MAKONDA AMCHENJIA POLISI - ''AFANDE ACHA MASIHARA BASI - HUYO MTU ANAFANYA UHALIFU - KUNA SHIDA''...

  Рет қаралды 91,641

Global TV  Online

Global TV Online

28 күн бұрын

MAKONDA AMCHENJIA POLISI - ''AFANDE ACHA MASIHARA BASI - HUYO MTU ANAFANYA UHALIFU - KUNA SHIDA''...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 94
@globaltv_online
@globaltv_online 26 күн бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@RASHIDMPUMU
@RASHIDMPUMU 21 күн бұрын
Mkuu wa mkoa, upo vizuri kabisa, wewe unabahati sana mshukuru sana Mungu wako fanya sana ibada umeifanya Arusha kuwa pamoja na wewe wengi tulijua unaenda mahala pagumu kumbe hakuna mkate mguu mbele ya chai
@binamungulameck8655
@binamungulameck8655 6 күн бұрын
Mkuu wa mkoa Arusha unachapa kazi🙏
@ondaomari6255
@ondaomari6255 25 күн бұрын
Wote wakiwa kama Makonda Tz kama ulaya moja kwa moja
@kyannickk2be
@kyannickk2be 26 күн бұрын
tumepokea tunafanyia kazi....so Mkuu wa Mkoa asingekuja msingefanyia kazi!!!?
@Mohaa4309
@Mohaa4309 25 күн бұрын
Noma sana
@David-if6nk
@David-if6nk 7 күн бұрын
😂
@JuliusHatari
@JuliusHatari 5 күн бұрын
SI apo sasa ,yaani ni hatari
@johnrambo9642
@johnrambo9642 19 күн бұрын
Mwenye kiti mbona ana akili sana kuliko police na wengine
@M_tika
@M_tika 22 күн бұрын
Huyo kibaka kitu ataenda kufanyiwa huko 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@JeremiasikilianiJeremiasikilia
@JeremiasikilianiJeremiasikilia 10 күн бұрын
Yes chief, Makonda I give u a big respect for that you are right🙏
@susananyasani6526
@susananyasani6526 26 күн бұрын
Huenda Polisi wanashiriki na Wizi anaotendenda na kuvuncha Nyumba za Wananchi wanapokuwa kazini Kijana huyo asante
@cisselamerverille5286
@cisselamerverille5286 2 күн бұрын
Baraka 🙆 kwisha kabisa...
@RajabuKibwana-ol4ud
@RajabuKibwana-ol4ud 2 күн бұрын
Makonda chapa kazi mungu atakuripa
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b 26 күн бұрын
Polisi wa tz ni wahovyo sana tatizo ra mapolisi tz hawajui kabsaaa usarama hakuna,,uku Oman ukipga sm polisi tu wanakuja hawangari wiraya wara kata mazari kunatukio tu wanarishugurikia nashangaha viongozi wanasafri nchi za watu hawajifundi
@shamzone388
@shamzone388 26 күн бұрын
Kila nchi na sheria zake Usijivunie police wa oman ni nchi yao na ni wajibu wa kulinda nchi yao… Nchi yetu hata ikiwa vipi tutarudi makwetu tukamalize maisha yetu Makonda hoyeee❤❤❤
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 18 күн бұрын
Mbona kama vile mkurya anaishi Oman?
@user-el5fd8kk6y
@user-el5fd8kk6y 7 күн бұрын
Sipatii picha siku Makonda ajekua Rais wa Nchi hii walahi tutakoma😂😂😂😂😂😂😂😂
@ahmedalfan8075
@ahmedalfan8075 3 күн бұрын
Nashindwa kuwaelewa police wa tz sijui wamerogwa nanani dah
@user-it2tr7ny8d
@user-it2tr7ny8d 26 күн бұрын
Habari mbana ya zamani😂😂😂
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 26 күн бұрын
Afande itakua anafaidika na huyo kibaka
@SelijusiMalambo-rh6sf
@SelijusiMalambo-rh6sf 26 күн бұрын
Huyo nyota niza nini hajuwi kitu chochote
@David-if6nk
@David-if6nk 7 күн бұрын
Hahahahaa
@user-ih9xy5vd5d
@user-ih9xy5vd5d 25 күн бұрын
Nchi imeoza hii dah mpaka aibu, mifumo ya ajabu kabisa, hii mikutano ni mpaka lini? Nyerere alijitahidi kuondoa ujinga lakini mpaka leo hii majitu majinga yamekaa hapo, unatatua matatizo kama gengeni?
@alexanderkapinga700
@alexanderkapinga700 23 күн бұрын
Hakuna kitu hapo Mkuu Makonda kunahitajika kitu cha ziada.
@seiphyahya5353
@seiphyahya5353 23 күн бұрын
