DUH! MUME Amkana MKE WAKE MBELE ya MAKONDA, MKE AANGUA KILIO "SIKO TAYARI KUISHI NA HUYU MWANAMKE"

  Рет қаралды 216,840

Wasafi Media

Wasafi Media

2 ай бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 574
@mossesmichaelnzowa3378
@mossesmichaelnzowa3378 2 ай бұрын
Hii nimeipenda imekaa vizuri sana na Mh. Makonda MUNGU akuinue.
@nathalieswedy3653
@nathalieswedy3653 2 ай бұрын
I wish siku moja uwe rais my kaka
@suzanbegas4139
@suzanbegas4139 2 ай бұрын
Dah! Hata mm Nataman Iwe Ivyo
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 2 ай бұрын
Pole saana mwanamke mwenzangu mitihani tumeumbiwa sisi Mungu akufanyie wepesi kipenzi 😢😢
@zabibuhazary6986
@zabibuhazary6986 2 ай бұрын
Masha'Allah Mheshimiwa Makonda maua yako huna haya❤❤❤
@AbuuSudais-wf6ns
@AbuuSudais-wf6ns 2 ай бұрын
Huyu kajifunza kitu Kwa magufuli, makonda for president
@RoseMollel-wo3ls
@RoseMollel-wo3ls Ай бұрын
Kabsa yaan
@kurumwagodfrey7052
@kurumwagodfrey7052 2 ай бұрын
Na alaaaniwe yeyote anaemchukia makonda
@DEBORAHMASANJA-yz3go
@DEBORAHMASANJA-yz3go 2 ай бұрын
Pop yes
@elizabethmalenga5221
@elizabethmalenga5221 Ай бұрын
Amin.
@issambarak8931
@issambarak8931 2 ай бұрын
Anaemchukia makonda alaamiwe jamani, makonda mungu akulinde na hasadi zote
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 2 ай бұрын
Aisee huyu Mwamba kwakweli Mungu amlinde, Mh Makonda anakila sababu za kupendwa na wananchi. Daaaah mama yetu akuongezee cheo wallah
@judiajudia3796
@judiajudia3796 2 ай бұрын
baba kayatimba aswaaaah
@user-we3mp7be4c
@user-we3mp7be4c 2 ай бұрын
Afisa ustawi hayupo huyo arudi darasani
@zacharialughano3541
@zacharialughano3541 2 ай бұрын
Mmh😢😂😢😂
@user-my4dr5oq6v
@user-my4dr5oq6v 2 ай бұрын
Cjaona chochote
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 2 ай бұрын
@@user-my4dr5oq6v utaonaje na ww una wivu wa kichawi, fitina nyingi, husda kwa sana. Wale wenye husda mtabaki hivyo hivyo mnampango na shetani
@user-jz6wu1ed1h
@user-jz6wu1ed1h 2 ай бұрын
Makonda wewe ni mtumishi wa Mungu, sifa na utukufu zikurudie wew Mungu wetu
@user-pq2sq7ov8w
@user-pq2sq7ov8w 2 ай бұрын
Huwa natafuta kibaya Cha nakonda sikion hata kidogo lakn watu wengne hawampendi najiuliza wanachomchukia kakangu Kaka Mungu anakupenda fanya kazi Kaka tuko nyuma yako tunakuombea
@vickytango5591
@vickytango5591 2 ай бұрын
Mhe. MAKONDA wenye roho km hiyo ni wachache mno umewekeza duniani na mbinguni Mungu awe nawe jembe la kazi mema yakufuate popote uwe miaka mingi yenye amani teeeeeeeeeeele mnakupenda sana kakangu mzuri
@user-vt4vd5rh8u
@user-vt4vd5rh8u 2 ай бұрын
Natamani uyu baba aje kuwa rais wa nchi jamani ni mwamuzi mzuri sana Mungu akulinde mheshimiwa
@khadjamhozya
@khadjamhozya 2 ай бұрын
Nchi sizani Kama atapewa
@joycehaule9717
@joycehaule9717 2 ай бұрын
