Makonda alivyoamuru Mwenyekiti mwingine akamatwe katikati ya mkutano

  Рет қаралды 531,884

Millard Ayo

Millard Ayo

7 жыл бұрын

Mkuu wa mkoa wa Dar es salam, Paul Makonda ameamuru kukamatwa kwa mwenyekiti wa mtaa wa Zavala kwenye mkutano wa hadhara Chanika kwa tuhuma za kuuza ardhi kinyume cha sheria ikiwemo eneo lililotengwa kwa ajili ya kuhamishia wananchi wa kata ya Kipawa ili kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege.#DarMPYA

Пікірлер: 226
@fatemafatema4780
@fatemafatema4780 Ай бұрын
Mungu akubarik makonda napenda sana speech zako.mungu akupe nguvu kufatilia wanyonge hongera sana.❤❤❤
@DeoLyakurwa
@DeoLyakurwa Ай бұрын
M akonda jembe.chapakazi tetea wanyonge usiogope wachawi mungu anakupigania
@naimasaid7763
@naimasaid7763 5 жыл бұрын
Nampenda sana makonda anafanya kazi vzr sana
@georgemahembe4778
@georgemahembe4778 5 жыл бұрын
nakukubali sana mh mkuu wa mkoa mimi binafsi naridhika na kazi zako zote unazo tetea maskini na wanyonge mungu akulinde dhidi ya maadui wote
@smwakaglobaltv4010
@smwakaglobaltv4010 5 жыл бұрын
Hongereni viongozi kwa upasuwaji majipu, japo upande mwingine ni kudhalilishana mbele ya umma.
@ngederemkatamkaachuwakineg5239
@ngederemkatamkaachuwakineg5239 5 жыл бұрын
Makonda anapiga kazi sana sema ndio ivyo watu awampend ila kaz anapiga
@silverjoseph4577
@silverjoseph4577 5 жыл бұрын
Big up sana brother makonda Chapa kazi hakika uncle Magu hakukosea kukuchagua
@kelvin_papaa_ya_warembo8313
@kelvin_papaa_ya_warembo8313 7 жыл бұрын
safi sn rc M.hii nch(dar)kuna watu waliifanya yao kbs
@mstafaassan4707
@mstafaassan4707 6 жыл бұрын
upo vizuri mkuu wamkoa sana unafanya kazi sana mungu akusaidie sana watu. wanaonewa sana
@gregoryrobert920
@gregoryrobert920 5 жыл бұрын
kwa kweli mheshimiwa makonda bomba la mkuu wa mkoa adum adum daima
@mstafaassan4707
@mstafaassan4707 6 жыл бұрын
angalia haki mungu atakuuliza ulikuwa kiongozi ulifanya nini ila umefanya kazi nzuri
@khadijanjama9016
@khadijanjama9016 5 жыл бұрын
Hongera sana kwa serekali ya magufuli na watenda kazi wote hii ndio serekali
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 4 жыл бұрын
Safi mkuu wa mkoa. Salamu zikufikie toka kenya
@kubangaizamkundavi9676
@kubangaizamkundavi9676 7 жыл бұрын
MAMA ana busara za hali ya juu sana.Sijaona kama kuna sababu ya kufanyiwa hivi.Ilibidi wapate muda tu wa kumchunguza badala ya kumweka kwenye kisimamo cha namna hii.
@hassankayla4076
@hassankayla4076 7 жыл бұрын
@Katarina William, mumy hapo hakuna maswala ya chemba kwa maana kila kitu kifanyike hadharai ili wananchi waelewe nini kinaendelea. Nakupongeza mkuu wa mkoa bwana PAUL MAKONDA kwa kazi nzuri unayoifanya watu wakijua ugeni wako wanahaha hakuna mambo ya janja janja zama za MAGUFURI. Ayo tv ahsante kwa kutufikishia habar
@nawwaratm6323
@nawwaratm6323 7 жыл бұрын
makonda upo juuuuu nakuaminia sanaaaa wataelewa tuu
@emanuelndinde533
@emanuelndinde533 7 жыл бұрын
hongera makonda mungu akusaidie ulinde Mali y uma
@kishimbaboy5403
@kishimbaboy5403 5 жыл бұрын
Mh R.c Makonda njoo sehemu moja inaitwa Chekelen IPO mlandiz mkoa Wa pwan uje uwanyooshe Wenyevit Wa uko hawajui kuyatumia madaraka yao!!!
