HECHE ASIMAMISHA MJI WA SIRARI , AMCHAMBUA WAITARA " SIONI ANASHINDIA WAPI HUYU ,APOKELEWA KISHUJAA

  Рет қаралды 48,516

MARA DIGITAL

MARA DIGITAL

8 күн бұрын

Пікірлер: 203
@GeraldNyasembe-q2d
@GeraldNyasembe-q2d 5 күн бұрын
Moja ya kipenzi changu Tanzania ❤❤❤❤❤❤ Heche wewe ni mwamba
@monicamwita7865
@monicamwita7865 3 күн бұрын
Mpenzi cha wote huyo. Najifunza mengi sana toka CDM
@goodlackriwa6728
@goodlackriwa6728 5 күн бұрын
🎉🎉 Akili kubwa Heche , Kweli ushindii ni wakoo ,
@charlessolomon5928
@charlessolomon5928 4 күн бұрын
Heche noma nakukubali saaaaana❤
@user-us5xl4zu3r
@user-us5xl4zu3r 4 күн бұрын
Mimi nipo Moro,lakini Heche nampenda sana.Anafaa sana mwamba.
@user-gp1hi7sw5k
@user-gp1hi7sw5k 5 күн бұрын
Heche nimwafirika muzalendo
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 5 күн бұрын
Heche Mungu akubariki sana una uwezo na unakubalika sana.Ee Mungu ibariki nchi yetu iwe na demokrasia safi na tume huru ya uchaguzi itakayotenda haki.
@erestizacharia4758
@erestizacharia4758 6 күн бұрын
Dah! Heche si subiri tena mwakani, huko mbali sana ngoja nivunje katiba nachukua fursa ya kukutangaza kuwa mbunge wa sirali kwa nyomi hiyo! Waitara basi bana.
@minazsaid2470
@minazsaid2470 6 күн бұрын
MashaAllah watu wameitika
@ElishaOisso
@ElishaOisso 5 күн бұрын
Waitara kayakanyaga, must go
@rogersiddy
@rogersiddy 6 күн бұрын
Tumbo tumbo alishalijua hili kitambo sana kuwa hili jimbo sio lake kbs sema plesha inampanda na kushuka anaogopa kulikosa jimbo asubuhi kweupeeee anajua mwanzo alipitishwa bila kupingwa sasaivi hofu imemtanda shubaamiti chezea Tarime wewe Heche ndo wanamuelewa li Waitawara hoi😂😂😂😂🙌
@monicamwita7865
@monicamwita7865 3 күн бұрын
Huyo mbinga wetu wa sàsa Jana turbo!!?? Acha uchawa, kufahamu na jitakafakari.
@AishaNdinadyo
@AishaNdinadyo 5 күн бұрын
Hatari kwa ccm
@DjJohnBashir-oy7cx
@DjJohnBashir-oy7cx 4 күн бұрын
Heche kichwa cha Sirari nakuelewaga kaka Heche
@JoyceMuhuli
@JoyceMuhuli 5 күн бұрын
Asante Heche kamanda mwaminifu 💪💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@barakanyanchama4297
@barakanyanchama4297 3 күн бұрын
Weitara arienda kusaini barua komarera wanaichi wakabomolewa miji ety anasema nitegesha hatumtaki waitara tarime hatabure aende kurima usukumani mupanga
@daudysanga8492
@daudysanga8492 12 сағат бұрын
Huyu jamaa kichwa sana huwa nafurahiaga sana uwepo wake
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 6 күн бұрын
Mtaukamata uraisi natabiri hii. Twendeni pamoja
@RutinikiGosbert
@RutinikiGosbert Күн бұрын
Safi sana Heche chuma
@barakakevela245
@barakakevela245 5 күн бұрын
SEMA HUWA NAKUELEWA SANA MWAMBA
@jeanbaraka1008
@jeanbaraka1008 5 күн бұрын
Mtu makini sana Defense minister wetu 2024-25 John Heche rafi pendwa wangu mtu mvumiluvu sana si msigwa.
