UFANYE NINI PALE UNAPOPATA NDOTO MBAYA? ( SEH. B)

  Рет қаралды 23,192

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

4 жыл бұрын

Ikiwa hukuangalia sehem ya kwanza bonyeza hapa • UFANYE NINI PALE UNAPO...

Пікірлер: 71
@froline5209
@froline5209 Жыл бұрын
Asante mchungaji nimepata jambo la kufanya katika somo hili la ndoto.
@setholivier4862
@setholivier4862 4 жыл бұрын
God bless you cameraman and all staff members.
@graceesiabia5379
@graceesiabia5379 3 жыл бұрын
I'm not a seventh day Adventist but I feel and appreciate the work of God through the holy spirit in mchungaji.
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 жыл бұрын
Blessings to you Grace
@imanimatumaini2458
@imanimatumaini2458 3 жыл бұрын
@@MahubiriPrMmbaga Mimi past zamani nilikua naota lakinisasa sioti
@peninadunda6348
@peninadunda6348 3 жыл бұрын
Amina mungu akubariki sana pastor
@leahwainaina4396
@leahwainaina4396 7 ай бұрын
Karibu sana
@rehabokaya2232
@rehabokaya2232 2 жыл бұрын
Amina Amina mchungaji asante kwa mahubiri hayo umenisaidia sana be blessed
@bahatijohn4877
@bahatijohn4877 3 жыл бұрын
Yaan wasabato adi raha unarusiwa kabisa kuuliza maswali adi raha mweee
@shafiihamis2344
@shafiihamis2344 3 жыл бұрын
Ameen ubarikiwe Sana mtumishi wa mungu
@user-dh7yg6dl5e
@user-dh7yg6dl5e 3 ай бұрын
Baba shikamoo asante kwa mafundisho mazuli
@nellyn2809
@nellyn2809 4 жыл бұрын
Mafunzo mazuri sana am blessed.Ubarikiwe muhubiri
@vanenyanchwa4784
@vanenyanchwa4784 4 жыл бұрын
nifanyeje,kuna rafiki nilisoma naye high school my deskmate nashinda kumuota tangu tutoke high school akinitembeza kwa maji nimeomba lakini bado namuotanga
@user-bx5nc8ge6r
@user-bx5nc8ge6r 8 ай бұрын
Alléluia 👋🙏🙏nashukuru sana mtumishi wa mungu
@rahelfrancis7817
@rahelfrancis7817 4 жыл бұрын
Amina barikiwa pastor
@watwegopnina6480
@watwegopnina6480 4 жыл бұрын
Amina mchungaji, Mungu akubariki sana
@NyamariFaith-qu1jm
@NyamariFaith-qu1jm 7 ай бұрын
Thanks pastor for powerful teaching,but I always dream am in school doing exam but I can't always understand the question
@arnoldtagaya4981
@arnoldtagaya4981 2 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe Mchungaji nimebarikiwa sana na somo hili la ndoto nimekuelewa sana. Naitwa Arnold Tagaya niko Dar
@marymungai889
@marymungai889 4 жыл бұрын
Amen mafunzo mazuri..ubarikiwe mtumishi
@patriciamatunduru9706
@patriciamatunduru9706 4 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana mtumishi Wa Bwana!
@mrwandamrwanda3751
@mrwandamrwanda3751 2 жыл бұрын
Mungu mwema akubariki sana kwa neno
@esternaftari4553
@esternaftari4553 4 жыл бұрын
Ni kweli mchungaj ubarikiwe sana
@eugeniamsilikale8687
@eugeniamsilikale8687 3 жыл бұрын
Amina
@upendoeliudi5196
@upendoeliudi5196 4 жыл бұрын
Aminaa barikiwa sana
@edinaclemence8977
@edinaclemence8977 4 жыл бұрын
Amina. Mtumishi wa Mungu nimesikiliza somo hili na nilikuwa na ushindani mkubwa maana inaniusu.Ni mwaka wa 16 sasa naota niko shule nawakati shule sikumaliza niliachia kidato cha pili baada ya kukosa ada. Kwa hiyo maisha yangu nimeishi hivyo uchumi wangu unapanda na kushuka. Nikumbuke ktk maombi Mtumishi.
@elpidiusezekiel2729
@elpidiusezekiel2729 4 жыл бұрын