@akshaydavid159
@akshaydavid159 4 жыл бұрын
Makonda Hawezi kuja Pwani ila Dar tu.
@t33pelos77
@t33pelos77 7 жыл бұрын
kila la kheri makonda Mungu akusimamie ututetee wanyonge
@idrisarashidi4046
@idrisarashidi4046 6 жыл бұрын
Latifa Abdallah duhh! ama kweli binadamu tumepewa upeo tofauti wa kufikir😎
@samueljr9105
@samueljr9105 5 жыл бұрын
Safi good job mkuu wa mkoa
@aminamakacha6258
@aminamakacha6258 4 жыл бұрын
Hapa kaz tu Rushwa na uongoz wa kinafiki tupa kule
@happymsaki1720
@happymsaki1720 5 жыл бұрын
Mh makondo una huruma.sanaa naona hapo umeona kama unamsulubu mama yako ila ana makosa huyo mama jamani mama mbona unatuaibisha wamama wenzio nyakati hizi ni za TANZANIA MPYAA
@hermanaaron6945
@hermanaaron6945 6 жыл бұрын
Mungu anakuona Makonda,huyo si sawa na mama yako,kwann msifanye pembeni heshima ya kazi ukwapi bongo.daah nimeumia kiukweli
@irentirop6304
@irentirop6304 7 жыл бұрын
makonda makonda good Job brother
@gospalflavour7304
@gospalflavour7304 7 жыл бұрын
alafu wananch wa tanzania sijui tutaacha lini tabia yakushabikia kila jambo linaloonekana kumkandamiza mutu.hata bila kupima uzito wa mambo!!! Pole sana mama
@DeoLyakurwa
@DeoLyakurwa Ай бұрын
R,pc, wa mikoa mingine ebuchukueni mfanokwa,kea makonda jamani wanyonge wapate,haki zao
@beatricekihehe9879
@beatricekihehe9879 7 жыл бұрын
acha waumbuke mwisho wao umefika waliwatesa Sana wananchi.
@emmanuelngoso4205
@emmanuelngoso4205 7 жыл бұрын
Beatrice Kihehe
@khadijanjama9016
@khadijanjama9016 5 жыл бұрын
Beatrice Kihehe wallahi nimeipenda sana hii move ya huyu mama
@gunnerfest
@gunnerfest 5 жыл бұрын
Hii system ya Tanzania ya kuwanasa washukiwa hadharani inekua kenya tungekuwa kama Ulaya.
@mohameeddoaan2296
@mohameeddoaan2296 4 жыл бұрын
Kabisaa
@ceasermbisso6589
@ceasermbisso6589 7 жыл бұрын
No mercy i like this!!!!!
@amonloshilaa8082
@amonloshilaa8082 7 жыл бұрын
safi Akuna kitu cha kuongelea chemba .mbona kuchaguliwa Akuna chenga?????
@motomoya8463
@motomoya8463 4 жыл бұрын
TANZANIA AT ANOTHER LEVEL
@abuumaryama8931
@abuumaryama8931 7 жыл бұрын
nimeipenda hiyo kama movi hivi kweli dunia ina mambo.
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Duh! Hatareeee sana
@nobimgaya5359
@nobimgaya5359 5 жыл бұрын
Upoooo 0742613839 pls nichk
@aishaomary732
@aishaomary732 5 жыл бұрын
Fanya kazi yako baba
@omegaamir908
@omegaamir908 6 жыл бұрын
Raia wakisikilizwa sana napo shida wao wanajua kupinga tu
@fefeonlyme5394
@fefeonlyme5394 7 жыл бұрын
watanzania sisi ni wanafki sana Hawa wenyekiti wanatusumbua sana...kwenye kutafuta maendeleo hakuna kuoneana huruma ni kazi tyu.......
