MAJIBU KWA SHEIKH SAID ALI HASSAN | FUNGA YA ARAFA NI KUFUATA SAUDIA | Muhammad Bachu.

  Рет қаралды 43,095

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

Ай бұрын

Пікірлер: 585
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 Ай бұрын
Wa kwanza kulike nipeni zawadi zangu wadau Ma Shaa Allah nipo karibu Sana na hii chanal Ma Shaa Allah
@user-fq6iw1pb7q
@user-fq6iw1pb7q Ай бұрын
Safi sana muhammad allah akubariki na amtie peponi baba ako
@hamidaawadh9024
@hamidaawadh9024 Ай бұрын
Aamiin
@fatmasuleiman2710
@fatmasuleiman2710 Ай бұрын
Sheikh okoa nafsi za watu ,watu wana masikio lkn hawssikii subhanaaAllah ,Allah akuhifadhi u r doing great job mashaaAllah.
@SamhatPandu
@SamhatPandu Ай бұрын
❤Mashallah Allah azidi kukupa ilimu ili utuelimishe na uwafunze wenye kupotosha watu. Allah akulipe khery Dr Muhammad bachu. Yni Leo umetumia ilimu na hekma kubwa sana ktk majibu ulomjibu uyo sheikh Allah akuhifadhi❤
@HamisAbdallah-cj2sc
@HamisAbdallah-cj2sc Ай бұрын
Mimi KUANZIA Leo WATOTO WANGU hawataenda kwenye maulidi am a NDIO haya unayoyasema MTUME uwa anakuja kwenye maulidi !!! Sasa mbona hawayaweki bayana haya unayoyaaema.ALLAH ATUNUSURU.
@JK-um6op
@JK-um6op Ай бұрын
جزاك الله خير الجزاء شيخنا الفاضل محمد باشو ونفع الله بك.
@MamaYussuf
@MamaYussuf Ай бұрын
A alykm hii n comment yng ya mwanzo, nmefurah sana kwa kuwazndua weng Allah akulinde na akulpe kila lakher
@hansimassirhassan8154
@hansimassirhassan8154 Ай бұрын
Barakallahu fiikum sheikh Muhammad bachu Allah akuhifadhi amiin
@ExcitedChefHat-ef5jt
@ExcitedChefHat-ef5jt Ай бұрын
Jazzakallah Tabarakallah shekh muhammad bachu Allah akuhifadh na akubariki sana. Ukweli mtupu ulio sema . Makhurafi hawana hoja bali bid'ah na ujuaji mwingi tu. Allah atuongoze na atuepushe na watu madhalim .
@ExcitedChefHat-ef5jt
@ExcitedChefHat-ef5jt Ай бұрын
Sio muhimu kuwafuata watu wa Makka wakati kuna tofauti katika muandamo wa mwezi mpya. Hii ndiyo mitazamo sahihi zaidi ya wanachuoni, kwamba kila nchi ina muandamo wake inapotokea tofauti kuhusu hilo.
@RamaNassry
@RamaNassry Ай бұрын
YA'ANI WE MUHAMMAD BACHU UNAJUA{ALLAHUMA BAARIK ALAYHI}🤗🤗🤗
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr Ай бұрын
Ustadh Bachoo tumezoea unapokosoa unaelekeza kurekebisha Maneno aliyosingiziwa au ufahamu wa shekh sasa tunaomba tupate faida kweli ibnutaimia kasema maneno aliyosema huyu Shekh ahsante
@dullahbatuf9223
@dullahbatuf9223 Ай бұрын
Mashallah nakuelewa sana umenizindua kwny mambo mengi wallah Allah(sw)akupe nguvu na afya njema ktk kuipigania dini yake
@amisafaraji5796
@amisafaraji5796 Ай бұрын
Allahumma aamin 🤲
@IssaBachuMuhammadjr-rr3ri
@IssaBachuMuhammadjr-rr3ri Ай бұрын
Dalili tosha ndio hio mashaAllah Mungu atuongoze pia wewe Bachu Nakupnda wallahi kwa ajili ya haqqi.
