Mwenyekiti aibuka mkutanoni DarMPYA kujibu tuhuma za kumtaka kimapenzi mwanamke

  Рет қаралды 239,293

Millard Ayo

Millard Ayo

7 жыл бұрын

Siku ya tisa ya ziara ya DarMPYA kwenye mkutano Tandale mama mmoja alitoa tuhuma kwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda dhidi ya mwenyekiti wa Mivinjeni, Barua Mwakilanga akidai kuwa mwenyekiti huyo ametaka kumuondoa kwenye eneo lake la biashara na kutaka kujenga kituo cha polisi.
Baada ya kuwa na mvutano huo, mama huyo amedai kuwa Mwenyekiti huyo alimtaka kimapenzi kwa kumwambia waonane nje ya ofisi wikiendi. Mwenyekiti huyo alizisikia tuhuma hizo kupitia Clouds TV akakimbilia mkutanoni kujibu tuhuma.

Пікірлер: 126
@kitokisospeter7247
@kitokisospeter7247 5 жыл бұрын
Safi sana Makonda, nimecheka sana, umemmaliza, hao ndio wanaotumwa kuwaharibia sifa viongozi wetu.
@awadhihussein3588
@awadhihussein3588 7 жыл бұрын
Dah! Mkuu wa mkoa nimeona busara zako. Huyu dada alikua na lengo la kumchafulia jina Mwenyekiti. Kwa rehema za Mungu lengo lake limeshindakana. Pole sana Mwenyekiti.
@isaacshehe414
@isaacshehe414 4 жыл бұрын
Viongoz wa Tanzania mnajua kuchapa kazi mm natoka kenya lkn hua naangalia sana mtandao vyenye mpambana na mafisi mm mbunge kwangu huku kwetu sijamuona yangu aiingie uongozin
@rahmashaban8693
@rahmashaban8693 7 жыл бұрын
wallah hiii ni kali. mimi ningekuwa tanzania na kuhudhuria mikutano hii. ningekuomba mkuu wa mkoa ukomeshe hawa wanawake wanaotembea uchi barabarani.
@regarjes627
@regarjes627 6 жыл бұрын
wanazingua sana dada yangu
@markphilipo3636
@markphilipo3636 5 жыл бұрын
Makonda is a young smart leader,very resoaning guy,kama atapata support this is our future strongest leader in africa
@happymsaki1720
@happymsaki1720 5 жыл бұрын
M/ kiti uko vzr mnooo dogo kaza butu uongozi jalala chapa kazi dada umempiga chura Teke
@stanislastv3786
@stanislastv3786 6 жыл бұрын
Akuna kitu kikubwa Kama siasa kweli usie naakili uwezi wazia Kama ule mama mwongo MAKONDA unahakili kaka japokuwa walisema huna vyeti ila Mimi nikiwa Raisi nakuweka kwenye cheo nauna vyeti maana akili yako ni Zaidi ya Vyeti Mungu akubariki Be bless 🙏 🙏 🙏 🙏
@abduladhimually3542
@abduladhimually3542 7 жыл бұрын
Be blessed hon. Makonda. your a different leader much love to u
@debbymwaka4048
@debbymwaka4048 7 жыл бұрын
mkuu wa mkoa Mungu akubariki natamani hâta kungekua wezekano ninge kukabizi inchi yangu ya Congo huingoze
@bernardchibwana2564
@bernardchibwana2564 5 жыл бұрын
Mwenyekiti!!! Nimempenda yuko vzr sanaa
@reubenjackson7327
@reubenjackson7327 7 жыл бұрын
yeah,,,,hii ndio tz yetu ..sante sana makonda,,,
@kelvin_papaa_ya_warembo8313
@kelvin_papaa_ya_warembo8313 7 жыл бұрын
duuh huyu makonda hafai aseeee,,atakubeba weee badae anakubwaga puuuuuuh
@elifalethkimaro2086
@elifalethkimaro2086 7 жыл бұрын
mnyonge mnyongeni haki take mpeni makona safi sanaaaaaaaa
@adammuki2831
@adammuki2831 5 жыл бұрын
Jamaaa anajua kujieleza fresh
@erickcassian3167
@erickcassian3167 7 жыл бұрын
Safi dada huyo alikuwa anamweka pabaya mkt nafuu alivyowahi kujibu haki sawa.
