Mafrateli wa Seminari Kuu Segerea Waanzisha Wimbo wa Twakusifu Mungu Mkuu,Askofu Ndizeye Aungana Nao

  Рет қаралды 35,147

Jugo Media

Jugo Media

Жыл бұрын

𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊
Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp.com/GDS87FVmKB5...
Tumsifu Yesu Kristo, Napenda Kukushukuru kwa Kuwa Mdau Mpendwa wa Jugo Media. Tunapenda kukutaarifu kuwa Tumeandaa Group Maalum kwa Ajili ya Kupokea Taarifa Mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Vipindi vya Kanisa nk kutoka Jugo Media. Kama ungependa Kuungana Nasi Tunaomba Ujiunge kwa Hiari Kupitia Link Hiyo Juu. Mungu Akubariki Daima
KAMA UNGEPENDA KUPATA TAARIFA KUHUSU KANISA KWA NJIA YA WHATSAPP TAFADHARI TUMA UJUMBE KWA WHATSAPP UKISEMA NIUNGE KISHA JINA LAKO KWENDA NAMBA +255757560764 au BONYEZA LINK HII wa.me/+255757560764?text=NIUN...) (SAVE HII NAMBA KWANZA, ANDIKA JUGO MEDIA) UBARIKIWE SAMA
KAMA UNA HABARI NA UNGEPENDA KUSHIRIKI PAMOJA NASI TAFADHARI WASILISHA KUPITIA WHATSAPP NO +255757560764 AU BONYEZA wa.me/+255757560764?text=Taar...)
Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
𝕄𝕒𝕨𝕒𝕤𝕚𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

