Asante Mungu kwa wema wako na fadhili zako zinilindapo popote nilipo, Amina
@victoriousblessedmom43433 жыл бұрын
Amen and I'm Connecting faith through Christ Jesus and I Agree and Believe and receive this Powerful Prayers upon my life and my Son and my family because our help comes from Jehovah God the maker of the Heaven and earth and no weapon formed against us will be able to prosper Because God is with us and no body can against us and all things are possible with God in the mighty name of Jesus Christ Amen and Amen Hallelujah Glory be to God
@shukranjulius9526 Жыл бұрын
Amina Amina pastor dumu kubarikiwa
@giriadichacha2 жыл бұрын
Amen nabarikiwa sana Pr Mungu azidi kukutumia
@edsonmussa2572 жыл бұрын
Mungu abariki mtumishi kwa kazi Njema ninabarikiwa na huduma yako.
@happycutydavid93133 жыл бұрын
Baba yangu Barikiwa Sana ashukuriwe Mungu wetu aliyekuchagua kwaajili ya kutulicha chakula cha kiroho hakika Mungu wetu wa mbinguni azidi kukutumia kwaajili ya watu wote hata wasiyoijua kweli wakajue hakika hakuna lisilowezekana kwa Mungu nami kwanzia leo nmebarikiwa kupitia neno hili nmepata nguvu na amani moyoni mwangu kupitia mtumishi wake nami nikosema wema wa bwana na fadhili zake hakika vitanifuata milele kwamaana cjaona aliye Kama Baba nmekubali yote nmejitoa Kama yeye alivyomtoa mwanae haijalishi ninapitia magumu na maumivu kiac gani lakini jicho langu ctolikwepesha kwa Yesu yeye aliyeshinda kifo na mm ni mshindi cwezi kumpatia adui ushindi kamwe kwamaana kilichoinuliwa na Baba kamwe hakuna wa kukiangusha wapendwa tutulie kwa unyenyekevu magotini kwa Bwana yeye aonaye sirini atizamaye mioyo ndiye atakaye kutoa ktk tatzo ulilo nalo🙏 Asante mch David mbaga Bwana Yesu azidi kukupa neema yake ya kutufundisha na kutufanya tusonge mbele binafsi sijawahigi kujuta nikisikiliza mafundisho yako kwamaana napona na ndipo huwaga narudigi magotini kwa Bwana na kumwambia Asante kwa kuniinulia mtumishi wa kunitia moyo japo cjawah kukuona Ila kwa hivi tuu nabarikiwa na napokea🙏
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
Amen
@rehemaezekiey49912 жыл бұрын
Amina ubalikiwe sana mtu wa mungu
@evachanila14512 жыл бұрын
Ameen
@raelsarange6382 жыл бұрын
Wema wa Mungu uwe nami popote Niilipo,qwenyu pia in Jesus name 🙏
@jacquelineMarwa2 ай бұрын
Amen paster ubarikiwe
@user-yq9go8ze2n2 жыл бұрын
Amen
@blackisrael98922 жыл бұрын
Ahsante MUNGU.ahsante sana mchungaji
@user-yq9go8ze2n2 жыл бұрын
am pam from kenya wirking sauida si blessed be blessed
@imgracesamwel39993 жыл бұрын
Amen mungu akubariki mchungaji somo zuri nimebarikiwa
@eunicesafari49283 жыл бұрын
Amen barikiwa Sana mtumishi wa mungu 🙏naomba nipate vitabu vyako nitAvipata aje
@Vel423 жыл бұрын
AMEN AMEN Pastor
@maombijofre230211 ай бұрын
Wema na fadhili zake zitanifuata siku zote za maisha yangu Amen
@pauloropian81163 жыл бұрын
Thank you Jesus for your blessing
@dukeoyugi44673 жыл бұрын
Amina
@user-yq9go8ze2n2 жыл бұрын
Working to saudia so blessed nimeyayaswa kwa mshahara Amen
@lreneauma17623 жыл бұрын
amen ubarikiwe sana mutumishi waa mungu kwa somo suri sana🙌🙌🙌🙌🙌🙏
@mwangamashaka75093 жыл бұрын
Ahsante sanaa Mtumishi MMbaga
@annahkerubokirera5229 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏 and be blessed 🙏
@weahfeint3406 Жыл бұрын
Amina ❤
@adammadehele60273 жыл бұрын
Mungu asante
@johnsonmisheto94222 жыл бұрын
amen mchungaji unaponya wengi kwa mahubiri yako mazuri
@khaldn74092 жыл бұрын
Surely goodness and love will follow me all the days of my life, and l will dwell in the house of the LORD forever.Amen
@victoriajames61902 жыл бұрын
Amina
@nellymnzava52773 жыл бұрын
Mungu zaidi kukubariki utupatie mafundisho ya kutusogeza karibu na msalaba.
@elizabethmchome78703 жыл бұрын
Ninabarikiwa Sana na masomo yako MUNGU akulinde
@namsifidaniele67703 жыл бұрын
Barikiwa pastor
@maxlove26683 жыл бұрын
Thanks pastor for the word
@JeanetteMariamRafiki3 жыл бұрын
This message is for me 😂😂😂😂I’ll have to zip mambo yangu 😂😂😂😂asante brother.
@agrelioyohana-tk7fl Жыл бұрын
It's good 👍
@mirengekahamwiti1260 Жыл бұрын
Amina, nome barikiwa
@maombijofre230211 ай бұрын
AMEN 🙏🙏🙏
@marykisiangani2470 Жыл бұрын
Wema na fadhili za mungu ziniizunguke na kunifuata siku zote za maisha yangu kila wakati amen
@rebeccanyaiboli4393 жыл бұрын
Hasante kwa hili neno bwana akubariki wzwz na nyumba yako pastor
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
Amen
@jerlaskambale5458 Жыл бұрын
Ok , nahitaji maombi
@PRISCASIMBAYA-vc3oo Жыл бұрын
Mchungaji barikiwa sana kuna siku nilikuwa na hali ya kukata yamaha ulinitia moyo
@rubenmwanza14043 жыл бұрын
Pr. naitwa ruben nyangusu nipo dsm majohe nakuombea san karama yako ikue zaid kristo aktanglie mbele
@eunicekalinga71743 жыл бұрын
Tunaomba vipindi hivi viwe vinaludiwa kwenye tumaini Chanel,kama inawezekana .
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
Iko wapi hiyo?
@monniekevin93033 жыл бұрын
Mchangaji mtu akitaka kuwasiliana nawe yawezekana?amina Kwa mahubiri mazuri.