@philipongenzatv
@philipongenzatv 5 күн бұрын
Ningeweza ccm wote unadumbukiza kwenye shimo tunaanza upwyaaaaa wanachosha aseeew
@monicamwita7865
@monicamwita7865 3 күн бұрын
Bila bado la mkono hawatoboi hata siku moja Wamezoea kuiba tu
@mc_turuka
@mc_turuka Күн бұрын
MH. RAIS AJAYE. MUNGU IBARIKI KAULI HII🙏
@FortinathaMvikule-cm1im
@FortinathaMvikule-cm1im 3 күн бұрын
Amina Bwana awe upande wako
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 5 күн бұрын
Ukigombea uraisi kurayangu unayo
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 4 күн бұрын
Heche unastaili kuwa hata raisi wa Tanganyika kwa sababu nawafahamu wewe unasema kilicho moyoni hujifanyi kama Waitara.
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 3 күн бұрын
Chadema imejiandaa kuchukua nchi.ina ahadi za kweli.walimu,mapolisi na wananchi wote watafaidika na matunda ya serikali
@MuhojaMalicho
@MuhojaMalicho 5 күн бұрын
❤❤❤❤❤ mkomboz wetu
@leokamil6284
@leokamil6284 6 күн бұрын
Tanzania nzima tujaribu wengine tuone watawezeshaje nchi na Rasilimali zetu kabla hatujachelewa .Tusiwe wajinga wa kuendelea
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 5 күн бұрын
Rasilimali zinaenda kuisha. Maskini Tanzania mtakuwa mgeni wa nani???
@leokamil6284
@leokamil6284 5 күн бұрын
@@adelinelyaruu3036 Na bado watu wamelala fofofo hata hawaoneshi dalili ya kuamka.
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 4 күн бұрын
Ni huzuni raslimali zinayeyuka
@user-hb3ip9it2j
@user-hb3ip9it2j 4 күн бұрын
Tuko pamoja mpaka tone la mwisho baba heche
@furaha7154
@furaha7154 5 күн бұрын
Saf sana heche
@KamwandaNzowa-eo4ur
@KamwandaNzowa-eo4ur 4 күн бұрын
Mh, Heche Mungu asimama na wewe baba ili mweza kututowa katika lindi hili kubwa la umasikini uliokidhili
@clemencemarcelli3365
@clemencemarcelli3365 5 күн бұрын
Hongera Heche
@davidchihimba9489
@davidchihimba9489 3 күн бұрын
Nimefurahi sana sijawahi furahi kiasi hiki Heche tupo pamoja ccm ni mapumbavu wote mambwa
@robertphilip385
@robertphilip385 6 күн бұрын
Tata nakukubali mura
@PeterNMzee
@PeterNMzee 5 сағат бұрын
Kutoka Arusha hapa... Heche ni akili Kubwa
@alexmnogi1822
@alexmnogi1822 5 күн бұрын
Sjawah kujutia uwezo wako mkubwa brooo...nataman hata uwe kiongoz wa taifa hili skumoja ...akili kubwa sna 🎉
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 6 күн бұрын
Nyomiiiiii hatari
@danielkanso
@danielkanso 3 күн бұрын
Umeona ee kuna mkutano ilifanyika hapa dar es salaam wa chama cha kijani tulichokuwa tunaulizana magari yalikuwa yame jaza watoto je yanaenda wapi watu wengine wakajibu leo kuna mkutano wa watu wa kijani duu
@DjJohnBashir-oy7cx
@DjJohnBashir-oy7cx 4 күн бұрын
Ukiwa bungeni mawayako yamekwenda shule
@DjJohnBashir-oy7cx
@DjJohnBashir-oy7cx 4 күн бұрын
Heche Huwa nakuelewaga sana hasa kwenye hoja ukiwa bungeni
@danielkanso
@danielkanso 3 күн бұрын
Hii imekaa sawa hivi ni Heche mwenyewe au maana juzi niliona madudu mahali watoto wanasombwa na coaster wakipelekwa kwenye mkutano wa kijani ili kujaza uwanja heche tuambie bwana hapo umepigaje
