Mnachonifurahisha ni kwamba mnatoa elimu kubwa sana ambayo hata Serikali haijatoa Kwa wananchi hususan ya kupima jotp Kwa vitendo na maelezo anayotoa Diamond!.Very creative guy ever...💪💪
@hamadharerimana81874 жыл бұрын
this guy is a STAR AND VERY CREATIVE NA ANAKILI KUBWA SANA SASA NDO NIMELEWA KWANINI ANAFANIKIWA ZAIDI
@michaelalbert25124 жыл бұрын
chimchim vibe kwanini..? Narrate it.
@antfatsaid93144 жыл бұрын
Star hajuwi nguo za kuva casinos pole hlf uziliwe kuigia franca hawakujuwi show unafanya ndani sio kwny stade ya mpira
@nasibuabdalla15994 жыл бұрын
Nah
@nasibuabdalla15994 жыл бұрын
Nakubali wajina
@nabil_abbaady4 жыл бұрын
Bc na ww fanikiwa
@kabumbaaldjimmy49433 жыл бұрын
Kama uko shabike wake Diamond gonga like apa
@evaingram74994 жыл бұрын
natamani mungu akupe maisha marefu simba na corona boys wotee kama unaomba ivyo kwa wasafi gongs like tuendelee
@fardeennasser29634 жыл бұрын
Apewe Maisha marefu ili aendelee kuwapoteza watu wajiandae na moto ee? Acheni kufagiria mashoga kutoka WCB.
@Smartboy-wt1es4 жыл бұрын
Diamond kwa biashara daaaa hii nayo kaigeuza kua fursa na kutengeneza hela kupitia youtube😀😀😀
@hellenodhiambo7175 Жыл бұрын
how loving ,caring and friendly is this man...we have nothing to say about this guy apart from supporting him...big up brother!!!!!!!!!!!!!!!!!
@zachmaselle66354 жыл бұрын
Give credit when it is due! Diamond is a big brain, thinks fast and has the entrepreneurial spirit. Actually, he has single-handedly changed the Bongo Flava brand and taken it to new heights. He invests in himself and others. He has tremendously changed the music video business in Tanzania for good and created a lot of opportunities for young Tanzanians. Remember when he started he used South Africans to must the game. Now he uses his own people. Kudos to him and the Wasafi brand for being that dynamic.
@babjithephotographer56024 жыл бұрын
Its a team, he works with a very serious team
@sanchostylist...9719 Жыл бұрын
I appreciate this Comment 2 years later...💯
@dominicmondia2904 жыл бұрын
SO CREATIVE THATS ONE ASPECT DIAMOND PLATINUMZ HAS...social life programme love it man
@vertexxentertainment15474 жыл бұрын
its kind of some awareness programme....yah it happens that of all entertainment media platforms this one is dope because which artist in AFRICA HAS COME UP WITH SUCH AN IDEA if not WASAFI MEDIA..keep up wasafi ..
@bernardmukinji30653 жыл бұрын
Kama wew nishabiki wasimba gonga like👊🔥
@mwajumabulugu41154 жыл бұрын
Km unamini maneno ya juma lokole diamond kila anachofanya ni pesa gonga like
@prosperjohaness20894 жыл бұрын
nani kasikia "yani mmoja wetu akionesha dalili za kuwa zombi mmh tunamchoresha"
@geofreyelphjr37104 жыл бұрын
Damn it🔥🔥Diamond Issa Creativity's
@martinaloo54444 жыл бұрын
This guy is business minded. He uses every opportunity to improve his brand and fame. No wonder his new songs hit 2 million views in a single day.
@princesssway13964 жыл бұрын
Why u strees
@pamelamboma67254 жыл бұрын
Ana akili ya biashara na menejimenti iko STRONG na ndo star anavyotakiwa kuwa.