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 жыл бұрын
Fefe only me yup dia
@mashamakungu5430
@mashamakungu5430 7 жыл бұрын
Fefe only me unasema kweli
@idrisarashidi4046
@idrisarashidi4046 6 жыл бұрын
Fefe only me toka lini mwenyekiti akaleta maendeleo ambayo jamii aliyonayo ikalidhika unafikili analetewa bajet yule muulize rais wako ndiye wakuleta maendeleo
@lungusii
@lungusii 7 жыл бұрын
Ili kuleta maendeleo na pia kukomesha rushwa lazima kuchapana bakola, virungu,mapanga na pia matukio kama haya yatokee . Kama alikuwa ana hudhuria kwenye vikao vyeti vya Masela tunavyo jadili lazima wata nyooka tu uongozi wa kifalme mwisho ..********* hapa kazi tuuuuu!!!
@ngasalakonkmaster5734
@ngasalakonkmaster5734 5 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa nakukubali kuatatua kero za wanyonge, Rais alikuchagua aliona unauwezo wa kuongoza Dar,
@bintirashidantybaby8146
@bintirashidantybaby8146 7 жыл бұрын
maskin mama wawatu kwann mfanye mambo ya aibu kama hiyo kudhalilisha watoto wenu alaf mtasema makonda mbaya jaman mcheni mungu
@kulwaswetu4457
@kulwaswetu4457 5 жыл бұрын
Ilampango huu nimzuli nahaijawahikutokea Kama wkuwotewakiwahivi nchi saaafiii wanyonge wtafaidi matundayanchiyao
@salmajuma4015
@salmajuma4015 5 жыл бұрын
Oyooooooooooooooooo nakupenda makonda
@abdillahabdullah8255
@abdillahabdullah8255 5 жыл бұрын
sisawa
@nyingos
@nyingos Ай бұрын
Makonda noma aiseeh
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj Ай бұрын
Sasa Ni Mkuu wa Mkoa Arusha..Nimejikuta Nafatilia Majukumu ya Mh Makonda
@emmanuelgabagendi5800
@emmanuelgabagendi5800 6 жыл бұрын
Makonda upo safi sana
@SamSam-bn8db
@SamSam-bn8db 5 жыл бұрын
kazi ipo kweli kweli
@user-et6zo3zh1c
@user-et6zo3zh1c 6 жыл бұрын
Kila binaadamu anapungufu yake leo yeye kesho nyie mnofurahiya Mingu anafanyiwa makosa mangapi makubwa zaidi ys hayo Mbona anatusamehe leo nyie mnashindwa kumtetea kwa mkuu wa mkoa ili amsahe na kujirekebisha huyo mama huo ubinaadamu gani inasikitisha sana hata Mungu atamsaidia hana kwani hana hila...hata hivo watanzania muwe watu huruma kwa wezenu wakiwa wameteza ili mfano kwa mataifa mengine duniani..Ramadhan Karim.