@user-qo8uj1ym4m
@user-qo8uj1ym4m Ай бұрын
ALLAH ATUONGOZE KTK NJIA ILIYO ONGOKA AMEEN
@ajmographic-ur1ix
@ajmographic-ur1ix Ай бұрын
Amin
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 Ай бұрын
Anaitwa mzee wa ufasaha like father like son
@abdulbandari1551
@abdulbandari1551 Ай бұрын
Improved genes: more than the father.
@HusnaKombo
@HusnaKombo Ай бұрын
Hkn kiumbe fassha alkamalu lilah
@user-me2dj4jd1t
@user-me2dj4jd1t Ай бұрын
MashaAllah
@d15355
@d15355 Ай бұрын
@@abdulbandari1551 ndio mnavyojidanganya hivyo mawahabi?
@abdelazizmuombwa4714
@abdelazizmuombwa4714 Ай бұрын
Twamuomba Allah akuzidishie Elimu ili nasi tuweze kustafid.
@DarlinKuchage
@DarlinKuchage Ай бұрын
Allah akulipe Kila lakheri tuna stafid kutoka huku moshi kilima njaro
@Khalid-mf3iu
@Khalid-mf3iu Ай бұрын
Tumewapa Uthmaan Maalim wakatupa Muhammad Bachu....watanzania hawajui walicho kipoteza
@tariksalim2659
@tariksalim2659 Ай бұрын
MashaAllah sheikh wetu,endelea kutuongoza kwa njia ya haki na Allah atakulipa kwa hili InshaAllah
@Ibunmaulanashirazy-sn5ui
@Ibunmaulanashirazy-sn5ui Ай бұрын
UNGESEMA YALE MANENO SIYAKE IBUN UTHAIMIN UMEMSINGIZIA KAMA NIYAKWELI BASI ACHA WATU WAFUATE
@ommarysaid7391
@ommarysaid7391 Ай бұрын
Masha'Allah, Sheikh Muhammad Bachu Umetumia Elimu Yako Vizuri Kuelimisha Umat Muhammad 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@swafiaismail-ji1op
@swafiaismail-ji1op Ай бұрын
Mashallah ya sheykh allah akuhifadhi akupe na umrii umma tufaidike mashallah baraka llahu fika
@user-fe8rp5lt8n
@user-fe8rp5lt8n Ай бұрын
Jamani huyu kijana anaonekana anauelewa mdogo maskini lakini ajiona amepatia kweli na inaonekana watu wengi wanaokomenti wako hivyohivyo shekh uthaimini kwahapa amezungumzia ibada ya hija kule maka yatekelezwa kwa kuzingatia mwezi wa maka ima fatwa ya funga ya arafa ameitanguliza
@ambarimwajuwa3870
@ambarimwajuwa3870 Ай бұрын
HAJAELEWA KWAMBA HIZO NI FATWA MBILI TOFAUTI
@khadijaabdulrazak8008
@khadijaabdulrazak8008 Ай бұрын
Sikiliza kwa roho ya ukunjufu tufaidike sote wapita njia
@Jumaa-rp5ye
@Jumaa-rp5ye Ай бұрын
ujinga ni mzigo
@zuberhamza7852
@zuberhamza7852 Ай бұрын
Mtihani Nahwu ni kitu kingine Unatakiiwa utulize akili naona bachu anaongelea tofauti
@omarjuma3793
@omarjuma3793 Ай бұрын
Mpaka msemeeeee mpaka haqqi ijulikane
@abdallahhalifa5860
@abdallahhalifa5860 Ай бұрын
Sheikh shukran sana Allah akubariki kwa kila Kheyr.Lkn Sheikh ningeomba kufahamishwa kitu cz mm c kusoma lkn kuna Mengine hayahitajii usomi.kuuliza Swali langu ni hilii Kabla hakujaingia Mitandao Mababu zetu waliifaidi Vipi hii Funga ya Arafaa kabla ya mitandao kuwepo chengine Fat'wa ya Said Hassan na yako zote zipo kwa hiyo Majmuul fatawa ya Sheikh Swaleh RahimahuLlahu Sasa tuelewe vipii huoni km huo ni mgonganoo Shukran sana
@user-fq6iw1pb7q
@user-fq6iw1pb7q Ай бұрын
Safi sana muhammad allah akuhifadhi
@Yasminaslamaslam
@Yasminaslamaslam Ай бұрын
Simba Mohamed Nassor Bacho,Allah akuzidishie ilmu na hekma na ubusara
@amazing_ERA
@amazing_ERA Ай бұрын
Jazakumullahu kheir fii dunia Wal akhera
@fatmasalim7132
@fatmasalim7132 Ай бұрын
Maa sha Allah! Shukran sana Sheikh Allah akulipe kheri na akuhifadhi daima.Aamin.
