MADEREVA WA TRENI KICHWA MCHONGOKO WAIVA

  Рет қаралды 20,892

TRC RELI TV

TRC RELI TV

2 ай бұрын

Пікірлер: 57
@bekabakari7394
@bekabakari7394 Ай бұрын
Kwa mambo haya Yanayo onekana ktk macho Yetu watanzania inabidi Tumuombee tusichoke ktk Maombi yetu Dr Magufuli Vile vile Dr samia tusimsahau Kwa kazi alizo achiwa
@abelg2488
@abelg2488 2 ай бұрын
All the best madereva. Uadilifu ubora na bidii viwe ngao na nguzo katika utendaji wenu
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 2 ай бұрын
Mdogomdogo Tanzania inaanza kung'aa kwenye miundombinu🎉🎉🎉🎉
@ibraton4071
@ibraton4071 2 ай бұрын
Hvi Hakuna bajeti ya kusafisha hilo jengo la zaman la reli ya zaman maana jengo zuri hila hapo pembeni pachafu sana
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 2 ай бұрын
Mko sawa maana President Magufuri alifanya kazi kubwa sana
@imanuelnguya9277
@imanuelnguya9277 18 күн бұрын
Safi sana
@usamaahmed2624
@usamaahmed2624 2 ай бұрын
Hii ni sawa na ndege ni umakini wa hali ya juu unapaswa kuzingatiwa, safety first na kuondoa kabisa mazoea (complacent') ili hivi vyombo vidumu na kuepusha ajali zembe, report every unusual incident before, during and even after, and cleanness and inspection ya chombo ni muhimu sana.. All the best Driver.. VIVA TANZANIA VIVA!!!
@zawadix9574
@zawadix9574 2 ай бұрын
Tatizo hatu tunzi vitu angalia mgr hovyo,,, angalia mwendokasi bus,,,,hovyo,,,,, tuna weza tuza....bora Management iwe wa turkey aw wa Korea hatuwezi.....wata iba fencing wata iba chuma angalia miaka 2 from now
@usamaahmed2624
@usamaahmed2624 2 ай бұрын
​@@zawadix9574very true..
@gervasally6979
@gervasally6979 10 сағат бұрын
Tena ikibidi Kila station kue na Ma ispector wa hivyo vyombo vya usafiri Ikifika tu waje wakague wamuhoji Captain hali ya chombo Yaani Sjui nsemeje
@jamesmwita2995
@jamesmwita2995 Ай бұрын
Jamani huu mchongoko wetu mbona hapo mbele Pako wazi au ndo mchongoko wa kitanzania ulivyo, unakuwa wazi hapo mbele😂😂
@jelasnkoma4240
@jelasnkoma4240 Ай бұрын
Pako wazi sababu ya "Railway Coupling" Yaani kuunganisha Kuna kofia yake ipo ndani haijavishwa ila wakivisha inachongoka.
@zawadix9574
@zawadix9574 2 ай бұрын
Hongera trc hongera sana lakini MTA weza tunza hizo ..... Jamani tu maintenance vizuri sio tu furahi mpya miakia miwili Ina kuja hovya kama reli ya mgr ..... Na ma basi mwendokasi....... Maintenance jamani Ina tu shindwa
@Kabwela776
@Kabwela776 Ай бұрын
Wabaguzi hao hawajawapa kazi wanawake ina maana Tanzania nzima hamna wanawake wangeweza kujifunza kuendesha treni mbona kuna marubani wanawake ATC ???? Hii ni bogus kabisa lazima ipigiwe kelele Na hata ajira zao Wale wahudumu wanawake inaonekana kama almost ni kabila moja au baadhi ya mikoa tu.
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 Ай бұрын
Kichwa gani hicjo buana! Magufuli alichoagiza na kilichokuja no tofauti
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 2 ай бұрын
Hivi ,Hakuna mpango WA Hao Wakolea kufungua kiwanda cha kujenga na ubunifu WA Train? Sio bei sana kufungua kiwanda na Technology tunanuna kwao.wataraam wetu amukeni basi
