No video

#MadeinTanzania

  Рет қаралды 1,150

Xtreme Media

Xtreme Media

Күн бұрын

Kutana na Mtanzania aliyeanzisha kiwanda chake cha upekee baada ya kupambana na shughuli za machimbo katika Mgodi wa Tanzanite na kuuza Mitumba Dodoma.
Baada ya kupitia mengi kijana huyu Rummy wa kitanzania alifanikiwa kuja na wazo jipya na aina mpya ya kiwanda kinachotengeneza unga wa kipekee.
Tazama kiwanda cha Rummy and Daughters ambacho kinatengeneza unga maalum kwa kutumia mazao mbalimbali. Unga unaotengenezwa ni pekee kwa sababu unaweza kutengeneza uji kwa haraka sana, unachanganya maji ya moto na unga huo na kupata uji.
#MabilioneaConnection #MadeinTanzania

Пікірлер: 8
@eastcuisines124
@eastcuisines124 3 жыл бұрын
wooow, just wow ona packaging tu ni marketing tosha, safi sana kaka rumi this is amazing
@noelashoo6043
@noelashoo6043 3 жыл бұрын
Mangi keep shining big respect
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 3 жыл бұрын
Safi sana
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 3 жыл бұрын
Hii ndiyo Tanzania ya viwanda tunayoitamani
@mr.futurefrozie2558
@mr.futurefrozie2558 3 жыл бұрын
Idea hiyo aliipata wapi na ilkua ni baada ya kutoka kwenye madini au kwenye mitumba
@Rumishael
@Rumishael 3 жыл бұрын
Idea hii nilipata wakati naishi New Zealand, Nilikuwa naona maisha yetu ya kila siku pale nyumbani, haswa wakati wa asubuhi tukiamka kila mtu alikuwa anajiandalia breakfast yake watoto na watu wazima na baada ya muda si mrefu kila mtu anatawanyika wa mashuleni na maofisini. Kutokana na ubize wa maisha wenzetu wamejirahisishia maisha sana, nikaona maisha ya Mtanzania wa sasa hayana tofauti na yale ya Wa New Zealand ktk ubize. Nikaona fursa ya biashara ukiweza kutatua tatizo la muda pamoja na kumpa mtu lishe bora tayari omeshaongeza dhamani katika maisha ya mtu kwani time is $$$ + good health food=better life to Tanzanians
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 3 жыл бұрын
@@Rumishael Kweli. Hata hapa China wanafanya hivyo. Wazo nzuri sana
@lavieestbelle3263
@lavieestbelle3263 3 жыл бұрын
Wooow........
Safari ya #MadeinTanzania kwa mwaka 2020
22:47
Xtreme Media
Рет қаралды 1,1 М.
Ujenzi wa Kisasa kwa kutumia Tofali za Kuchoma
1:32
SwahiliUnits
Рет қаралды 6 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 38 МЛН
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 29 МЛН
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 43 МЛН
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 21 МЛН
Hii nyumba haina kasoro
3:34
DALALI WA TAIFA
Рет қаралды 24 М.
#MadeinTanzania Jinsi ya Kutengeneza Viatu vya Ngozi
19:42
Xtreme Media
Рет қаралды 7 М.
Made IN Tanzania- Nyerere Day Special
20:33
Xtreme Media
Рет қаралды 2,9 М.
Ujenzi  Wa Apartments wa Gharama Nafuu
2:51
SwahiliUnits
Рет қаралды 19 М.
Nyumba Ya Kisasa (Location KIGAMBONI DSM) Jenga nasi +255747608053
2:10
Sedec Builders Ltd
Рет қаралды 13 М.
Juice ya Miwa na Faida zake
5:55
Anania Junior
Рет қаралды 3 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 38 МЛН