Naomba msaada wamaombi nimpate binti wakuowa anae nifaa awe ana mtumikiya Mungu
@YusuphShija-cd6cp6 ай бұрын
Namshkru mungu kwa ajili ya huduma Njema inayoendlea, nami namtukuza mungu kwa wema wake ULIO Mkuu mno katka Maisha yang, ninawaombeeni wote mungu ajidhihilishe maishani mwenu
@joyceademba65736 ай бұрын
Eeh Mungu naomba uponyaji wako ukaonekane katika siku hizi 10 za maombi
@Lizzy-px8zx6 ай бұрын
Mungu jibi maombi yang
@geraldmwangira.49786 ай бұрын
Amen ubarikiwe Pastor.
@Kerubo2626 ай бұрын
Amen Amen. Kwangu ni ushuuda leo, Mungu amenijibu ombi langu kwa yale niliyomwomba siku hizi kumi za maombi. Kweli Mungu ni mwaminifu siku zote na sifa na utukufu ni zake milele na milele. Pr Mmbaga Mungu akubariki kwa uongozi wako .
@huchachacha85016 ай бұрын
Amen
@dr.kombosk58316 ай бұрын
1.Mungu anisaidie kulijua kusudi na kuishi katika kusudi Hilo 2.Aniweke mahali alipo pachagua yeye 3.Anipe moyo na Nia ya kuishi hapo.