Nimejifunza sana tangu nilipookoka na kabla ya kuokoka Mbaga nimeanza kumfatilia kabla ya mm kuokoka ety Leo hii mm nimekuwa mfuasi wa kristo ase nikikumbuka maisha yangu ya zamani napiga goti kumshukuru god
@CateCatherine-jv3miАй бұрын
Pastor mungu akubariki kwa mahubiri haya mazuri yanatujenga sana