No video

#MadeinTanzania

  Рет қаралды 1,437

Xtreme Media

Xtreme Media

Күн бұрын

Maonyesho ya 5 ya viwanda yana muitikio mkubwa kwa kuwaunganisha wafanyabiashara ili kukaa na kujadili namna bora ya kuboresha biashara zao.Maonyesho haya ya moja kwa moja kutoka Viwanja vya Sabasaba kati ya wafanyabiashara, Wizara ya Viwanda, Wizara nyingine za Kisekta, Taasisi za Serikali na Taasisi Binafsi yanalenga kutumia fursa ya bidhaa zinazozalishwa na wajasiriamali na Viwanda vyetu kupata masoko ya ndani na nje ya nchi.
Usikose kufuatilia Made in Tanzania Show katika Clouds TV
Kila Jumatano saa 2 na Nusu Usiku:
Kila Jumapili saa 1 Jioni (Marudio).
_______________________________________________________________________________SUBSCRIBE CHANNEL HII KUPATA INFOS ZAIDI!!!

Пікірлер: 4
@hdjirungakashililika7538
@hdjirungakashililika7538 3 жыл бұрын
Made in Tanzania , nikipindi ambacho nimekuwa nakifuatiria kwa mda mrefu.Kifupi kinanitia moyo na kunionyesha furusa zilizojificha apa tanzania.Hivyo ningependa kuwashauli vijana wengi kufuatilia kipindi hiki
@peterkailembo4101
@peterkailembo4101 3 жыл бұрын
I wish channel zote ziwe zinaonesha vitu hizi maana watu hawajui kama kuna haya yote TZ
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 3 жыл бұрын
Safi sana kaka. Haya ndiyo mambo tunayoyataka. Watu wachangamkie fursa
@Soshow255
@Soshow255 3 жыл бұрын
Kweli kabisaa.
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 14 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 12 МЛН
How 3D printed homes can help solve the housing crisis | 60 Minutes Australia
18:40
Think Fast, Talk Smart: Communication Techniques
58:20
Stanford Graduate School of Business
Рет қаралды 39 МЛН
#MadeinTanzania Unga Maalum Unaoweza Kutengeneza Uji kwa Muda Mfupi
31:25
Made IN Tanzania- Nyerere Day Special
20:33
Xtreme Media
Рет қаралды 2,9 М.
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 14 МЛН