@netzclan93364 жыл бұрын
Baba lao 😎🤛cant wait for next nice 1 👌
@nafunabrenda42774 жыл бұрын
True
@allthingdranabeauty4 жыл бұрын
Martin Aloo very true,
@collinschuwa84504 жыл бұрын
I am not decieving but i am prayin for him long lyf🙏🙏🙏🙏
@ains11224 жыл бұрын
It's a very educational movie, I like their idea, ina mafunzo mazuri kama kipindi,
@nassornaso71854 жыл бұрын
Bonge moja la idea.. Chibu unajua kutumia brand yko big up bro ✊
@sofinajuma92844 жыл бұрын
hizi zinapimwa mdomon sio kwapan hii
@primesultan11504 жыл бұрын
Gonga like kama umeshajua Mond ni creativeness in mind he use every chance to prove his brand
@saganadiana28434 жыл бұрын
Ongea kiswahili
@tumakhalifa36064 жыл бұрын
Corona geng 😂😂this hurts and at the same time funny
@ladyhappinessenock69024 жыл бұрын
Yani nimecheka😂😂🤦♀️maana ni Corona boys
@ririmungai21104 жыл бұрын
😂😂😂
@gazamerlvaxmukwano58443 жыл бұрын
Ndivyo unavyo sema akika mungu ammpe maisha marefu azidi kusaidia wengine, akika huyo Diamond nampenda sana anapo saidia wajiwezi ila tu maomba wanao saidiwa na Diamond wasijee kumzarahu... Akika mungu akupenye kila unapo fanya
@cedricnitunga4684 жыл бұрын
huyu jamaa ni content creator tosha!! duuuuh
@styvoll20044 жыл бұрын
This jamaa alianza tu right now the guy is a boss!! Man.. everything is possible.
@_dakika904 жыл бұрын
T
@gatheewanjeri4 жыл бұрын
Simba changing Corona to business.... Opportunistic Corona boy. Chapa like hehe
@zabibunduwimana46124 жыл бұрын
Mond nilijuwa ni duka la nguo na biyato kumbe ni kwako😂😂😂🙌🙌
@ramaccr75254 жыл бұрын
Zabibu Nduwimana na mimi nilijua duka
@wambui45904 жыл бұрын
Weeeee, nimestajaab
@salumkombo71634 жыл бұрын
Zabibu Nduwimana hata Mimi nilijua dukan Loooh shikamooo mond
@halimamiss88784 жыл бұрын
hata mm nilijua duka mmmh pesa jamani
@kkkkftbbhgft91184 жыл бұрын
Kwani hilo sio.duka?
@mektidissalvatory96834 жыл бұрын
Corona gang duuuuh Diamond umenishindaaaaa😂😂😂🤣🤣🤣
@doktamathew4 жыл бұрын
Hii karantini noma👌👌👌
@swalehthefinest4 жыл бұрын
Yaani angekua msanii mwengine angenyamaza tu ndani hzo siku 14 lakini Huyu ni kama opportunity kila tukio.. Shikamoo Siimba 🙏🙏
@ilovuguyssandimu65084 жыл бұрын
I salute u mondi frm 254
@elshaarawymuhabesh3164 жыл бұрын
Corona boys, Corona gang... Hata Ukipost Unacheka Tuh Mi Ntaangalia Tuh...
Ila MONDI dingi wewe mtamu kila kitu keep it up hii ndio Tanzanian Art ninayemtaka Fabulous and fabulous bro
@swahilibrotherhood4 жыл бұрын
Definition of the $uper$tar
@limimangolyo6254 жыл бұрын
Mtam sana mondi mungu amzidishie
@meshackmhalila66904 жыл бұрын
Nakukubali ni muwazi chukua tahadhali chibuuu
@senorinamwaluma96584 жыл бұрын
Hahaaaaaa eti corona boy's you've made my day
@victorwilbard25854 жыл бұрын
Hii trick kali kweli ila imekaa poa kibiashara.Nasib Abdallah ameona akikaa mwezi mzima bila kuvuta utayari itamgharimu sana ameona bora abuni Karantini boys. Daah..
