MAAJABU DARAJA LA MAGUFULI KIGONGO BUSISI, RASMI KUANZA KUTUMIKA, TANROADS WATOA TAARIFA HII KUBWA

  Рет қаралды 16,233

Uhondo TV

Uhondo TV

Ай бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 20
@Kim19onlinetv
@Kim19onlinetv 28 күн бұрын
Je mama hana mchango kweli? Au mnasahau kwa makusudi?
@user-gv8yn9lg1i
@user-gv8yn9lg1i 28 күн бұрын
Jp Makufuli 😅😅😅
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq 28 күн бұрын
Tumuombe maisha bora akhera na huyu mama mwenyez mungu amsimamie kwa uwezo wake mungu maana bila mungu hatuwezi kitu jamani na kila hali mja njia ni moja tu
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 28 күн бұрын
Tanzania inanyanyuka..
@leokamil6284
@leokamil6284 28 күн бұрын
Mwendazake kweli ulibadilisha hii nchi kwa muda mfupi sana, sijui nisemeje umetuachia ukiwa nchi haieleweki kabisaa. Pumzika kwa Amani
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 28 күн бұрын
Barabara unganishi za Daraja ziwe na urefu kilometa nyingi na upana wa kutosha ilikulipa thamani ya gharama iliyotumika kulijenga siyo mjenge vibarabara kama vya huku uswahilini kuliunganisha Daraja hilo.
@MashauriissaMohamed
@MashauriissaMohamed Күн бұрын
Tutakukumbika Kwa mazuri yako
@zachmaselle6635
@zachmaselle6635 19 сағат бұрын
Tatizo langu ni hayo magugu. Tangu yaanze kuonekana, huna hatua zozote zimechukuliwa na waziri wa mazingira yupo!
@Worldunite
@Worldunite 21 күн бұрын
Mbona mnaleta mfarakano? Hili jambo liko wazi kwamba hayati JPM aliona umuhimu wa kujenga hili daraja na akaanza kulijenga, halikuwa jambo rahisi, na baada ya kifo chake mama ndo analimalizia, sasa, tunachoshindania hapa ni lipi?
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 28 күн бұрын
Huyu msimulizi ni mgeni kutoka nchi jirani? Pili, anapotosha kudai ya kwamba kuvuka kwa ferry kutoka Busisi hadi Kigongo ferry unatumia saa mbili. Hata kwa kupiga kasia huwezi kutumia zaidi ya saa moja!
@fauzseif7344
@fauzseif7344 28 күн бұрын
Sio meta ni metet
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 28 күн бұрын
Mchango wa mama upo.....
@MalamboSelijusi
@MalamboSelijusi 28 күн бұрын
Mbona nguzo zajuu zinaonekana sio imara mjitafakari
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 135 МЛН
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 12 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 64 МЛН
KIKWETE "MAGUFULI SIKUKWAMBIA YULE MSUKUMA UMFUKUZE KAZI"
4:14
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 19 М.
Kauli 10 Tata za Magufuli Lazima Uzikumbuke Kabla Ya Uchaguzi 2020
7:20
Top Stories Tanzania
Рет қаралды 3,2 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 135 МЛН