@salumtakao9828
@salumtakao9828 Ай бұрын
Mashallah .dhekh muhammad ww ni kiboko yao. Wabkishe ukaidi tu ila kauli zipo waz wazi hizo. Watu wa twarika waache ubishi na kupotosha
@fatmasuleiman2710
@fatmasuleiman2710 Ай бұрын
Kiboko kabisaaa.
@AmiriRashidiMajinji
@AmiriRashidiMajinji Ай бұрын
A.alaykum sheikh bachu,ndg yangu pole sana,wote nyingi mnatngaza na kujifurahia makundi yenu tu(madhehebu)kama unavokariri bila haya ati wewe ni muwahabi!! Hebu tuirejee 22:78 kisha 3:103,105 na 30:32 halafu utufafanulie umeyaelewaje na ulinganishe na maneno yako uliyoyatamka ktk mada ya arafa,tafadhali tuifuate qurani ndg zanguni.
@swalehahmad8947
@swalehahmad8947 Ай бұрын
DR ALI JUMUAH SIO MWANACHUONI WAKISHAFII NDIO MAANA HAKUTOWA FATWA KUTEGEMEA MADH'HAB YA AL IMAAM SHAAFI3YY KWA HIVYO HATUMTEGEMEI KATIKA SWAUM YA ARAFA HATA KAMA NI WETU WA TWARIQA ... SI NYINYI PIA MUMEMUWACHA MKONO IBNU UTHEYMIIN KATIKA MUANDAMO WA RAMADHANI !!!!! KIELEWEKE..
@Mahli1995
@Mahli1995 Ай бұрын
Ma shaa Allah Sheikh wtu Allah akuhifadhi akupe umri mrefu uzidi kutuongoza kwa njia ya sawa
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 Ай бұрын
Kijana wallah bado sana kweli afu tena aona anajuwa
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 Ай бұрын
Wewe ndo Bado sana shehe zenu wanatumia sana uongo kama anamfatilia bin uthaymeen kwanin asione hayo maneno hapo kuhusu hija na ayanukuu tofaut na maneno yanayohusu ramadhan? Shehe bacho kumuomba vizur tu Kwa heshima kwamba akasome tena hiyo miatar Wala hamna tusi hapo
@abuuaidh6500
@abuuaidh6500 Ай бұрын
Kijana huyu bado Sasa ww ulokuwa Tayari yapinge hayo kihoja.
@yussufsule4793
@yussufsule4793 Ай бұрын
Humjui wewe huyu Like lion kwa watu wa bidaa
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 Ай бұрын
@@yussufsule4793 kkkk kakimia kamezesho mate mombassa na kutoroka hadharani nAni hakuoba
@sama-_8368
@sama-_8368 Ай бұрын
Yaani ni kweli BADO SANAAAAA
@shuaibalula9003
@shuaibalula9003 Ай бұрын
Mashaallah Allah amuhifadhi sheikh wetu
@user-py3cb3kx9p
@user-py3cb3kx9p Ай бұрын
الله يزيده الإخلاص والمتابعة ، بارك الله فيك يا شيخ
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp Ай бұрын
Wananukuu yale wanayotaka wao tuu ila ALLAH anawajua zaid nafsi zao
@AshrafBunu
@AshrafBunu Ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh wetu
@timermedia3509
@timermedia3509 Ай бұрын
Hapo ndo ujuwe pia uwahabi ni chombo cha kuwapeleka watu motoni. Kumbe ramadhani shekh wao kasema wafate kwenye mji walo kuwemo ndani ila wafuasi hawajiulizi wanakazi ya kuwatukana masufi mtachelewa sana minyoo ya saudia.