Пікірлер: 47
@maganyarobert7008
@maganyarobert7008 Ай бұрын
Mungu ni mwema awabariki mfikie uwema wa bwana wetu yesu kristu
@rachellaiza7779
@rachellaiza7779 Жыл бұрын
Rc nawakubali sana mnao uwepo wa Mungu sana
@merinachalinze-rn2cc
@merinachalinze-rn2cc Ай бұрын
Mungu awalinde
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 Жыл бұрын
Muishi utume wenu, msitangatange na kulidhalilisha kanisa la kristo.
@modestakafunga7718
@modestakafunga7718 Жыл бұрын
Mungu awaongoze muweze kulifikia na kulipokea daraja takatifu la upadri
@user-wo1gf7uh4k
@user-wo1gf7uh4k 2 ай бұрын
Mungu awaongoze vema ili muweze kutimiza malengo yenu
@kelvinmtavangu7701
@kelvinmtavangu7701 Жыл бұрын
Mungu Mwenyezi na awabari na kuwaongoza ili kila moja wenu afikie lengo lake la uteule mbele zake Mungu. Amina
@clementinalotary4913
@clementinalotary4913 5 ай бұрын
Hongereni sana wapendwa. Bravissime
@irenibrahim1773
@irenibrahim1773 Жыл бұрын
Mungu awape hitaji la mioyo yenu
@tumusiimeomukama3151
@tumusiimeomukama3151 Жыл бұрын
Jamani Nikiangalia mafurate wotee wako kama wa takatifu natamani niwafungie hapo walipo ili Mungu akija awakute kama walivyo wasije kutoka nje wakachafuka.
@mumyhendry2919
@mumyhendry2919 Жыл бұрын
Honey ,plzz rudia tena maana umeongea km vile uko moyoni mwangu na akilini mwangu, ninawapenda sana na daima nawaombea kila skuu🙏🙏🙏♥️♥️♥️
@veronicakauye2087
@veronicakauye2087 Жыл бұрын
Mungu awalinde watakatifu wake na mawaa
@holyfieldlambe5788
@holyfieldlambe5788 Жыл бұрын
Hongereni sana tena sana.
@holyfieldlambe5788
@holyfieldlambe5788 Жыл бұрын
@@veronicakauye2087 Ni kweli kabisa Dada Veronica Kauye..
@mkaapwekekariakoo6417
@mkaapwekekariakoo6417 Жыл бұрын
inabidi tu watoke hapo, wachafuke kwa ajili yetu. Maana wakikaa na utakatifu wao pekee, thamani na maana ya wao kuwako hapo inapotea. Wakaribie, huku kwetu ili watupee utakatifu tunaoutamani. Muhimu, tuzidi kuwaombea kila uchao. Lakini zaidi yayote, Makuhani wa Kristo ili wawe kwa ajili ya utakatifu wa Maisha yetu... Siku isipite bila neno moja la baraka ama sala kwa ajili yao. Yaweza kuwa rahisi kuwa padre, lakini hakika wito huu unatisha lakini unavutia.
@MarselaMarselamlawa-fo5hl
@MarselaMarselamlawa-fo5hl 7 ай бұрын
Mungu awatunze awalinde mfikie malengo yenu
@samsonmwakikuti5318
@samsonmwakikuti5318 Жыл бұрын
Hosiana Mesiya
@bibianabenedict2459
@bibianabenedict2459 Жыл бұрын
Mungu awasimamie na kuwaongoza maflateri wetu waweze kutimiza ndoto zao za kumtumikia Mungu 🙏natamani moja wa uzao wangu nae afate njia hii
@cesilialucas2458
@cesilialucas2458 Жыл бұрын
Tuwaombee watoto wetu wito Makatifu
@theresamasanja9925
@theresamasanja9925 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana,,,mfike malengo na muwe wachungaji wema
@mamagodibabagodi9107
@mamagodibabagodi9107 5 ай бұрын
AMina
@josephinekwene20
@josephinekwene20 Жыл бұрын
Mungu awasaidie muweze kufika lengo lake kwa msaada wa Roho Mtakatifu
@lilianmnabwiru7074
@lilianmnabwiru7074 Жыл бұрын
Mungu awabariki na kuwaepusha na vishawishi
@ambrosethomas5922
@ambrosethomas5922 Жыл бұрын
Mungu awalinde jamani. Hazina ya kanisa
@jamesmboyi30
@jamesmboyi30 Жыл бұрын
Nawaombea daima ili muwe wafusi waaminifu wa Kristo Yesu. Amina
@GodfreyMtui-cu7uo
@GodfreyMtui-cu7uo 7 ай бұрын
Utukufu wa Mungu uwe juu yenu hongereni sana mafrater
@mamamtui4885
@mamamtui4885 Жыл бұрын
Kwa kweli wamenigusa hata mimi nimeabudu nyumbani kwangu
@veronicakauye2087
@veronicakauye2087 Жыл бұрын
Mungu awasimamie ili mfikie daraja takatifu
@tegemeajustice2602
@tegemeajustice2602 Жыл бұрын
Mungu apewe Sifa, nafurahi kusikia umeimbwa kama ulivyotungwa, Traditional. Ni mfano mzuri wa kutunza kazi za zamani kwa sifa na utukufu wa Mungu.
@rayanzachariah3037
@rayanzachariah3037 5 ай бұрын
Vyema sna
@salomewambui6493
@salomewambui6493 Жыл бұрын
Holy seminarians, I pray for you to be able to persevere to the end, may God preserve your VOCATION so that you may be able to serve Him.
@adamchavala5500
@adamchavala5500 Жыл бұрын
Mungu awabariki katika utumishi wenu
@jacobkilagalila-gu2mh
@jacobkilagalila-gu2mh 16 күн бұрын
If you watched twice this song we are together
@NotukeriaMapunda
@NotukeriaMapunda Ай бұрын
Wateule ni wachache
@samsonmwakikuti5318
@samsonmwakikuti5318 Жыл бұрын
Tuwatakie utume mwema!
@joycezumba4490
@joycezumba4490 Жыл бұрын
Nawatakia utime mwema,Mwenyezi Mungu awasaidie msikwame.
@joycezumba4490
@joycezumba4490 Жыл бұрын
Utume mwema.
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 Жыл бұрын
Amina amina amina
@PrivaKirango
@PrivaKirango Жыл бұрын
😊😊
@edwardpastory812
@edwardpastory812 2 ай бұрын
samahani, ninavyojua wanaoshika kofia na fimbo ya askofu ni watawa kuanzia mashemasi na mapadre, mafrateri na wengine chini ni lazima tuzibe mikono yetu kwa vitambaa. je kwa ninin frateri altareni pale naona kashika fimbo ya askofu kwa mikono mitupu?
@candidamuhanika8328
@candidamuhanika8328 Жыл бұрын
Ni unwell usuopingika kwamba ni vigumu wote kufikia upadre lakini malezi na makuzi wanayopata wakiwa seminary yanawafanya wengi wa wale ambao hawakufikia mwisho wawe raia wema na kuwa mfano mwema ndani ya jamii
@NotukeriaMapunda
@NotukeriaMapunda Ай бұрын
Hata wakishakuwa mapadre co tiketi ya kuona mbingu
@kibwetere1418
@kibwetere1418 Жыл бұрын
Utakuja kushangaa wengine wanaoa hapo
@sarafinafranci8481
@sarafinafranci8481 Жыл бұрын
Jambo la kawaida tu, ukiona hivyo hakuwa na wito kwahio usishangae.
@rumanyikajoe7038
@rumanyikajoe7038 Жыл бұрын
Kuoa siyo tatizo.Maana ndoa ni wito na moja ya sakramenti saba alizoziweka Yesu ili kuwatakasa watu wake
@rosemaryshayo7256
@rosemaryshayo7256 Жыл бұрын
Damu ya yesu iwafunike mfikie with wenu
@esterpius7423
@esterpius7423 10 ай бұрын
Mungu awatunze na kuwaongoza mukamtumikie daima
MEU IRMÃO FICOU FAMOSO
00:52
Matheus Kriwat
Рет қаралды 45 МЛН
Nutella bro sis family Challenge 😋
00:31
Mr. Clabik
Рет қаралды 9 МЛН
Children deceived dad #comedy
00:19
yuzvikii_family
Рет қаралды 8 МЛН
Tupeleke vipaji by Mgandu Vs Ee Mungu Baba by Kauki
4:21
Joseph Kinsi
Рет қаралды 17 М.
LIVE: MISA DOMINIKA 29 MWAKA A PAROKIA YA K/NDEGE - DODOMA
2:11:46
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 13 М.
Rafiki Aliyeshambuliwa Na Majambazi Kwa Kuzuia Sadaka | Rev. Dr. Eliona Kimaro
15:05