@charlessolomon5928
@charlessolomon5928 4 күн бұрын
Heche I love you
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 5 күн бұрын
Kelele ya kwanza kwa heche yakeee
@davidchihimba9489
@davidchihimba9489 3 күн бұрын
Waitara ni mama wa ccm mpumbavu mmoja hivi anaeloalia hovyo
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 13 сағат бұрын
Hapo Mbowe hayupo, lakini jamaa kajaza nyomi
@hssanrubota3891
@hssanrubota3891 5 күн бұрын
Safi sana
@charlesmnuo3292
@charlesmnuo3292 5 күн бұрын
Nikweli mjini umesimama
@ElibarikiMbando
@ElibarikiMbando 3 күн бұрын
nakuombea sana heche urudi mjengoni
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 5 күн бұрын
Heche noma
@NancyMatuli-fb5jp
@NancyMatuli-fb5jp 3 күн бұрын
Mungu akusaidue heche wewe ndo mtetezi wao
@HenryCastuli-jz3cx
@HenryCastuli-jz3cx 5 күн бұрын
Heche hongera pambana sana wananchi wako wanakuelewa
@pastorybahinyuye4876
@pastorybahinyuye4876 2 күн бұрын
Heche anafaa kuwa hata Rais
@rogersiddy
@rogersiddy 6 күн бұрын
Kweli Heche ameshinikana Tarime😂😂🙌
@user-mo3ik6go6r
@user-mo3ik6go6r 4 күн бұрын
Mchimbi mpe huyu
@LucasKagoma
@LucasKagoma 2 күн бұрын
Viongozi wa ccm wamewekeza kwenye hospitali za selikali wanafanya biashara za dawa kuwaumiza watanzania
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 3 күн бұрын
Heko kamanda Heche!!
@wilsonandlea8614
@wilsonandlea8614 5 күн бұрын
Pamoja
@IssackJoseph-w2h
@IssackJoseph-w2h 4 күн бұрын
Mmmmmh, Sasa hiyo tarime ingekuwa ndio nchi ya Tanzania wananchi wangekuwa na maisha gani? Huwezi kufananisha nchi inayolingana na mkoa mmoja
@lgf7297
@lgf7297 5 күн бұрын
Mmmmmhhhhh ipo kazi
@davidchihimba9489
@davidchihimba9489 3 күн бұрын
Tutawapiga mawe hao maccm majinga
@barakanyanchama4297
@barakanyanchama4297 3 күн бұрын
Heche 2025 ninuru yasirari tarime wana sirari msije mkamuangusha
@ObediKinkusha-gq8fw
@ObediKinkusha-gq8fw 2 күн бұрын
Cvm waibe kura tu kama kawaida yao ila mbunge ni heche
@hadijasufiani6167
@hadijasufiani6167 5 күн бұрын
Hongera mwamba heche upo vizuri
@user-ms6wc7ug6w
@user-ms6wc7ug6w 3 күн бұрын
JOHN HECHE NI MBUNGE TENA
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c 5 күн бұрын
Hecheeeee safiiii waitara mh hana lake ushaur wakat mwngne watu wa saund wajitahd tusikie vzr
@HassanMshamu
@HassanMshamu 4 күн бұрын
Pambana mwamba
@chaba_boy_tz7287
@chaba_boy_tz7287 4 күн бұрын
Heche mungu azidi kukupa nguvu na afya tele
@leokamil6284
@leokamil6284 6 күн бұрын
🎉
@user-hb3ip9it2j
@user-hb3ip9it2j 4 күн бұрын
✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
@paulojohn9608
@paulojohn9608 5 күн бұрын
huyu ndo heche mnamkubali sana
@MnicoMnanka
@MnicoMnanka 3 күн бұрын
Binafsi murah ninakukubali sana
@MussaBundala-yg8nw
@MussaBundala-yg8nw 4 күн бұрын
Heche mmoja anaongea heche mwingine anahamasisha watu kushangilia sasa ni yupo aliye wa uhalisia na tukio hili?