@SurprisedCurling-si9yr
@SurprisedCurling-si9yr Ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh nassor ... shukran
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 Ай бұрын
MashaAllah, jazaka Allahu kheira, umetoa faida kubwa
@yussufsule4793
@yussufsule4793 Ай бұрын
Alhamdu lillah kwa kuujua ukweli zamani tu na sina shaka na Arafa moja tu tena ipo makkah
@user-uj2ym8ku8p
@user-uj2ym8ku8p Ай бұрын
Sijawahi kucoment ila leo niseme2 حفظك الله
@zuberhamza7852
@zuberhamza7852 Ай бұрын
SHEKH BACHU NUKUU VIZUR ALOYASEMA SHEKH MIMI BINAFSI SJASKIA KAMA KASEMA ANAMFATILIA SANA ANAMSOMA SANA LAA KASEMA ALIPOENDA ARAFA KAKAA KWENYE DARSA YAKE MPAKA IKAMALIZA NA AKAENDA KUMSALMIA
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Ай бұрын
Nmeamin kweli masuufi n masifa tu virembaa😢 vikuubwaaa uelewa ni punje ya mchele! Alaf masufi ni wavivu kusoma !!!
@binaamour318
@binaamour318 Ай бұрын
Huo ndio ushabik wko ulivofikia badala kujua kwamba suala hili Lina ihtilaf kauli nyingi unaanza kushtumu masufi ?
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Ай бұрын
Hakuna ikhtilaf wowote ya suufi jaahil, utakosa fadhiila ya arafa na kukosesha ummah pia. Unajifurahisha na ikhtilaf na kupotosha watu​@@binaamour318
@jamalijamali6820
@jamalijamali6820 Ай бұрын
Acha kuwatetea masufi​@@binaamour318
@swalehbakari2667
@swalehbakari2667 Ай бұрын
😂😂😂 kabisa
@amisafaraji5796
@amisafaraji5796 Ай бұрын
Unapotea ilihali ni muislamu. Badala ufatwe nyia sahihi unaleta ushabiki kweny dini
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 Ай бұрын
Masufi hua wanaumia wakimskia bachu anawaharibia sahani zao za kulia wanashtuka sana bachu is here to stay Bi Idhnilaah
@alwysalehmohamedalammary3507
@alwysalehmohamedalammary3507 Ай бұрын
Mashallah Mashallah Allah akujalie afya njema na akupe elmu.
@YarmanAljahhdiry
@YarmanAljahhdiry Ай бұрын
Shekh allah akuhifadhi ila unapozunguza jaribu kuwa nauwangalifu na unachokisema
@SalumNyumba
@SalumNyumba Ай бұрын
Watu wa muridi (twariqa) wanaharibu dini ,Allah awaongoze ktk haq
@user-kc4fv6cf8l
@user-kc4fv6cf8l Ай бұрын
Kwahiyo qarne 14 watu waliokuwa wakifunga kwa muandamo wao akiwemo mtume SAW ilikuwa saumu yao sio sahihi ?
@Nusrat_Khalifa
@Nusrat_Khalifa Ай бұрын
Hapo sasa…?! Manake social media haikuwepo wakati wa mtume alafu sheikh asema miji ya kiarabu ama?
@user-ye3fy9kk6r
@user-ye3fy9kk6r Ай бұрын
Hao wanapewa udhuru,hukmu itazingatiwa baada ya kujua kila kinachoendelea hapo Makkah
@user-kc4fv6cf8l
@user-kc4fv6cf8l Ай бұрын
@@user-ye3fy9kk6r Na mtume SAW alikuwa akifunga kwa muandamo wake kwahiyo na yeye apewa udhru ? Kisha hebu tuambie mtume alikuwa akifanya ibada za siku kumi za dhu alhija kabla ya kufaradhiwa hija , sasa alikuwa ikifanya kwa mujubu wa hija gani ?
@KhamisHaroub-uj5ci
@KhamisHaroub-uj5ci Ай бұрын
Simba wa Allah ❤️❤️❤️ unajuwa mpaka unajuwa tena Allah akulinde
@user-rq3yj8vi8b
@user-rq3yj8vi8b Ай бұрын
Shekh Muhammad bachu Allah akuhifadhi uzidi kuwelimisha umma
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 Ай бұрын
IBADA YA ALLAH NI MIEZI MIANDAMO TU.