Makonda nakupenda kaka barikiwa mnoooo YESU NI MKUU SANA ANAKUPIGANIA SANA
@suleimanbalemba3348
@suleimanbalemba3348 2 ай бұрын
Makonda umeongea point mtoto atakiwi kujua mambo ya wazazi wake
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 2 ай бұрын
Dume Zima limeona aibu sasa mdada wa watu kapata lak 8 kweli Mwenyez Mungu akikupa kilema hakunyimi mwendo
@AmaniJoseph-ij2id
@AmaniJoseph-ij2id 2 ай бұрын
AMINI NA KUMBUKA MANENO YANGU SIKU MOJA UTAKUJA KUWA RAIS WA NCHI HII AMEN
@EvangelistMiriamIdarus
@EvangelistMiriamIdarus 2 ай бұрын
100%🎉🎉🎉🎉
@EvangelistMiriamIdarus
@EvangelistMiriamIdarus 2 ай бұрын
100%🎉🎉🎉🎉
@BeatriceMuhomi-cz9cr
@BeatriceMuhomi-cz9cr Ай бұрын
Aameen🙏
@jokhajj
@jokhajj Ай бұрын
Amen
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 2 ай бұрын
Mwenyez mungu akulinde makonda mwenyezi mungu atakulinda wewe na familia yako
@user-ve3wu5jn1l
@user-ve3wu5jn1l Ай бұрын
Mheshimiwa Makonda pole sana una kazi kubwa sana . Pole sana Mwenyezi Mungu akusimamie
@RuthRobert-vb8vz
@RuthRobert-vb8vz 2 ай бұрын
Makonda umepewa kibari na mungu hii ndiyi ngao yako lsaya 54_17
@user-ie5on4xy9o
@user-ie5on4xy9o 2 ай бұрын
Kaka Makonda nakupenda sana Mungu akutunze
@VolvoMwamakula-ci2we
@VolvoMwamakula-ci2we 2 ай бұрын
Makonda uyo jamaa hamna kitu mchunguzeni iyo kz kapewa na mjomba yake hana taaluma yoyote
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 2 ай бұрын
Achunguzwe nini Sheria aijaweka wazi nenda kule dawati la jinsia uone kwa nini saiz wanawake awakimbilii huko maelezo anaweza kuambulia elfu hamsini kwa mwezi mzima kama hauna kipatoa sahihi kwa kila siku elewa sawa
@mcutanorsonvanwillson2991
@mcutanorsonvanwillson2991 Ай бұрын
Sasa ndo angetoa maelezo hayo,,anajikanyaga sana anashindwa kuongea kama kiongozi​@@rabsonchisumo6640
@joycehaule9717
@joycehaule9717 2 ай бұрын
Makonda wewe ni mtumishi wa Mungu aliye HAI kweli kweli
@AbshirMubaarack
@AbshirMubaarack 2 ай бұрын
Mheshimiwa Makonda nafurahia sana jnc uongozi wako ulivyo kwa kuckiliza kero za wananchi na kujarb kuzitatua.Ila naomba sn kiongozi, wananchi hawa waekewe ulinzi, maan kuna watu hawapendi kufichuliwa mabaya yao,wataweka kisasii daimaa.
@menelus911mene5
@menelus911mene5 2 ай бұрын
Duh!!!!! Mh Makonda wewe ni wa mungu tuuu Rais wangu mungu akupe Afya njema na akubariki sana Insha Allah
@LailaLaila-kg2qd
@LailaLaila-kg2qd 2 ай бұрын
Mashaallah kakaangu makonda Mungu akubariki sana ❤❤❤❤❤
@ValenceKazoba
@ValenceKazoba 2 ай бұрын
Mungu akulinde Makonda pia pambana sana
@aryanamendes8700
@aryanamendes8700 2 ай бұрын
Makonda kwenye hili na pongeza mno ubarikiwe mara mbili ya hili
@emmanuelbirindwahabamungu5715
@emmanuelbirindwahabamungu5715 20 күн бұрын
Roho ya Magufuli ime hama kwako baba Mungu akupe maisha marefu aku ongezeye miaka mingi duniani.