@mubamaabadi1213
@mubamaabadi1213 5 жыл бұрын
Daaaaah wadada wengine muwe mnatumia akili au fikra kwanza kabla ya Kuweza kuzungumza jambo hapo ndo mnapo kuja kuambiwa mwanamke atabak kuwa mwanamke mbele ya mwanaume Maneno macheche yenye point safi yameleta uhalisia wako dada pole sana Nakubal kaz yako mh.makonda endelea kuchapa kaz M/mungu akuongoze zaidi
@deoijumba8843
@deoijumba8843 5 жыл бұрын
kwa hili big up makonda
@marymoses1982
@marymoses1982 7 жыл бұрын
Bro Makonda hapo nimekuelewa mnoooo aiseee. Una deal na hoja zenye nguvu... huyo mama katumwa.
@barick
@barick 7 жыл бұрын
Mw/kiti yuko vizuri sana ni ngome imara shetani hawezi penyaa
@aishamsekeni1163
@aishamsekeni1163 5 жыл бұрын
Barick wa_njombe mwenyezimungu angewapa maisha malefu kuijenga nchi hawa wenzetu wanalingia vitu vyao naimeshindikana wajipange tena
@brunopaul8689
@brunopaul8689 4 жыл бұрын
Poa We
@francismluge4978
@francismluge4978 7 жыл бұрын
waongo hawataifaidi DSM ya Makonda.Mama yupo hoi!!Ningekuwa ndio huyu mwenyekiti nangeondoka na tingatinga kuanza bomoabomoa ya kakibanda chake huyu mzushi aliyetaka kutumia vibaya jinsi yake.Thanx Makonda...MWANADAR ES SALAAM
@jacksonexuper8843
@jacksonexuper8843 7 жыл бұрын
eeeeh patamu apo daah kweli mh. Makonda ni jembe
@feliciansongoma8732
@feliciansongoma8732 7 жыл бұрын
😂😂😂😂uyu makonda uyu...... wata nyooka mwaka huu
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Ай бұрын
Nimempenda mwenyekiti kwa kujieleza ana mke mzuri mara 6 ya huyo dada
@arafsaaa8844
@arafsaaa8844 7 жыл бұрын
mwenyekit yupo vizur sna wanawake tupunguze uropo😂😂😂
@condegsubscribes7911
@condegsubscribes7911 5 жыл бұрын
MAKONDA KULA TANO KWANZA UKO JUUU SANAAA
@mohamedkandoro8326
@mohamedkandoro8326 6 жыл бұрын
OngerA sana mwenyekiti uko vizuri sana piga kazi huyo mama mlopokaji
@qaboossaid2259
@qaboossaid2259 7 жыл бұрын
makonda pambana hii style nimeipenda ya kutembelea na kusikiliza rai
@polloz77
@polloz77 4 жыл бұрын
Safi sana Mheshimiwa MaKonda kwa mahamuzi mzuri sana
@valenakomba7686
@valenakomba7686 4 жыл бұрын
WEWE MWENYEKITI NI MWONGO TENE NI WIVU TU NDO UNAKUSUMBUA. WEWE UMEONA HUNA PAKUPATIA PESA NDO MAANA UNATAFUTATAFUTA MAENEO YALIYOTOLEWA ZAMANI , TENA UNATAFUTA YALE YA WANYONGE. KAMA UJAMBAZI MBONA UPO KILA SEHEMU HAPA TANZANIA, NA HATA MABAA YAPO KILA CONER ?.
@dismassymmassy2511
@dismassymmassy2511 5 ай бұрын
Hongera sana mwenyekit
@nyungwajunior1301
@nyungwajunior1301 7 жыл бұрын
Makonda unatisha . wananchi was aina kama ya huyo Dada ni hatari sana maana wanawazulia uongo viongoz na matokeo yake kwa makusudi wanakwamisha juhudi za viongoz kuketa maendelea. yaan mtu anajimilikisha kihuni eneo la wazi halafu kiongoz akihoji anasingiziwa amemtongoza sasa huo ndio ustaarabu gani. hebu jaribu kuwaza kama huyo mwenyekit asingeibuka kwenye mkutano hapo na kutupa ufafanuzi si wote tungeamin huo uongo wake. eti anamdai mwenyekiti mustasari wa kutumia eneo la waz kujenga kituo cha polisi wakati yeye mwenyewe hana mustasari wa kumilikishwa eneo la wazi . aisee halafu huyu mwenyekiti ana weledi wa juu sana maana amekurupuka tu home ameongea vizuri kiasi hiki japo hakuwa na muda wa kujipanga sasa akijipanga huyu si hatari sana.