@antoniousinbird9008
@antoniousinbird9008 Ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh
@DR.SAIFILLAH.5363
@DR.SAIFILLAH.5363 Ай бұрын
WALLAHI BILLAHI TALLAHI KAMA MUTAMUANGALIA KWA UTULIVU SANA HUYU BACHU MUTAKUTIA NI MNAFIKI NA SURA YAKE NI YA KINAFIKI .
@abdulmwakubambanya9091
@abdulmwakubambanya9091 Ай бұрын
Barakh Allah Kher sheikh
@khadijaabdulrazak8008
@khadijaabdulrazak8008 Ай бұрын
Mashallah tabarakallah jazakallah kheir Allah atuongoze cc na vizazi vyetu amiin
@user-je6qh6it5w
@user-je6qh6it5w Ай бұрын
Kama waislamu wa sasa wanakoseswa kufunga arafa na masufi, hao waliofunga zamani vip wote waliipatia au dini inabadilika badilika kama kinyonga. naomba elimu katika hili.
@user-dl1mg2qf4n
@user-dl1mg2qf4n Ай бұрын
Binafsi Mungu ataenda kuniuliza kuwa kanipa ufahamu kutofauti zuri na baya , duniani kuna kukosea na kupatia,, binafsi Mambo ya Ki sunna hayawezi kunitoa kwenye mstari , Kuna Hijja na Kufunga ni ibada mbili tofauti, Alio Hijja hawafungi basi tunaofunga ni sisi tusio hijja😢 sasa sioni haja ya watu kuwa wakali kiasi hiki
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Ай бұрын
Well said. Shukran
@MaryamRashid-yw1wx
@MaryamRashid-yw1wx Ай бұрын
Umejichanganya leo
@Hawwamajidy
@Hawwamajidy Ай бұрын
Umejichanganya sana bachu Acha nikusaidie hyo fatwa ulotoa ww HAPO IBNI UTHAEMEEN ANAKATAZA MAKKA KUFUATA MIANDAMO YA NCHI NYENGINE YAAANI MAKKA ITAZAME TU MUANDAMO WA SAUDIA ILA SIO PENGINE leo bachu nimeona kumbe wasoma sana ila huelewi ulichosoma Na NDIO MAANA MAKKA HAWAFUATI MUANDAMO POPOTE DUNIANI
@bashirusalumbigapsana673
@bashirusalumbigapsana673 Ай бұрын
Huo ndo ukweli
@mohamedlamimu
@mohamedlamimu Ай бұрын
Halafu kwa makusudi baada tu ya kusoma hicho kipengele badala ya kutafakari kwa kina majibu ya sheikh Uthymin anakurupukia kwenye mada zingine, hii ni dalili ya mtu mdanganyifu!
@misbahukhalifa3216
@misbahukhalifa3216 Ай бұрын
Ndugu yangu Bachuu kasome tena kasome tena kasome kumjibu Sheikh said Ali Hassan. Hata ukucha wake huupati.
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 Ай бұрын
Nyie ndo vichwa mboga waambien mashehe zenu waache uongo huyo shehe wako katoa dalili kwenye kitabu Kwa kukata kata vipande mwambie asome maelezo kama alivonukuu Muhammad bacho mana kitabu ni hiko hiko😂
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 Ай бұрын
Halafu video inavianza mwanzo tu inaanza na video ya shehe wenu wa kisufi mkubwa tu anaitwa shehe jumaaa anasema Arafat ni Moja siku wakisimama wahujaji na ramadhan watafuata Kila mtu mwez wao Sasa sheikh wenu Saidi na huyu sheikh jumaa mkubwa nan kielimu? Au hujaona hapo iyo video
@misbahukhalifa3216
@misbahukhalifa3216 Ай бұрын
Sasa tuko kwenye maudhui ya Arafa umeruka kwenye Burdah. Al hamdulillah ​@@saidimkwinzu9106
@misbahukhalifa3216
@misbahukhalifa3216 Ай бұрын
​@@saidimkwinzu9106Ninge kujibu nanikutukane lakini Mtumi hatukani sawa sisi ni mboga lakini one day you will recover soon inshaAllah
@hadiyamohamed594
@hadiyamohamed594 Ай бұрын
Wewe na hio akili yako timamu unavyoona ni sawa arafaa jumapili kweli . Ulimwengu mzima wako makkah sasa basi watu wenge simama kila mmjoja na siku yake alivyotaka
@Athumaniomari-ge2gs
@Athumaniomari-ge2gs Ай бұрын
Maaashaaallah sheikh bachu Allah akuhifadhi kwkwel
@user-dl1mg2qf4n
@user-dl1mg2qf4n Ай бұрын
Sasa duniani kuna mashekh wetu na mashekh wenu😢 Subhanalla, kumbe mnashindana kwa mashekh na sio dini yetu ya Uislam,
@user-ms3nz5iz7z
@user-ms3nz5iz7z Ай бұрын
Wewe Bachu ndio hujaelewa hapo unatusaidia Sisi kumuelewa zaidi Shekhe Uthaimin
@LovelyBrain-wz7si
@LovelyBrain-wz7si Ай бұрын
Wewe ndo hujaelewa arafa ni Moja duniani
@user-ms3nz5iz7z
@user-ms3nz5iz7z Ай бұрын
@@LovelyBrain-wz7si sasa umeambiwa kuna wanofunga siku mbili?