@AsteriaLushanga
@AsteriaLushanga 2 ай бұрын
Mungu akutunze Makonda uwe na roho ya hekima zaidi
@arya-star53
@arya-star53 Ай бұрын
Yani sijui nisemaje,nakupenda sana Kaka makonda Mungu akujaalie umri mrefu ili uendelee kuyatimiza yaliyomo makusudi yake kwa wanatanzania
@user-gp2ue2ny6n
@user-gp2ue2ny6n 2 ай бұрын
Makonda the best leader🎉
@chikusangalala7759
@chikusangalala7759 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@fatmaabeid9668
@fatmaabeid9668 2 ай бұрын
Mungu amlinde makonda 👏👏👏👏
@user-pf2cf4hp6w
@user-pf2cf4hp6w 2 ай бұрын
Sema hamjui tuu uwezi jua jamaa anapitia nn siku wanaume tukisema tutoke tueleze mambo tunayopitia kwa wake zetuu watu watatukataaa
@user-dq9lf3vp8m
@user-dq9lf3vp8m 2 ай бұрын
Hiyo kweli kabisa, jama kaongee alipopata matatizo mwanamke alimkimbia
@user-ir5mc7vk8b
@user-ir5mc7vk8b 2 ай бұрын
Umejuaje wanaume wanisili Sana
@davidsika5292
@davidsika5292 2 ай бұрын
Huwezi kushindana na mwanamke akijitetea hasa akiwa public
@HadjiMbugi
@HadjiMbugi 2 ай бұрын
Kabisa aiseeh ukiona mwanaume amefika mwisho Kuna jambo
@wamburasungura6812
@wamburasungura6812 Ай бұрын
@@davidsika5292 basi achana na mkeo tunza mtoto wako kaka
@joycehaule9717
@joycehaule9717 2 ай бұрын
Wanawake wa arusha wazurii wanaume wao km chokoraa khaa
@idinado-wk3lx
@idinado-wk3lx 2 ай бұрын
Kumbe nawe umeona sijuwi tatizo nini 😂😂😂😂😂😂😂
@zanishirima9257
@zanishirima9257 2 ай бұрын
Watu wanajiita wadudu 😅 lazima waonekane kidudu dudu
@joyce55727
@joyce55727 2 ай бұрын
Mimi kidogo niseme ivo 😁 tena wanapendwa sana na wasukuma
@user-ne5cg4vv1h
@user-ne5cg4vv1h 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sina mbavu
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣kwakweli nimecheka kwa sauti eti wanajiita wadudu
@rosebeniel
@rosebeniel 2 ай бұрын
Mungu akubariki baba
@ridhiwankanjoe2078
@ridhiwankanjoe2078 2 ай бұрын
Hahahahahahahaha kumbea arusha tunaoa kwa soda 😂😂😂😂😂😂
@filbertdamiani101
@filbertdamiani101 2 ай бұрын
Kwanini watu wengine wanamnyooshea kidole makonda, wakati huyu jamaa ni mpenda haki!
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 2 ай бұрын
Wajinga na wadhurumaji Tu,
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 2 ай бұрын
Huwezi kua mzur wote huwez kua mbaya wote
@wazinzatv3152
@wazinzatv3152 2 ай бұрын
Vizuri ndo hupigwa vita
@ntangiregemfuruki5478
@ntangiregemfuruki5478 2 ай бұрын
Love you rc❤ Shida yako.kauli yako mfano kusema . Weee kitanzania nitusi. Wewe nimwamba sana.kasoro nihiyo tu.tunampenda mnoo.lakini turekebishe kauli tu.au Tamsin lake tu.love yoo makonda.hujui tuna kubiliv mno
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 2 ай бұрын
Nani kaskia AJIRA ZA KUPEANA HIZO
@user-eu5ly2sk8w
@user-eu5ly2sk8w 2 ай бұрын
Uko vizuri muheshimiwa mungu akulinde na akupe kibali cha kuwa rais wa tanzania.
@JumaSiajaly-vt2un
@JumaSiajaly-vt2un 2 ай бұрын
Makonda akiwa raisi atakua km magufuli piga kazi baba namuona kua raisi wa miaka ijayo
@suzanbegas4139
@suzanbegas4139 2 ай бұрын
❤️❤️❤️
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 2 ай бұрын
Ila Mh ,Makonda kazi yako ni ngumu Sana ,Mungu akujalie akuinulie waombaji wa kukubebe kwenye maombi.