@soipei3359
@soipei3359 7 жыл бұрын
well said
@salimatuyahhaya5772
@salimatuyahhaya5772 7 жыл бұрын
Nyungwa Junior huyu mama Mimi Naona kazimua sio bure duuh
@soipei3359
@soipei3359 7 жыл бұрын
Salimatu yahhaya kuongea tu anakariri hapo ndo utajua katumwa
@salimatuyahhaya5772
@salimatuyahhaya5772 7 жыл бұрын
William Soipei Mama katafta pakuegama2 hana lolote kwanza huyu mama na huyu kaka vitu viwili tofauti😂😂😂😂😂
@annabulula8452
@annabulula8452 7 жыл бұрын
Nimempenda bure huyu mwenyekiti
@sukaynaahmad5022
@sukaynaahmad5022 7 жыл бұрын
duh huyu dada hafai, asingejitokeza mwenye kiti, wangemuamini huyo dada, wakuu wa mkoa wengine fateni nyao za Makonda.
@timotheomushi1215
@timotheomushi1215 7 жыл бұрын
🔛🔛
@timotheomushi1215
@timotheomushi1215 7 жыл бұрын
🔛🔛
@saudamussa9633
@saudamussa9633 4 жыл бұрын
kicaaaa huyo mmmm
@siyamemnyamwanga4401
@siyamemnyamwanga4401 7 жыл бұрын
nakupenda makonda Mungu akujaliye
@mussataliye7815
@mussataliye7815 4 жыл бұрын
Mwenyekit yuko vzr
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj Ай бұрын
Sichoki Kumfatilia Mh Makonda Hata ya Nyuma na sasa Arusha
@jacobmakono389
@jacobmakono389 4 жыл бұрын
Mwenyekiti yuko vizuri!it's all about evidence!
@twahaabdalla2304
@twahaabdalla2304 5 жыл бұрын
Dada anatetemeka mkono, kama umeona gonga like
@zamzamhamisi7332
@zamzamhamisi7332 7 жыл бұрын
hongera mama
@bathromeochengula5895
@bathromeochengula5895 6 жыл бұрын
Upo vizuri kiongozi
@user-br4tl7jv9j
@user-br4tl7jv9j 5 ай бұрын
Ila makonda anavyodakia😂😂😂😂
@TRAVELANDTASTETANZANIA
@TRAVELANDTASTETANZANIA 7 жыл бұрын
mambo vipi Tanzania? karibuni mtembelee channel yangu asanteni sana.
@elvunielvuni6637
@elvunielvuni6637 6 жыл бұрын
itakuwa ya kimbeya una tafuya tu watzamaji angalia mwenyewe
@RoseMary-hp5bz
@RoseMary-hp5bz 7 жыл бұрын
uyu maza kapewa dakika ngapi mbon anaongea kwa ngonjra
@valenakomba7686
@valenakomba7686 4 жыл бұрын
SI SHANGAI MAANA HATA MIMI YALINIPATA KAMA HAYO KUTOKA KWA MBUNGE WA KAWE NDUGU ADAM JII.
@thadeodeus2632
@thadeodeus2632 7 жыл бұрын
Duuh!!hatareee hiyooo
@fatumamasudi365
@fatumamasudi365 7 жыл бұрын
iyo kali ya mwaka
@mimifulani948
@mimifulani948 7 жыл бұрын
hadi kieleweke noma sana makonda
@ngalembavlog7606
@ngalembavlog7606 7 жыл бұрын
SOFY OMARY mamb naweza pata namba yko plz
@kelvinvonlinze5329
@kelvinvonlinze5329 7 жыл бұрын
Dah!!huyu mama bhana
@philipodarely4128
@philipodarely4128 5 жыл бұрын
Daaah nmekuelewa Maelezo yako ya kujiamin saf na vigezo unavyo
@kibibingao569
@kibibingao569 5 жыл бұрын
Hadi kieleweke noma sanaa makonda.
@hamadndege9016
@hamadndege9016 4 жыл бұрын
Safisana Mwenyekiti mwenzangu wapumbavu kama Hawa wanaotumiwa dawayao kuwapiganondo TU nimependamkuu
@raphaelpaschal7892
@raphaelpaschal7892 5 жыл бұрын
Mimi ningekua rais ningemteua makonda kua Mkuu wa wa kuu wa mikoa iliuweunatembelea nnchi nzima kusikiliza kelo za mikoa na wilaya zote nimajanga sn huku wilayani
@mallyson09
@mallyson09 4 жыл бұрын
Mh.Rais sasa ndio mkuu wa mikoa yote nchini ndiomaana anakuwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa taifa
@kibibingao569
@kibibingao569 5 жыл бұрын
Mwenyekiti hongera yako
@elizabethmapunda6806
@elizabethmapunda6806 6 жыл бұрын
Kwanza mavazi yake ya suluari hayakumruhusu kukaa mbele ya haraiki ya watu kama MTU anajijua anahoja ajiandae na mavazi mazuri pia tusikubali kutumiwa kuchafuliana yule mwenyekiti anafamilia je kitumbua chake kingeingia mchanga unatesa watu wasio na hatia Mungu hapendi
@mangsonsamson7712
@mangsonsamson7712 5 жыл бұрын
Kwa hiyo akikuandikia sms za kukutuna tu nje ya ofc unafaham anakutaka mapenz?