@wilsonrwekaza6247
@wilsonrwekaza6247 5 жыл бұрын
Safi Sana tumenyanyasika Sana
@user-rp9iq6dd8w
@user-rp9iq6dd8w 3 ай бұрын
Makonda unafaa kuwa kiongoz
@chibutvonline8710
@chibutvonline8710 7 жыл бұрын
fantastic
@sholeMasaka-eo5yf
@sholeMasaka-eo5yf 3 ай бұрын
Kaka makonda ukosafi san fiyakazi tunakupeda san kk yangu
@Bikolimanah
@Bikolimanah 2 жыл бұрын
#VeryUnprofessional
@hussmuya5246
@hussmuya5246 6 жыл бұрын
Wakfu hua hauzwi wala kubadilishwa kama mwenyewe aliyetoa alivo agiza ,sasa kama MTU ameuza kwanza anakua ametenda dhambi kubwa sana ,tukiachilia kuvunja sheria
@betwelnjavike188
@betwelnjavike188 6 жыл бұрын
IKIWA USHAHIDI UPO NA MINUTE ZA KIKAO ZIPO WALA MWENYEKITI USIWE NA WASIWASI HAKI NA STAHIKI YAKO UTAIPATA.MUNGU IBARIKI TZ
@muslimkiluwa3814
@muslimkiluwa3814 4 жыл бұрын
MKUU WA MKOA, POOL MAKONDA, HEMBU NJOO CHANIKA NGOBEDI KAKA
@katarinawilliam9960
@katarinawilliam9960 7 жыл бұрын
Hii ni uchonganishi wa hali ya juu jamani.Kwanini wasiitwe chemba.Maana Hapa kama wanaosema watakosa ulinzi wanaweza kudhurika/kuuwawa na ndugu wa atakaye kamatwa.
@JAIVAH
@JAIVAH 7 жыл бұрын
maisha ya chemba yanaongoza kwa rushwa.... siku zote gizani ni ushetani
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 жыл бұрын
katarina william hkuna chemba mbona kura wanaomba mchana jua kali
@salmadalaquimane5303
@salmadalaquimane5303 5 жыл бұрын
Chemba ya nn sasa acha ujinga kila cku wana tuumiza awa au vle aya jakkuta
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb 4 жыл бұрын
Kuna wenyeviti wasiojihusisha na kuuza viwanja....
@mariamkombo5325
@mariamkombo5325 7 жыл бұрын
safi makonda
@gerradtarimo3077
@gerradtarimo3077 6 жыл бұрын
Ninacho kiona hapo watoa ushahidi wote ni makada wa ccm pengine mama anatokea upande wa pili! Hii ni janja ya kutisha watu tu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ili watu waogope wasigombee kutokea upinzani, wapinzani nao wala hawalioni hili, pamoja na yote hayo muheshimiwa mkuu wa mkoa sio poa namna hiyo!
@allyjumanne3144
@allyjumanne3144 4 жыл бұрын
Makonda nae akioteaga anajikosha balaaaa!!!
@susananyasani6526
@susananyasani6526 4 ай бұрын
Si haki huyo Mama kuchukuliwa na Polisi maamusi yasiyokuwa na maendeleo katika Nchi sorry
@bernardsamizi7289
@bernardsamizi7289 3 жыл бұрын
Makonda nakuombea uwe makamu wa rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania .
@AK-rd5zr
@AK-rd5zr 4 жыл бұрын
It is only gullible people who think this is leadership.Hii ni kinyume na sheria.Unlesss Tanzania has become a banana republic with no courts.Makonda sio mahakama.Huyo mama hajashtakiwa na mtu.
@mcisunga3822
@mcisunga3822 6 жыл бұрын
Mmmh isiwe mtaa wangu tu nilio nunua mie jamni 🙆🙆🙆
@madeeteapain7578
@madeeteapain7578 7 жыл бұрын
huu sio ustaarabu mzur hadharani km hv..
@annamhanje9254
@annamhanje9254 7 жыл бұрын
makondaaaa oyeeeeee
@KassimJabu
@KassimJabu Ай бұрын
Komesheni hili maana nchi haiendeshwi hivi
@januzzyjohn6660
@januzzyjohn6660 5 жыл бұрын
Daaah mimi sina cha kusema
@abbymsa6858
@abbymsa6858 7 жыл бұрын
Kwa ukweli mambo kama haya hayafai kutokea Tanzania, mambo kama haya yanapaswa kushughlikiwa ofisini sio katika mikutano ya hadhara, huu ni udhalilishaji, huyu mama angepangiwa siku aende kuonana na mkuu wa mkoa ofisini kwake, siyo kukabidhiwa polisi kama jambazi au muuaji.