@user-lm5fu5tu5z
@user-lm5fu5tu5z Ай бұрын
Daaah wanaume sisi huyu mama anaonekana anampenda sana mumewe sema hilo jamaa ni lilevi na kiburi sana Mama wa watu mzuri sana huyo na anaheshima nzuri tu mungu fundi sana watu wa hovyo anawapa wanawake wazuri sana na wenye upendo wa kweli sisi ambao tumetulia zetu ndio tunapata mijanamke ya hovyo.
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g Ай бұрын
Tena minyang'au ya kutosha
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Ай бұрын
Wanaume wa Arsh wanakiburi mnoo acha kabisa yan ukiwa na mwanaume wa arsh ujipange
@NehemiaLuwela-ld9zn
@NehemiaLuwela-ld9zn Ай бұрын
Uhakika
@user-xh3qf9xv9v
@user-xh3qf9xv9v Ай бұрын
Kabisa mdogo wangu ,, Mwanamke mzuri sana ila nimegundua huyu mwamba anasikiliza dada zake,na dada zake wanawivu na wifi Yao ,kwa uzuri wanaona kama mwamba alivyokuwa jela ,Kuna fisi alikuwa anamla huyu demu,na mwamba dada zake wanaviela wanamdanganya mwamba ukimuacha huyu mwanamke tutakusaidia ,mwamba dhaifu, wanawake wengi wanaroho mbaya sana hapa duniani,Mungu atampa maisha mazuri huyu demu na mtoto wake
@eslammurad540
@eslammurad540 Ай бұрын
Kabisa makonda akigombea urais kura yangu yake
@sawegasper9670
@sawegasper9670 2 ай бұрын
High level of incompetence,what a shame😢
@happyhappy-ym2su
@happyhappy-ym2su Ай бұрын
Mpaka nimetoa machozi...😢 dada Mungu akutie nguvu sana katika hatua zako za maisha. Najua ni kwa jinsi gani umepata maumivu kukataliwa mbele ya haraiki. Ila niamini mimi siku zote kisasi ni cha Mungu, huyu baba kufanikiwa kwenye kazi zake asahau kabisa mana hapo amepanda laana. Hakuna chozi la mwanamke ambalo linadondoka bure. MHE Makonda: Mungu akubariki mnoooo naiona roho ya magufuli ndani yako. Utunzwe na kulindwa na Mungu siku zote za maisha yako🙏
@MankaAlly
@MankaAlly 2 ай бұрын
Aisee mpaka machozi yamenitoka Mungu akubariki sana muheshimiwa Makonda
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 23 күн бұрын
Makonda I wish nifanye kazi na wewe. Yaaani yaaani. Uuuwiii. Nahitaji boss aliyenyooka km wewe. Uuuwi jamanii.
@BeatriceAdolf-gj6lr
@BeatriceAdolf-gj6lr 2 ай бұрын
Hakuna ustawi wa jamii hapo,,wa mchongoo,,halijui kitu
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@PureSoul-rf4xd
@PureSoul-rf4xd 2 ай бұрын
😅😅😅
@KalondaSongolo
@KalondaSongolo 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@mwajabuswedi2252
@mwajabuswedi2252 6 күн бұрын
Mh. Mungu akubariki sana kwa kazi nzuri unayofanya.
@joycehaule9717
@joycehaule9717 2 ай бұрын
Mmoja katia ajira yakupeana hahahahahahahaa watu
@SophiaMwambalaswa
@SophiaMwambalaswa 2 ай бұрын
Makonda wewe hunaga baya bro mungu akupe umri mrefu maisha marefu kaka chapa kazi hayo ndo ulicho itiwa maua yako nakupa
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 2 ай бұрын
Arusha watu wanapeana kazi kindugu,Rushwa zimetawala Doh
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 Ай бұрын
Kwenda huko kirenga mkubwa wewe?
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 Ай бұрын
@@Ndu-wa.uroony2kula ushibe ndio utanielewa
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 2 ай бұрын
Allah ajaalie mtende haki kwa uwezo wa allah ins
@user-ui4qg2kl4f
@user-ui4qg2kl4f 2 ай бұрын
Huyo afisa ustawi yupo sawa, ila ni presha, ya kuitwa na mkuu wa mkoa.