@imagepower3641
@imagepower3641 7 жыл бұрын
mama katumwa ,maelezo yake yamekosa msingi
@hajihansy9598
@hajihansy9598 5 жыл бұрын
Mbona yupo sawa au na wew una mtaka
@polloz77
@polloz77 4 жыл бұрын
Mamuzi mazuri yenye haki
@elvunielvuni6637
@elvunielvuni6637 6 жыл бұрын
weee mama ulivo mbaya huoni hata aibu
@valenakomba7686
@valenakomba7686 4 жыл бұрын
SASA TUULIZE JE WATAVUNJIWA WATU WOTE HAPO MTAANI? AU NI YEYE TU, HUO NI UONEVU . ENEO LA ROAD RESERVE LIKO CHINI YA JIJI SIYO UONGOZI HUO.
@msaniimpyaBMW
@msaniimpyaBMW 7 жыл бұрын
mh!
@dianachiduo9899
@dianachiduo9899 7 жыл бұрын
safi sana makonda wakuuwamikoa wetu nao waige mfano wako baba
@seifdisail3007
@seifdisail3007 7 жыл бұрын
SHIKAMOO muheshimiwa mkuu wa mkoa wetu kwa hilo uliloamua kwa MWENYEKITI wa mtaa, uyo mama ni dhahiri ametumwa kumchafua chairman tena ashukuru chairman uyo sio mimi, maana ningemshitaki kwa kunidhalilisha!
@happymsaki1720
@happymsaki1720 5 жыл бұрын
Wanawake mnakwama wapi ??? Uongo una tabia ya KURUDIIII DADA WEWE unatumiwa tuuuu imekula,kwakooooo??
@yohanakishosha6542
@yohanakishosha6542 6 жыл бұрын
Mwenyekiti nimekukubali
@manyangumashala466
@manyangumashala466 7 жыл бұрын
Makonda we ni kiboko..mungu anakuona..hahahahahahaa!!.
@kamnyarobert4465
@kamnyarobert4465 5 жыл бұрын
Wanaoeta ujiga pinga chini hapohapo kwanini akae eneo lawazi?
@user-so2jz7tw1o
@user-so2jz7tw1o 7 жыл бұрын
kaliiiii
@abdallahmwinyi2106
@abdallahmwinyi2106 3 жыл бұрын
Duh mwakilanga kilanga
@salmaiddy6059
@salmaiddy6059 5 жыл бұрын
Safii
@HabibaHabiba-mi1ez
@HabibaHabiba-mi1ez 7 жыл бұрын
Du hii kali
@kitokisospeter7247
@kitokisospeter7247 5 жыл бұрын
Wee ni muongo. Semeni tu ukweli. Acheni kusingizia jamani viongozi wenu.
@IssaIssa-ve7ir
@IssaIssa-ve7ir 5 жыл бұрын
jitahid mkuu wa mkoa kuendelea kutembelea kata nyengine
@famffamf40
@famffamf40 7 жыл бұрын
Sasa ungomvi unatokea wapi wa kwenda kugombana na wanaume wenzio online na huku MTU humwitaji kwa tuseme we we ni mkolofi tu MTU humtaki au sio bwana Lakini uko busy kugombana online unamgombea yule kama nani wako
@daudikhamis1595
@daudikhamis1595 7 жыл бұрын
kila mkuu Wa mkoa angefanya kama kaka mkubwa makonda anavyofanya basi wananchi wangefikiwa kwa uharaka zaidi na s watu wakae ofisini
@abuufeifat7076
@abuufeifat7076 7 жыл бұрын
Mola atakusimamia kaka nakukubali sana
@radhiasalum833
@radhiasalum833 7 жыл бұрын
millard asante kwa habari njema
@harounaswaleh6716
@harounaswaleh6716 5 жыл бұрын
uuuuuwiiiiii funguka mam
@elvunielvuni6637
@elvunielvuni6637 6 жыл бұрын
jibu swali
@sumalago864
@sumalago864 7 жыл бұрын
Mwenyekiti ana evidence zote' msisahau wananchi kuwa na nakala muhimu katika maamuzi yoyote yanayowahusu' debe tupu huwa na kelele tu, mdomo hausaidii bila ushahidi. .