@malickmakatta6089
@malickmakatta6089 7 жыл бұрын
Abby Msa ,apangiwe aende wapi wakati huu si muda wa kuoneana aibu
@ramsojimmykelly3379
@ramsojimmykelly3379 7 жыл бұрын
Abby Msa watu wakifanya kazi ofisini Anasema wanalindana watu wakifanya kazi za wazi kila MTU ajue hamtaki tuacheni unafki bhana
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 жыл бұрын
Abby Msa mbona kura wanaomba mchana jua kali
@peterbernard3159
@peterbernard3159 7 жыл бұрын
Abby Msa unaakil sana mkali wang wengne wote wanabwabwaja tyu
@idrisarashidi4046
@idrisarashidi4046 6 жыл бұрын
Abby Msa ni kweli kabisa
@RoseMary-hp5bz
@RoseMary-hp5bz 7 жыл бұрын
naon jiji limepambazuka😂
@jackisonijackisoni6715
@jackisonijackisoni6715 5 жыл бұрын
Mzee Saf sana
@nyekingobwire4798
@nyekingobwire4798 6 жыл бұрын
Mkuu nipe Mimi ajira ya utendaji kaka yangu
@michaelamos7737
@michaelamos7737 7 жыл бұрын
Najua sauti haitoshi ingawa ntaitoa tu mweshimiwa Rais tunajua unampenda sana makonda lakini tusiompenda tukowengi zaidi sasa basi kwanini usimpe ubarozi hata afgan stani au Iraq akaishiuko tuone kama hatarekebika? hukubongo tumechoka anatuchafulia hali ya hewa
@idrisarashidi4046
@idrisarashidi4046 6 жыл бұрын
Michael Amos yaaani
@mkalimwanza7726
@mkalimwanza7726 6 жыл бұрын
noma sana
@pilliramadhan7171
@pilliramadhan7171 7 жыл бұрын
safi makonda""
@naimasaid7763
@naimasaid7763 5 жыл бұрын
Ila namuhurumia sababu ni mama
@jackosama670
@jackosama670 5 жыл бұрын
Ni shidaaaaaaaaa tumbua hao
@philimonindinadyo4843
@philimonindinadyo4843 5 жыл бұрын
hivi kweli tuhuma zisizo thibitishwa namwekaje Nandan kwani wewe hujawahi kutuhumiwa mbona huwekwi ndani
@gospalflavour7304
@gospalflavour7304 7 жыл бұрын
walishindwaje kumuonya kama kakosea mpaka wanabwabwaja mbele ya hadhara!
@msomimosomy9812
@msomimosomy9812 2 жыл бұрын
Mjingaww ndoosafi
@benardmunna9194
@benardmunna9194 7 жыл бұрын
😃😃 makonda si wa mchezo mchezo
@dtejoz
@dtejoz 6 жыл бұрын
How comes maamuzi yafanyike tena ya kuharibiana pasipo uchunguzi? Anyway accountability ni kitu kizuri lakini good governance ni bora zaidi.
@Rashidmhedhery
@Rashidmhedhery 5 жыл бұрын
Mbwa sana huyu Makonda, kuna siku yake!!
@dansonjuma341
@dansonjuma341 5 жыл бұрын
iii ni ujinga ya uyo makonda yenu inchi akuna mahakama unasika mutu bila investigation atakama ni mkuu ya mkoa bure kabisa
@josephrugalabam9182
@josephrugalabam9182 7 жыл бұрын
interesting
@salmajuma3704
@salmajuma3704 4 жыл бұрын
Daah huruma
@jeradkanyuru5745
@jeradkanyuru5745 4 жыл бұрын
Mama ugewachatu kazi ulikuwa wapi..ukiwa mudogo
@user-og9jt3mg4c
@user-og9jt3mg4c Ай бұрын
Wenye viti nao walipwe mshahara! Sasa kama huyu halipwi chochote na anazomewa!!!