Huyo mwizi achukuliwe hatua na wenzake kama walivyofanywa wale PANYA ROAD WA DAR.
@Ahmedikiringamoyo
@Ahmedikiringamoyo 20 күн бұрын
Hongerasana makonda munguakubariki
@user-fi1yg4qj1i
@user-fi1yg4qj1i 21 күн бұрын
Ila makonda anajua kuwakamata watu napendaga sana hapa kiongozi wawanyonge tunae🙏🙏🙏
@faustinemlelwa7448
@faustinemlelwa7448 4 күн бұрын
Piga kazi kaka
@user-qt7jd5on4z
@user-qt7jd5on4z 24 күн бұрын
Mbona mnaweka maridio shida nin
@user-vq3xo6ip4t
@user-vq3xo6ip4t 4 күн бұрын
watakuwa wana kulanaeuyo baba makonda
@Selemanjohn-se1el
@Selemanjohn-se1el 4 күн бұрын
😂😂😂😂 atimae tumepata jembe kamalilelile kwelimungu yupo
@LilianKisumbi
@LilianKisumbi 20 күн бұрын
Kazi nzuri
@dstaroficial
@dstaroficial 5 күн бұрын
Hapa makonda umenikosa yan inafikia wakat unaweza ukampenda mwiz ukanchukiabpolic hawpolic dah
@evelina9621
@evelina9621 20 күн бұрын
Polisi.mishahara.vizuri.kazi Endele
@emmanuellupiga
@emmanuellupiga 5 күн бұрын
Mengine sio ya kwenye maiki walosikia hii tujuane Nawaza makonda anawaza nn kwa kauli hii😂😂😂
@AlfredMatemu
@AlfredMatemu Күн бұрын
Achen kushaki vyitu kama hivi kijana anawashindaje raia wote mpunzisheni chapu mtaa utulie
@user-cr1ft3xe4h
@user-cr1ft3xe4h 10 күн бұрын
❤❤
@TellaaxisTz
@TellaaxisTz 3 күн бұрын
😮
@abdukhalnyerere8993
@abdukhalnyerere8993 4 күн бұрын
Kuua tu malizia
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b 26 күн бұрын
Hakuna urizi shirikishi jeshi ra polisi hariereweki watu wanataka polisi wao wanasema hurinzi shirikishi unasaidya nn wengiwao ni vibaka
@FridaMmari
@FridaMmari Күн бұрын
Ole wenu huyo kibaka ahame mkoa akija mkoa tulipo tairi naafuta ya taaa yatamkuta
@sergiohalhakeem11
@sergiohalhakeem11 23 күн бұрын
Wananchi wenye hasira kali mpo wapi tena... Kajamaa kamoja kanazingua kata nzima huku😂😂😂
@barakamnungamo3213
@barakamnungamo3213 15 күн бұрын
Huyo baraka msengerema sengerema hana nguvu ya kufanya kaz mpk aibe abadilishe jina kubalababaake
@temuramadhani5134
@temuramadhani5134 23 күн бұрын
Oc,d,punguani
@AlifaHamis
@AlifaHamis 26 күн бұрын
Police Wana kuka Mishahala ya buletu kazi 0
@davidchihimba9489
@davidchihimba9489 18 сағат бұрын
Mapolisi nao ni majambazi tu polisi mnaona ccm yenu wote mnatuzengua tu mtoke wote
@andrewelangwa5147
@andrewelangwa5147 19 күн бұрын
Mkuu wa upelelezi ndo kanyoosha maelezo
@Amirimohammedi-hb8xu
@Amirimohammedi-hb8xu 19 күн бұрын
Bombo
@barackamtwange1925
@barackamtwange1925 4 күн бұрын
Mwamba ni huyu saasa
@flova7022
@flova7022 19 күн бұрын
Kitacho mkuta huyo mwizi nko palleeeee ashikweee tuu shenzi
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 25 күн бұрын
Mahakama hakuna
@dstaroficial
@dstaroficial 5 күн бұрын
Kiukwel xiipnd ccm ila naanz kkpnda makonda
@davidchihimba9489
@davidchihimba9489 18 сағат бұрын
Polisi wa tanzania wengi hawajaenda shule kazi kutumia miguvu akili hakuna
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 2 күн бұрын
KWANI SI MUMUUE TU YAISHE JAMANI?
@jazeerajuma5014
@jazeerajuma5014 15 күн бұрын
Mkuu wa mkoa yani polisi wa arusha walarushwaaqq ijiwezekana hamish wotee
@RobertLyimo-vj3up
@RobertLyimo-vj3up 23 күн бұрын
Afande anaongea kwa logic
@andrewelangwa5147
@andrewelangwa5147 19 күн бұрын
Huyo afande hanyooshi maelezo
@KindambaMtunje
@KindambaMtunje 7 күн бұрын
Achomwe moto uyoo
@Mohaa4309
@Mohaa4309 25 күн бұрын
Vunja mikono
@AllanAluma-ss8lb
@AllanAluma-ss8lb 14 күн бұрын
Wanainchi hatuna haja yakujua ma swala ya utawala, tunaitaji amani.
