MAGOTI ASIMULIA RAIS SAMIA ANAVYOKESHA NA MAFAILI IKULU, ALA KIAPO "RAIS HALALI SISI TUNALALAJE?"

  Рет қаралды 27,880

Millard Ayo

Millard Ayo

Ай бұрын

Пікірлер: 79
@user-ey1yp6jk7g
@user-ey1yp6jk7g Ай бұрын
School met wangu Mh Magoti kwa sasa Mungu akusimamie katika kazi zako na hakika atabariki kazi ya mikono yako.School met wenzio wa Secondary wanakuombea. Twende kazi.
@kimchi-91
@kimchi-91 Ай бұрын
Mh.Magoti yuko smart sana ,2035 tempe urais wa Tanzania 🇹🇿
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Ай бұрын
Safi sana Speech imetulia sana. Simfahamu ila nimemkubali hapa hapa tu. Ila ipo siku nitakutana naye Mimi niko Kigoma Mjini.
@user-fj5qu1qy4u
@user-fj5qu1qy4u Ай бұрын
DC magoti HONGERA sana mwenyezi mungu akuongezee hekma na busara akutangulie katika majukum Yako Amina
@ashrafrushaka2358
@ashrafrushaka2358 Ай бұрын
Nskskskskdk
@JumaMatiko-zp5nm
@JumaMatiko-zp5nm Ай бұрын
Good speech.Hakika Mh.rais wetu amefanya vizuri kukuteua kaka wasaidie wananchi wetu hiyo ni imaani tosha kwetu wananchi na Mhe.@Samia Suluhu Hasani Rais.
@user-bp7nb7yp2o
@user-bp7nb7yp2o Ай бұрын
Kaka big up umenigusa sana.maneno yk yaliflec
@user-dy8ss4ly8z
@user-dy8ss4ly8z Ай бұрын
Hongera kwa speech nzur
@darweshk7342
@darweshk7342 Ай бұрын
Mate km mate big up sn😊
@RenatusSylivester
@RenatusSylivester Ай бұрын
Mungu akusaidie ndg
@hassanngayaga3202
@hassanngayaga3202 Ай бұрын
Big up
@mgulusaidkiyanga
@mgulusaidkiyanga Ай бұрын
Mungu akuongoze kaka nimeanza kukujua kipindi cha magufuli hongela sanaaaa mama samia
@FelisterNdoghwe
@FelisterNdoghwe Ай бұрын
Ni sawa Rais akifanya kazi Kwa bidii.
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 Ай бұрын
Magoti ni kiongozi Nawaombea sana
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 Ай бұрын
Mmh!!!
@dayana5513story
@dayana5513story Ай бұрын
Mungu akamtangulie katika kaz yake
@jifunzehapa8643
@jifunzehapa8643 Ай бұрын
Ukisikiliza speech ya magoti na maneno yake utamkumbuka Magufuri
@jifunzehapa8643
@jifunzehapa8643 Ай бұрын
Huyu jamaa anaongea kama magufuri
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Wewe ni mchwa mkubwa sana wala hutafika katika mauchawa kama haya. Masindikiza kunyanyasa wamasai na kumaluza ardhi ya Tanganyika kwa warabu.
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 Ай бұрын
Acha uchoko wewe
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Ай бұрын
We ni msenge sana eti wamasai
@user-gh2xf6st6q
@user-gh2xf6st6q Ай бұрын
Mtu wamanaa kabisaa
@user-rk9gr9yf3i
@user-rk9gr9yf3i Ай бұрын
Uwe kama Makonda au kama Jerry Slaa hapo hapo tutakufahamu mchapa kazi sio maneno mengi vitendo hamna
@user-mq4yq6rw1w
@user-mq4yq6rw1w Ай бұрын
Hongera sana Kaka magoti mwanayanga mwenzetu.
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir Ай бұрын
Sasa utopolo inaingiaje hapo? Punguza kuwehuk kiakili.
@user-mq4yq6rw1w
@user-mq4yq6rw1w Ай бұрын
@@MilloWamilonga-ft8ir acha kutukana huu ukweli nitakutrack changia cio matusi
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir Ай бұрын
@@user-mq4yq6rw1w kwenda zako wewe shoga uliyepuvuka, kuma ya kibuyu zwazwa wewe
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir Ай бұрын
@@user-mq4yq6rw1w halafu wewe shoga la kikenya unachangia kitu gani humu wewe pimbi
@apollokwilabya7682
@apollokwilabya7682 Ай бұрын
