Mungu azidi kukutunza kwakweli MUNGU alikuleta kwa wakat sahihi,unafundisha kwa kueleweka sana nimeongezeka kiroho wakat fulan huwa nataman na mie niwe mwalimu kama ulivyo wew, barikiwa sana
@jonathangasore773515 күн бұрын
Asante sana kwa mafundisho mazuri ya kifamilia na uchambuzi kuhusu uumbaji wa Mungu.
@vitaliamwageni443514 күн бұрын
Amen Pastor Mungu akubariki sana
@kwandundaki856815 күн бұрын
Barikiwa pastor namatamani uwe unapost somo kila siku humu manake mimi.nikiwa kazini huwa nasikiliza masomo yako muda wote na huwa nachungulia kila wakati kama umeweka somo jingine barikiwa sana pastor
@MahubiriPrMmbaga14 күн бұрын
Amen
@WardaTangasi-f9n14 күн бұрын
Barikiwe nabarikiwa Sana MA shukuru umenibarisha maisha yangu