@twahabuiddy96124 жыл бұрын
Allah karim yataisha mpeni pole sallam sk
@amranitz28974 жыл бұрын
Alie onaa hiloo duka la guoo hapo like
@jackleenmandary26324 жыл бұрын
Sio duka ni kabati😂😂😂
@shabelbashil48554 жыл бұрын
Nibalaa kws duks kama hilo
@akibarahamadi50584 жыл бұрын
akil kubwa simbaaaa anacheza na fursa uyu njo msani kubwa sasa simbaaaaa
@glorysilayo98104 жыл бұрын
Dude your good for I appreciate all of u
@queenwinnie2564 жыл бұрын
Corona boys, simbaaaa baba laoooo yatapita tu, corona yakupita kama magonjwa mengine,
@gunzelubona38064 жыл бұрын
Safi san kak
@nurumaulid24624 жыл бұрын
Diamond mtu imara wewe 🌠
@kbpfurniture43584 жыл бұрын
Mm nilijua kipindi hiki haupo ... Nikajuwa mb zegu zitapona, kumbe ndo kwanza kumekucha...
@thamiyuucute70984 жыл бұрын
Eee Mungu wanguu....tupe nasisi ela..zenye kheri...nguo km dukaniii😭😭😭😭😭😭
@sabrinabakari59084 жыл бұрын
Thamiyuu Cute weweee mjinga umenichekesha
@thamiyuucute70984 жыл бұрын
@@sabrinabakari5908 sawaa😑😐
@mariumpius90144 жыл бұрын
Nikwel lakn 🤔
@musamsuya60334 жыл бұрын
Thamiyuu Cute hizo nguo sio na wala usizitamani mungu alituambia usitamani mali ya mtu 🖤
@monicamassawe93974 жыл бұрын
Huyu kaka ni bonge la mjanja hauna cha salam kuwa na korona wala nn hapa wametumia fursa tuu waingize hela noma sana
@onlytecna94984 жыл бұрын
Monica Massawe kweli kbx wametengeneza movie
@MosonVevo4 жыл бұрын
Navyowajua watz hata mtu akifa wanaweza sema ni uongo ila siku likikukuta ndo utajua ni uongo au ukweli na utajua Kama ni fursa au sio
@ExplorewithHedy4 жыл бұрын
Very true Monica,cause doctors hawaend home kwa suspect wa ugonjwa cause it’s not safe for them what they do is to admit the patient Yan hawa kila kitu kwao fursa😅😅 no hate but ndo njia yao ya bread winning 😂😂
@aminakawawa58004 жыл бұрын
Kweli aisee ana akili huyu baba lao
@limimangolyo6254 жыл бұрын
Ana akili kinyama ndo maana anafanikiwa
@rukiasalim25124 жыл бұрын
Eeeeh nimesahau sasa mimi hata simsikilizi naangalia tu kwenye kabati la manguo na viatu nilifikiri duka la Esma tobaaaa corona umeleta balaa weweee
@omanatr87293 жыл бұрын
Allah nijarie na mimi nipate mme wa kuniowa na anijarie nipate watoto wakunieshim na kunijari
@graceannhendry63964 жыл бұрын
"Jamaa akianza kuwa zombi tunamchoresha"😂😂😂😂😂
@hadijasalimu18084 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@limimangolyo6254 жыл бұрын
Jamaa in muelewa kweli
@zablonchesa11574 жыл бұрын
Nilifkiri hiyo simu alopiga itakua..."Halo,, Tanasha......"
@veronicasteven17314 жыл бұрын
Mwanaume akiwa karibu sanaaaaa na mama ake huna chako
@salmaalimusa5474 жыл бұрын
@@veronicasteven1731 YaAni lkn ndo haizuiliki mumy
@rubyshamlaha21814 жыл бұрын
@@veronicasteven1731 mi napenda niishi ivo na mwanngu raha sn
@halimalawa39014 жыл бұрын
@@rubyshamlaha2181 yaan wanawake wote tunataman kuish hvy na watoto wetu lkn hatutaman waume zet wawe hvy na mama zao😁😂😂😂😂😂dunia n kigeugeu🏃♂️
@farajajuddy38714 жыл бұрын
Hapo ndipo huwa namuekewa Nasib mpk basiii!mama kwanza bwanaaa!mahusiano tunakutana nayo tu lkn mama nilikuwa nae na nitakuwa nae mpk mwisho
@sixbertkigomakwetu77424 жыл бұрын
Jaama nnachomkubali ni mpambanaji na anatumia fursa vizuri akiipata haipotezii beast simba
@lynnatasha60144 жыл бұрын
DIAMOND ni bingwa ,na atafanikiwa vyema.simba!!!!!