@mandovapicture
@mandovapicture 15 күн бұрын
Makonda atengwe
@seiphyahya5353
@seiphyahya5353 23 күн бұрын
HILI SUALA KAMA LA MATUKIO YA SALENDER BRIDGE HAPA DAR
@evelina9621
@evelina9621 20 күн бұрын
Sheria.mahama.anafanya.n,n.polisi.wapewa.pese.wapewa.mishara.kwa.wakati Wambunge.wana.pewa.mishahara.mikubwa.wafanyakazi.hoi.hata
@LukaBaraka
@LukaBaraka 21 күн бұрын
Huo ndo ukweli sasa wako wapi?
@user-hv7pw6ih5v
@user-hv7pw6ih5v 22 күн бұрын
Mheshimiwa Makonda kwanini usiwape kibano hao police
@David-if6nk
@David-if6nk 7 күн бұрын
Hana mamlaka hayo
@francohaule-ci7ii
@francohaule-ci7ii 8 күн бұрын
Sasa wabunge wanafanya kazi gani
@JumanneKimuna-lo7yp
@JumanneKimuna-lo7yp 25 күн бұрын
:
@jazeerajuma5014
@jazeerajuma5014 15 күн бұрын
Makonda tunaomba uende ngarenaro mtaaa wa madadi jamani watu wanauza mirungi wakikamatwa wanatoa rushwa wanaachiwa
@officialaziry3305
@officialaziry3305 8 күн бұрын
Mirungi haina shida 😂😂 shida ni huo unyanyasaji wa wanainch
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 26 күн бұрын
Mbona taharifa hii mlishaiwekaga?
@user-hv7pw6ih5v
@user-hv7pw6ih5v 22 күн бұрын
Huyo afande aache kujiuma mdomo kama vile paka aliyekamata panya, nikwamba hata uwe Police kutoka Mkoa mwingine una haki ya kukamata muharifu,hivi kipindi unaapishwa uliapa nini si uliapa kulinda raia na mali zao Tanzania au uliapa kulinda maeneo ya mke wako kusudi akiweka maji ya ugali umwambie dkk tatu unga unafika
@JuliusHatari
@JuliusHatari 5 күн бұрын
Umeongea point ila nimecheka ety kulinda maeneo ya mke wako😂😢😂😂😂
@user-hv7pw6ih5v
@user-hv7pw6ih5v 5 күн бұрын
@@JuliusHatari siyo kwamba nimechekesha apana hawa Police wanakera sana hawaoni wenzao JWTZ hawana mchezo kabisa ila ukisikia wanavyoapa utasema tumepata jeshi kumbe ni mizengwe tu ila siyo Tanzania tu ni dunia nzima sijui police dunia nzima wana matatizo gani jina Police 🙊🙊 aibu tupu
@JuliusHatari
@JuliusHatari 5 күн бұрын
@@user-hv7pw6ih5v kweli kabisa Mimi ni Afisa jeshi Niko Butiama ila ao baadhi ya wenzetu polisi wanakiuka taratibu,, Aya ndugu yangu
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke 26 күн бұрын
Mahakama ndiyo inatowa hukumu makonda hiyo siyo kaziyako
@AlifaHamis
@AlifaHamis 26 күн бұрын
Kwahiyo watu wandelee kuibiwa hadi mahakama itoe hukumu kwanza unajua kazi ya mahakama wewe
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 26 күн бұрын
Auna akil wewe
@leonardjohnson2058
@leonardjohnson2058 26 күн бұрын
Jinga kabisa
@edsonmganyiz9520
@edsonmganyiz9520 25 күн бұрын
Ww ata D1 huna
@alexlyamsema2725
@alexlyamsema2725 25 күн бұрын
Ndo yaleyale mambumbumbu kwenye hii nchi yasokuwa na akili ,jinga kabisa watu wanaomba usalama wa Mali zao kuna fara anaongea ety hiyo sio kazi yako ,mbwa kabisa
@officialaziry3305
@officialaziry3305 8 күн бұрын
Makonda ana sema ..mengine sio ya kwenye maic 😂😂😂
@ashrafuful
@ashrafuful 5 күн бұрын
maana yake hapo piga chuma hiko
@imeldasamwel539
@imeldasamwel539 22 күн бұрын
Eti naye anaitwa police wanachafua jina serkal tyu haw
One moment can change your life ✨🔄
00:32
A4
Рет қаралды 17 МЛН
Scary Teacher 3D Nick Troll Squid Game in Brush Teeth White or Black Challenge #shorts
00:47
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 56 МЛН
MAKONDA AAMURU OCD BUGURUNI APANGIWE KAZI NYINGINE, WANANCHI WASHANGILIA
11:59
Interview with ukranian Minister Federov
18:30
ZDFheute Nachrichten
Рет қаралды 11 М.
One moment can change your life ✨🔄
00:32
A4
Рет қаралды 17 МЛН