Niliwah kusikliza moja ya mafundisho yake alisema asa kuhusu iyo ndoto ya kurudi shule na wakati ulishamaliza zaman, akasema kuna maroho yanakupeleka tena kwenye hari ya awali tena uliyokuwa nayo mfno umasikini au tahabu na maangaiko ivo yakupasa kuomba ili Mungu akunusuru na kila mipango ya adui, na mimi nilikuwa muhanga wa ndoto iyo tena ilikuwa inajirudia na nikaw naharibikiwa sana lakini Mungu alinitetea nilipojua nakuanza kuomba.
@estermshomi6139
@estermshomi6139 4 жыл бұрын
Pr, asante sanaa kwa mafundish haya, yamenigusa
@keniyakeniya8381
@keniyakeniya8381 3 жыл бұрын
Lakini mchungaji mimi huota mala nyingi Sana lakini kila siku siikumbuki yani the more I try to remember the more I forget ..na Hilo Jambo limekua likinisumbua Sana sijui nifanyeje
@nippermshana9260
@nippermshana9260 4 жыл бұрын
Barikiwa Sana pr.
@otiliahaule5180
@otiliahaule5180 4 жыл бұрын
Asante pastor kwasomo la ndoto
@perisbosibori2249
@perisbosibori2249 3 жыл бұрын
God bless you so much pastor. I'm so blessed with your preaching.
@samsonkasaki4549
@samsonkasaki4549 4 жыл бұрын
Ubarikiwe pastor!
@raghadmubarak553
@raghadmubarak553 4 жыл бұрын
Kweli mtumishi yalinikuta hayo ya ndoto nikapuzia nayakatimia
@enocktvonline8465
@enocktvonline8465 Жыл бұрын
Hili somo nimelitafuta sana nijue maana yake kwa mfano wa mtumishi serikalini Nimepata jibu
@dibogodibogo9358
@dibogodibogo9358 4 жыл бұрын
Mchungaji, ubarikiwe kwa mafundisho yako. Mm nilikuwa nikiota Mara kwa Mara kwamba nasifiwa Sana na Kaka yangu ambaye ni marehemu. Wakati akiwa hai hakuwahi kunisifia katika Jambo lolote. Pia nimewahi Kuota binti ya Kaka yangu, na Kaka yangu wamekufa kwa siku moja, na hawa wote ni marehemu, tena walikufa kwa nyakati tofauti tofauti. nisaidie kujua hizi ndoto Zina maana gani.
@lennybaabrah6752
@lennybaabrah6752 4 жыл бұрын
Amen Amen,Ubarikiwe sana Pastor.
@hono1232
@hono1232 3 жыл бұрын
Bando lako dogo
@imgracesamwel3999
@imgracesamwel3999 3 жыл бұрын
Mchungaji mungu akubariki umefundisha somo limenijenga amen
@paulineditutu6208
@paulineditutu6208 4 жыл бұрын
Bjr pasteur , sois beni
@gracej876
@gracej876 4 жыл бұрын
Barikiwa pastor
@vanenyanchwa4784
@vanenyanchwa4784 4 жыл бұрын
kudos God bless you pastor David
@leahwainaina4396
@leahwainaina4396 7 ай бұрын
Amen
@cyrusmagonya2670
@cyrusmagonya2670 3 жыл бұрын
Asante pr kwa mafunzo, Sasa Nina hakika mingi za ndoto zangu ni ugali
@janetkahada5206
@janetkahada5206 4 жыл бұрын
amen amen
@Itsjona1
@Itsjona1 3 жыл бұрын
Asante sana Pastor
@jackynyakundi1740
@jackynyakundi1740 3 жыл бұрын
Asante sana mchungaji. Mungu akubariki sana🙇🏽‍♀️
@zipporahnyanchoka4291
@zipporahnyanchoka4291 3 жыл бұрын
Amen,following from 254
@cathshuma1621
@cathshuma1621 4 жыл бұрын
Ameeen
@simonkaumba7030
@simonkaumba7030 Жыл бұрын
Hallo my pastor how are you doing mchungaji napendezwa Sana Nahuduma zako,Sasa nikuombe kama ikiwezikana niyapate Aya masomo kwanjiya ya Gmail ?
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Mpigie huyu +255 67 388 8226
@vanishMekubo
@vanishMekubo 7 ай бұрын
Pastor naulisa niseme unaopewa alafu uyo menye anaombewa anataja wenye wanamlonga ama wanamsumbua ambo sasa utasema aje
@Estherm309
@Estherm309 2 жыл бұрын
Amen Amen Amen Amen Amen