@user-md7sd3hk6l
@user-md7sd3hk6l 6 сағат бұрын
naku penda sana eche mwamba
@Focusm-se2sd
@Focusm-se2sd 5 күн бұрын
Nakukubali sana mkuu sijawahi pitwa na klip zako
@admaumsengi4230
@admaumsengi4230 5 күн бұрын
Chuma hicho
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 6 күн бұрын
Dawa nyingi zimeibiwa kutoka kwetu na hizi za kienyeji na zikaibwa na waeneza dini wakazifanya za kisasa na kuja kutuuzia tena. Na za wasukuma zipo hapo. Tuzijenge za kwetu. Tunaweza.
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 5 күн бұрын
Kwa utawala upi wa Africa?.sisi hûwa tunaishia kupeana vikombe na kusema fulani ana akili. Hûwa hatujitambui kwa hizo dawa ni uchumi. Vipofu ni wengi mno Africa tumewapa uongozi.
@francissimwinga-gb2vd
@francissimwinga-gb2vd 4 күн бұрын
Kamanda John heche hapo hamna wasanii mpo nyie wajinga mnaosema ccm imewalea ni kuwatukana wazazi walio kuzaa kusema ccm imekulea na wazazi walikuwa wanafanya kazi gani sisi ndio tumeilea ccm Toka 1960
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 6 күн бұрын
Sirali hoyee
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 4 күн бұрын
Kweli Mwenye kibali ni Kama jua la asubuhi popote
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn 5 күн бұрын
Nakumbuka mbunge Waitara aliwahi kulia bungeni na kwa vyombo vya habari akitetea wananchi wake kuhusu mgogoro wa mipaka/ardhi kwa wananchi wake. Nilisimama nikampa saluti. Na nikamuorodhesha kwenye ile orodha yangu maarufu ya wanamapinduzi duniani kanda ya tanzania. Mara wakati wa sakata la uuzwaji wa bandari zetu, mbunge Heche akaanza kwa kutoka povu kwa uchawa, kama vile haitoshi papo hapo akalia kilio kikali kutetea uuzwaji wa bandari zetu na akamalizia kwa jasho jingi akisema, "naunga mkono bandari wakabidhiwe waarabu!" Balaa! Papo bapo nikamtoa kwenye ile orodha yangu ya wanamapinduzi na sasahivi ananing'nia katika orodha ya wapinga mapinduzi!
@raymondnlelwa427
@raymondnlelwa427 5 күн бұрын
Ila huu ujumbe wako Kuna mahali umemtaja Heche wakati ulitakiwa umseme Waitara. Hebu cheki!!
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn 4 күн бұрын
Kweli kabisa Raymond. Na asante sana kwa kuona kuteleza kwangu na kutafsiri vizuri kabisa kwamba badala ya kumtaja Waitara katika comment yangu nikamtaja Comrade Heche. Nasahihisha. Pale nilipomtaja Heche katika comment yangu futa jina Heche weka Waitara mbunge. Na ninaomba radhi kwa usumbufu unaoweza kuwa umejitokeza kwa wafuatiliaji/wanamtamdao comments na pia kwa comrade Heche. Nasema, Comde Heche yupo orodha yangu maarufu ya wanamapinduzi na mbunge Waitara ndiye aliyetoa povu na jasho bungeni kuunga mkono bandari wakabidhiwe waarabu. Na palepale nami nikamtoa kundi la wanamapinduzi na kwa sasa ananing'inia katika orodha ya wapinga mapinduzi kanda ya Tanzania ikiongozwa (top on the list) braza mkubwa kabisa mhe. Steave Wasira.