@asiakheir3846
@asiakheir3846 6 жыл бұрын
Musikubali uongozi,ni mtihani
@1sumbawanga
@1sumbawanga 7 жыл бұрын
Mkuu wa Mkoa Dodoma na DC wake wangetembelea Nzuguni A na B
@jeradkanyuru5745
@jeradkanyuru5745 4 жыл бұрын
Mama ugekaatu nyumbani...miyaka imekukata
@saimonnjau2426
@saimonnjau2426 7 жыл бұрын
ulikuwa unaimba ccm mtaisoma number mbo na namba ndio hiyo mlivaa ngozi ya kondoo eee
@fatumamasudi365
@fatumamasudi365 7 жыл бұрын
wanyoosheeee
@godfreymhochi6206
@godfreymhochi6206 4 жыл бұрын
M/kiti ni mama daah alafu anakatamatwaa
@davidnyassan3610
@davidnyassan3610 6 жыл бұрын
DAR MPYA
@caindunke8526
@caindunke8526 2 жыл бұрын
Hii Videos imenikumbusha pale Pilato alipouliz umati amuachie nani kati ya Baraba au Yesu ambaye ni Ktisto…. Watu walitaka Baraba aachiwe na Yesu auawe…. Nafikiti kuna cha kujifunza hapo.
@saulmwakyusa1001
@saulmwakyusa1001 7 жыл бұрын
sioni udhalilishaji wakati RAIA wanaunga mkono patamu hapo
@msomimosomy9812
@msomimosomy9812 2 жыл бұрын
Hyo anayesema kunauzalilishaji nilijizi
@michaelobunde753
@michaelobunde753 7 жыл бұрын
daaaa siasa hz mama wa watu ni kama kaundiwa zengwe na makonda anatoa agizo bila hata kujiridhisha kwa kuipitia hiyo karatasi ya mlalamikaji
@MdArif-or9um
@MdArif-or9um 6 жыл бұрын
Tanzania moto kumbee😃😃😃duh soon
@godykilian
@godykilian 7 жыл бұрын
pamoja na ni mkosaji ndio lakn kadhalilishwa sijafurahia hata kidogo staili aliyofanyiwa
@raphaelrespichius5245
@raphaelrespichius5245 7 жыл бұрын
hivi makonda yeye ni msafi sana kuliko au je wazazi wake hawajawai kukosea ktk maisha yao mbona hawakuzalilishwa kiasi hiki au
@user-zo5sx5ko5s
@user-zo5sx5ko5s Ай бұрын
Makonda nakuomba nenda kisiju pwani ukakigomboe kijiji chetu
@kiluwasalum5002
@kiluwasalum5002 6 жыл бұрын
aaaah atr
@joyceleonce8986
@joyceleonce8986 5 жыл бұрын
Ivi mbona hoyo mambo siyaonagi kagera maana makonda Rc iringa na RC tabora wako vizuri lakini kagera zero
@coolmom7329
@coolmom7329 7 жыл бұрын
wow am sorry
@nyungwajunior1301
@nyungwajunior1301 7 жыл бұрын
ha ha haaaaa wakuu wa mikoa wote wakiwa kama huyu impact ya wakuu wa mikoa itaonekana .
@immamlowe734
@immamlowe734 7 жыл бұрын
Chemba y nn?
@idrisarashidi4046
@idrisarashidi4046 6 жыл бұрын
Nyungwa Junior kipi ambacho kitakusaidia wewe kwa hivo anavofanya mil nne ndio useme impact itaonekana
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 80 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,3 МЛН
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 26 МЛН
DC AVAMIA HOTELINI AMKAMATA JAMAA NA MILIONI 11 BANDIA
5:44
Millard Ayo
Рет қаралды 740 М.
MKURUGENZI ALIVYOZIMIA BAADA YA KUSEMWA NA WAZIRI JAFO...
6:56
Global TV Online
Рет қаралды 650 М.
MAKONDA AAMURU OCD BUGURUNI APANGIWE KAZI NYINGINE, WANANCHI WASHANGILIA
11:59
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 80 МЛН