@leokamil2075
@leokamil2075 6 жыл бұрын
Suma Lago kweli
@francismluge4978
@francismluge4978 7 жыл бұрын
mama alikuwa anatafuta kiki tu
@kamnyarobert4465
@kamnyarobert4465 5 жыл бұрын
Katafu kiki kwa pikipiki huyu mama hana adabu kabisa
@saidchita730
@saidchita730 5 жыл бұрын
MWENYEKITI yuko vizur mama mchonganishi
@saidchita730
@saidchita730 5 жыл бұрын
Mama hana adabu kasema uongo achukuliwe hatua
@annacarlos7925
@annacarlos7925 7 жыл бұрын
kazi ipo makonda
@man.lule.585
@man.lule.585 6 жыл бұрын
Du huyu Dada ni DJ, ametengeneza story si kweli
@sebastiansalamba8236
@sebastiansalamba8236 5 жыл бұрын
Hiii kazi anayofanya makonda nikazi ya wavunge lakini hawafanyi hivyo
@robbimaster8135
@robbimaster8135 7 жыл бұрын
duuu huyu dada katumwa hana lolote maongez yke inaonyesha katumwa
@issamakamba5569
@issamakamba5569 6 жыл бұрын
Nimekutafuta nimekosa nafaaasi
@jumagari4836
@jumagari4836 6 жыл бұрын
kama uongozi Tanzania ndiyo hu basi mtoto bora wakasimee ata uinjilisti Biblia kuliko
@samsonjoseph670
@samsonjoseph670 6 жыл бұрын
makonda upo vzr!.
@SAIDIMUKSIN-iy2op
@SAIDIMUKSIN-iy2op 5 ай бұрын
Mwakilanga huyo
@kyalankota7083
@kyalankota7083 5 жыл бұрын
Heko makonda
@aminarashid6286
@aminarashid6286 5 жыл бұрын
Makonda ukojuuuu
@halimatanzani8587
@halimatanzani8587 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂Wik end
@qaboossaid2259
@qaboossaid2259 7 жыл бұрын
mama funguka.
@illuminatuskamile5474
@illuminatuskamile5474 7 жыл бұрын
hatari sana hapo ni makavu live
@hashimmleli1476
@hashimmleli1476 7 жыл бұрын
Ahahahahaha hatar
@abebechmosim8497
@abebechmosim8497 7 жыл бұрын
hahahahshhahahshahahha makubwa
@halimkepa7766
@halimkepa7766 7 жыл бұрын
😂😂😂
@mobileshop818
@mobileshop818 7 жыл бұрын
makubwa
@shadrackkesy941
@shadrackkesy941 6 жыл бұрын
hongera makonda kesi zitapungua mahakamani kwa mtindo wako wa uongozi,
@user-so2jz7tw1o
@user-so2jz7tw1o 7 жыл бұрын
kaliiiii
@RoseMary-hp5bz
@RoseMary-hp5bz 7 жыл бұрын
uyu maza kapewa dakika ngapi mbon anaongea kwa ngonjra
@swaumumustaphamapondanga4707
@swaumumustaphamapondanga4707 7 жыл бұрын
du Mdada kabaki mdogo
@KUTOKA-ep2fk
@KUTOKA-ep2fk 5 жыл бұрын
Bandika bandua! weka toa! Ingiza chomoa! Mwaga mboga mwaga ugali! Aiseeeeeee! Patamu kwelikweli!
@nassororamadhan8756
@nassororamadhan8756 4 жыл бұрын
jamaa jembe mwenye kinti
@happyabdallah8379
@happyabdallah8379 7 жыл бұрын
😂😂😂
@mudiomari3007
@mudiomari3007 5 жыл бұрын
Namkubali sn makonda mm yani Sina Cha kuongea
NDUGU WALIONUNIANA WARUDI KWAO NA MSHIKO WA RC ALLY HAPI
12:55
Millard Ayo
Рет қаралды 147 М.
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 22 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН
MAKONDA AAMURU OCD BUGURUNI APANGIWE KAZI NYINGINE, WANANCHI WASHANGILIA
11:59
Usiku wa Kuamkia Leo RC Hapi amuweka Ndani Diwani CHADEMA, KISA?
25:35
NAPE ATINGA IKULU/AMUOMBA MSAMAHA RAIS MAGUFULI.
2:58
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 69 М.
BREAKING NEWS: RC HAPI AGEUKA MBOGO, AMSWEKA RUMANDE MZUNGU
2:52
TIMESOBSERVER DIGITAL
Рет қаралды 207 М.