Sina uhakika na comment ya kuwa anakesha akisoma mafile, that need to be confirmed 😮
@kajugaa4537
@kajugaa4537 Ай бұрын
Huyu alikuwa Ikulu ndo alikuwa anamwandikia Rais speach kwa hiyo razima awe na hotuba nzuri
@WinifridaMaduga-su1jt
@WinifridaMaduga-su1jt Ай бұрын
Mmmh
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 Ай бұрын
Mhmmm kuamini ni ngumu kwa sababu unayoyatamka ni tofauti na yanayoonekana kwa wananchi yamkini Rais yupo sawa je nyie mnaomzunguka mnamsaidia? Mbona mnaiba sana? Report ya CAG kuna upotevu wa mabilion wamepiga lakini hawachukuliwi hatua
@judyngowi391
@judyngowi391 Ай бұрын
Mbona mkateua marehemu sasa kama mnakesha
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Kutuuza ndiyo kunamfanya kukosa usingizi siku moja the story will be retold
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 Ай бұрын
Ukimnyooshea Samia kidole kimoja Vincent vinakuelekea wewe mwenyewe! Mind me! Kila mchimba shimo hutumbukia mwenyewe! TUNASIMAMA NA MAMA!❤❤❤
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 Ай бұрын
Violence vinne! Sorry!
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 Ай бұрын
Acha umalaya
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 Ай бұрын
Umeuzwaaaa nani kakununuaaa !???? Kichaaa kweli mpka uuzwe ulikua wapiii!??
@joshuasamson9618
@joshuasamson9618 Ай бұрын
​@@dorothmsuya1686Huyo ni mama yako been getting kweli
@gregory6165
@gregory6165 Ай бұрын
yuko online kama anachat je? we uliasume yupo online anafanya kazi?
@claveryrwego7550
@claveryrwego7550 Ай бұрын
NChi yetu chini MAMA SAMIA RAIS WETU MPENDWA ITAFANIKIWA SANA KIMAENDELEO TUMUAMINI NA MITAMO TENA NI MAMA YEYE NI CHAGUO LA MWENYEZI MUNGU IKIBIDI TUBADILI KATIBA AONGOZE MIAKA ISHIRINI MWENYEZI MUNGU MLINDE RAIS WETU MAMA SAMIA.
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 Ай бұрын
Inaleta maana sana kama unacho ongea umekifanyia utafiti.Wewe unayesema Rais kauza nchi kwa Waarabu, unaudhibitisho? Kama huoni maendeleo uanayofanyika inawezekana hauko sawa kichwani. Mashule,barabara,hospital,madaraja,ndege,meli sgr na mengine mengi. Tunajivunia uongozi wa rais wetu na waliomtangulia
@malickmgongolwa6978
@malickmgongolwa6978 Ай бұрын
😅
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 Ай бұрын
Magoti piga kazi.
@AminaKova-ig3mi
@AminaKova-ig3mi Ай бұрын
Mkuu wa mkoa vipi ameruhusu pwani kubomolewa kote so sad🤨
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 Ай бұрын
Usilo lijua litakusumbua. RC hana UWEZO wa KURUHUSU Pwani KUBOMOLEWA
@AminaKova-ig3mi
@AminaKova-ig3mi Ай бұрын
@@sskondopoleani9616 acha kabisa kusema iivo mimi nimiongoni mwa nyumba yangu niloimlza january hii na imebolewa mwezi huu ni majonzi mengi ninayo nalia sanaaa
@joshuasamson9618
@joshuasamson9618 Ай бұрын
magoti muongo sana Anakeshaje na mafaili huyo mke wa mtu Ana mme wake Aache uongo wake ni muongo
@user-mq4yq6rw1w
@user-mq4yq6rw1w Ай бұрын
Unatakaje ?
@joshuasamson9618
@joshuasamson9618 Ай бұрын
@@user-mq4yq6rw1w ukiwa CCM akili inaoza mapema Uongo mtupu umetawala watu CCM
@mugishamajeba9628
@mugishamajeba9628 Ай бұрын
😂😂😂😂😅😅
@nkwabidonald4277
@nkwabidonald4277 Ай бұрын
Mmh
@matthewmichaelsylvester5612
@matthewmichaelsylvester5612 Ай бұрын
mtu makin
@kainimlowe9646
@kainimlowe9646 Ай бұрын
Haya bwana magoti