@monniekevin9303
@monniekevin9303 3 жыл бұрын
Amen amen 🙏
@beatriceamissi5144
@beatriceamissi5144 4 жыл бұрын
Amena
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio 4 жыл бұрын
Niliwahi kuota ndoto moja inayofanana na aliyoota kijana wangu ucku huohuo.....! KM SI MUNGU NISEME SASA!
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio 4 жыл бұрын
0785650008 NJOO
@dilurai4204
@dilurai4204 3 жыл бұрын
Amen,
@peninahAlphonce17
@peninahAlphonce17 3 жыл бұрын
Kuna ndoto niliota zaidi ya Mara 3, iliniangaisha kujua maana yake, but sikuona niulize yeyote! Baada ya kuskiza hii video na kuifatillia ndio najua ndoto huwa zatafsiriwa!! Na mimi nishasahau niliota nini
@ziadaziada1613
@ziadaziada1613 3 жыл бұрын
Mchungaji nakuomba unisaidie Mimi nikiota ndoto yaan inakuw ni ya kutisha lakini sikumbuki hata zikiwa nzuri sizikumbuki sasa tatizo nini mchungaji
@nicholausjoseph6176
@nicholausjoseph6176 3 жыл бұрын
Mchungaji mimi nakufatilia kwenye mahubiri tv ila kila nikitaka kudownload zinakataaa nifanye nini
@wisdomdeus1039
@wisdomdeus1039 Жыл бұрын
Kuota unakemea inamaana fan?
@johnmtey1232
@johnmtey1232 3 жыл бұрын
Una Roho mtakatifu
@keniyakeniya8381
@keniyakeniya8381 3 жыл бұрын
Lakini mchungaji mimi huota mala nyingi Sana lakini kila siku siikumbuki yani the more I try to remember the more I forget ..na Hilo Jambo limekua likinisumbua Sana sijui nifanyeje
@halimaelizabethamuli254
@halimaelizabethamuli254 2 жыл бұрын
Amen
@josephkivunge7501
@josephkivunge7501 4 жыл бұрын
Amina
@loycep7785
@loycep7785 4 жыл бұрын
Asante pastor mafundidho haya yamenijenga na kunibariki maana watu wengi huniuliza mara kwa mara niwatafasilie ndoto lkn huwa najibu kama ulivyofundisha barikiwa pastor
@esthermsely3537
@esthermsely3537 2 жыл бұрын
Amen
@maureenjovial6083
@maureenjovial6083 4 жыл бұрын
Amen
@dinahisaboke171
@dinahisaboke171 4 жыл бұрын
Amen
SIRI YA KUINUKA TENA BAADA YA HASARA
51:47
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 48 М.
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 111 МЛН
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 39 МЛН
哈莉奎因以为小丑不爱她了#joker #cosplay #Harriet Quinn
00:22
佐助与鸣人
Рет қаралды 8 МЛН
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 28 МЛН
USIFANYE MAKOSA HAYA KATIKA KUTOA SADAKA (OFFICIAL VIDEO)
1:03:52
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 19 М.
UKWELI KUHUSU SIKU KUU YA PASAKA HUU HAPA?
37:30
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 55 М.
UFANYE NINI PALE UNAPOPATA NDOTO MBAYA?( SEH A)
43:39
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 55 М.
UKIONA DALILI HIZI KATIKA UCHUMBA,TAMBUA NI HATARI
23:36
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 115 М.
USIFE KAMA MPUMBAVU
56:58
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 28 М.
SIRI HII YA YUSUFU IKUSAIDIE KUFANIKIWA KILA SIKU
33:24
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 36 М.
Namna ya kurejesha Vitu/Afya/Kazi/Mali zilizopotea
47:22
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 44 М.
AINA NNE ZA UTOAJI WENYE BARAKA TELE SEHEMU YA KWANZA
48:35
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 52 М.
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 111 МЛН