@wemakingdaily1462
@wemakingdaily1462 2 ай бұрын
Sipenda alivyomdhalilisha
@AngelRimoy
@AngelRimoy 2 ай бұрын
Kutokujiamini 2
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 2 ай бұрын
Umeona eeh Sheria aijasema ila inaangalia kipato chako kwa unaingizaje kama hauna kazi ni ungaunga kina cha chini huwa wanakadiria elfu 50
@josephinelauwo4947
@josephinelauwo4947 2 ай бұрын
Makonda hajabisha ila ametaka ajibu kisomi kwamba kifungu flan no.fln kwa mujib wa sheria ndio aseme
@SophiaNgua
@SophiaNgua Ай бұрын
Elisante huba lilipo kuwa tamu alitoa siri ya shamba😂😂😂😂 huba limeisha anamkana
@jacqueli18
@jacqueli18 Ай бұрын
Mapenzi yana siri sana.... imagine huyu mama anamlilia huyo mwanaume 😢😢😢😢😢😢
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 2 ай бұрын
😂😂😂huyu jamaa wa ustawi ni shida
@user-th8bo9lu8n
@user-th8bo9lu8n 2 ай бұрын
Sio shida tu aibu 😅😅😅
@uwembatvonline
@uwembatvonline 2 ай бұрын
Ni presha
@TimothbenardToyibahora
@TimothbenardToyibahora Ай бұрын
Ni balaa kubwa sana😂😂😂
@TimothbenardToyibahora
@TimothbenardToyibahora Ай бұрын
Huyu jamaA wa ustawi arudi shule, tena arudi form 4F
@lubavacastory1831
@lubavacastory1831 2 ай бұрын
Ukiona mwanamke kamuita mwanaume aliyemzalisha Jina tofauti na Jina lake au baba flani au Mme wangu...Jua apo tatizo lipo Kwa mwanamke....Mwanamke anayempenda mwanaume aliyemzalisha hawezi kumuita ..(HUYU BABA)
@Marlin-pb1ru
@Marlin-pb1ru Ай бұрын
We huna akili nini hujasikia huyo shetani na yeye alivyosema mimi siwezi kuishi na huyu mwanamke si bora haya yeye kasema baba...unajua maumivu ya kutelekezwa na mtoto wewe wanaume wakiachiwa watoto wanapiga kelele mpak mbingu zinatingishika na sisi mjue sio mawe tuna mioyo na tunaumia pia huwezi kumpenda mtu aliyekuacha na mtoto na ndugu zake wanakufukuza nyumbani huwezi broo put your self in her shoes ndo uongee unless na wewe ni shetani kama yeye...
@saidmwangasama
@saidmwangasama Ай бұрын
Mm Huwa nikitazama p makonda Huwa nalia sana jisi anavyo juwa kufaliji nakuombea maisha marefu ❤
@familytalks1
@familytalks1 2 ай бұрын
Point mtoto atakiwi kuambiwa mabaya ma wazazi. mama pambana mtaji ndo huo sasa.
@user-my5nb9jn2d
@user-my5nb9jn2d 2 ай бұрын
Mwamba hajasikilizwa.. Ndivyo wanaume tunavyoangamia mbele ya macho ya Watu.. Ameshutumiwa moja kwa moja bila kujitetea. 😢
@user-lm5fu5tu5z
@user-lm5fu5tu5z Ай бұрын
Anitetee na nini wakati amefanya upumbavu mkubwa hv huyo mwanamke unavyomuona anaweza kuwa tofauti na anachokisema.
@user-jz3hk5ry4o
@user-jz3hk5ry4o Ай бұрын
Sure iyo isnhu haina balance mwanaume imekandamizwa
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 2 ай бұрын
Kama mtu huna elimu na kitu, achana nacho ustuletee aibu mkutanoni! Unakaa tu unatulia!