@monicamwita7865
@monicamwita7865 3 күн бұрын
Imekula kwake
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 6 күн бұрын
WAITARA KAZI ANAYO MMMMMH
@rogersiddy
@rogersiddy 6 күн бұрын
Sio ndogo sasaivi plesha inampanda nakushuka kama atapitishwa bila kupingwa sawa lkn hapo atapigwa kura nyingi sanaaaa😂😂
@monicamwita7865
@monicamwita7865 3 күн бұрын
Atakoma. Barbara ya Nyamongo ni mbovu sana
@JosephMuhenga-x8p
@JosephMuhenga-x8p 5 күн бұрын
😂😂😂public engagement
@user-bg8zz5vw5v
@user-bg8zz5vw5v 5 күн бұрын
Ccm watuambie rasimali za tanzania zote walizo tapanya tumenufaika nann mbona umaskin ndio umezidi wangalie warabu wana mafuta na ges mbona nchi zao zimeendelea sisi nimaskin wakutupa.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 5 күн бұрын
It's purely a matter of leadership
@philipongenzatv
@philipongenzatv 5 күн бұрын
Waitara ludi ubungo Mama hakusaidiii Magufuli aliwasaidia ludi Dar
@DjJohnBashir-oy7cx
@DjJohnBashir-oy7cx 4 күн бұрын
Heche kichwa cha Silali
@user-pv2jh5wb1o
@user-pv2jh5wb1o 3 күн бұрын
Mbowe rais
@fulgenceoswald3866
@fulgenceoswald3866 5 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥
@JosephMuhenga-x8p
@JosephMuhenga-x8p 5 күн бұрын
😂😂😂public engagement 9:
@user-oy5dz5xl8s
@user-oy5dz5xl8s 5 күн бұрын
Ccm jana wametangaza idadi ya wanachama yao 10'000'000
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 5 күн бұрын
Namba za kasi za vyama.zingekuwa tin za kodi mambo yangekuwa vizuri
@user-bx3ko9ft5t
@user-bx3ko9ft5t 5 күн бұрын
Duuuu cdm mmetisha
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 5 күн бұрын
Ujinga mtupu misukule ninyi! Uwe sauti ya watz ww mamae kabisa ww
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 5 күн бұрын
Umetumwa ww sio bure
@user-ed4px7oz5l
@user-ed4px7oz5l 3 күн бұрын
Heche 10 Tanzania inch ingenyooka
@wirangamochemba7063
@wirangamochemba7063 4 күн бұрын
Niko wilaya jirani serengeti ila kama itawezekana nitajiandikishia tarime heche ni mwanga wa tanzania Mungu akushikilie
@jeanbaraka1008
@jeanbaraka1008 5 күн бұрын
Mbona Honorable HECHE hajawayi kuwa mkuu wa kanda? na yuko tu mjumbe kamati kuu, na anabaki consta
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 4 күн бұрын
Si mchumia tumbo kama Msigwa
@stevenjackson4985
@stevenjackson4985 4 күн бұрын
Magufuli alijitoa kulinda rasilmali za nchi mkampinga
@monicamwita7865
@monicamwita7865 3 күн бұрын
Nani aliyechoma? Filipina bunge chama kimojo
@GeraldNyasembe-q2d
@GeraldNyasembe-q2d 3 күн бұрын
@@stevenjackson4985 makufuli alileta maneno bila katiba ndo maana bandari ni ya warabu wamasahi Awana kwao Tena acha kukalilishwa
@jaccobojaccobo748
@jaccobojaccobo748 4 күн бұрын
Iv waitara Kona hii?
@gililwise
@gililwise 5 күн бұрын
Waitara bye bye😢😢.Juzi wazee walikutema. 😊
@emmanuelymganga5737
@emmanuelymganga5737 5 күн бұрын
🔥🔥🔥✌️👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@daudimchileg307
@daudimchileg307 5 күн бұрын
Mmmh unaweza kaka
@officialentertainment1995
@officialentertainment1995 4 күн бұрын
Hakuna kitu hapo wewe fara tu
@monicamwita7865
@monicamwita7865 3 күн бұрын
Kama wewe chawa wa kijani usiyejitambua
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 5 күн бұрын
Yaani 2025 patachimbika udhaifu wa bunge tumeuona rasilimali zinauzwa Hawa wajinga eti ni wabungu wanapiga makofi
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y 5 күн бұрын
Ukwel usio pingingika
@GodwineMuchunguzi
@GodwineMuchunguzi 5 күн бұрын
🎉🎉mulipo tupooo
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 40 МЛН
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 25 МЛН
MZEE SAID: WACHEZAJI WALINDWE | MSIMU UJAO VIKOMBE | AZIZ KI KABAKI?
24:46