Mshungaji nimefaidika nawe sana Mungu atubaliki sote kwapamoja Amen
@user-xu4hg3nt8n27 күн бұрын
Mungu azidi kukutumia mtumishi wa MUNGU kutubariki
@vickytorry10027 күн бұрын
Mungu Baba akubariki sana, nimefurahia inafanya yako kwa ajili ya kipaji chako mtu wa Mungu. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@user-hb9iw9db5o27 күн бұрын
Amen
@luciadominik162628 күн бұрын
Ibada njema inaanzia nyumbani
@joyceobwocha596127 күн бұрын
Amina pastor Njuguna
@nezerinejuma551028 күн бұрын
Amen 🙏🏾
@salvationisindividualbased803628 күн бұрын
Je namimi naweza omba jicho sijafumba
@albertinemacimu124728 күн бұрын
Ndio kabisa haina shida yoyote ile popote, vyovyote vile unaweza tunafumba macho ni kwa7babu ya kukata connection na macho wenda yakashawishi kuvuta hisia zingine ila roho mtakatifu anajua kabla hujaomba na anatuombea zaidi kwakuhugua 🙏
@albertinemacimu124728 күн бұрын
Lakini pia angalia mazingira ukiyopo kama yanaruhusu kufunga macho au kufumbua
@maryachuti499727 күн бұрын
Unapo omba naomba uwe unafumba macho kwa kielelezo kwetu wanyonge baba wetu wa imani.