmghabari
Instagram @bmghabari / bmghabari
#BMGTV #BMGBLOG #BMGHABARI #PamojaDaimaBMG

Пікірлер: 8
@dionizmajoka6750
@dionizmajoka6750 3 жыл бұрын
Piga kazi Biteko Doto Mungu akusidie maana hiyo wizara tunaitegemea sana.
@kambamazig02024
@kambamazig02024 3 жыл бұрын
Biteko you a good orator, kazi unaijua na wananchi unajua changamoto zao, down to earth young man, you have a very big future! Chapa kazi.
@ayubuakyoo1076
@ayubuakyoo1076 3 жыл бұрын
Big up biteko,nakukubali Sana namna ambyo kinywa chako huwa kinamkiri yesu
@fatmamuyinga5195
@fatmamuyinga5195 3 жыл бұрын
Safi sana biteko karibu sana saza wiliya ya songwe ututembelee tuna furahi tunapo kusikia na kutuhamasisha Mheshimiwa
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 3 жыл бұрын
Hakika atafurahi kusikia kutoka kwako
@hamislipangine9649
@hamislipangine9649 3 жыл бұрын
Safi Sana Mh Biteko
@yeremiakakuru3712
@yeremiakakuru3712 3 жыл бұрын
Nakuombea wazili wangu mungu akubaliki
@wilonjabikey8274
@wilonjabikey8274 3 жыл бұрын
Uyu mweshimiwa nilikuwa sijajuwa kuongea kwake kumbe mweshimiwa Rais hajakosea kweli.
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 38 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
BMG TV:  Mtoto Yunis Ogot aanza kuongea, akiri kutokewa na Bikra Maria
37:07
Naibu Waziri Doto Biteko atatua mgogoro wa madini Tarime
4:29
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 1,9 М.
BITEKO: Tuzidi kutenda dhambi ili neema iongezeke, hapana!
23:59
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 1,9 М.