@alibell52463 жыл бұрын
Wallah nilzani duka kumbe nyumban kwa simba duh hatar aiseee
@susanruo80874 жыл бұрын
Mmmmmh mbona quarantine yao ni raha 😂😂.... mpaka na guitar, na miziki.... Anyways, life is too short. Even with corona, life has to go on
@khadijaomar27234 жыл бұрын
😄😄😄
@fortunatedominic78454 жыл бұрын
Sasa hilo guitar jmn litasababisha contamination na watu wa nyumbani....kwa sababu sasa anakutana na watu wa nyumbani. Au mi celewi jmn.
@susanruo80874 жыл бұрын
@@fortunatedominic7845 yaani hawa jamaa waacha masiara na hii virus. Hii sasa ni quarantine ama ni vacation jameni 😕😕
@maujanjatv24h414 жыл бұрын
Susan Ruo ulitaka wakakae kimya kama mcbani wanasubili maiti..!!??
@maggiewambui87684 жыл бұрын
Yaani siku tisa simbaaa bila mwanamke,,,,itavunja rekodi hii
@fatmaaly30564 жыл бұрын
😆😆😆😆
@mariasixmund79644 жыл бұрын
😁😁😁😁
@mu-crzymahez92294 жыл бұрын
kun watu tangu wazaliw
@lenamedia62084 жыл бұрын
Hahahhaha
@barakajuma7194 жыл бұрын
Maggie wambui duuh
@mazootboy0064 жыл бұрын
Kamaa du anakuwa zombi...hehehe my pain killer umeweza...natunga wimboo nayoo hio
@mussataliye78154 жыл бұрын
Kama umesikia corona gang gonga like apo
@christabella23294 жыл бұрын
Yani konde gang
@gmtkasbusinesses41203 жыл бұрын
Pasisbs
@oscarmick80274 жыл бұрын
Corona boys kama umeskia like hapa
@mulyungi14 жыл бұрын
Very funny
@ilovuguyssandimu65084 жыл бұрын
Haaa
@sethyotham72654 жыл бұрын
Diamond platnum..pamojasana
@sundayandrew50074 жыл бұрын
Sasa hilo gitaa akija nalo si itabidi nae akae karantini
@aminathaabubakarmasoud5654 жыл бұрын
All the best Abdul,,, love you mdogo wangu👍👏👏👏
@jonhsoncrispo24624 жыл бұрын
Kama umeona mondi akizima taa juu ya bili ya umeme ngonga like
@sittianya57494 жыл бұрын
acha ufala aogope bili ya umeme apo umelipa ww
@5facts604 жыл бұрын
Kwani kiwanda hicho kiwe Na bill ya Umeme hapa luku tu
@xclassic40684 жыл бұрын
I wanna be in this Quarantine too 😭😂😂😂 trap house 🏠 food drinks and strictly invites ONLY
@mutalemwagabrie97914 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mutalemwagabrie97914 жыл бұрын
Also to me😂😂😂😂😂
@masoudjuma81534 жыл бұрын
kama umesikia chafya boy gonga like hapa
@dokta_suley4 жыл бұрын
tujuanee kama una mkubali simbaaaaaaaa
@fatimamohammed23324 жыл бұрын
hahahahaah mama dangote anataka apimwe korona hahaaha
@idrissatuppa39974 жыл бұрын
Hiv hawa kwenye ile hesabu ya watu 22 wapo au ndy wamejipa wenyewe.quarantine yao.