@user-ms3nz5iz7z
@user-ms3nz5iz7z Ай бұрын
Soma
@isaack100
@isaack100 Ай бұрын
Lakini bhachu weee ,ywezekanaje ukaona mwezi leo alfajiri,kesho asubuhi ipotee alafu bado jioni iandame tenaa Allahu akbar
@JUMAATHUMANI-zx3tu
@JUMAATHUMANI-zx3tu Ай бұрын
Lete ingine hii bado hatujaielewa
@sultanmohammed4157
@sultanmohammed4157 Ай бұрын
Mohamed Bachu hana ilimu yakotosha na hashimu mashekh wengine.
@MariamAsudi
@MariamAsudi Ай бұрын
MashaAllah MashaAllah may Allah guide us all
@MkindiRama-lp6hy
@MkindiRama-lp6hy Ай бұрын
Mmmm nenda mambrui ukasome sasahiv dini imetekwa
@MkindiRama-lp6hy
@MkindiRama-lp6hy Ай бұрын
Anasoma mwe nyewe hajui anachokisoma bachoo
@user-bu8mn1dv2y
@user-bu8mn1dv2y Ай бұрын
Wataka kujikojolea tena
@mukhlisukamugisha9956
@mukhlisukamugisha9956 Ай бұрын
🎉🎉🎉 Allah akuthibitishe shekh wetu
@binbuhakhamis4336
@binbuhakhamis4336 Ай бұрын
JAZAKALLAHU LKHAYRY
@twahamkasi-gn1lo
@twahamkasi-gn1lo Ай бұрын
nakukubali Sana bachu
@user-tm2zk5gn4e
@user-tm2zk5gn4e Ай бұрын
Uko vizuri ALLAAH akulipe kheri
@ambarimwajuwa3870
@ambarimwajuwa3870 Ай бұрын
shaykh BACHU UMEKOSEA HIZO NI FATWA MBILI TOFAUTI SOMA VIZURI
@bashirusalumbigapsana673
@bashirusalumbigapsana673 Ай бұрын
Unaakili sana na uko makini🙏
@maktab3679
@maktab3679 Ай бұрын
Yaani bado hamujaona huyu kazi yake si kuendeleza ilimu bali nikupinga ma shekhe. Yaani akae tu kuskiza wengine awakosoe. Hii tabia c nzuri . Mungu atuongoze yaraby .