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Ай бұрын
AMEEN ❤
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Ай бұрын
Magoti piga KAZI
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 Ай бұрын
Hivi hii mitaara yetu ya elimu ina tija katika taifa retu kwanini tusi ige nchi zinazo enderea zenye mitaara bora za kujiari na kuajiriwa hio ndio itakua nzuri rakini mitaara yetu ni A kuajiriwa sio A kujiari bado sana
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari Ай бұрын
Inaanzia mbali hii nchi ilikuaga ya kijamaa kwa miaka mingi sana na hata ilipotoka kwenye ujamaa ni kama ililazimishwa ndo maana mtu huamini kuajiriwa tena serikalini ni heshma na jambo la ushindi bila kuangalia atalipwa mshahara bei gani na akistaafu angojee mafao ya kikotoo ambayo miaka the thelasini ya utumishi unapewa milioni sabini ulijiriwa ukiwa kijana unatoka mzee unakuta hukubaliani na kustaafu unaishia kupata kiharusi na kisukari kwa mawazo maana unabaini muda ulienda hela ndogo unajiingiza kwenye biashara Mara uibiwe ndo mana tz hakuna mstaafu mwenye furaha ni wachache mnoo ustaafu ni umaskini ndo mana mizee kama mkuchika hadi Leo inapambana kukaa kazini ivyo ni kubadili mitazamo kwanza ili vitu viwe tofauti
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 Ай бұрын
And ikawe basi vizuri! Mitaara ndio nini!??
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 Ай бұрын
Andika vizuri ueleweke! Mitaala sio mitaara bwana!
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 Ай бұрын
@@dorothmsuya1686 SI umerewa ukiandika vzr chawa
@lusakaone7782
@lusakaone7782 Ай бұрын
Unakusudia nn unaposema kiongozi wa chama, hii nchi ni ya vyama vingi vipo kisheria, nao wanastahiki pia
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Ай бұрын
Hakuna vyama ni CCM tu wengine ni takataka tu
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 Ай бұрын
hayo hayatuusu raisi halali sababu anawaza kupiga dili
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Ай бұрын
Anapiga dili na mama yako msenge wewe
@user-mq4yq6rw1w
@user-mq4yq6rw1w Ай бұрын
@@halimamasai2234 kweli kabisa kwani lazima achangie?anapiga dili kivipi ?umejua kumjibu hy.
@matukutajuma156
@matukutajuma156 Ай бұрын
HIVI NI KWELI MH RAIS HAJAFANYA JEMA HATA MOJA?? TUWE WAKWELI JAMANI,!
@user-jc8el6je5e
@user-jc8el6je5e Ай бұрын
Mafaili yanajaa kwasababu raisi anasafiri Sana njee.
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Ай бұрын
Ulitaka usafiri wewe punguza chuki za kisenge fala wewe
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 Ай бұрын
Milimlaumu Magu kua hasafiri anajitenga kimataifa! Leo mama anajichanganya duniani mshaanza ooo! anasfiri sana! Watanzania kwa maneno! SHIKAMOONI
@user-dy8ss4ly8z
@user-dy8ss4ly8z Ай бұрын
Hujapata nafasi tu ht ungekuw wewe ungesafiri tu nani hapendi raha
@josephlorri431
@josephlorri431 Ай бұрын
'Itifaki na protocols', nielewesheni
@mizumo6935
@mizumo6935 Ай бұрын
Usalama hao
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 60 МЛН
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 10 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 7 МЛН
TAZAMA SHOW YA ELIUD MBEYA, (PART 2)
13:55
Eliud Samwel
Рет қаралды 108 М.
PROF JANABI AMSANUA MAKONDA KUHUSU HUDUMA YA KUSHUSHA KORODANI,.
9:25
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 60 МЛН