@fatmarashim63534 жыл бұрын
Mungu awasimamie musiwe na Mr Corona 😢🙏
@yusufmwangichannel66924 жыл бұрын
Hapa ni movie tu imetengenezwa tu ili watu waingize hela lakini hakuna cha Corona wala Karantini
@sarahhamisi20704 жыл бұрын
mond pima vizur/ twakupenda" ujue usitufanye tukaliaaaaa mungu mlinde/,huyu kiumbe
@yusuphally1314 жыл бұрын
Sarah Hamisi amen 🙏🙏
@praxedadominic98644 жыл бұрын
Amen
@hadijalukasmdeg99874 жыл бұрын
mimi sina ushabiki na daimond ila kwa hili tatizo la dunia mungu awanusuru timu yote mrudi salama bado tunahitaji uwepo wenu
@franklinemoi85164 жыл бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏
@promaxemweli4 жыл бұрын
You yourself too can keep distance from each other, Either of you might be carrying the virus and is yet to show the symptoms but can spread.
@remiusmayeye75574 жыл бұрын
Diamond please hold on please cause I want to become asinger in future and sing with u course ur the most special and good ❤️ singer in Tanzania so the I worship won't let u guys have corona please trust me I pray for u guys to the end
@iddiadam8574 жыл бұрын
Hizo thermometer mnanikumbusha nilipokuwa semester ya kwanza nikisoma heat na simple harmonic. Zinaitwa thermocouple. Mngetumia pyrometer ni nzuri haihitaji kugusa mwili.
@jescagabriel60704 жыл бұрын
Nomaaaa sanaaa
@emmyyahya83584 жыл бұрын
Ety mmoja wenu akionyesha dalili km zombi mnamcholesha 😂😂😂😂😂 fala sana
@chrissymahunja52484 жыл бұрын
Hahahahahahaha ulivo ierezea imenijia muvi ya BRAD PIT WORLD WAR Z walivo kua wanacholeshana
@aminaramdan32834 жыл бұрын
Mie nilijua ni duka la nguo na viatu.kumbe kwa baba lao home kwake 😷
@user-bv8ql2qs6x11 ай бұрын
Mmmhh huyu Simba kweli
@mamumiyaskitchenvlogs58582 жыл бұрын
Mama's boy MashaAllah Naseeb n her mom feels me with ma boys So free this is what we call building good relations with our kids
@melkiorgodfrey69804 жыл бұрын
Mmmhhh Mondi Dermark Dortmund.... Apa umetuchota mzee😁😁😁😁
@neemamkumbo25844 жыл бұрын
Bonge la mchoto aiseee
@bigbossmanbossman69464 жыл бұрын
Hii ni deal kutoka (WHO) diamond anapiga hela
@mufasamufas60234 жыл бұрын
Sio deal lakini diamond kwake kila kitu kwake ni issue ya kupiga hela Mondi ni mfanyabiashara
Im here after corona run away☺😂 .... Whos with me...
@sayunmartin5884 жыл бұрын
Mbona atariiii✨✨
@seaboymohamedi1014 жыл бұрын
Mmesikia kwamba corona ilienda sumbawanga ikakuta amna m2 😂😂😂nabongo navyo ijua corona itaondoka kwakusemwa2 wabongo wambea na bd corona ijakutana na mijoolo na mia 40 vile michungu itaondoka2 ila gong like twende saw tz
@abdillahahil62314 жыл бұрын
Mbavu khaah
@umojaafrika24474 жыл бұрын
"Korona geng !" Nimecheka kutoka Ufaransa !