@zawadix9574
@zawadix9574 2 ай бұрын
Kwanza kutunza hizi treni hatu wezi kabisa ata line ya sgr uta skia matatizo...
@herodiduma9906
@herodiduma9906 Ай бұрын
​@@zawadix9574kwa hiyo kulikuwa hakuna haja ya kutengeneza
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 2 ай бұрын
Mwambieni mbarawa hiyo ndio Treni tunausubiri kwa hamu sana.
@inchallah6382
@inchallah6382 Ай бұрын
Congrats TZ .. That's a big achievement and I wanna say Bravo.... But..but..but.. I'm more concerned about it's passengers capacity.. 450 to 500 passengers at 150KPH is relatively small compared to Kenyan Diesel power SGR with a passenger capacity of between 1678 to 2300 passengers one way, cruising at 120KM/Hour... "I think something is not adding up for TZ SGR" .It's inversely proportional to the hype created about it .... I think Kenyan SGR is making sense..
@emilbocco5895
@emilbocco5895 Ай бұрын
What is the cost of electricity compared to diesel, and where do we pay the money for electricity and where do you pay for diesel, Tanzania sgr is something African countries need to learn
@alexissangali8650
@alexissangali8650 Ай бұрын
450 -500 passengers is EMU train, express short distance train,every hour they will be departing to and fro Morogoro or Dodoma,1600 -2000 passengers trains are long distance one,from Daresalaam to Tabora up to Mwanza and Kigoma,these are the ones the same like yours
@benjaminyohana5581
@benjaminyohana5581 Ай бұрын
kuna Marubani wa Ndege , Manahondha wa Meli Madereva wa Magari na Hao wa Treni wanaitwaje au ndio Madereva kama wa Magari ya kawaida, wataalam tafadhalini naomba mnijuze hili
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 29 күн бұрын
Anaitwa loco pilot au train driver
@Kivuruge255
@Kivuruge255 2 ай бұрын
Station ni nzuri ila sas hiyo station ya mgr ndo kipenger mabati yamechakaa hakuna mandhali nzuri. Pafanyien maintenens bas nap papendeze
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 2 ай бұрын
Mbana hao manahoza wenyewe waupande mmoja 2 duuu acha inyeshe 2one panavuja
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
Unapnda Traine kwa masaa 2 toka morogoro unafika uendako kwa masaa 2 sehemu ya 30km
@yasiniSwedi-qg5oc
@yasiniSwedi-qg5oc Ай бұрын
Mmechakachua c zile alizonunua jpm
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s Ай бұрын
Ni uwongo tu,miradi inasusua tu, RIP JPM
@abdallahselemani6423
@abdallahselemani6423 Ай бұрын
Nenda wewe kainasue mbwa wewe umekaa hutembei ukaona
@mussamussa8181
@mussamussa8181 Ай бұрын
Zaid ya 150 ndo lugha gan si useme tu speed 160 basi
@user-dd3ek5fh5g
@user-dd3ek5fh5g Ай бұрын
R.I.P JPM 😢
@Kabwela776
@Kabwela776 Ай бұрын
Kwa hiyo hicho kichwa huko mbele kitakuwa wazi ?
@moawallashabbir1762
@moawallashabbir1762 Ай бұрын
LITAANZA LINI???
@Kabwela776
@Kabwela776 Ай бұрын
Wabaguzi hao hawajawapa kazi wanawake ina maana Tanzania nzima hamna wanawake wangeweza kujifunza kuendesha treni mbona kuna marubani wanawake ATC ???? Hii ni bogus kabisa lazima ipigiwe kelele Na hata ajira zao Wale wahudumu wanawake inaonekana kama almost ni kabila moja au baadhi ya mikoa tu.