@ishakakhalid
@ishakakhalid Ай бұрын
am the first one . Gonga like
@MaalimKhatib
@MaalimKhatib Ай бұрын
Wallahi bachu huna hoja unaporoja tu hufai hata kusikilizwa habari ya maulidi inatokea wp hiyo mada ilikukokojoza na ukakimbia
@fatumajuma592
@fatumajuma592 Ай бұрын
Allah hapendi hivyo
@husseinislamicmediatv4376
@husseinislamicmediatv4376 Ай бұрын
hauna adabu wewe wala hautomfikia bachu hadi utakapo ingizwa kaburini
@Bombwejr18
@Bombwejr18 Ай бұрын
Kazungumzia Arafa ilivyo halfu akagusia mambo Ya sheikh ibn uthaimin kaongelea mambo Ya akida mbona amuyafatilii kama sheikh anamfatilia sheikh mwenzie
@cheapunderage8228
@cheapunderage8228 Ай бұрын
Acheni hujail nyinyi na chuki za kidin ktk madhheb
@user-pu2uw2ib5y
@user-pu2uw2ib5y 27 күн бұрын
Huna elim Muhammad Bachoo na huku ukijifanya unajua na ukiwa na kibri king Muhammad Bachoo unanyanyua mzigo mzito rudi kwa mola wako na mapema tunakoenda ni kuzito kaka
@masoud744
@masoud744 Ай бұрын
Mashallah.. allah akuhifadhi
@takwatakwa-on3si
@takwatakwa-on3si Ай бұрын
very wise answer from sh.Mohd Bachu to the khurafi said ali hassan.. Very sad they are trying to divert the truth but Allah has provided answer from a very young wise student of knowledge.. Subhana Allah said hassan will never have an answer for Bachu junior hafidhahu Allah.. Allah Akbar
@muhammadkhatwab
@muhammadkhatwab Ай бұрын
Huko juu si kuhusu ramadhani pekeyake, hukusoma swali ndiyo maana hukuelewa jibu Shekh utheymin amemjibu mtu ambae kwao tarehe iko tafauti akienda makkah atafuata makka Elewaaaa!
@SuweidJuma
@SuweidJuma Ай бұрын
Shukran
@sheikh_abdulkarim
@sheikh_abdulkarim Ай бұрын
Sasa mbona hapo sheikh bn ghuthaymin ajataja swaumu ya arafa hapo yeye kazungumzia mundamo na ibada ya hija unasoma na huku huoni
@bashirusalumbigapsana673
@bashirusalumbigapsana673 Ай бұрын
Unaakili sana
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Ай бұрын
Kijana wa Bachu watu thihirishoia upungufu wa elimu yako
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 Ай бұрын
Mm nauliza kwan sisi tumeambiwa tufunge mwez tisa au tumeambiwa tufunge siku ya arafa jamani mbona tunazongana zongana kwani mtume anasemaje sheikh bachu Allah akuhifadhi pamoja nasi
@youngtomuller-vh2pu
@youngtomuller-vh2pu Ай бұрын
Bachu Allah ti abençoe ❤❤❤
@husseinbachwa8372
@husseinbachwa8372 Ай бұрын
Allah azidi kukupa Afya na faham Alhamdulillah...
@k.kchakua1376
@k.kchakua1376 Ай бұрын
Maa sha Allah Jazaqallahu khaira
@maktab3679
@maktab3679 Ай бұрын
Mtume saw asema mukiona miezi . Ahhilla ni miezi hilal ndo moja . Kwa nn katumia miezi.
@challengepcn7982
@challengepcn7982 Ай бұрын
Hiyo Sauti ambayo umekwa siwo sauti ya Sheikh. Imeweka sauté on top of the video -
@allyjuma9669
@allyjuma9669 Ай бұрын
ماشاء لله بارك لله فيك
@maktab3679
@maktab3679 Ай бұрын
Sasa basi tuambieni miaka 50 iliopita wakati wa babu zetu hakuna simu wala tv walijuaje watu kule wako arafa??? Jiulize hilo halafu zingatieni. Au walikua hawali eid? Au walikua hawafungi arafa??
@khalidmziwanda9024
@khalidmziwanda9024 Ай бұрын
Hapo sasa tatizo watu hawataki kusoma wanafuata mihemko tu 😂
@user-hg7jb3ho2y
@user-hg7jb3ho2y Ай бұрын
Shukrani sheihewetu
@JamalAli-tz6pj
@JamalAli-tz6pj Ай бұрын
Ndugu yangu bachu twataka elimu lkn jaribu kukaa nao huku mkijadiliana sio lamatangazo ni ww tuu na yy basii ndio tutaelimika
@cheapunderage8228
@cheapunderage8228 Ай бұрын
Iv ww ni muelewa mmh au na ww unafuta mihemko..yy alisha sema km kwa shekh anae fikisha kwa njia ya media anafikishiwa kwa style hiyo hiyo kutokana na watu walisha potoka kwake
@swalehali3037
@swalehali3037 Ай бұрын
Hii raddi imfikie shekh izzudin pia.