@assiakwinnj49104 жыл бұрын
Mmejitenga au mmetengwa NA serikal
@anuarguni84924 жыл бұрын
Jamn wamejiteng ili kama walikuw n ugonjwa wasisambaze
@debbycharles28624 жыл бұрын
Mungu awasaidie mdikutwe na virusi Inshaalah 🙏🙏nawaombea
@emmyyahya83584 жыл бұрын
Chiz wew 😂😂😂😂😂
@sumaiyyaurassa99954 жыл бұрын
Nakupenda
@Mwita._v3 жыл бұрын
Diamond anasoma temperature na amevaa sunglasses 😂😂🎃
@njikumkenji36764 жыл бұрын
Nakubali wcb 4 life
@kgmillionaire4 жыл бұрын
Thank you for the story 👌👌👌👏👏
@abduljvo55494 жыл бұрын
Yani mmoja wetu akionesha dalili tu kama mmmh!! Ebana anakuwa zombie.. tunamchoresha
@soduxrashol24804 жыл бұрын
😂😂
@gullaalex65904 жыл бұрын
😂😂😂 Jaman
@saudaclaris70954 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@saidymohammedy574 жыл бұрын
😂😂
@metrineemali68964 жыл бұрын
Mna shida moja tu!!! Hamjawai like comment yeyote...... Fans am I saying the truth?
@ilovejesus93034 жыл бұрын
Diamond show us your home one day please. Ipo so so amazing jamani
@paulgilbert48694 жыл бұрын
Watu weusi dio taifa la mwenyezi mungu ngozinyeusi ni ngumu lakini hungonjwa unashika mungu atushidie shida hii na dada lili za corona ni zipi niambien nijue vizuri sana baba lao
@mayaaymaan59804 жыл бұрын
Huku nikikuwatch love bado na soma na comment yani ata nikikereka sijue kabadili wasichana just love u Diamond ila settle down insha Allah na zari km bdo inawezekana ila sahau kbs mobeto nice time keratin 😌😌iko saw hiyo keratin
@zuhenambelenje63704 жыл бұрын
Mimi mwenyewe nilijua Duka kumbe mkabati wa Simba..somchezoo
@frolentfelix20594 жыл бұрын
Mond we noma kuwa na mziki mpya basi ukahuite karantini
@ruthurassa22304 жыл бұрын
Hata Mimi nilijua duka la nguo kumbe ni za mnyama Simba mwenyewe😂😂😂😂 hatari sanaaa
@brendaatieno9054 жыл бұрын
Diamond😘😘
@dangotetv94614 жыл бұрын
Kumbe dyemondi ni deleva hatalee
@zenamadhan25174 жыл бұрын
Mungu angemjaalia uyu kijana kutafuta umasikini yy n familia yke..ana talent tafauti tafauti
@zenamadhan25174 жыл бұрын
Mungu kaamjalia kutafuta umasikini na kuenua familia yke..mungu awazidishie bidii
When Luoland is busy naming there children Corona Atieno. Coronaviruses Oketch... Wasafi are making money
@danneismail54424 жыл бұрын
Not funny
@brendaa.52224 жыл бұрын
Like seriously, must you mention names nkt mcheeeew
@sarmamchaga30794 жыл бұрын
Yousef Eshaq pw mond nakukubali sana
@othinielkamyola72694 жыл бұрын
YAAP! HIO NDOO AKIRI,TUMIA CHANGAMOTO KUWA FURUSA WASAFI WAPO VIZURIII TUSIKALIE KULALAMIKA TU
@danielkiarie98474 жыл бұрын
Daaaa! Nlidhani n duka la nguo kube nyumba jamani mungu tulimkosea wap kabariki wengine......... Shukuru
@josephabel76544 жыл бұрын
Nipe chengine😂😂😂
@Bantushine_film4 жыл бұрын
Dah diamond anajuwa kazi ya u doctor na kupima wagojwa
@jojininga16664 жыл бұрын
Kwadaimondo arivyojiwekeza ata asipoimba hanakulabata mpaka kufa nafiliziki
@captenndunga61994 жыл бұрын
Usiongopewe kama pesa haiingii inatoka tuu kuisha ni fasta kulingana na matumizi mtu aliyozoea.. ukipewa wewe utatumia mpaka kufa kwa kua unatumia alfu 5 kwa siku ila kwe yeye anaetumi milion kwa siku kufulia ni fasta tuu kama pesa haizunguki.
@williammbuzimai57444 жыл бұрын
Mmmmmh HANAKULABATA!!!
@pelusiemanueli69264 жыл бұрын
Kama umeona mod. Amevaa Ereni gonga like twende saw