@Kabwela776
@Kabwela776 Ай бұрын
Madereva mbona hamna wanawake???? 🙄🙄🙄🙄😳😳😳😕😕😕😕😡😡😡😡😡 hii sikuipenda kabisa ni mambo ya primitive Na kutoa ajira kwa kuangalia jinsia , waseme wanawake ni wangapi wamewaajili ambao ni madereva???? Tanzania haiwezekani hii we have to boycot kupanda hii treni ni ubaguzi wanawake wa Tanzania wametengwa kutoajiliwa wako wanawake mahiri
@dennismacha9941
@dennismacha9941 2 ай бұрын
Ndugu mwandishi tafadhali.hawaitwi madereva.wanaitwa manahodha.kiswahili fasaha kizingatiwe
@deven.oauditx7547
@deven.oauditx7547 2 ай бұрын
Siyo manahodha ni madereva. Manahodha ni wa meli.
@ototek8037
@ototek8037 Ай бұрын
Jikaguwe kwanza, nahodha baharini huko! mitumbwi boti na meri. Kwa nchi kavu dereva, angani ni rubani. cheki kwanza
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 29 күн бұрын
Ungeuliza mpendwa mbona unafanya kila siku tuendelee kuchekwa na majirani wanaitwa loco pilot au train driver
@modenasayi
@modenasayi 2 ай бұрын
Lini mnaanza test ???
@Kabwela776
@Kabwela776 Ай бұрын
Wabaguzi hao hawajawapa kazi wanawake ina maana Tanzania nzima hamna wanawake wangeweza kujifunza kuendesha treni mbona kuna marubani wanawake ATC ???? Hii ni bogus kabisa lazima ipigiwe kelele Na hata ajira zao Wale wahudumu wanawake inaonekana kama almost ni kabila moja au baadhi ya mikoa tu.
@pascojm6816
@pascojm6816 Ай бұрын
Sasa kama hao wanawake hawajitokezi au hawana sifa unawalaumu nini? ​@@Kabwela776
@Kabwela776
@Kabwela776 Ай бұрын
Mbona asilimia kubwa hao madereva ni wazee ???? Kwanini msiajiri vijana wanaume Na wanawake , wazee baada ya muda afya ni mgogoro mara sight ya macho mbovu hivi hili shirika mbona kama halina vision nzuri hamna mshauri ???? Hii nchi ya ovyo sana yaani hamuwezi kuona siku za baadaye huwezi kuwapa mafunzo wazee ambao wengi wagumu hata kuadapt kwenye technologia mpya au mnataka kuua watu Na kwa Nini wanawake hamkuajiri this is very bias ????
@Peterkamgisha
@Peterkamgisha Ай бұрын
Safi sana ila kadogosa atukumbuke sisi tuliojitolea kujenga sgr mpaka hapo tunaomba atupe ticket na sisi tunufaikw
@user-yr3yi2yr6i
@user-yr3yi2yr6i 2 ай бұрын
Why madereva ni wazee Wapeni vijana bana wazee wa nn au ndo mjuano
@wilhardtarimo386
@wilhardtarimo386 2 ай бұрын
Vijana jau sana
@amosibilingi4299
@amosibilingi4299 2 ай бұрын
Vijana sio, utajikuta umefika mwanza bila taarifa, maana hiyo spidi sio ya kawaida
@issajuma7372
@issajuma7372 2 ай бұрын
Sio kweli, Vijana wapewe nafasi
@deven.oauditx7547
@deven.oauditx7547 2 ай бұрын
Uzoefu na maadili ni muhimu kwa madereva wa reli.
@gideonmwanjila8616
@gideonmwanjila8616 2 ай бұрын
Wazee ndio hujua kuendesha treni vizuri. Kuondoa na kusimamisha sio kwa haraka kama vijana
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 6 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 172 МЛН
"RELI YA SGR KUUNGANISHA NCHI ZA AFRIKA"
8:33
TRC RELI TV
Рет қаралды 12 М.
Station Tour : Station Mpya ya TRC Dar kama Airport ndogo
10:50
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 6 МЛН