@getrudajustine
@getrudajustine Ай бұрын
MuNGu Mwenyezi akulinde kaka kwa utendaji wako wa kazi kwa wananchi.Nakuombe heri na baraka tele juu yako,Roho Mtakatifu akuzidishie Hekima uendelee kusaidia wananchi ambao ni Taifa la MuNGu.BARIKIWA KATIKA KAZI ZAKO ZOTE UZIFANYAZO.
@manasecharles894
@manasecharles894 2 ай бұрын
Ee Mungu tusaidie siku moja Makonda aje kuwa Rais wetu🙏🙏🙏🙏
@emmanuelbirindwahabamungu5715
@emmanuelbirindwahabamungu5715 20 күн бұрын
Hakika Mungu wa Tanzania ni Mungu mzima Tanzania mume barikiwa Na viongozi Toka kwa Mungu.
@RuthRobert-vb8vz
@RuthRobert-vb8vz 2 ай бұрын
Makonda umepewa kibari na Mungu lsaya 54 -1
@emanueldavid1241
@emanueldavid1241 Ай бұрын
Mungu akubariki sana baba kwa kazi hii nakufuata nikiwa Congo RDC,,,Pia Mungu akulinde mukuu wamukuwa
@user-qu1mq2ik2e
@user-qu1mq2ik2e Ай бұрын
Kiongozi shupavu mungu akuongezee hekima na maisha marefu
@allykomsonde7813
@allykomsonde7813 2 ай бұрын
Huyu waustawi wa jamii amesoma lakini hajasomea kazi anayoifanya nakubwa zaidi shahiri shahiri haipendi hiikazi anafanya kwakua kunamchirizi wa pesa
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 2 ай бұрын
hapana yeye hilo sio eneo lake hilo ni jambo la mahakama yeye eneo lake lingine kabisa haoa basi tu ana mabana kkwa sababu jamaa ni mstaarab
@user-jl5zh6qi2w
@user-jl5zh6qi2w 2 ай бұрын
Atakae mtukana makonda tutakunyosha natutakushughulikia
@faizaabdallah7570
@faizaabdallah7570 Ай бұрын
Alhamdullilah watching from Uganda ❤❤❤❤❤
@RuthMureithi
@RuthMureithi Ай бұрын
Aki Mheshimiwa njoo Kenya utuongoze jinsi hii. I wish we has such leaders here in Kenya! 🙏
@LarryBrian-j2d
@LarryBrian-j2d 8 сағат бұрын
The guy is perfect big up
@user-ls2nq2eq3l
@user-ls2nq2eq3l Ай бұрын
Daaaaah 😭😭😭 wanawake tunapitia changamoto Sana😭😭eee Mungu tulinde wamama wote.
@DaudiMasai
@DaudiMasai 25 күн бұрын
Jamani makonda nakubali sana watokee viongozi kama wa 5 Tanzania itakuwa nchi kweli
@WardaKangezi
@WardaKangezi 2 ай бұрын
Safi sana kaka ungekua rais wanyonge tungepona
@faharikhamisi3091
@faharikhamisi3091 2 ай бұрын
Bado kwangu naomba mungu akupe nafasi kubwa zaidi hii ndogo,mama samia angalia hili jembe
@josephinebuxay3392
@josephinebuxay3392 2 ай бұрын
Mh. Makonda Mungu akulinde akuepushe na kila kibaya, uwe Rais wa nchi, kweli unangalia haki.
@Fanikiwa
@Fanikiwa 3 күн бұрын
Makondo Anafaa kugombea ulaisi kwakweli mungu Amaulipe mema
@MaryMatunda-p1f
@MaryMatunda-p1f 14 күн бұрын
Makonda kijanana mwema wa mama $amia huna baya kaka yetu, mikono ya Mungu ii juu yako kwa kweliii!!!
@mwanduelizabeth2282
@mwanduelizabeth2282 2 ай бұрын
Mungu akulinde Makonda akukinge na kila Hila za adui na akukinge na Maadui waliopanga kukuangusha.
@RomwardWM
@RomwardWM Ай бұрын
Makonda MUNGU akuzidishie maisha marefu.