@suuahmed71
@suuahmed71 Ай бұрын
Izudin hana haja kuskia hii coz izudin ni msomi. Na pia amemfuata huyo shekh wenu Sheikh Uthaimin. Nyinyi mwahabi hamujielewi. Pia ma sheikh wenu hamuwafuati
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 Ай бұрын
@@suuahmed71 Wanapingana wao kwa wao na mashekh kwa mashekh, yaani wao wanajiona ndio wasomi wakubwa na wenye elimu yakutegemewa na sio waislam wengine na ndio maana hata huyu shekh unaona kwenye video zake anajaza vitabu vingi ili watu wamuone ni msomi haswa, Hatukatai kulingania uislam kwa waislam na wasio waislam ila iwe kwa misingi ya uislam sahihi na mafundisho sahihi na sio mafundisho ya madhehebu yetu au itikadi zetu tunazinasibisha na uislam na kuwa aminisha watu na waislam kua ndio sahihi.
@HassanMorowa
@HassanMorowa Ай бұрын
sheikh izzudin ashatowa challenge kuhusu hii tafsiri aloitowa Bachu. Birrr angalia hap.kisha umjibu kzfaq.info/get/bejne/btiEeZyomtfRZGw.htmlsi=omroVwAfZir_144S
@SalumNyumba
@SalumNyumba Ай бұрын
Ostadh Bachu allah akuhifadh
@suleiphwaupendo1030
@suleiphwaupendo1030 Ай бұрын
Asalam alaykum sheikh Allah akulipe kheri na akuhifadhi lkin tukitizam hiz clip matangazo yanakuwa mengi hususwa ya kuchukuwa mkopo wa riba jitahidi kuyaondowa Allah akulipe heri
@cheapunderage8228
@cheapunderage8228 Ай бұрын
Mmh mbn me cjaonaaa
@nasoros.mgungo5502
@nasoros.mgungo5502 Ай бұрын
Kweli Hali Ni mbaya leo Masufi ndio wakutangulizwa mbele ya kina Fawzan na Masheikh was SaudiArabia.
@Maresca368
@Maresca368 Ай бұрын
Shukran sana sheikh Bachu!
@gelamuyombo6783
@gelamuyombo6783 Ай бұрын
Kila mwama nyie ni watu wa mashaka juu ya ibada ya funga majibu mnayopewa na viongozi wenu huwa mnayatilia shaka
@amisafaraji5796
@amisafaraji5796 Ай бұрын
​@@gelamuyombo6783hatuyatilii shaka tunaekana sawa tu
@khamismussa6258
@khamismussa6258 Ай бұрын
Masha Allah
@faridijuma6020
@faridijuma6020 Ай бұрын
Good job 👏
MAJIBU KWA KIBARAKA WA QASSIM MAFUTA JADIDA HASSAN WAZIRI || Muhammad Bachu
1:06:29
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 22 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 61 МЛН
QUR,ANI NI MUUJIZA , Sheikh Said Ali Hassan
1:02:41
Markaz Swalihinal- islamy Mombasa Kenya
Рет қаралды 4,8 М.
NAMNA ALIVYO ROGWA NABII MUHAMMAD (S.A.W.) SHEIKH MSELEM BIN ALI
1:22:05
SHK.MSABBAH UBABE HAUWASAIDII KITU LETENI HOJA HUU NDIO UTARATIBU MZURI KWETU
21:23
MAJIBU JUU YA URONGO WA ALI ABUBAKAR || SHEIKH MUHSIN ALI BUTE
20:29
Markaz Swalihinal- islamy Mombasa Kenya
Рет қаралды 7 М.
TUMIA OFFER YA UMRI WAKO / SHEIKH HASSAN AHMED
43:34
FADHAKKIR CHANNEL
Рет қаралды 32 М.
KHUTBA YA IJUMAA MSIZITAKASE NAFSI ZENU SHEIKH MSELEM BIN ALI
40:00
ПОЛНЫЙ ФНАФ В РЕАЛЕ - ПОЧТИ ФИЛЬМ
17:22
CLANCY 🦞 Operation Squid Ink (New Animation)
0:58
Brawl Stars
Рет қаралды 2,2 МЛН