@mscantraah8210
@mscantraah8210 2 ай бұрын
Yes very good huyo ndio anajuwa haki ya raiya very good god bless you 🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻💪🏻💪🏻 na kuombea sana
@ZuhuraHamadi-py4cu
@ZuhuraHamadi-py4cu 2 ай бұрын
😭😭nimejikuta Nalia, hata mm nilikataliwa na babawatoto wangu hivi hivi ,nikiwa na watototo wangu mapacha wamwaka 1 na miez 7,nilisikia aibu na uchungu sitasahau,Mbele ya usuluhishi km hiv alisema hivyo hivyo hanihitaji hataki kuishi namimi tena ila atalea watoto tuu,😢🙏Asante mungu mpk leo nimesimama nimungu tuu,
@neemaneychricious6493
@neemaneychricious6493 2 ай бұрын
poleee sana dear
@user-xo3vy7lx5s
@user-xo3vy7lx5s Ай бұрын
Safi sana muheshimiwa Paul Makonda Kwa kuwajibika wanaume mjifunze mnapowaacha wanawake mliowazalisha mnawatesa watoto, na MUNGU hapendi kabisa,watoto wanateseka sana
@DativaMbowe
@DativaMbowe 21 күн бұрын
Pole mwanamke mwenzangu 😢😢😢 mtu kukukataa mbele yauma dah!!
@nurusulley3276
@nurusulley3276 2 ай бұрын
Makonda anafaa sana
@Dinadin-nx6fo
@Dinadin-nx6fo 28 күн бұрын
👏👏👏👏👏 kazi nzuri
@user-jf6cr3ce9i
@user-jf6cr3ce9i Ай бұрын
Mungu akulinde siku moja uwee rais
@user-bp2cc9eo6g
@user-bp2cc9eo6g 2 ай бұрын
MWENYEZI MUNGU ainyooshe nakuisafisha njia yako kadri itakavyo MPENDEZA
@annejacobilkiuyoni2971
@annejacobilkiuyoni2971 2 ай бұрын
KABISAAA MUNGU AMSAFISHIE
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 2 ай бұрын
Amina 🙏
@issakamangila4143
@issakamangila4143 2 ай бұрын
Jamaa ame umbuka ile mbaya 😢😢
@ElishaKasambo-yu5jt
@ElishaKasambo-yu5jt 2 сағат бұрын
Mungu akubariki
@VERONICALAIZER-vt3ui
@VERONICALAIZER-vt3ui Ай бұрын
Huyu dada anaonekana ana hekima sana Mungu aiongeze hiyo hela upate maisha
@muyasaidy
@muyasaidy 2 ай бұрын
Makonda nakuamini Una imani
@waviwangotv1924
@waviwangotv1924 Ай бұрын
Aisee Hakuna Afisa maendeleo ya Jamii hapa..Yani Bure kabisa..Na hawa ukiwakuta ofisin ndio wanapindisha pindisha tu Sheria
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g Ай бұрын
Umeona na ww kumbe
@JerusaMkuyu-pw1zo
@JerusaMkuyu-pw1zo 2 ай бұрын
Kiongo hicho kaka makonda wakupe uraisi utusaidie wanawake😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@GiftyMwamwezi
@GiftyMwamwezi Ай бұрын
Mwamba uko poa sana yaan mungu akuzidishie hekima na maongiz
@AgustinaAlfonce
@AgustinaAlfonce 21 күн бұрын
Jamani kwanini sisi wanawake tunateswahivi Dh?baba yetu Makonda tunaomba utetee haki za wanawake jamani wa Tanzania 🙏🙏🙏🙏🙏
@AliceLaizer
@AliceLaizer Ай бұрын
Hii mhe makonda uko vizur mungu akulinde wakomeshe hao wanaume wanao zalisha watot wawatu
@Isackhamka
@Isackhamka 21 күн бұрын
hakika wewe unafaa hata mungu ana pedezwa na upatanisho lakini kama mtu atakuwa mungumu hasila ya mungu itakuwa juu yake
@Erickkweka05
@Erickkweka05 Ай бұрын
Well!you are a leader but also an educator
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 21 МЛН
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01
በስንቱ
13:03
GiBi 94
Рет қаралды 2 М.
Не плавайте тут! 🏊🚫
0:24
Взрывная История
Рет қаралды 4,9 МЛН
Когда покупки идут не по плану🤯
0:32